WAZIRI BASHE AELEZA HAYA MBELE YA RAIS SAMIA KATIKA MKUTANO WA SOMMET DAKAR2 SENEGAL

  Рет қаралды 22,994

Kilimo TV

Kilimo TV

Күн бұрын

Пікірлер: 51
@chegekuria7951
@chegekuria7951 Жыл бұрын
I am a Kenyan youth leader based in Toronto, Canada and I am proud of what the brilliant youthful minister Mhe. Bashe is doing for the people of Tanzania and for the achievement of President Samia's government. Truly agriculture is the backbone of Africa's economy, let's invest in it.
@fatmaabdullah7516
@fatmaabdullah7516 Жыл бұрын
Bashe wewe urisitaili uwe rais na inshaallah mungu atatakabali dua yangu
@karimkassam571
@karimkassam571 Жыл бұрын
Tunashkuru allah kwa kutupa waziri mwenye maono.....Allah amlinde na mabalaa
@shamterehani2161
@shamterehani2161 Жыл бұрын
Good presentation Mr.Bashe, Keep doing better at your ministry and the entire country on this Agriculture sector.
@thomaskabungo2211
@thomaskabungo2211 Жыл бұрын
Bashe mungu akulinde Sana ndugu yang
@aliabdallaali
@aliabdallaali 8 ай бұрын
Mr Bashe and Madam President you better in Agriculture sector let’s inject alots of fund for agricultural production we will end with bumper harvest and the economy will raise up and improve the live standards of Tanzanian citizens. May God bless you all
@ramadhanimgomba344
@ramadhanimgomba344 Жыл бұрын
Good presentation from Horn HBashe
@hassannyari2371
@hassannyari2371 Жыл бұрын
Huyu msomali alikua wapi siku zote jamani,mungu ampe nguvu anapiga kazi sana,big up
@omarymnuru8746
@omarymnuru8746 Жыл бұрын
Msomali huyu alikuwa anaonekana ni mpinzani Kwa kuisema ukweli serikali
@liverpoolfootballclub9985
@liverpoolfootballclub9985 Жыл бұрын
Msomali Yuko ngangari hapa kazi tu. Damu ya uncle magu hiyo
@davidmwamanda6473
@davidmwamanda6473 Жыл бұрын
God bless!!! our Minister of Agriculture.
@55goodmen
@55goodmen 10 ай бұрын
Big thank you to Muh Bashe i love you brother since you are in that position thanx so much for leading the country on Argriculture sector you so modern sharp and intelligent the future of TZ is so bright with you !!!! God bless you brother i hope you become a president in future by GODs will amen
@eutropiakalutu8617
@eutropiakalutu8617 Жыл бұрын
Sasa tuna waziri tunayeweza kusema anapenda kuendeleza kilimo. Songa mbele waziri wetu. Mungu akulinde na akuongoze
@omarymnuru8746
@omarymnuru8746 Жыл бұрын
Kupenda kwake ipelekee Bei kushuka ya vyakula sokoni
@faisalyasin5721
@faisalyasin5721 Жыл бұрын
Very articulated in his elaborating,the future is bright.
@henrymjema1685
@henrymjema1685 Жыл бұрын
Mungu akulinde Bashe, unaakili kubwa.
@rev.chitalyatv705
@rev.chitalyatv705 Жыл бұрын
Mungu akubariki Mh. Rais kwa maono yako na nia ya dhati kutuinua, pia Mh. Waziri Bashe Mungu akuongezee uwezo. Mkombozi wa wengi Tanzania ni kilimo.
@kassimtanzania5901
@kassimtanzania5901 Жыл бұрын
Mungu awabariki
@KATOPE1
@KATOPE1 Жыл бұрын
Wazir Bashe hajafanya makosa wakat yuko chuo. Big up muheshimiwa
@yusufmohamed8874
@yusufmohamed8874 Жыл бұрын
Big brain BASHE ❤
@charlesonyancha4520
@charlesonyancha4520 Жыл бұрын
Wow wow that’s great
@Nedjadist
@Nedjadist Жыл бұрын
The only capable, qualified and resourceful minister in her majesty's government. Not because he speaks an impeccable English, but he has original ideas. If only our Finance, Natural resources, Social Affairs... ministers were at that level, Tanzania would fly!
@hassannyari2371
@hassannyari2371 Жыл бұрын
Maashaa allah
@congolese-w2n
@congolese-w2n Ай бұрын
Bashe ni professionnel , ana juwa kazi anayo ifanya, Congo pia tuba copie vingi kutoka kwake
@karimkassam571
@karimkassam571 Жыл бұрын
MH...Rais moyo wake umeridhika namuona...ndio raha ya kuwa na viongozi ....bright
@karimkassam571
@karimkassam571 Жыл бұрын
The following....I see happy...
@EagleCrown-pb9qv
@EagleCrown-pb9qv Жыл бұрын
2030 president . Thanks to our president Samia suluhu Hassan 🙏🏿🇹🇿🤔
@yahayaallytv2852
@yahayaallytv2852 Жыл бұрын
Huyu waziri ana mpango wa kuibadilisha Tanzania kabisa akifanikiwa watamkumbuka daima
@ahmadseaman3487
@ahmadseaman3487 7 ай бұрын
masha Allah
@masanjakabindo9615
