Bonyeza hapa kuangalia mfululizo mzima wa stori ya Madenge hadi sasa ilipofikia:- • MFULULIZO WA EP. YA MA...
Пікірлер: 347
@wilsonfbipolice9113 жыл бұрын
Wa kwanza leo duh bora umerudi tena maana nimeikumbuka na kuhisubiri sana from United states of America🇺🇸🏰🗽 boy congolaise like zangu jameni🙏🙏hapa👇👇
@kuguta3 жыл бұрын
Pamoja
@wilsonfbipolice9113 жыл бұрын
@@kuguta usikawie hii nyingine duh
@kuguta3 жыл бұрын
Tutajitahidi
@wilsonfbipolice9113 жыл бұрын
@@kuguta 😋😋🤙🤙poa sana twende Kazi
@otienoadhiambo6 ай бұрын
🎉@@wilsonfbipolice911
@mudathirykhalfeny41333 жыл бұрын
Tufanyie haraka kututumia video ya madenge Yani iko very good
@danielnyamshora28893 жыл бұрын
Ni nzur sana aisee sema kwa mda ulio kaa kimya ungekuja na ata tatu kidgo tukainjoy zaid
@kuguta3 жыл бұрын
Asante, tutajitahidi
@zuwaydasalumu293 жыл бұрын
Msichereweshe Janani daaa iko POA Sana
@paulmwacha98703 жыл бұрын
Kazi nzur kaka tunasubr next episode
@iddke.27793 жыл бұрын
Duuuuuh,.... Mtiririko wake mzuri ila inachkua Sana muda kutoa sehemu ingine
@ashuraabdallah88333 жыл бұрын
🤗🤗🤗waooooh hatinae mmerudi tena baada kuxubiri kwa muda mrefu💃💃💃madenge kajichoma mwenyewe bila kujijua🤣😃🤣🤣sa itakuwaje i cant wait for jangwa jekundu.....
@kuguta3 жыл бұрын
😂😂🤣
@zuwaydasalumu293 жыл бұрын
Mwenderezo jomoni
@musajack72763 жыл бұрын
Kazi nzuri ila mnachelewesha sana aisee
@kuguta3 жыл бұрын
Asante, tutajitahidi kuwahi
@KiloKingwele6 ай бұрын
Ahsanteni sana 🎉🎉
@rodahambongo16053 жыл бұрын
Kazi nzuri, msichelewe na episode inayofata tafadhali
@ashuramustafa74593 жыл бұрын
Duuuh mbona kali hiyo
@MaculateOduori Жыл бұрын
Story safi sana lak inatoa ladha kwasababu ya kuchelewa
@swatscomputersandictexpert28153 жыл бұрын
Kali sana aisee
@kuguta3 жыл бұрын
Asante
@kidawamore30003 жыл бұрын
Stori nzur sana lakina inatoa ladha kwasababu ya kuchelewa
Mwendelezo vipi Sasa tujuwe je mzungu atatoka huko jangwani je MADENGE vipi itakuwaje kuhusu yeye MAANA nimeona na yeye ameingiya kwenye jangwa jekundu
@kuguta3 жыл бұрын
Mwendelezo soon tu, usijali
@johanesbina13023 жыл бұрын
Madenge😂😂😂😂
@raidataty85023 жыл бұрын
Sema mnatuboa Diituni video fupi sana but nzuri sana ✨
@kuguta3 жыл бұрын
Asante, Tutajitahidi
@jannyalex38343 жыл бұрын
Nzuriii 💕
@kuguta3 жыл бұрын
Shukrani
@jannyalex38343 жыл бұрын
Mnachelewa lkn had 2nasahau 2lipoishiaaa🤦🤦🤦💕
@decrahgesare53662 жыл бұрын
Iko swa
@zabronicharles18683 жыл бұрын
Hapa najua mtachelewa Hadi tuchoke wenyewe maana nipatamu zaidi ilipofik🥴🥴🥴
@kuguta3 жыл бұрын
Hapana tutajitahidi kuwahi
@KelvinJoseph-d3b6 ай бұрын
Kwel inatoa ladha
@muendokiawa94023 жыл бұрын
Wah hiyo nayo kali sanaaa ❤
@kuguta3 жыл бұрын
🦾🦾🙏
@unclesamtv88773 жыл бұрын
good show
@pululumgaya53813 жыл бұрын
Jitaidini kutuletea kwawakta kumbuka mkika sana mnapoteza mafanci
