WATOTO WANGU PART 6 (FINAL)

  Рет қаралды 270,069

BabaJoan

BabaJoan

Күн бұрын

Пікірлер: 1 000
@HellenKitsao-zk5vg
@HellenKitsao-zk5vg Ай бұрын
Hii muvi haifai kuisha hapo lazima kunatatizo kama unakubaliana na mimi nyosha mkono ili tuletewe sehemu zote zilizo rukwa
@rehemaruwa7663
@rehemaruwa7663 Ай бұрын
@@HellenKitsao-zk5vg 👋
@catherinekwamboka-u4n
@catherinekwamboka-u4n Ай бұрын
Mimi APA
@EvalineKadogo-eb5xr
@EvalineKadogo-eb5xr Ай бұрын
Yenyewe haitakikani kuisha hivo
@yusufSwaleh-cf6ut
@yusufSwaleh-cf6ut Ай бұрын
Mimi ni shabiki ya baba angu kipofu nai watoto wangu kwakweli nimeji. sikia vibaya kuai ni fainal naomba iendele plz niko Kenya mombasa likoni ujamaa inuka police
@SkeetoSsaa
@SkeetoSsaa Ай бұрын
Kaalib kweli
@Zebuu-kp
@Zebuu-kp Ай бұрын
Nakubali sana kama unamkubali mwamba weka alam ya upendo na sapoti zenu muimu sna Tim baba karobo🎉🎉🎉 mko wapi
@hamzarobert2372
@hamzarobert2372 Ай бұрын
Tatu mdogo umbea sasa
@NeemaBarasa
@NeemaBarasa Ай бұрын
😊
@EUNICENADZUA-g7r
@EUNICENADZUA-g7r Ай бұрын
Tupo sana team baba karobo
@RebeccaGatumi
@RebeccaGatumi Ай бұрын
@@Zebuu-kp amina
@YongRiz
@YongRiz Ай бұрын
Zebuu plani b vip dada ake
@KidumeRashid
@KidumeRashid Ай бұрын
Mama tatu maisha yote wewe na karobo haziendi sawa punguza hasira kwa mtoto wa mwanamke mwenzako
@PascalineFikiri
@PascalineFikiri Ай бұрын
😂😂😂 Ni sinema siyo kweli
@lucasmatu7669
@lucasmatu7669 Ай бұрын
Sijui kama ni Mimi nimeona makosa, ila, ni kama Kuna episode Moja haipo
@MaryamRobert-vr1wm
@MaryamRobert-vr1wm Ай бұрын
Hata mm nahis Ivo ilipoishia haijaendelea
@hamzarobert2372
@hamzarobert2372 Ай бұрын
@@lucasmatu7669 hata mm sijawaelewa kabisa
@EshaomarmfaumeMfaume
@EshaomarmfaumeMfaume Ай бұрын
Hata hivyo ni kama wameruka episode moja bwana
@FlorenceDhahbu
@FlorenceDhahbu Ай бұрын
Ata mm nahisi wameruka episode
@abrahammwenda5945
@abrahammwenda5945 Ай бұрын
Kuna yenye haiko
@NaimaAli-q5r
@NaimaAli-q5r Ай бұрын
Baba karobo akuje atueleze Kuna tatizo Gani maana naona imeruka na imeishia mahali pasipostahili kama unakubaliana na mm nyoosha mkono tujue tatzo
@maalimali5513
@maalimali5513 Ай бұрын
Kweli nahisi kuna tatizo hapa dadangu Baba Joan atuelezee
@kizitho70
@kizitho70 Ай бұрын
Kabisaaa EPSODE moja amerula
@HabibtySamirah
@HabibtySamirah Ай бұрын
Duh mwenyewe nashindwa kuielewa kabisa mana épisode ya 5 iliishia pale karobo yupo pamoja na kaake kasongo huku wakizozana baadae baba karabo akawa amewaona nae akishangaa huku akiwaza nakusema kama anataka awasogelee karobo pamoja na kasongo ajue wanaongea nini ikawa imeishia hapo .... Sote hapa tulitarajia kuona épisode 6 kua watatupa muendelezo ili tujuwe kuhusu jinsi baba karobo aliwafwata lakini Aaaaaah au labda kuna nyingine épisode emupita hatujaiona bado au mwenyewe ndo nimechelewa kuona hiyo episode nyingine mana hapa sijaelewa hata kidogo
