Hongera Aden duale.Allah azidi kuwaongoza ktk.swala hili na mengine
@froma37324 ай бұрын
Sasa ndio watajuwa Hawajuwi yaani Mombasa Ni Kenya 🇰🇪
@aishasaidi17844 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 mombasa mpwa ni 🇰🇪🤣
@UsdadBundid4 ай бұрын
Good job
@AhmedNagei-et5vm4 ай бұрын
Thanks for CS duale
@ayshahussein65744 ай бұрын
good job duale and the rest
@omarybakunda25544 ай бұрын
Hayo ni madawa ya kulevya jamani jitambueni
@shabankolia82044 ай бұрын
Kabisaa
@rukiaabdul71914 ай бұрын
Pongezi sana waziri Duale
@abdurahimabdulkadir39264 ай бұрын
Watu wasirudi nyuma kama ni kitu kibaya ni watu woote wakubali waseme kwa kauli moja ni kibaya serekali imeuwa viwanda vyote coast na bado inaekeza pesa nyingi kwa wakulima wa miraa na mugokaa hii watu wasikubali kabisa
@froma37324 ай бұрын
Hiyo imeenda wakitaka wasitake watalima mawe sfr hii
@kimanithings56034 ай бұрын
woria tulia
@abdurahimabdulkadir39264 ай бұрын
@@kimanithings5603 sio shida kunyamaza lkni hii ishu ni itatuliwe na wahudumu afya
@abdurahimabdulkadir39264 ай бұрын
Na kaunti zingine pia zifate
@aishasaidi17844 ай бұрын
La bisa acha wa kule wenyewe
@AdanHussein-uz4np4 ай бұрын
Good job duale
@AtangaWilfred-tl4uv4 ай бұрын
Hiyo in cash crop my friend
@ismailadan5564 ай бұрын
Hapo ni sawa marafuku kabisa uchawi ya makoga
@dorinewanyonyi1164 ай бұрын
Alikuwa bungeni muguka ikihalalishwa, aache unafiki
@patrickkariuki95424 ай бұрын
One man one vote one shilling ndio inawauma
@abdullahiahmedrashid21564 ай бұрын
It will NEVER happen. You can take that to the bank.
@eddyrandu31274 ай бұрын
One man one shilling, unadhani Kilifi iko na watu wangapi. In central only kiambu imeshinda Kilifi by population. Mwanzo hiyo ndio itafaidi Kilifi na Mombasa zaidi😂. Tuliweka Kwa BBI hiyo kitu mkapinga.
@aishasaidi17844 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂et kinume na sheria kwani kenya iko na sheria gapi kama mgoka sio haram msinge lazimisha mombasa 😂😂imekula kwenu
@KoomeNzima-e2v4 ай бұрын
Kweda uko
@salimmohammed90064 ай бұрын
Kuja huku
@Princegeorge9524 ай бұрын
Ata waislamu museme kila kitu tutauza muguka hamtutishi
@salimmohammed90064 ай бұрын
Jaribu ndiyo utajua siku uliwacha kunyonya titi la ma***o😮
@Yory3344 ай бұрын
Kauzie kwenu...huna kwenu
@HusseinSaguti-sj9nh4 ай бұрын
Bb naona kuna bifu la kibiashara mrungi wt ni ulevi km parik gongo bangi Ss waruhusuje huu alaf mwngn wafaa Tz mirungi yt haram c kidin wala kiserkali Waliwa kimagendo na wangzwa kimagendo
@kinara53654 ай бұрын
ban it
@True-Kenyan4 ай бұрын
We dare you,try it lets us see it.
@twahirshali80144 ай бұрын
Hachutaki mongoka mbona sirkali Ina laximisha tule hatutaki
@kimanithings56034 ай бұрын
nyinyi ndio hamtaki.Kenyan origins sisi wote twala muguka kwa hivyo muende mka ban muguka somali
@omarjeylan41134 ай бұрын
AS MUSLIMS SHOULD UNITE AMD BAN MIRAA AS WELL AND GREATER SOMALI REGION SHOULD BAN TOO.
@kamaukanyagi4 ай бұрын
Huyu alshabab sympathiser anasema nini
@babuuosama87524 ай бұрын
Na ni waziri wa Ulizi wako Uta Duuuu .... ? Anasema Mokoka wa baba yako ni sumu kama pombe ya mama yako huko Central .
@abdurahimabdulkadir39264 ай бұрын
Wanasiyasa woote wakae kando sababu kila mmoja akiongea itasemekana ni siyasa huu ni mjadala wa kuhusu afya basi wahudumu wa afya ndio waongee watu wa maabara watoe kauli zao hata rais pia atulie kila kitu kiekwe kwa meza na wataalamu wanasiyasa wa pande zote mbili wanaopinga na wanaosopot
@kimanithings56034 ай бұрын
wewe sio mkenya unaongea nini
@abdurahimabdulkadir39264 ай бұрын
@@kimanithings5603 muulize Adan duale nimkenya au zii kma jibu yy nimkenya ishapata jibu na kma yy simkenya basi jibu unalo Rudi ujijibu
@abdurahimabdulkadir39264 ай бұрын
@@kimanithings5603 ukwely sini huo miraa na mugokaa ni takataka ilipitishwa tu kwa ajili ya siyasa bunge la 11 skiza Adan duale nini akiongea kuhusu hyo takataka
@ibrahimboru30984 ай бұрын
I know there are some leaders who are used to threaten other regional leaders for banning Muguka,let them know if it comes to banning of muguka in Northern Kenya there's no shortcut there, take those muguka there and see what will happen.