WAZIRI LUKUVI AFUTA HATI YA SHAMBA LA HEKARI 4087 ARUSHA,ATOA MAAGIZO "WALIPWE FIDIA"

  Рет қаралды 3,124

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Waziri wa ardhi nyumba na makazi amefuta hati ya shamba lenye hekari 4087 wilayani Arumeru wakati akiwa kwenye ziara mkoani Arusha pamoja na kuitaka halmashauri hiyo kuwalipa fidia kwa wale ambao wamewekeza ndani ya maeneo hayo ikiwa ni pamoja na nyumba

Пікірлер: 7
@ruqiyaukumbi1360
@ruqiyaukumbi1360 3 жыл бұрын
Wanaobeza watamwelewa tu. Mama Samia Mambo waziwazi na haki juu
@bajagihaji8923
@bajagihaji8923 3 жыл бұрын
Hakika mengi mazuri ya haki yamakuja
@ototek8037
@ototek8037 3 жыл бұрын
Mh! Hizo hekari zote alikuwanazo nani?
@ommietrendz7175
@ommietrendz7175 3 жыл бұрын
Wilaya
@ototek8037
@ototek8037 3 жыл бұрын
@@ommietrendz7175 kabisa ndugu
@issaissah8832
@issaissah8832 3 жыл бұрын
Kwani huyu waziri mdomo wake unanini au jeuri
Nastya and balloon challenge
00:23
Nastya
Рет қаралды 15 МЛН
MBOWE, LISSU, SUGU WAUNGANA NA WANA CHADEMA WALIOFURIKA MIKOCHENI
1:26
WANANCHI WALONGA BAADA YA UZINDUZI WA ROYAL TOUR ARUSHA
10:02
ITV Tanzania
Рет қаралды 1,5 М.