@maimunamselemo8427
@maimunamselemo8427 Ай бұрын
Ndio imeisha mimi nilikuwa ndio kwanza nakaa mkao wa kula
@MaryJoseph-d1i
@MaryJoseph-d1i Ай бұрын
Mbona imeruka jamani
@Lovelysha2024
@Lovelysha2024 Ай бұрын
Kazi nzuri baba karobo mungu akuzidishie nguvy
@nshimiyimanaalex6467
@nshimiyimanaalex6467 Ай бұрын
Karibuni Tena tuko pamoja Kigali 🇷🇼🇷🇼 Kigali Rwanda nta mwana nikinono kinyarwanda harisi kbs❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂
@AsifiweImani
@AsifiweImani Ай бұрын
Asifiwe mungu kwawote watakao soma iyi comment mungu awape mahitaji ya rohoni ❤❤🎉🎉
@elipokeammari9998
@elipokeammari9998 Ай бұрын
Ni vzr ukiandika Mungu kwa kuanzia na herufi kubwa
@AsifiweImani
@AsifiweImani Ай бұрын
@elipokeammari9998 Asante sn ila shaobo mingi kk
@SuzzyNjee
@SuzzyNjee Ай бұрын
Amen 🙏🙏
@Elizabeth-ds7yk
@Elizabeth-ds7yk Ай бұрын
Amen 🎉🎉🎉
@Elizabeth-ds7yk
@Elizabeth-ds7yk Ай бұрын
❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@RahmaRashidi-ih9tk
@RahmaRashidi-ih9tk Ай бұрын
Karobo na kasongo ni majina mazuri sana pia hao watoto wanaitendea haki muvi hizo kama jenifa na Patrick ww ndo kanumba wao
@SanuraFadhili-k3n
@SanuraFadhili-k3n Ай бұрын
Kalobo kasongo majina sijaya penda atakumpa mwanangu simpijina ilo
@Shasha12345-Xu
@Shasha12345-Xu Ай бұрын
​@San😅😅😅😅uraFadhili-k3n
@Shasha12345-Xu
@Shasha12345-Xu Ай бұрын
weeehhh
@PascalineFikiri
@PascalineFikiri Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@ZeinabBakar-je4nr
@ZeinabBakar-je4nr Ай бұрын
Ukiona move imkushda mpe mwezio. Aiedeleze juu hilikuwa nzuri sana
@BabyeSaumu
@BabyeSaumu Ай бұрын
Mumeimaliza mapema hata mama Tatu hajaenda kwa mganga😅😅
@chantalmariesony2996
@chantalmariesony2996 Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 weye wakuwache tuu acha uchokozi
@joelinyembe8000
@joelinyembe8000 Ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ety jmn
@dorothydeclan6995
@dorothydeclan6995 Ай бұрын
😂😂
@evansfrank-y4v
@evansfrank-y4v Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@Suzanapaskoqnkn
@Suzanapaskoqnkn Ай бұрын
sema move ya mwanzo ime bamba sana baba yangu kipofu
@NeemaStephen-oe4ww
@NeemaStephen-oe4ww Ай бұрын
Chukua maua yako Patronize kwa utunzi wako uko sawa sawa endelea hivyo hivyo❤
@NadiauweraUwera
@NadiauweraUwera Ай бұрын
Mbon mapema jameni 🎉🎉from burundi tupo wapi jameni🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@isaiebizimana8935
@isaiebizimana8935 Ай бұрын
From Burundi tupo
@KizaNahano
@KizaNahano Ай бұрын
Tupo kbx nayikup
@CubahiroNarda
@CubahiroNarda Ай бұрын
Tupo kabisa wa 🇧🇮🇧🇮
@AlainegiftMukezabirori
@AlainegiftMukezabirori 25 күн бұрын
Tupo
@HellenChangwe
@HellenChangwe 29 күн бұрын
Jamaniii aisee 😢😢😢😢 Tatu pole pole po po po po pole 🎉🎉🎉🎉🎉 CONGRATULATIONS Team of baba karobo except mama tatu .mabichwa mabaya kama mfifurufu......... Ilove❤❤❤❤ u kaaongo and others.
