Cook with Wema Sepetu S03E08 Whozu & Tunda

  Рет қаралды 710,911

Wema Sepetu

Wema Sepetu

Күн бұрын

Jinsi ya kuangalia video hii nzima, unatakiwa ku Download Wema Sepetu App ambayo inapatikana Play Store na App Store, kama wewe ni mtumiaji wa simu ya Android bonya link hii ili uweze ku download Wema App na kama wewe ni mtumiaji wa iOS Bonyeza link hii shorturl.ae/XTizL
Connect with me;
Instagram - @wemasepetu
Twitter - @wema_sepetu
Click here goo.gl/0pN4kS to Download Wema App on Playstore
Click here apple.co/2PQK3vR to Download Wema App on Appstore
#CookWithWemaSepetu #WemaApp #Bestizzo

Пікірлер: 715
@safiyatheonlything7848
@safiyatheonlything7848 2 жыл бұрын
Nimekuja hapa baada ya penzi jipya la madam na chibaba😁nimekumbukia jamani kupembe alikuwa analitamani penzi moyo siyo poa gonga like Kama nww umekuja kwa ajili ya penzi jipya
@minbdul7177
@minbdul7177 2 жыл бұрын
kwanza kalikuwa kanamtamza mda wote
@moona4372
@moona4372 2 жыл бұрын
Hahahaaa mm pia
@machasuzan770
@machasuzan770 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@rosedawamalika4309
@rosedawamalika4309 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣 nmefurai kuiona hii comment
@aliciaprojestus2336
@aliciaprojestus2336 2 жыл бұрын
Na mm
@wampukamackdonald557
@wampukamackdonald557 2 жыл бұрын
Hahahaha maisha haya ni hatari Sana. Anaeangalia hii baada ya mwaka mmoja Hit like.
@joynessdime9718
@joynessdime9718 2 жыл бұрын
😂😂😂vice versa
@fatmasaleh9516
@fatmasaleh9516 2 жыл бұрын
@@joynessdime9718 jaman we acha t hulijui la kesho ni fumbo
@julietmwesigwa8852
@julietmwesigwa8852 2 жыл бұрын
So bad
@domitynerkokuwisee6899
@domitynerkokuwisee6899 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣tupo wengi
@sharonkatheu2231
@sharonkatheu2231 2 жыл бұрын
Niko hapa mimi alipenda kuwa kama wao na basi keshakuwa kama wao 😂😂😂😂😂😂
@witnessmallya5114
@witnessmallya5114 2 жыл бұрын
Namwangalia madam Wema simmalizi jaman kaah sio Kwa kumchukua Wozu jaman na kumwacha Tunda na maumivu bila huruma na mtoto wao 😭😭😭
@ziadasalimu1730
@ziadasalimu1730 3 ай бұрын
Sn wema kafanya vibaya du maisha haya MAPENZI shikamoo
@HadijaSheban
@HadijaSheban 3 жыл бұрын
One day nitafika hii level Tuseme InshaaAllah sote😍😍😍😍😍🇰🇪🇰🇪
@khadijaomari9344
@khadijaomari9344 3 жыл бұрын
inshallah
@kisesathegreatfilm7258
@kisesathegreatfilm7258 3 жыл бұрын
Tupo pamoja na mimi natamani
@brozashebe1741
@brozashebe1741 3 жыл бұрын
Inshallah
@binaljabirmshihirzanzibar8369
@binaljabirmshihirzanzibar8369 3 жыл бұрын
Inshaallah kher kwa uwezo wa Allah
@danieltimothy1792
@danieltimothy1792 3 жыл бұрын
Inshallah mamy kila nikimtanguliza Allah
@jamilasalim7165
@jamilasalim7165 2 жыл бұрын
Uliwahoji vizuri Leo hii uko na ye wewe hongera dada mola akubariki na wewe upate mtoto
@sifatiiman
@sifatiiman 2 жыл бұрын
unampongeza kwa kuchukua bwana wa mtu na umli huo dua mbaya za mzazi mwenzake hazitomwacha salama watoto atawasikia tu kwa wanawake wenzie 🚮🚮🚮
@jamilasalim7165
@jamilasalim7165 2 жыл бұрын
