Maendeleo ni haki ya kila mkenya anaelipa tax na sio lazima wananchi wanyenyekee kwa kiongozi ili wafanyiwe maendeleo
@user-tiki223 күн бұрын
Hio ni upuzi hakuna kunyenyekea. Hakuchaguliwa tumnyenyekee. He was elected to serve the people of Kenya not to be praised and worshipped. Aache kutumia mmlaka vibaya. Misuse of office
@DismasOsoro-c3s3 күн бұрын
We don't want Ruto,,,mumesau Mungu yuko ama Ruto ndio Mungu wenu
@IreneKioi3 күн бұрын
Lipeni kodi mingi, kwetu ushuru ni kwa wingi na miradi imebaki manusu ama mngojee uongo