@lavinekezabarezi
@lavinekezabarezi Ай бұрын
wakwanza leo🎉🎉kutoka burundi💃nipeni like jamani🎉🎉🎉
@LuleDotto-p9v
@LuleDotto-p9v Ай бұрын
Ahsanten sana kwa kuwahisha hii burudan jaman
@GodblessMpenda
@GodblessMpenda Ай бұрын
Jamaa fundi huyu anajua tumpe mauwa yake 🙏🙏🙏
@korneliyoelvistate
@korneliyoelvistate Ай бұрын
Apana minakataa siyo mwisho apa 🇨🇩🇨🇩
@hamzarobert2372
@hamzarobert2372 Ай бұрын
❤wa tano leo
@zamdauseni9787
@zamdauseni9787 Ай бұрын
Ndiyo baba jarobo na kasongo ❤❤🎉 Mungu nimwema Na nimafuzo kwana damu ❤🎉🎉
@zamdauseni9787
@zamdauseni9787 Ай бұрын
Mambo ayo ❤❤🎉❤Muke na mume na mapaca ❤❤❤karobo na kasongo 🎉🎉
@beautifulafrica6886
@beautifulafrica6886 3 күн бұрын
🎉🎉❤❤🎉🎉❤❤🎉🎉❤❤🎉🎉❤❤🎉🎉❤❤🎉🎉❤❤🎉🎉
@arikibok4735
@arikibok4735 Ай бұрын
Courage Nawapenda san ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
@SophiaAlifa
@SophiaAlifa Ай бұрын
Mashaallha kazi zuri nawapenda sana
@Lyrac91
@Lyrac91 Ай бұрын
Movie iko na makosa kibao, mnatupotezea muda kwa flashback na tushaona , makosa ni mengi , rekebisheni tuzidi kuwasapoti
@Sammysamanto-x9u
@Sammysamanto-x9u Ай бұрын
Miaka minane bila kuwa karibu na mke wako...😂😂😂😂 BABA JOAN ULIGONGEWA😂😂..
@ElizabethWanyama-j3g
@ElizabethWanyama-j3g Ай бұрын
Waa,Toka baba kibofu Hadi watoto wangu, nawapenda Sana kutoka 🇰🇪
@SiviriSuisse-yz2sp
@SiviriSuisse-yz2sp Ай бұрын
Wakwanza leo, naitaji like mpaka 800
@mosesnjugunamwangi242
@mosesnjugunamwangi242 Ай бұрын
Baba joan mbona ikawa fupi kiasi hicho.if there is anything wrong we can help
@amosmurithi9494
@amosmurithi9494 Ай бұрын
Weh, kizungu ngumu huku bana.... shida tupu😂😂😂 " I can't talking you any more"
@Hdt-j9n
@Hdt-j9n Ай бұрын
😂😂😂😂kumbe sikuskia pekeangu
@salmasalam3268
@salmasalam3268 Ай бұрын
Final npo wakwanza❤
@Mzukavibes
@Mzukavibes Ай бұрын
Nipo live 🎉🎉❤🎉❤❤🎉🎉❤ Nipe like zanguuuuuu 🤣🎉🤣✨✨✨🌹🌹🌹🌹🌹
@RoseMwarabu
@RoseMwarabu Ай бұрын
Ni kweli hata mimi naona hivyo kuna kipande hakipo
@GodblessMpenda
@GodblessMpenda Ай бұрын
Mbona imekuwa mapema sana sio kawaida yako kabisa au kuna tatizo 😢😢😢😢
@CharityMwanduka-ec4bq
@CharityMwanduka-ec4bq Ай бұрын
Wallae c bure
@NeemaStephen-oe4ww
@NeemaStephen-oe4ww Ай бұрын
Tusubirini lazima atafanyiwa interview
@DhgFhc-bs7dd
@DhgFhc-bs7dd Ай бұрын
My kalombo
@MasauShida
@MasauShida Ай бұрын
Kazi nzuri sana Baba Joan🇹🇿
@LYDIAMAEMBA-r2q