@@sifatiiman Bwana anaweza kuchukuliwa kweli isipo kuwa awe na akili punguwani
@sifatiiman
@sifatiiman 2 жыл бұрын
@@jamilasalim7165 wanawake hampend leo unamppngeza je angekua ni bwana wako na wewe unamtoto na al8shawahi kuwahoji wewe na bwana wako afu leo kamchukua ivi ebu jaribu kuvaaa uhusika hukusu mtoto asahau mungu halali wala hachelewi
@jamilasalim7165
@jamilasalim7165 2 жыл бұрын
@@sifatiiman Ni kweli kakangu hebu ni kuulize wewe na akili zako timamu Kuna mwanamke anaweza kukuchukuwa kweli isipo kuwa kupenda kwako
@nancynkirote1533
@nancynkirote1533 2 жыл бұрын
Mwanaume haibiwi
@jemsngokoe1618
@jemsngokoe1618 3 жыл бұрын
Whozu ni comedian mkubwa Sana tz 🔥🔥🔥
@aminayussuf3821
@aminayussuf3821 2 жыл бұрын
👌🔥🔥
@caizieejereya6903
@caizieejereya6903 3 жыл бұрын
Tunda ni mrembo🥰
@julianapeason6254
@julianapeason6254 7 ай бұрын
na hajavaa kigodoro, ila sasaivi kachoka sana na Ndaro ameamua kumchukua mmsama wetu jamani
@remmykubanda3393
@remmykubanda3393 Жыл бұрын
Now I see how wema was admiring this young couple
@maryamconstantine2232
@maryamconstantine2232 2 жыл бұрын
Wale tumerudi kuangalia hii video baada ta new couple ya chibaba na chimama tujuane hapa
@hidayamakuka7876
@hidayamakuka7876 2 жыл бұрын
Nipo hapa😂
@maryamconstantine2232
@maryamconstantine2232 2 жыл бұрын
@@hidayamakuka7876 nakuona
@dianayusuph7385
@dianayusuph7385 2 жыл бұрын
😂😂
@armanyabdallaofficial7110
@armanyabdallaofficial7110 2 жыл бұрын
Alishamchukuwa wa mwenzie duuh anyway tunda she z blessed
@abiollashayo5698
@abiollashayo5698 2 жыл бұрын
🤣🤣
@aminamaulana7175
@aminamaulana7175 2 жыл бұрын
Da wema vp hali...hope umzima...napenda sana video zako ...yani nakupenda sana uko na roho nzuri sana kwa watu mungu akuzidishie..akujaalie upate kila ulitakalo In sha Allah...love you so much habibty 😘🥰🥰😍😍
@mariambilonkwa5183
@mariambilonkwa5183 Жыл бұрын
Akaamua kabisa a cook na whozu.Dunia hii muamini Mungu tuu alie kuumba
@Mina.15
@Mina.15 Жыл бұрын
😂😂😂😂
@sanyajuutv2679
@sanyajuutv2679 3 жыл бұрын
Whozu anakuwaga comedy kweli kweli
@mugishamelyssa5466
@mugishamelyssa5466 2 жыл бұрын
I am here for the second time to confirm my guessing. I watched this episode last year, and Wema's attention to Whozu in this episode caught my attention, and I remember telling my sister that this attention was questionable, and that it would result into something intriguing. Look now, they are dating. You guys are my favorite, and I pray that you be happy and stay together🥰🥰
@muksinisute5066
@muksinisute5066 Жыл бұрын
it's TANZANIA😂😂😂
@sharifaassey2203
@sharifaassey2203 Жыл бұрын
Kumbe alitamani kuwa kama hawa basi amekuwa😂
@SamuelGhambi-eq8dl
@SamuelGhambi-eq8dl Жыл бұрын
Icant just understand this 😂
@Noooonat-o5s
@Noooonat-o5s Жыл бұрын
@@muksinisute5066 what leave her alone she is a Kenyan she cant express in Kiswahili
@Azulakayes
@Azulakayes Жыл бұрын
It is shameless to support affairs and ruining of people's families. Wema is wrong and she was coveting her friend's man.
