Please Kagoni don’t rush your guests. We are in no rush. We are hear to listen and learn from them, but many times you seem to be rushing them .
@wehavebeen74503 ай бұрын
I thought Kagoni said they will talk about this lady's life story in her studio.
@Shirocaro3 ай бұрын
@@wehavebeen7450 she will have a part 2 of this story. But if you were keen enough to, you would have noticed a few time where Kagoni leads the lady to talk about something else while the guest is narrating something. Guest anaenda na mutaratara Kagoni naye anarukaruka 😂
@wehavebeen74503 ай бұрын
@@Shirocaro I am always very keen on Monica's journalistic style and I observed she was directing the conversation today away from the personal aspect to the investing aspect and that is why there is a part II to talk about the personal. Maybe you and I absorb things differently.
@ChristineNduta-q1r3 ай бұрын
She does that on so many occasions asking the guest ehe, alafu@@Shirocaro
@doreennkonge943 ай бұрын
Kagoni amekua hivyo siku hizi..have noted anaongea sana compared to previous videos when she used to be proffesional.
So proud 🦚 of her hard work, God bless you Sarah 👏👏🙏🙏🔥🔥
@OliviaKamau-j6s3 ай бұрын
I am really happy for sarah,congratulations to her🎉❤thanks for representing as in saudi,area manakuherithia na gukumena ni thina meguka gukuherera,nikumenagqo uriendwo ma
@rhodanjeri57753 ай бұрын
Congratulations 🎉🎉🎉🎉🎉Sarah weee plot 11 that must be God 🎉🎉
@MARYNGECHI3 ай бұрын
Contradiction, we were saved,we were an ideal couple,people used to admire us.People in the village were called to take me back to my home.
@shikuhsymoh28593 ай бұрын
Wow congratulations mama Team strong ❤❤ Amg Realtors is the best company to invest ✅️✅️✅️✅️💗 Team strong 💪 tujipange na huku
@caromary64953 ай бұрын
It's how much per 100by 50
@faithkagunda90193 ай бұрын
The prayer part was awesome 🙏🙏🙏
@margaretwanjiru50793 ай бұрын
So inspiring👏👏
@eunisonc74943 ай бұрын
Congratulations Sarah 👏👏
@vgeegodseed17203 ай бұрын
Challenged about kubuy plot .... Waiting part 2
@annwamiti3 ай бұрын
Wow congratulations!
@maggiemuthoni1673 ай бұрын
Wow wamuhia ni wewe hata sisi Mungu atubariki zaidi
@beatricemathenge75003 ай бұрын
Congratulations Wairimu for your patience and hardwork.
@marywanjiru41063 ай бұрын
Nimefurahia Sana kuona AMG ni kuzuli munica next ni Mm Jesus name team Gulf tuamini Hivyo 🙏
@virginiambugua45293 ай бұрын
Nimeshoka kutafuta story ya huyu peter,mkipata mnishow
@MARYNGECHI3 ай бұрын
I salute her for her achievements. God bless her but there some things that don't add up.
@rakivrakiv30233 ай бұрын
Team gulf tuned thanks Sarah for representing us
@sulltwww3162 ай бұрын
Wooow me as team saudi am proud of you 💪
@annngigi4923 ай бұрын
Congratulations madam 👏
@AdmiringBoombox-pn5wu3 ай бұрын
Nilikua na fikiria ni yy nige.mtumia salamu
@mercywamucii7523 ай бұрын
Listening with 3 plots within 4yrs
@Linlev3 ай бұрын
𝑪𝒐𝒏𝒈𝒓𝒂𝒕𝒖𝒍𝒂𝒕𝒊𝒐𝒏𝒔
@emilywangui3 ай бұрын
Wow congrats sweetheart 💗 11 plot for 10yrs ....team strong we are winning...pia sisi tuko nyuma yako following your steps
@MoreenMuthee3 ай бұрын
Wow I love this woman she is Soo calm ..may God's favour continue reigning upon her life😊
@veshexercise3 ай бұрын
Calm, collected and well articulated. She is such a gem and good story teller.