@LYDIAMAEMBA-r2q Ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤much love guys 😅
@FaridaAbdulaziz-g3t
@FaridaAbdulaziz-g3t Ай бұрын
Mbona iyi movi aki imeisha mapema sana imefika mahari patamu from saudia Arabia nazidi kufatiriya baba karobo movi zako nzuri nazidi kuku fatiriya❤❤🎉🎉🎉
@DJ_FRISKY
@DJ_FRISKY Ай бұрын
Wa Kwanza Kutoka Kenya 🇰🇪 Like hapa
@FatumaBahatihassan
@FatumaBahatihassan Ай бұрын
Karobo kasha anzaku inukia Mashaallah
@Latefa-z7m
@Latefa-z7m Ай бұрын
Aise mbona hii moves ni Fupi sana😮😢 Epsod 6 tu 😮
@Beatrice-z4c
@Beatrice-z4c Ай бұрын
Team baba Joan leo hatimae nimewai niko 19 . Kutoka nianze kufatilia baba Joan sijawi kuwahi kama leo niko na furaha sana😂😂😂😂
@YvonneWangeci-oe8uf
@YvonneWangeci-oe8uf Ай бұрын
𝗪𝗮𝗽𝗶 𝗹𝗶𝗸𝗲𝘀 𝘇𝗮𝗻𝗴𝘂 𝗹𝗲𝗼 𝘄𝗮𝗸𝘄𝗮𝗻𝘇𝗮...𝗡𝗮 𝗺𝘂𝗻𝗴𝘂 𝗮𝗯𝗮𝗿𝗶𝗸𝗶 𝗮𝘁𝗮𝗸𝗮𝘆𝗲 𝘀𝗼𝗺𝗮 𝗵𝗶𝗶 𝗰𝗼𝗺𝗺𝗲𝗻𝘁❤❤
@EvanzySimiyu
@EvanzySimiyu Ай бұрын
Amen
@zamdauseni9787
@zamdauseni9787 Ай бұрын
Ndiyo mwema awozi misafedheni na baba kasongo na karobo ❤❤❤🎉 raha na muke na wa toto zako ❤❤🎉
@rizikishukuru7490
@rizikishukuru7490 Ай бұрын
Hongereni san kazi nzur san🔥🔥🔥
@Mariamujumainne
@Mariamujumainne Ай бұрын
leo nimewahi naomba lik zangu ambae anamupend kalobo tujuwan kwalik
@ChristineMwende-p3g
@ChristineMwende-p3g Ай бұрын
mmeimaliza haraka sana; inafaa iedeleee tuone mama tatu akieda kwa mganga 🎉🎉🎉❤❤
@GodblessMpenda
@GodblessMpenda Ай бұрын
kasongo yeye, mombali nanga, kasongo mbona wewo, songali nanga, wo- yeye kasongo mbona wewe mbona wewoooooooooh😂😂
@rizikishukuru7490
@rizikishukuru7490 Ай бұрын
😅😅😅😅umenikumbusha hiyo nyimbo
@Saumu254
@Saumu254 Ай бұрын
😅😅😅
@lucinahmoranga2358
@lucinahmoranga2358 Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@ValelianaKayombo
@ValelianaKayombo Ай бұрын
​@@lucinahmoranga2358😂😂😂😂😂😂😂😂😂 duu
@MaryamRobert-vr1wm
@MaryamRobert-vr1wm Ай бұрын
😂😂 umewaza nn
@NadabNITEGEKA
@NadabNITEGEKA Ай бұрын
Asante xaaaana tunafuhi sana. Sasa muandae kengine mtuletee
@LizzyBeb218
@LizzyBeb218 Ай бұрын
Mnipee hata mbili tu❤
@NuraMunyasia
@NuraMunyasia Ай бұрын
“I can’t talking any more”. eeeh kizungu ww kweli Wacha kumtesa baba joani aki😂😅…imekuwa nzuri sana japo mmeikatiza vitu vingi sana❤
@carolinewanjiru1426
@carolinewanjiru1426 Ай бұрын
Kumbe fashion anaweza act akiwa mtu mwema
@Winleizerabdy
@Winleizerabdy Ай бұрын
Jamani😂
@niyogushimadorine6086