@zaitunihussein9184
@zaitunihussein9184 3 жыл бұрын
Tunda anaka complexion amazing 😍😍🔥🔥🇰🇪
@Tessievee
@Tessievee 2 жыл бұрын
Nani yuko hapa baada ya chimama na chibaba 😩
@wematesha5872
@wematesha5872 Жыл бұрын
😂😂
@sakeenaanzi4431
@sakeenaanzi4431 Жыл бұрын
😂😂😂
@rehemaomary3493
@rehemaomary3493 Жыл бұрын
😅😅
@rahimaaaaa5682
@rahimaaaaa5682 Жыл бұрын
😂😂😂
@vivianafuma194
@vivianafuma194 2 жыл бұрын
Nmerudi hapa baada ya birthday jana😂😂😂😂wemaaa big up chimama 😍😍😍
@agnesmaltine9447
@agnesmaltine9447 2 жыл бұрын
Nmerd pia🤣🤣
@eysherrashidy8550
@eysherrashidy8550 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@eysherrashidy8550
@eysherrashidy8550 2 жыл бұрын
tupo wengi
@assmamohd2876
@assmamohd2876 2 жыл бұрын
Hapo alikua anammezea mate 😂😂😂😂
@subirarichard3236
@subirarichard3236 2 жыл бұрын
Mimi pia alisema kama angekua mdogo kweli kawa na miaka25 kampata bwana wa tunda looh shemless sana
@irenemoenga1562
@irenemoenga1562 Жыл бұрын
Mungu rudishia tunda mume wake hapa uchawi ulifanyika wema hakufanya poa hata mbele za mungu
@shakuweshafii2413
@shakuweshafii2413 3 жыл бұрын
Mimi ni Shabiki wako wa nguvu Md: Sepetu 🇰🇪🇰🇪🇰🇪Kenya tunakuwakilisha Much lov I say
@VictorKhalifa
@VictorKhalifa 3 жыл бұрын
My sis wema sepetu is the best.... Mpambanaji, alafu humble sanaaaaa💜
@mashmash2826
@mashmash2826 3 жыл бұрын
She is the best chef i can say to be honest
@winniekarira
@winniekarira 2 жыл бұрын
Nani amerevisit after mapenzi ya leo? 😄
@pendojeremiah1023
@pendojeremiah1023 2 жыл бұрын
Mimi hapa 😂😂
@leahfanuel254
@leahfanuel254 2 жыл бұрын
Chimama hahahahhahahahha
@moona4372
@moona4372 2 жыл бұрын
Hhhhhhh
@jaynethmoses8316
@jaynethmoses8316 2 жыл бұрын
Me too 😂
@YusuphmustaphaTanzania
@YusuphmustaphaTanzania Жыл бұрын
😂😂😂🤣
@modestebirindwa8693
@modestebirindwa8693 2 жыл бұрын
Adui atoki mbali kabisa 😂😂sasa hivi ni wema, Whozu
@sazanahussen6715
@sazanahussen6715 2 жыл бұрын
Huyu wema anatamaa sana duh ase aibu hana kbsa
@vinnahjasson5546
@vinnahjasson5546 2 жыл бұрын
Hataree sanaaa
@areefamahadh2140
@areefamahadh2140 2 жыл бұрын
Jmn tujuwane tulokuja ku seach hii episode tena baada ya kuwa wema na uwoz
@mariamfritsi4943
@mariamfritsi4943 2 жыл бұрын
Tunda ni mzuri sana.
@IreneGeorge-yw2gm
@IreneGeorge-yw2gm Жыл бұрын
Watu wataogopa kwenda na wapenzii wao kwenye icho kipindiii🙌
@billylovebillybillylovebil580
@billylovebillybillylovebil580 3 жыл бұрын
Mashaallah ongera wema wangu nakupenda mamy😘😘😍 huwanata mani sikumoja mungu anikutanisha nahuyu mdada jaman
@mariagrayson5414
@mariagrayson5414 2 жыл бұрын
Na leo wema yupo na wozu asanteeeeee
@mudibojaffar9269
@mudibojaffar9269 Жыл бұрын
MWIZI Wa Mabwana,,,Hichi kiwema Nakichukia
@Azulakayes
@Azulakayes Жыл бұрын
Adabu hana kabisa. Hata mamake amechoka naye.
@mudibojaffar9269
@mudibojaffar9269 Жыл бұрын
@@AzulakayesHaswa
@naimamunishi1241
@naimamunishi1241 3 жыл бұрын
Tunda mzur sana ma sha Allah
@ngoshachaula172
@ngoshachaula172 3 жыл бұрын
Ila ana umbo baya
@shedymzee8905
@shedymzee8905 3 жыл бұрын
Mashallah tunda
@Azulakayes
@Azulakayes Жыл бұрын
This is where it started...saa zingine watu wananishangaza. Kikulacho kinguoni indeed.