@virginiakibe18463 ай бұрын
Atamimi niko arama kubwa sana kwa forehead niligongwa na extension 2007 and frm that day nikaamua na riu no Ngai uuiii uria guikaire umuthi
@RUTHWANJIKU-t2w3 ай бұрын
Aki hivo Sarah anasema kulala kitanda moja ata mmi kuna time sister ya yule alikuwa bwanangu alikuja brother yake akasema tunalala wote kitanda moja mmi nikasidwa kwani hawa ni nni baya na wao bt nilitoka huko I thanks God niliondokea tabia zingine
@salomenewsome41883 ай бұрын
I was conned by Gakuyo sema uwoga but I would like one but trust hakuna
@beatricesisterskeeper32013 ай бұрын
Akhi parents should learn to love their children equally. Imagine being in a situation where your mother inlaw hates you, then your own mum has a cold attitude towards you. Where will you get a leaning shoulder😢😢
@bettyfrancis19583 ай бұрын
Si tupewe hint ya bwana kwenye alifanya interview
@shikobie38803 ай бұрын
Following 😂
@monienjeri30423 ай бұрын
Ngai gutiri thome atoii, huyu ni wa home area,...githunguri, kwamaiko in raini village.... Huyu ndiye ame break umaskini kwao nyambani.... ni ndakena nikuona mundu njuii...
@RoseGithiri3 ай бұрын
Ex wake nuu?
@sarahngige15893 ай бұрын
@@RoseGithiri😂😂😂
@angel.----3 ай бұрын
Tuambie ex wake
@salomewangeci31133 ай бұрын
@@RoseGithiriatwambie
@monienjeri30423 ай бұрын
@@RoseGithirithat confidential
@toxyamy273 ай бұрын
Congratulations girl
@elizabethwanjiku2123 ай бұрын
Congratulations 👏👏 mamaaa
@vickymugathi74402 ай бұрын
Which hotel is that please,at Mombasa
@ShiroSam-y7j3 ай бұрын
Team strong ....wenye hua mnasema pesa ya mwarabu haisaidii mko wapi?
@sophiakimanichannel19033 ай бұрын
mimi nina testimony kuna wstu najua wamejenga
@serahm82073 ай бұрын
i can relate with this story 80% but ine thing i was sure of ius ,that marriage was long done !!!
@virginiakibe18463 ай бұрын
Huyu mpaka alikua job poa sana 3.5 is not a joke…lakini rugano ruru rwihandu Reina magecha kiasi to be sincere
@webnejs53653 ай бұрын
niha rutananyitana wega
@njorogemacharia73903 ай бұрын
Angihota atia Kuga ni aigiitwa ni mugithii muri ona muthuriwe ???
@webnejs53653 ай бұрын
@@njorogemacharia7390 hehe ndiraigua ona ena kaana ga pakstan niko saudi najua
@catewahu68603 ай бұрын
Alikua wameachana @@njorogemacharia7390
@judwmbiyu3 ай бұрын
Congratulations 🎉
@salomemwangi49153 ай бұрын
Kagoni.. why do you always rush your guests. Hata kaa ni 3hrs we shall watch.😊
@amosnjagi98043 ай бұрын
For the first time kuona Monica akiboeka na hii story lakini nafikiri ni ka-solar kalikuwa kamewaka.