@niyogushimadorine6086 Ай бұрын
Mbona inaisha mapema😢😢 basi utulete ingine movie ninapenda sana mama kalobo kelele zake ❤❤❤❤😂😂😂zinanifulahisha Sanaa 🎉. Ninawatakia maisha malefu. Ninawapenda sana team baba Joan. Love you so much from Burundi 🇧🇮 💓
@everlyneiminza5722
@everlyneiminza5722 Ай бұрын
Baba karobo and kasongo!!haujatutendea haki kwakwelli mbona ghafla hivi afu imeisha kiutani tu😂😂😂😂😂😂😂😂😂ila kazi safii like it ❤❤❤❤❤❤
@MalkaNinik
@MalkaNinik Ай бұрын
Tena sana
@NeemaStephen-oe4ww
@NeemaStephen-oe4ww Ай бұрын
Lazima kuwe kuna tatizo mahali
@rehemaruwa7663
@rehemaruwa7663 Ай бұрын
Mbona hamjatuonyesha mmpatanaje jamani ila sawa kazi nzuri pia
@munamamaj9622
@munamamaj9622 Ай бұрын
Hata sijaelewa ilikuaje sijapenda kabisa
@JumaChenge
@JumaChenge Ай бұрын
Yupo kwenye njonzi
@JanepherBudodi
@JanepherBudodi Ай бұрын
Yaan mama karobo kila movie ni mcharuko tu sijui mcharuko kweliii❤
@elizabethakiru3043
@elizabethakiru3043 Ай бұрын
😂😂😂😂
@MamrF-v9v
@MamrF-v9v Ай бұрын
Imeisha haraka mbone
@philipasengi3145
@philipasengi3145 Ай бұрын
Baba karobo sema kitu mbona mapema movie kuisha
@marthatom125
@marthatom125 Ай бұрын
Mbona mnatuchanganya sasa mwisho niliajia baba tatu akienda kuona karombo na kashongo ndio ajue mbona wanapenda kuwa pamoja ,sasa hapa nachamganyikiwa kuliendaje
@isakamwampamba7544
@isakamwampamba7544 Ай бұрын
Hongera pia kwa patronize maana ni msanii wa mziki ajae anaandika nyimbo nzuri sana, kwa wafuatiliaji wa bongo movie za @BabaJoan wataungana nami ktk hili
@KaserekamwisaSivyolo
@KaserekamwisaSivyolo 29 күн бұрын
Baendelesheee mpakaa tuonee maman atalea wa toto wakeee
@CharityMwanduka-ec4bq
@CharityMwanduka-ec4bq Ай бұрын
Bona araka ivoo ama kuna tatizoo jamenii
@AlexOkiboko
@AlexOkiboko Ай бұрын
Kuna tatizo mahali but inarekebishwa ❤
@Irankuda
@Irankuda Ай бұрын
Munatucanganya jameni mumecoka😂😂
@FrancisYohana-ij1th
@FrancisYohana-ij1th Ай бұрын
Wakwanza leo naombeni like zang
@augustinesombi6285
@augustinesombi6285 Ай бұрын
Kweli Baba Tatu kuwa kipara wamefanana tabiaa, inaonesha Kipara ni baba muhuni muhuni
@AlfaneNassoroFahamo
@AlfaneNassoroFahamo Ай бұрын
Kaka apa sawa leo , kwa mimi nimekueka namba 1 Tanzânia. Nandyoma siku hile nilishauli kwamba kitu kizuri akichalewi. Niko Mozambique nakukubali sanaaa kaka baba Joan kazi nzuri.