@mashmash2826
@mashmash2826 3 жыл бұрын
You looking amazing wema to be honest you looking lovely smart and beautiful i really love what you are diong am a chef and my dreams is one day to cook with you .you are a searh a happy soul i salute you i love you from the bottom of my hear you are diong a great job i respect you kipenzi changu cha moyoni i have been watching your cooking videos and i love everything that you are diong to be honest una jua kupika wacha mchezo kwa mapishi ume hitimu❤❤❤❤❤❤🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@salhamrisho8138
@salhamrisho8138 3 жыл бұрын
Tunda nakupenda saana 🥰🥰🥰🥰😙😙😙❤❤❤❤❤❤❤
@ummimohammed9359
@ummimohammed9359 3 жыл бұрын
wema kama wema mashallah😘😘
@emmysamir9200
@emmysamir9200 2 жыл бұрын
With my binoculars eyes i can see how wema she was interested speaking to whozu from mwanzo mwisho
@يوسف-ح1ل9ن
@يوسف-ح1ل9ن Жыл бұрын
Daa wema alitamani kitu hapo akaamua kuwa na chibaba🤣🤣🤣😍🥰🤩
@sarahfaith3074
@sarahfaith3074 3 жыл бұрын
Nyie jamn kuna jinsi Mungu alimuumba Tunda yaan n kazuri adi raha
@ShSh-my8cw
@ShSh-my8cw 3 жыл бұрын
Sana
@maryamanalisi197
@maryamanalisi197 3 жыл бұрын
Leo nmewahii 😍😍😍😍Love you my sister 💖💖💖💖
@jackyluns8224
@jackyluns8224 3 жыл бұрын
Nakupenda sana Tunda hongera kwa .mume mzuri
@danteroo_tz
@danteroo_tz 3 жыл бұрын
Nakupendaa saana whozuu naa ninaa kukubal ilii kuwaa naaisubiriaa kwaa hamuu hii interview heshimaa yako mardam wemaa sepetu
@nillahmbuya9519
@nillahmbuya9519 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣😂😂😂whozuu Anadokoa mzee🤣🤣
@merisianantandu1327
@merisianantandu1327 3 жыл бұрын
Whozu utamaliza nyama 😂😂😂
@maryamali6310
@maryamali6310 3 жыл бұрын
Umeona eee
@hadijachionda5580
@hadijachionda5580 Жыл бұрын
Leoo hii umemwibia
@tabiangonyani3526
@tabiangonyani3526 Жыл бұрын
Kumbe hiki kipindi kilikuwa kinatafuta waume za watu🤣🤣
@sasamama7934
@sasamama7934 2 жыл бұрын
Wema hapa ukonao kwenye kipindi chako leo hi ume muiba mwanaume kwa mchumba wake jamani dunia hii .mi nakupenda wemalkn wakati mwingine basi tu
@ishamtam3
@ishamtam3 Жыл бұрын
Kai wema ndoalikua mnafkiivi kumbe walikua wakimezeana mate jaman wanaume Hawa daaaaaah pole tunda
@salamahassan6449
@salamahassan6449 2 жыл бұрын
Ulikua unatamani sasa hivi umekua wewe maisha haya 🥱🥱
@alisterlexter1115
@alisterlexter1115 3 жыл бұрын
Tuletee Mama dangote,Rotimi na Vanessa,
@wisperfect5320
@wisperfect5320 3 жыл бұрын
Na ww pia
@mayroseclemence99
@mayroseclemence99 3 жыл бұрын
😜rotimj
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 3 жыл бұрын
Hizi ndoto za asubuhi paaale karibu pakuche😚😚😚
@dorisdamla6839
@dorisdamla6839 2 жыл бұрын
Tobaaaaaah 🤭 cjuwi ni seme nini 😂😂😂😂🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂😂wema Mungu ana kuona Madame, mara hii ume tuangusha sisi ma fans wako 🥺🤣
@HadijaSheban
@HadijaSheban 3 жыл бұрын
Wakwanzaaaa Chef Kama Cheeeef Mych Love From🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@HadijaSheban
@HadijaSheban 3 жыл бұрын
Tunda hunibamba sanaaaa
@khanniebaraka1515
@khanniebaraka1515 3 жыл бұрын
Umeona ee wakwetu
@HadijaSheban
@HadijaSheban 3 жыл бұрын
@@khanniebaraka1515 eeeh kipenzi
@christianeinstein2568
@christianeinstein2568 3 жыл бұрын
@@HadijaSheban nawe,,unanibamba,,,xanaaa
@saalm2105
@saalm2105 3 жыл бұрын
Jaman Ile fatilia vipindi vyote akaon Alikiba ndie ana views nyingi tujuwan tusiwe wanafki 🙏❤️ wema😋
@fifijay5883
@fifijay5883 2 жыл бұрын
Hii ndio Tatizo lakuzungumzia Mahusiano Yako mtandaoni! Wema was very interested in their relationship life!
