Hongera sana Mhe Bashe Waziri wa Kilimo kwa mikakati yako mingi mizuri.
@BrysonKyaruzi25 күн бұрын
Wazili chapa kazi Tu Kwa maendeleo ya nchi❤
@bashaljama330229 күн бұрын
Bashe fanya kazi yakoachana na Mpuuzi huyo anakuonea wivu U waziri ulimshinda
@2003hintayАй бұрын
Mh hapo unamuumiza mpina akikusikiliza unavyo chapa kazi
@LucaMgalagala-j3zАй бұрын
Mhe.BASHE kwa miaka sasa viwanda vingi ambavyo vimekuwa vikinunua zabibu kwa wakulima na kuwahaidi kuwalipa kati ya mwezi 1 hadi 3,vingi vinawaonea sana wakulima kwa kuwazungusha kuwalipa kwa wakati hadi kufikia miezi 6 hadi mwaka mzima bado wakulima wa zabibu hawajalipwa,na wakulima wanashindwa kuwachulia hatua za kisheria mahakamani wakihofu msimu utakaofata viwanda hivyo vinakuwa vinagoma kununua mazao yao kupelekea kuharibika mashambani.Ombi kwa wazara ni wafatilie swala la wakulima wa zabibu na kuwawajibisha viwanda vyote vinavyowaonea wakulima na kuvunja makubalino ya malipo, maana hii tabia ni ya miaka sasa na hakuna msaada wowote wakulima wanapata.Hili tabia ndo inafanya wakulima wengi wakate tamaa waache kutunza mashamba yao ya zabibu na kupelekea mashamba kufa.
@mfinangamwamvita261922 күн бұрын
Mheshimiwa Bashe tumeuza mahindi isongole tangu 22/9/2024 hadi sasa pesa niza banki tumekopa tukifanya maregesho hadi tunakimbiwa mtaani.kila siku tunaambiwa wiki ijayo zinakuja zinapita. Tufanyeje jamani nyumba zetu ziko hatarini kuuzwa na bank.
@mndambokilavo2502Ай бұрын
NFRA Mngeiweka kwenye soko la hisa ili kuongeza mtaji na kwa sababu chakula hakikosi soko
@VoiceofpeopleotzАй бұрын
Sisi wananchi atuna imani na bunge hili la chama kimoja.
@haggaikinyau1395Ай бұрын
Acha ujinga wewe, unaposema sisi wananchi una maana gani kutujumlisha wote wakati hujatuuliza. Mawazo yako ya ubongo tindiufu unaweza kuwasemea wananchi wote wa Tz? Jisemee mwenyewe wala usinisemee mimi