Ushauri tuu msiweke hiyo sauti ya kucheka haipendezi inakuwa kama hamjiamini vile wakati vipindi vyenu ni vizuri vinachekesha mnachafua hiyo kucheka pembeni
@timmkinn2 күн бұрын
yaudhi sana ..inakeraaaaa haswaa
@mohamedyeslam51942 күн бұрын
Yavutia ukiweka sauti ya kucheka
@HassanKahindi-m4xКүн бұрын
Kabisa inakeraa hiyo sauti
@fatmaomar67602 күн бұрын
Mpeleke kwao somoe mpaka azae... Nyimbo ya mtt ataka hivi na vilee ita kwisha😂😂😂😂
@AbdulWaheedAlRawahi7 минут бұрын
Mimi sioni kama kuna usalama ikiwa Somoe sio mume wa Mbajuni. Kwa sababu Somoe ana mvuto sana kwa sura yake na sauti yake iliVyo tamu kuisikiliza, inaleta ashki Fulani kwa mtu mwanaume anapomsikiliza
@edwardsajumwa2 күн бұрын
Banga banga😂
@Zainabuh-g6j2 күн бұрын
Somoe jamani jifungue huyo mwanaume wa watu apumzike
safi sana ila hizo vijisauti vimezidi sana punguzeni
@fatumatsopa39412 күн бұрын
Banga banga utamalizwa usin 'dare mke pha phatu.
@rukiagambere80502 күн бұрын
😂😂😂😂😢😢❤
@sheikhnureinhaji58762 күн бұрын
Poleni poleni yua ankali 😅😅😅
@MwanasaadaAsha-es6ov2 күн бұрын
😂😂😂😂😂❤🎉
@MwanamwinyiBakariКүн бұрын
Shukran Mheshimiwa
@mejumaabaraza39892 күн бұрын
😂😂😂Banga banga
@kengacharo57432 күн бұрын
Hahah😂
@MahmoodAhmed-yt9me2 күн бұрын
Kipindi kizuri lakinii hayo masauti na lugha zisizoeleeeka zanini??? Parangwii parangwii ndio nini?? Wacheni kuiga yasoeleweka
@TheSodemama2 күн бұрын
Usoeleweka ni wewe
@Walkmwalkm2 күн бұрын
@@MahmoodAhmed-yt9me ....Bora umesema kaka .pia mm hizo sauti za vibonzo vichekesho vyanikera.badala tudikize maneno ni vicheko vya vibonzo visivyo na maana