@maryjesca6193 ай бұрын
I would wish to listen to husband story iko which channel please
@sophiakimanichannel19033 ай бұрын
watu tunapenda chai , na soma comment nikitata
@AnnAnnie-ow4tn3 ай бұрын
@@sophiakimanichannel1903reke ciume Na ene
@jadee.3023 ай бұрын
Watwambie iko wapi
@Edgybhthjklew2 ай бұрын
Nimekua nikisoma comments nikijaribu kutafuta ni channel gani pia
@stellahnjagi51903 ай бұрын
Wah...hii plot pekee is 3.5m she still has bought 10 more plots. Na she even built for husband...built her house had 3 kids in school and fully depending in her....for 10 years ni kujaribu kabisa na alot of grace haki..congrats
@lucyjohn15873 ай бұрын
Tuned in
@maggiewacukaofficial42493 ай бұрын
Napenda jua interview ya mzee ilikuwa wapi
@Shikutatty3 ай бұрын
Ukijua uniite😂
@christinegetogo3 ай бұрын
@@Shikutatty pia mm
@Serahpaul842 ай бұрын
Hanjapata link bado😂😂😂
@marywangari25553 ай бұрын
Team strong dont send your money to boyfriends send to AMG and invest
@felistersmwangi433426 күн бұрын
Am from kwamaiko😢😢
@rhodanjeri57753 ай бұрын
Waiting for part 2
@gracewambui20413 ай бұрын
Congratulations sarah team Saudi tuko ndani❤
@maryhastings18663 ай бұрын
Heri @Monica ungekubali aseme channel the x husband alifanya story tukawatch
@ChristineNduta-q1r3 ай бұрын
This woman wants to tell her story to the fullest, lakini kagoni you are rushing
@gracegitau94523 ай бұрын
Who is she?
@joycendungu57433 ай бұрын
Woiye aki Monica acha kuharakisha your guest..wacha waongee kila kitu wamalize pleaseew🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@AliceWanjau-f7d3 ай бұрын
Kagoni nii nginya mbara na mother in law weee no Ngai no mwihokeku
@EuniceIrungu-x2t3 ай бұрын
Monica I wish to tell my story when I come back,I am in Saudi but I have seen God despite my marriage fail
@dollydolly13172 ай бұрын
I wanted to buy hizo plots za juja,but if u have to pay in 6 month,if this lady paid within the 6 month she must have earned good salary
@teresakimani58923 ай бұрын
Haiya!This girl seems to be giving my story kabisa to being hated by my mom in laws,my hubby having MANY sidekicks n showing me openly and just like her,God blest me and I had my last laugh.
@ciruAgneskamande90113 ай бұрын
Monicah ukienda Dubai tena usitoke bila kujua kubus ni nini, otherwise,am very happy for Wairimu she's really encouraged me , more blessings to her,Metha and AMG
@cynthiawanjiku25753 ай бұрын
Hiyo story ya bwanake iko wapi tuskize pia
@lucynjenga93073 ай бұрын
Sometimes tuwache kuchocha watu wa gulf 11 plots??izo place ametaja iwezi kua chini ya 400k?? So watoi wako for ten years wametumia only 660,000ksh ww ulikua unasurvival aje gulf na bills zako??? Ungo ya nini sasa talk the truth to be free
@BethKiarie-lu8zh3 ай бұрын
Huyu alikua maybe dalala anacorn wasichana huko cz hao ndio hua napesa sana najua vizuri vile Wanahurk pesa za wasichana
@annemuthoni17813 ай бұрын
10 yrs akiwa Kemboi atamake
@BenjaminWaithaka-pm5ux3 ай бұрын
But if alikemboi for that long,it can make sense,though somehow exaggerated,Anyway congratulations to her,gulf isn't for the fainthearted nakwambia
@kiambu_Finnest3 ай бұрын
Hii plot ni pesa ngapi
@eunicembuthia41993 ай бұрын
Hakuna chocho mimi nibuy 2 nikujipanga unanua moja then pesa unapata yaa job and iyo Shamba umenunua unamake sure unalima Ama unarent unapata doo yaa kununua kwingine and be focused
@annwambui29093 ай бұрын
Monica leo ameboeka na hii story kama mimi,,huyu mama kupeana hajui story
@MGathoni3 ай бұрын
Kupeana details of every day,but God is good story yake ni victory
@tasha9116-e1i2 ай бұрын
Team stong tuko
@rose_wangari3 ай бұрын
It’s Kagoni’s several failed attempts to rush the story🤣🤣🤣🤣 Tiga kuhika ruo ta Nyagaaki Monicah😢
@RuthNduta-qh8lb3 ай бұрын
Wacha kuiñterupt story na maswali miiiingi
@LenaQui3 ай бұрын
Unataka aongee tu hivyo fuaaa na vile anapoteza mwelekeo😂😂😂
@jadee.3023 ай бұрын
Uyu wa mashamba anakaa baby daddy wangu😂😂
@blessed.1233 ай бұрын
I know this woman she was a dalala in saudi na alikua na mubaba ata amerudi na katoto kamwarabu but she is a nice lady kuna time i wanted her to host me .