@kuguta3 жыл бұрын
Sawa
@kelvinkelvin60753 жыл бұрын
Unachelewa sana kuleta hadi tunaanza kusahau
@kuguta3 жыл бұрын
Tutajitahidi kuwahi
@sharifasinandugu58563 жыл бұрын
Nzuri
@vimbawewetv47613 жыл бұрын
Kwaza kabla ya kutuma maoni tujiulize jamaa mwenyewe anajibu sio tunayuma tunajikuta tunakosa majibu
Ila mmechelewa Sana satuni tunaomba muwe mnatuletea mapema
@kuguta3 жыл бұрын
Tutajitahidi
@somoesalumu76003 жыл бұрын
Vitu vizuri jamani😍😍😍😍😍
@kibokomc55543 жыл бұрын
bro unacherewesa sana
@kuguta3 жыл бұрын
Changamoto tu, ila tutajitahidi kuwahi
@nusratngwele50123 жыл бұрын
Mujitaid kutoa mwendelezo fasta
@japhetelius7123 жыл бұрын
MADENGE KAINGIA CHA KIKE BORA WAKAISH HUKO NA MTUNGU WAKE 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@kuguta3 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@mgoimasalum31393 жыл бұрын
Vipi
@mgoimasalum31393 жыл бұрын
Jibu Basi
@m.athanas3 жыл бұрын
Mbona inachukuwa muda sana
@kuguta3 жыл бұрын
Changamoto tu, ila tutajitahidi kuwahi
@habibuabdallah31923 жыл бұрын
Habibu Abdallah
@ashyraa38223 жыл бұрын
Muendelezo please 🙏🙏
@kuguta3 жыл бұрын
Soon tu
@samiaarimkonekonko50963 жыл бұрын
Mbona mnacheresha
@kuguta3 жыл бұрын
Changamoto tu, ila tutajitahidi kuwahi
@rahabumsalilwa80793 жыл бұрын
Inachelewa mno
@kuguta3 жыл бұрын
Tutajitahidi kuwahi
@chrissjoel77523 жыл бұрын
Dadeki mna Upload moja kwa mwezi ndio nini sasa 🤒🤒🤒🤒🤒🤒🤒🤒🤒🤒🤒🤒🤒
@kuguta3 жыл бұрын
Tumekuja upya
@mkangaraboniphace16693 жыл бұрын
Hakuna cha kuja upya wala nini ni week sasa hakuna kilicho postiwa
@jumawajuma63713 жыл бұрын
Ndio leteni mambo
@chrissjoel77523 жыл бұрын
@@kuguta Mmetuzoea sanaeeeee mnatuchukulia poa eti mwanzo ulituambia mzee wako anaumwa tukakuelewa vzr tu saivi tena zaidi ya wiki tatu mlikuwa kimya utatuambia nini? Hivi hata hamjiulizi mwanzo mlikuea mnaweks video inakaa mpaka trend no moja saivi mkiweka hata no 40 haikai na bado hamuwazi 😂😂😂😂😂😂 Ndo nawasanua Wabongo wakikukubali ni chaaaap tu unakuwa star ila wakikuchoka ni puuuuuuuuuh chini unabaki mwenyewe
@alexthuo12873 жыл бұрын
Napenda hili hadithi lakini twangoja sana wakuu ama kuwe na VIP tunalipia kuona yote hadi mwisho 🤑🤑
@mohammedabdala75262 жыл бұрын
Nilikuwa naisubili
@thomaswilliam34483 жыл бұрын
unachelewesha Sana muendelezo
@kuguta3 жыл бұрын
Changamoto tu, ila tutajitahidi kuwahi
@Influvesselstz3 жыл бұрын
Asee
@mwajabuabdallah35443 жыл бұрын
Hahahaaaa wamekomeshwa
@michaelndunguru77333 жыл бұрын
Ila unachelewa
@kuguta3 жыл бұрын
Tutajitahidi kuwahi
@everlyneiminza57223 жыл бұрын
Muendelezo nimuone madenge na kimbererembere Kafka kwenye janga jekundu🤔😂😂😂
@kuguta3 жыл бұрын
😎😂
@fahadally58463 жыл бұрын
Nice
@kuguta3 жыл бұрын
Thanks
@paulmichael43943 жыл бұрын
Mnachelewa kutoa mwendelezo jitaidini walau iwe inachukua muda usio zidi 2weak