Yani huyu mama hua anapiga wetangula? Pole papa wa roma
@joyrosemwangi8 жыл бұрын
khai huyo mwanamke ndiyo anapiganga wetangula
@jom252911 жыл бұрын
Sylie!!!
@robertingramu13 жыл бұрын
Mbona waizi waziti pambwa hivi kenya.Wetangula aliiba pesa za wananchi malioni. Kwani hat Kibaki na the rest wako kwa kambi moja na huyu mwizi ndiyo wanakuja harusi ya mtoto wake. Nilifikiria kenya mpya watu wataogopa kuonekana wkila na kunywa meza moja na mwizi. Kumbe wote wako kwa klab moja.Bure kabisa.Wezi nyinyi endeleeni kunyonya wakenya.Siku zenyu zitafika siku moja. Yaani Kenya ina wenyewe?
@lacyaable13 жыл бұрын
i hate all those who spoke ni wezi wote hata prezzo