@masanjakabindo9615 Жыл бұрын
Namazuri ya bashe muyaunge mkono/ shida baadhi yenu munawivu, huyu jamaa akiwa na pesa nyingi katika wizara yake, naona Tanzania itakuwa nchi ya mfano katika bara la Africa kiuchumi,
@abdouidrisse9627
@abdouidrisse9627 Жыл бұрын
Wuyu kaziyake anaijuwa sana
@saidseif1860
@saidseif1860 Жыл бұрын
Good😊
@aloycemathew9590
@aloycemathew9590 Жыл бұрын
The next president.
@Pgm170
@Pgm170 Жыл бұрын
Mh. Bashe wewe ni kioo kikubwa sana kwa Taifa, zaidi tunakuombea katika kutimiza Mipango yote ya kuilisha Africa na Dunia na kuinua maisha ya vijana na wanawake wa Tanzania kupitia BBT program.
@abdulhamis9825
@abdulhamis9825 Жыл бұрын
Bashe Ni Mtu Sahihi
@josephigogomsemakweli8711
@josephigogomsemakweli8711 Жыл бұрын
Good
@mcback4384
@mcback4384 Жыл бұрын
tukipata viongozi wote angalau kuanzia madiwani wenye elimu na akili kama ya Bashe Tanzania tungekuwa mbali sana ndani ya 5 years lakini cha kushangaza eti kiwango cha elimu cha mbunge ni kujua kusoma na kuandika, what a shame? Wabunge wenye akili kama Bashe hata 5% hawafiki
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 9 ай бұрын
We need really technology to Tanzania people not wait people to do so no different with no technology in Tanzania we have to go back to late julias kambarege Nyerere during colonial rool when Tanzania got lndipendence 1962 when we took lndustriol from wait people own by gavment and run lndustriol outcome we feel to run lndustriol because of machine technology and spare parts was cicret buying from owner of machine technology where it came from so vary lptantAnt to have technology and manager Tanzania have technology themselves not wait people it won't work in fiucher to came for tanzanian ganeretion
@funnuelmwalukasa4506
@funnuelmwalukasa4506 Жыл бұрын
Hapo sasa tumepata chupa na kizibo yaani bashe yupo sehemu sahihi
@anthonymasai6359
@anthonymasai6359 Жыл бұрын
nice
@masanjakabindo9615
@masanjakabindo9615 Жыл бұрын
Mwigulu; mpe bashe pesa uone kazi, jamaa anamaono ya mbali sanaaaa aisee,
@charlesmwambinga4355
@charlesmwambinga4355 9 ай бұрын
Muchumi kama Muchumiiii😂😂😂😂😂
@johnsulle4679
@johnsulle4679 Жыл бұрын
Kwa maneno kweli mambo ni mazuri lakini utekelezaji bure tu
@rukkyxarat
@rukkyxarat Жыл бұрын
Stop being negative
@AdmireMbagala
@AdmireMbagala Жыл бұрын
Magu katangulia lakini kaacha kitu
@irenebarakelimnene4895
@irenebarakelimnene4895 Жыл бұрын
Tatizo la viongozi wetu hawapendani.mtu akifanya viźuri hawamsaport watamfanyia majungu tuu
@ndogoroedson199
@ndogoroedson199 Жыл бұрын
Acheni ujinga! Miaka ya nyuma ya WAP? Wakati tu wa JPM tumenunua mbolea mpaka 37000 kwa mfuko wa kilo 50 wa SA urea 50000 DAP 67000 mtatuambiaje et leo ruzuku imewapa nafuu? Acheni ujinga nchi inaibiwa kila kukicha hii ninyi mnafagilia utopolo mtupu! Hiyo ruzuku ni dili za watu! Acheni kusifia uozo nchi imeoza ndani ya miaka miwili tu baada ya kuondoka JPm halafu mnabaki kusifia ujinga tu kwa ajili ya matumbo yenu!
@paschalpaul3862
@paschalpaul3862 Жыл бұрын
Anakunywa maji tu yule jamaa wa singida
@karimkassam571
@karimkassam571 Жыл бұрын
Ha ha haaaa
@joviangeofrey7212
@joviangeofrey7212 Жыл бұрын
Kaz ya waziri ni kuwa mbunifu wa mawazo. Na ilo bashe umeliweza asilimia 100 na tunaona. Ila sasa uku mtaani kuna watu wana mawzo ila wanapojarib ktafuta misaada ktk taasisi hasa iz za serikal, mbona mambo yanakuwa tofauti?
@ndogoroedson199
@ndogoroedson199 Жыл бұрын
Acheni ujinga! Miaka ya nyuma ya WAP? Wakati tu wa JPM tumenunua mbolea mpaka 37000 kwa mfuko wa kilo 50 wa SA urea 50000 DAP 67000 mtatuambiaje et leo ruzuku imewapa nafuu? Acheni ujinga nchi inaibiwa kila kukicha hii ninyi mnafagilia utopolo mtupu! Hiyo ruzuku ni dili za watu! Acheni kusifia uozo nchi imeoza ndani ya miaka miwili tu baada ya kuondoka JPm halafu mnabaki kusifia ujinga tu kwa ajili ya matumbo yenu!
小丑女COCO的审判。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:53
超人不会飞
Рет қаралды 9 МЛН
If people acted like cats 🙀😹 LeoNata family #shorts
00:22
LeoNata Family
Рет қаралды 43 МЛН
小丑女COCO的审判。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:53
超人不会飞
Рет қаралды 9 МЛН