@JustinBanda-cq1er
@JustinBanda-cq1er Ай бұрын
Wa kwanza kutoka burundi nipeni like zangu
@EsboyClever
@EsboyClever Ай бұрын
Mumekoseya hiyi movie sana hata siyi like
@FlorenceObimbo
@FlorenceObimbo Ай бұрын
Wee leo nimejaribu pliz naomba likes🥰🥰
@princessnaish4423
@princessnaish4423 Ай бұрын
❤❤❤❤❤
@HellenChangwe
@HellenChangwe 29 күн бұрын
Naombeni hapo mnitumie episode ya mwendelezo Mungu akubariki...... Bibi Kasongo nipo chini ya magoti naombeni maendeleo tafadhari........
@Mariam-w9s3b
@Mariam-w9s3b Ай бұрын
Movie tam sema mjaitendea haki atujaona ulivyo mpata uyo mkeo na watoto wako
@ayshaaysha2165
@ayshaaysha2165 Ай бұрын
Mama kalobo umependeza sn ❤❤🎉
@noelygodiwe6923
@noelygodiwe6923 Ай бұрын
Waoooooooo🎉🎉🎉🎉🎉
@KelvinJackson-sn6wn
@KelvinJackson-sn6wn Ай бұрын
Asante kwa kazi nzuri japo tulitamani iendelee lakin kila chenye mwanzo kina mwisho wake tunaimani mtakuja na nyingine mungu akawe pamoja nanyi nyote katika kazi zetu
@MercyCheps-er3sx
@MercyCheps-er3sx Ай бұрын
Kwani kumeenda aje jamani Ata sijaelewa kitu hapa😂😂watoto walipatikana vipi,,mama yako aaaaiiiii
@MariamuYusuphu-y6z
@MariamuYusuphu-y6z Ай бұрын
Mi mwenyw wameniacha
@OscarAmbayi
@OscarAmbayi Ай бұрын
Movie imekua nzuri sana inamafunzo mazuri ila mliruka part 5
@umfahad2609
@umfahad2609 Ай бұрын
Jamani mpo faster.. dakika 3 tu, mie wa 32.👍😂
@AsiaOmary-tc4zu
@AsiaOmary-tc4zu Ай бұрын
Duh jmn😮😮 mapema hii
@SaumuJumwa-u4v
@SaumuJumwa-u4v Ай бұрын
Kutoka Kenya 🇰🇪 team strong 💪 hour 😍😍Kama wamkumbali baba karobo tujuane Kwa likes
@RahmaRashidi-ih9tk
@RahmaRashidi-ih9tk Ай бұрын
Ahaa karobo jamani pleee karobo
@JeniphaHosea-r9s
@JeniphaHosea-r9s Ай бұрын
mbona mapema sana
@LakiaLihuti
@LakiaLihuti Ай бұрын
Yaan mama Tatu we kiboko😅😅😅😅😅
@emmaemmaculate
@emmaemmaculate Ай бұрын
Saafi ila mbona nikama Kuna sehemu tumeiruka,Kenya tuko imara
@fadhilamtolo
@fadhilamtolo Ай бұрын
Ameruka yeye sis watazamaji tu
@FlorenceKioko-nq7if
@FlorenceKioko-nq7if Ай бұрын
Ndio Kuna episode moja imerukwa mwaboa sana ak maan Sasa atuelewi 💝💝💝💝
@DianaPraxy
@DianaPraxy Ай бұрын
Mumerukisha Watoto walipatikanaje
@Chrisdorah
@Chrisdorah Ай бұрын
Right on time, I was eagerly waiting for this, kazi nzuri, sana, more love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@ReneNzeyimana
@ReneNzeyimana Ай бұрын
Wakwanza kutoka Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮 like zenu basi
@MarygorettiWafula
@MarygorettiWafula Ай бұрын
Leo fasheni ako na roho nzuri
@EvalineMollel-py7fc