@SamiahMapunda
@SamiahMapunda Жыл бұрын
Nice wema sepetu nakukubal sanaaa nakupenda mnoooo
@annajaydenjayden3517
@annajaydenjayden3517 3 жыл бұрын
Nakupenda saana madam wema nakufatilia saana! Naomba tuwasiliane Jambo muhim
@khadijerabdallah8703
@khadijerabdallah8703 Жыл бұрын
Wema Mtu mmbadi sana kumbe apa ulikuw unamtamani whozu nimerud kuja kuanglia unafki wko looh mackin tunda😢
@salamahassan6449
@salamahassan6449 2 жыл бұрын
😂😂😂 nimegundua wema hii siku alikua busy na whozu kuliko tunda pia alianza kumsoma vitu ili amteke
@minbdul7177
@minbdul7177 2 жыл бұрын
😂😂umewaza mbali kipenzi
@salamahassan6449
@salamahassan6449 2 жыл бұрын
@@minbdul7177 amini Yani 😂😂
@moona4372
@moona4372 2 жыл бұрын
Hhhhhhh jmn
@vinnahjasson5546
@vinnahjasson5546 2 жыл бұрын
Umeona kaa mie
@gracesilayo7670
@gracesilayo7670 2 жыл бұрын
@@minbdul7177 daah kweli aisee jaman inaumiza Mh
@rusiimani5156
@rusiimani5156 2 жыл бұрын
Miss Tanzania: talking Whozu: imma help myself😂
@MichaelGeraldMbanga
@MichaelGeraldMbanga 5 ай бұрын
Me:wema umeiba mme wa mwenzioo Wema :kwan kuna shidoooo😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@sharifaselungwi3912
@sharifaselungwi3912 3 жыл бұрын
Kipindi kizuri lakin wasanii wanataka wapike pishi Fulani onesha wanavyopika kwanzia kuweka vtunguu mpk mezani .sasa hapo tunda yupo nyuma hatujui ata anafanya nn .tuoneshen mwanzo mpk mwisho wa mapishi
@editherkigabo9541
@editherkigabo9541 3 жыл бұрын
Asee akionyesha vyote hakita kuwa kipindi Tena inakuwa no tamthilia
@cutenaa6984
@cutenaa6984 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣 download application yake,uilipie
@jenifajoseph2053
@jenifajoseph2053 2 жыл бұрын
Anaeangalia hichi kipindi sasa hvi alafu n yanayoendelea sasahv kati ya wema n whozu naomben like zenu 🤣🤣🤣🤣🤣
@lebaokinda6009
@lebaokinda6009 2 жыл бұрын
Serekali imepinduliwa🤣🤣🤣😂😂😂🤣🤣
@lucasmabelele6961
@lucasmabelele6961 2 жыл бұрын
Jamani Tunda anacheka kumbe anacheka mbele ya mchawi wake
@meggygitau4079
@meggygitau4079 2 жыл бұрын
Wema Sepetu is soo lovely.... 😘 😘 😘
@rosejoely4518
@rosejoely4518 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂wanaume kuwasifia kote kumbe unamtaka mume wa tunda
@lareineminah1353
@lareineminah1353 3 жыл бұрын
Tunda anaji achiyaaa sanaaa Nyweleeee vip tunda🤷🏿‍♀🤷🏿‍♀🤷🏿‍♀
@NasrahMsiagi
@NasrahMsiagi 3 ай бұрын
Kweliii maisha yanabadilika unasifia wenzako Kumbe unatamani PENZI lao 😂😂😂😂😂 Sasa umekamata nafasi ya TUNDA
