Najisikia faraja sana kila nionapo matukio mazuri ya kumbukumbu,nawakumbuka walimu,Mr'.shed rack mdulla, Baba ben, mwakanyamale,madam wegesa, Mr.kahamba, mr. mgaya.na wengine wengi, ntawakumbuka sana ECA member 2020-2022. Wherever you are guys I say thank you very much for you're cooperation, unity and you're solidarity. By Paul c paul❤
@JacksonMkada10 ай бұрын
Sir Shed I miss you so much nataman kukutana na wewe hata natamn kuurudisha wakati nyuma ndo siwez tena