@stellahnjagi51903 ай бұрын
Hio hajasema😂
@UnknownUser-s9m3 ай бұрын
Nyoko wa wanja asali😂😂
@MaryKim-en7ox3 ай бұрын
Khai really 😳😳
@Eunice-lefty3 ай бұрын
Seriously jameni nyoko ni wa nakuru just because the narrator said her husband was a conductor and used to go to mugithi doesn't mean it's him It's good to do due diligence before mentioning names
@josphinenjoki32673 ай бұрын
Monica unge change mahali ya kufanya interview instead of kuharakisha story
@lilianwangari5373 ай бұрын
Karibu neighbour....
@wamboednaАй бұрын
Bwana alifanya interview wapi wasee wasee
@liznjoki59583 ай бұрын
Nimehesebu hizo plots amesema na ni total ya 15plots🙆mbona mnasema ni 11
@Aggy403 ай бұрын
Uyu mutumia ndaramenya uria arauga, mara muiritu ucio okiri makiajia guikaraga nake, ningi ati muiritu aikariire kwao thiiku igiri, mara muthuri akiiya mbeca nagikua indo ciothe mara akimukorerera mara mwana wakeri. Uyu chai nduracamiya
@قريس-ن9ك3 ай бұрын
@@Aggy40 but story niyake
@Ann-tt7mx3 ай бұрын
Rugano ni rwaku kana ni rwake?
@sophiakimanichannel19033 ай бұрын
ata amesema msichana alikuwa lafiki yake
@Eunice-lefty3 ай бұрын
Just be mindful bec not everyone tells stories with a flow and that's why they're always guided by the interviewer with the questions to keep the guest on track and flow And it's also kind to just respect people's stories and journey coz it's theirs to tell And I always applaud people who come out to tell their stories in the open forum it takes lots of courage to do it and then you find people waiting at comments section with all kinda reactions yet they wouldn't come to such a forum to share theirs
@jadee.3023 ай бұрын
Wewe ndio hujaelewa wengine wetu tumeelewa,be ready to listen and understand not to judge
@rosalinemwariri90003 ай бұрын
Waiting
@agnesnjuguna29163 ай бұрын
Her mum was the reason you went all these problems
@ericknjoroge71053 ай бұрын
Martin is a good marketer
@ichaihellen20333 ай бұрын
Waaa kweli huyo ni mungu
@BethKiarie-lu8zh3 ай бұрын
Umeamini wewe
@salomewangeci31133 ай бұрын
@@BethKiarie-lu8zh😂
@AgnesMutuku-d1e3 ай бұрын
Sitaki kushikanisha bururi na comment 😂😂😂 otherwise nyoko is my ex husband na tuko sawa
@shikobie38803 ай бұрын
Haiya
@dollydolly13173 ай бұрын
The way nimetafta the ex kwa kila channel now i stop😂
@Linlev3 ай бұрын
𝑴𝒆 𝒕𝒐𝒐 ..𝒖𝒅𝒂𝒌𝒖 𝒂𝒌𝒊😂😂😂
@dollydolly13173 ай бұрын
@@Linlevhaitaki uzembe hii itaniua na stress ya wanting to know the ex😂
@estherwambui10723 ай бұрын
Mlijua ako Chanel gani. Simu yangu itapiga ni vile nime seach😂
@dollydolly13172 ай бұрын
@@estherwambui1072Bado, this is too much stress😂
@lawrencechi-rc1yv2 ай бұрын
Msee mmoja atushow interview ya Ex husband
@nancymungai16183 ай бұрын
Danarikia uhoro waciana ciake
@rebeccaetter11043 ай бұрын
11 plots na hii ni 3.5m
@njoguwanjeri3 ай бұрын
Haria aikagio tiho iguaga
@ericknjoroge71053 ай бұрын
Monical tell her to clarify kaa ni yeye mama ya akina wanjau her husband was juzi kwa wambui wa mwangi channel
@marynjenga86323 ай бұрын
I don't think n yy cos uyo mama wanjau amekaa Saudi for three yrs according to the husband
@GraceWanjiku-ku2bk3 ай бұрын
Si yeye mzee wake niwa mugithi. Sikiza kwa ngugi
@ericknjoroge71053 ай бұрын
@@GraceWanjiku-ku2bk jina yake
@maggiemuthoni1673 ай бұрын
Apana siyo yeye huyu alikuwa ameoleka gakoe siyo gatundu
@maggienimu23 ай бұрын
now you 💅 🔨 wenye wali sponsiwa na dame anaitwa mercy
@wehavebeen74503 ай бұрын
I thought the guy was from Subukia and not Kiambu.