@tricebowse8112
@tricebowse8112 Жыл бұрын
Wanawake tutachomwa sanaa aiseee
@ndayishimiyecynthia5256
@ndayishimiyecynthia5256 3 жыл бұрын
😀😀 et alafu nyama imechambuka vizuri ila whozu jaman dah lakn tunda mzuri sana
@LucyNkya-o4i
@LucyNkya-o4i Жыл бұрын
Looh aibu i love this couple kumbe unamlove this boy😂
@johnyagat973
@johnyagat973 2 жыл бұрын
Huyu jamaa bana nikimuangalia sipatig jibu tunda alitoka nae mbal mpaka kunyolewa nywele nusu kufa saa n kipi echo kilichofanya wakashindwa kuvumiliana kusamehana
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 3 жыл бұрын
Tunda Mashallah ❤️❤️❤️
@SamuelGhambi-eq8dl
@SamuelGhambi-eq8dl Жыл бұрын
Ihave Come here just to appreciate wema for cooking nice food for the couple Im sorry for tye the EX of whoze 😂😂😂😂
@aishaisha-ph4pi
@aishaisha-ph4pi Жыл бұрын
Sijawahi Kuna hii kweli ya mungu ni mengi any part of life
@firdausbakari7341
@firdausbakari7341 Жыл бұрын
Hii dunia hii daah😅😅😂😂😂 ndo mna Marioo aliimba kwani mapenzi ni kitu gani
@moureennasrah5327
@moureennasrah5327 2 жыл бұрын
Tunda ungejua usinge hata wapikia chimama na chibaba 😂😂
@sharifamakawa9900
@sharifamakawa9900 Жыл бұрын
Nimecheka kwa nguvu Moureen
@dianamsangawale9925
@dianamsangawale9925 3 жыл бұрын
Mungu awazidishie furaha
@munaomarmzee176
@munaomarmzee176 3 жыл бұрын
Allahumma ameen Inshaallah
@mimasaady5638
@mimasaady5638 2 жыл бұрын
Daaaah upepo umegeukaaa haki shame on her😂😂😂
@rukiakhamsin9220
@rukiakhamsin9220 3 жыл бұрын
Huyu whozu ni Comedian kabisa 🤣🤣🤣
@mushimiyimanaclementine8109
@mushimiyimanaclementine8109 2 жыл бұрын
Nilijuwa naona pekeangu kumbi na nyie comedian kbx
@mushimiyimanaclementine8109
@mushimiyimanaclementine8109 2 жыл бұрын
Nilijuwa naona pekeangu kumbi na nyie comedian kbx
@justinjoshua1059
@justinjoshua1059 3 жыл бұрын
Much love my dear Wema S,tupo pamoja❤❤❤❤❤💋
@elizabethlister3305
@elizabethlister3305 2 жыл бұрын
That's cool and amazing😋😋
@gracesilayo7670
@gracesilayo7670 2 жыл бұрын
Daaaaah kweli huyu Dada ni mtyu mbaya woi nmechukia kisa icho alitaman furaha ya mwenzie hajui anavumilia Mh
@OnesmoEmmanuel-xr2rf
@OnesmoEmmanuel-xr2rf 10 ай бұрын
Lakini whozu kunajicho alikua anamuangalia wema mhuuuuuu na sisi wadada sio kila sehem yakwenda na mume wako
@queenofnoodles7504
@queenofnoodles7504 3 жыл бұрын
Much love from this side ❤️❤️❤️
@abdimalikabdulaziz4954
@abdimalikabdulaziz4954 Жыл бұрын
😂😂😂 chimama kwakunyakua nakukubal😂 yan hapo kumbe ulikuwa unanyemelea...