@EvalineMollel-py7fc Ай бұрын
Yaaaniii ❤❤ safarii hii ametishaaa❤
@fauzianadzua6426
@fauzianadzua6426 Ай бұрын
Wakwanza nipeni likes leo ❤❤❤
@ScholaMalale
@ScholaMalale Ай бұрын
Mbona mapema sana
@TarishazMwanyika-h3l
@TarishazMwanyika-h3l Ай бұрын
Mbona kama epsode moja haipo vile
@bitobito8586
@bitobito8586 Ай бұрын
Baba joan please Episode 6🤲this is Episode 7 jameni 😮
@clovisnininahazwe2478
@clovisnininahazwe2478 Ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤
@AkyooMamad
@AkyooMamad Ай бұрын
Baba 3 aliondoka lini nyumbn 😢
@Mariamujumainne
@Mariamujumainne Ай бұрын
ambao walitamani muvue iendereee tujuwane kwalike
@LucLibaku
@LucLibaku Ай бұрын
Nikweli,hata na mimi naona yakama kunasehemu ambayo sikuiona!
@FatumaMtwana-h6h
@FatumaMtwana-h6h Ай бұрын
Wakwanza guys
@GelewadaMtitu
@GelewadaMtitu Ай бұрын
Mbona kma baba joani umeyumba kwenye hii sirizi jama
@RitaPancras
@RitaPancras Ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
@annashao8990
@annashao8990 Ай бұрын
Cijaona baba karopo alimpataje mama karobo na baba wakijkjini amekufa hatyujajua walawatotowake hawajaenda
@Hadijawashuma
@Hadijawashuma Ай бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏
@mukeemmanuel1705
@mukeemmanuel1705 Ай бұрын
mutupe nzima baba karobo kutoka congo /uvira 😊
@izere10
@izere10 Ай бұрын
Mimi wakwanza marekani
@Winleizerabdy
@Winleizerabdy Ай бұрын
Ila mama karobo ukue tu unapewa hii character inakufaa😂😂😂
UMASKINII WANGU PART 05
23:50
BabaJoan
Рет қаралды 56 М.
MWALI  KIGEGO PART 01 💞 Love Story | DONTA TV
30:04
Donta Plus
Рет қаралды 418 М.
She made herself an ear of corn from his marmalade candies🌽🌽🌽
00:38
Valja & Maxim Family
Рет қаралды 18 МЛН
How to treat Acne💉
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 108 МЛН
BAYGUYSTAN | 1 СЕРИЯ | bayGUYS
36:55
bayGUYS
Рет қаралды 1,9 МЛН
DUNIA (Ep 11)
23:09
ASMA FILMS
Рет қаралды 388 М.
NEVER GIVE UP 💪 Full movie
1:37:31
BabaJoan
Рет қаралды 604 М.
SIRI-EPISODE 1{SWAHILI MOVIE}
13:48
SIMBAULANGA FILMS
Рет қаралды 7 М.
MAMA YANGU CHIZI
23:37
Comedy Plus
Рет қаралды 681 М.
MREMBO NYOKA PART 03
26:25
BabaJoan
Рет қаралды 220 М.
MOYO WA CHUMA FULL MOVIE.   #directorgozi. #hanifa.  #chado
1:55:27
DIRECTOR GOZI
Рет қаралды 427 М.
MAAJABU YA WATOTO OMBAOMBA (@asmacomedian9021 )
8:32
ASMA FILMS
Рет қаралды 2,2 МЛН
MY DAUGHTER  | episode 1 & 2 |
27:46
CLAM VEVO
Рет қаралды 700 М.
She made herself an ear of corn from his marmalade candies🌽🌽🌽
00:38
Valja & Maxim Family
Рет қаралды 18 МЛН