Waàh huyu damu ni my class mate hapo baràki primary namujuwa anaitwa evah hapa amewadanganya na huyu SII bwanake wa kwanza waaaaaah nimeshtuka lazima nirecord
@user-su4pc8ft2rАй бұрын
Yaaani siiamini paka NKO natafuta sister yake sai waaaaaah tutafika mbinguni kaaa tumechoka
@user-su4pc8ft2rАй бұрын
Huyu dame mamake ni mama biashara kuywa junction for long
@EmilliNangilaАй бұрын
Kwan huku ni wapi@@user-su4pc8ft2r
@shemomae4690Ай бұрын
Toa vitina you tube,aolege mara kumi is none of your business.wewe penye unaishi inakaa unakonganisha watu.angalia na upite,Wacha kubhave kama mtu hakusoma.🙄🤫🏃🏃
@charity4908Ай бұрын
Sasa hawa Genz wanafikiria money.will.last forever?? Uuze shamba ya bwana yako, hiyompesa utafanya nini nayo??! Kukula tu. No foresight, hakuna kuona mbere..ujinga tupu.!!
@mutesibetty-hd7xgАй бұрын
Hmmm 🤔 these days people are planning to finish their spouses hmm 🤔 I thank God am hustling for myself and my kids despite my husband provides lakin I need to invest as a woman of substance
@zipporahkirigwy6783Ай бұрын
Fuatilia huyo mzee askufe shamba lake Kitoo
@user-su4pc8ft2rАй бұрын
Uku ni teremi sikulu.ni home kwetu na huyu dame kwao ni baràki Kito wewe umefika kwetu
@drimbunyaj.k6538Ай бұрын
No it is not the same man...huyu is a villager kiasi
@charitywangeci4846Ай бұрын
Hehee kijiji kiwe safi kabixa
@user-io8dm6iw7yАй бұрын
This hat reassemble the one which was worn by kitoo kidnappers
@user-op5ce6ne3dАй бұрын
By the way it looks like
@drimbunyaj.k6538Ай бұрын
Kitoo bane! Vitina nayo home boy weeh! Am laughing until next week
@dorothyosoko4661Ай бұрын
Ushango has a proper security than in town
@gracepengi5645Ай бұрын
Kitoo be very careful Kuna maize 🌽 usitupwe ndani unafuruka watu huko
@emmahkamandeАй бұрын
Kwan huyu ni Yule kidnapper wa kitooo 😮
@omanoman2044Ай бұрын
Wanaume achen kuchukuw wa sichana watawauza hata nyie duuh wakenya ni wezi mungu wangu
@joycekambuga6286Ай бұрын
Wangeuza ange muacha hapo hapo akaenda zake Uganda akamuacha ana hangaika mpuuzi huyu. Ukiona bibi Yako anasumbua mkate mtama akae chini wasome sms zote .
@Swat029Ай бұрын
Kitoo shika mic poa huskiki
@applegirl815Ай бұрын
😂😂😂aaah,ni kofia tu but sio yy
@floranjeru4704Ай бұрын
Kitoo ni kama Dunia imeisha kabisaaaas😢
@Teresamoraa-pg9knАй бұрын
Hizi kofìa ni za usagoo wanatunga nayo😂😂😂
@Yuca878Ай бұрын
😂😂😂 are malithati
@user-dj1io8uy5fАй бұрын
Kito saidie huyu mzee yule mwanamuka anataka akoroge mzee ili achukue taitol dil
@charity4908Ай бұрын
Kitoo ameenda wapi huku!! Mashambani
@BeatriceMuthoni-rh3gdАй бұрын
Eti nitakupakula wewe,meaning atamtafuna ama
@user-su4pc8ft2rАй бұрын
Nmeogopa sana waaah huyu evah waaaaah
@user-dj1io8uy5fАй бұрын
Hawa waschana wadogo ndio mana munakorogwa
@MelisaJustusАй бұрын
Huyo Fredi anamkulanga
@gracepengi5645Ай бұрын
Pavula yeye sana🤣🤣🤣🤣
@josephinemogere8618Ай бұрын
This is Kitoo's kidnapper he is the same man.
@naomybokid9088Ай бұрын
N kofia tu😂😂 ule alikua mkisii
@anthonymwangi9445Ай бұрын
I nuh think so:hata sauti hazifananai
@ChristineNjira-jx9sbАй бұрын
😂😂😂 at ni Kitoos kidnapper true he looks like
@user-xl7td9ws8eАй бұрын
Huku naingia nikikosa namna,sema kuboo
@user-uc9vr7jd2pАй бұрын
Hata mimi ni tasema tusoge nayo soga na fred wewe tabia mbaya
@NorineEdesaАй бұрын
kitoo jifunze kutuma sms kwa simu yako kaa mtu anasumbua ndio tusikie kile unasoma
@VirginiaWanjiru-o9mАй бұрын
Wakuwe kama wakikuyu laana n mingi kwa mashamba
@julietnelima3253Ай бұрын
Kiaje my dear, wakiuks wakoje lakini
@drimbunyaj.k6538Ай бұрын
True
@user-wu5sj2se6bАй бұрын
Kito ameamua kusafisha kijiji😂
@SurprisedBirdBath-qh2nnАй бұрын
😂😂😂😂😂 kitoo uko kwa shambani
@PeterNgungi-qf9vhАй бұрын
Kitoa kuwa makini uyo jamaa kofia ni kama yule aliyekuteka siku ile
@gloriahruthmunyoto8902Ай бұрын
But sauti ni tofauti
@user-dl4jq5zh8eАй бұрын
Ama awe aliekimbia ushago kutulie kiasi, sasa ako zile za ushago😂😂