Watu walinionya Nisiolewe Na Mwanaume Huyu|HUYU MWANAMKE ANATUCHANGANYA

  Рет қаралды 11,205

Afrimax Swahili

Afrimax Swahili

Күн бұрын

Пікірлер: 15
@ladyt1471
@ladyt1471 2 жыл бұрын
Hongera sana Mungu aibariki ndoa yenu
@sabihahamadi2287
@sabihahamadi2287 Жыл бұрын
Mashaallah hongra dada mungu azidi kuwapa furaha ya milele
@thumnathumna5946
@thumnathumna5946 2 жыл бұрын
Mungu alete kher kwenye family yenu 🤲.
@رقيهالخصيبي
@رقيهالخصيبي 2 жыл бұрын
MashaAllah Mwenyeezi Mungu aidumishe ndoa yenu hapa dunian hakuna mkamilifu unaweza ukazaliwa vizuri ukapata ukilema ukubwani kwa ajali familia tuacheni kujibebea mizigo ya dhambi watu wanataka kuoana mnaleta pingamizi za ajabu hata ww mzima unaweza ukawa kilema ndio tunaambiwa kabla hujafa hujaumbika hii ni mipango ya Mwenyeezi Mungu
@africandarling6925
@africandarling6925 2 жыл бұрын
Dd Hongera sana kwa msimamo kwa kile ni mipango yake mungu pia unakuwa na Amani kwenye ndoa yako kuliko vijana waliokamilika uwa wanaoa Asubuh jioni wanaona
@jackyluns8224
@jackyluns8224 2 жыл бұрын
Kabisaa
@shamsaalrahbi5573
@shamsaalrahbi5573 2 жыл бұрын
😍😍😍😍
@tajilimtoto5009
@tajilimtoto5009 2 жыл бұрын
Uyo ndo mwanamke
@wangagirl3508
@wangagirl3508 Жыл бұрын
Pia sisi tuko to🙈
@husnasalim9614
@husnasalim9614 2 жыл бұрын
Maishallah
@rizikiali6763
@rizikiali6763 2 жыл бұрын
Subhanallah
@kursoomabuu8192
@kursoomabuu8192 2 жыл бұрын
We mtangazaji wapo wap hawa nataka niwasaidie kidog nilichijariwa
@رقيهالخصيبي
@رقيهالخصيبي 2 жыл бұрын
Hawa Afrimax hawataji sehemu nimeona interview nyingi watu wakiuliza sio jibu unachanga kwa kupitia kwao halafu wao ndio wanaopeleka
@jackyluns8224
@jackyluns8224 2 жыл бұрын
Changa kupitia afrimax yao ya kingereza
@رقيهالخصيبي
@رقيهالخصيبي 2 жыл бұрын
@@jackyluns8224 wengine hawafaham ni bora mngeweka hata hizo namba za Afrimax hapo kwenye creen mimi binafsi nawaamini kwa sababu naona kazi wanayoifanya wanawatangaza wenye uhitaji wa kusaidiwa wakifanikiwa kupata michango wanaifikisha kwa wahusika Mwenyeezi Mungu awasimamie katika kazi yao ya jamii
哈哈大家为了进去也是想尽办法!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:33
火影忍者一家
Рет қаралды 131 МЛН
How I Turned a Lolipop Into A New One 🤯🍭
00:19
Wian
Рет қаралды 12 МЛН
Friends make memories together part 2  | Trà Đặng #short #bestfriend #bff #tiktok
00:18
Routine Rural Life in a Village in Azarbaijan IRAN | Making rose jam
31:45
Sweet Village Life
Рет қаралды 655 М.
PART 2:MAMA MENDE AFICHUA MAZITO KUHUSU KINYESI CHA MENDE / KAMA CHAI
16:56
哈哈大家为了进去也是想尽办法!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:33
火影忍者一家
Рет қаралды 131 МЛН