@halimaissa9137
@halimaissa9137 Жыл бұрын
Good guy bila bifu lolote bg up Sanaa
@WilkisterBukango-cp5fh
@WilkisterBukango-cp5fh Жыл бұрын
Wema unamoyo wakipekee🔥🔥🌹❣️
@oumusalama2627
@oumusalama2627 2 жыл бұрын
Now you are dating the man 😂😂😂😂😂
@FatmaAli-oy7yu
@FatmaAli-oy7yu 3 жыл бұрын
Tunda kapole MashaAllah
@lizzjahsolja1240
@lizzjahsolja1240 3 жыл бұрын
I love Tunda’s hair
@mwanamkeshujaabongoflavama7180
@mwanamkeshujaabongoflavama7180 3 жыл бұрын
Makeup on point, beautiful Endelea na huyu huyu
@jaynaba2549
@jaynaba2549 Жыл бұрын
Me nimegundua whozu alianza kumtamani wwma kitambo alikua anamsogelea sanaaa hatak kukaa mbal 😂😂 tunda ungeahtuka
@agnaskanyai3381
@agnaskanyai3381 Жыл бұрын
Am smiling 😂 weeee kumbe ilianza ivi
@EkaSyumeNamoOnlineTv
@EkaSyumeNamoOnlineTv 2 жыл бұрын
After penzi nimerudi huku jamani🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@Bise270
@Bise270 2 жыл бұрын
Yaani😁😁
@zainabmussa3521
@zainabmussa3521 3 жыл бұрын
Tunda mzuri bhanaa😍😍😍😍😘😘
@esterchristopher1102
@esterchristopher1102 2 жыл бұрын
Yaani wema hajakosea anapotembea na whozu maana wameachana ok ingekua ametembea nae wakiwa wote tungemwita mby but they don't love each other again so life gone I LOVE YOU WEMA SEPE
@alhmdulilah1187
@alhmdulilah1187 2 жыл бұрын
Alipojiwa na jonijo ktk kpnd kinachotwa gerezan asema uongo kumbe wananyanduana😂😂kisirisir lkn ss wee
@salhamrisho8138
@salhamrisho8138 3 жыл бұрын
Nimependa mashallah tunda anapika mzee anaojiwa
@sharifamakawa9900
@sharifamakawa9900 Жыл бұрын
Hahaaaa
@dianacidy5357
@dianacidy5357 3 жыл бұрын
The way I love wema i can't resist ❤
@odreillequeen6876
@odreillequeen6876 2 жыл бұрын
Mh
@jaelnjole3430
@jaelnjole3430 2 жыл бұрын
Nimerudiiiiii tenaa🤣🤣kumuonaa chibababaa na chimamaaaaa
@KoreanDramaMoviesKiswahili
@KoreanDramaMoviesKiswahili 3 жыл бұрын
❤❤❤
@munyerensimamireille7808
@munyerensimamireille7808 3 жыл бұрын
Je croyais qu'elle va nous partager sa cuisine dans quelques minutes malheureusement ça devient un dialogue hors sujet "d'amour" puis ça prend de temps🙄🙄🙄
@erycah
@erycah Жыл бұрын
The full episode is in her application
@aisharevelian6933
@aisharevelian6933 3 жыл бұрын
Appreciated more wema
@maggiemaroon1570
@maggiemaroon1570 2 жыл бұрын
Tunda mzuri sana jamani ukilinganisha na huyo chikonda wema 🤭
@sifatiiman
@sifatiiman 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣😁😁
@Emmy20233
@Emmy20233 2 жыл бұрын
Eti leo mpenzi wake😂🤣
@janethedward4631
@janethedward4631 Жыл бұрын
Mimi simuamini Rafiki Kabisaaah na si subutu kumuacha boy wng ata dk 1 na Rafiki yng Kwa kweli
@nawalcute-nx3vu
@nawalcute-nx3vu Жыл бұрын
Namimi nimerudia tena kuangalia mh hatari🥲
Cook with Wema Sepetu S03E09 Billnass
8:11
Wema Sepetu
Рет қаралды 172 М.
Cook with Wema Sepetu S02E03 Kajala Masanja
8:05
Wema Sepetu
Рет қаралды 368 М.
УЛИЧНЫЕ МУЗЫКАНТЫ В СОЧИ 🤘🏻
0:33
РОК ЗАВОД
Рет қаралды 7 МЛН
진짜✅ 아님 가짜❌???
0:21
승비니 Seungbini
Рет қаралды 10 МЛН
Mkasi - S01E12 with Wema Sepetu
26:55
MkasiTV
Рет қаралды 724 М.
WEMA SEPETU NA WHOZU NDO BASI TENA. MSIKIE JUMA LOKOLE ANACHOSEMA.
2:24
LEK Times Media
Рет қаралды 1,5 М.
JINSI YA KUPIKA ROSTI YA NYAMA TAMU SANA
5:22
MAPISHI FOOD LIFE
Рет қаралды 137 М.
Extra Scenes: Cook with Wema Sepetu/Nandy
14:44
Wema Sepetu
Рет қаралды 355 М.