@wamboednaАй бұрын
Na carol
@VioletWanjiru-eq8py3 ай бұрын
Mwangi zakayo????????? Ama nani kwanza Kwa makanga inapelekana
@maggiemuthoni1673 ай бұрын
No siyo yeye
@rosamariewanjiru86593 ай бұрын
Mkijua huyo ex husband wake ni nani Mniambie. Kagoni angeacha atwambie ni channel gani😂
@rosemarykamande30173 ай бұрын
@@rosamariewanjiru8659 nyoko wa njeri
@sophiakimanichannel19033 ай бұрын
😂😂😂
@gracenjenga63803 ай бұрын
Sijui bona na fikilia huyu ndio mama watoto Fulani?
@suzzanenjoki95473 ай бұрын
Ile ilikua kwa Wambui.....I guess ndio umefikiria yenye kadem kalirapiwa
@gracenjenga63803 ай бұрын
@@suzzanenjoki9547 yes nilifikilia ni yeye amejitokeza but sio yeye
@virginiakibe18463 ай бұрын
Huyu mpaka alikua job poa sana 3.5 is not ajoke
@wamboednaАй бұрын
Alikua dalala huko manfuha
@kamiessie3 ай бұрын
35k per person ama?na watoi?
@maggienimu23 ай бұрын
I think his ex husband was hosted bt wambui wamwangi and the man was call baba wanjau my thinking though
@hannahgitau68483 ай бұрын
Yule kaschana kalirapiwa?
@ericknjoroge71053 ай бұрын
Could she be the one
@Elizabeth-no1jx3 ай бұрын
Sio huyo,huyo bado ako na bibi@@hannahgitau6848
@86jamani3 ай бұрын
not really baba wanjau mother died when he was 2 years.his wife didnt have another child before,they are from kinangop not githunguri
@wehavebeen74503 ай бұрын
I don't think so the story is different for the Wambui story the younger one is the one who was born outside of the relationship and also that one was from around Nakuru area not Kiambu.
@salomenewsome41883 ай бұрын
Sema kagoni kumrush that was annoying Navile hiyo story ilikua inaflow kagoni anaabore
@CharityWaruguru3 ай бұрын
Why do people lie if you have missed your periods and you have had sex what do you expect.lets be serious.
@annewanyoike69123 ай бұрын
I know right? Eish😂😂
@rosamariewanjiru86593 ай бұрын
She was a child. Nkt
@mercyG783 ай бұрын
She was children 😅
@missk86473 ай бұрын
Unadhani at that age kuongea ni rahisi? 😂😂😂😂😂unanyamaza unaacha wajionee mimba ikitupa nguo
@doreenkawira30963 ай бұрын
@@mercyG78 😂😂😂😂weweee
@HannahKagiki3 ай бұрын
Nani anajua hio nyangau ilifanyaga video wapi🤔
@shikobie38803 ай бұрын
Nimesoma comments nikashikanisha especially kurecord nyimbo