WHOZU - Huendi Mbinguni (Official Music Video)

  Рет қаралды 2,516,916

Whozu

Whozu

Күн бұрын

Пікірлер
@EeehChagu2024
@EeehChagu2024 10 ай бұрын
Tulio rudi kuangalia hili goma 2024👊👊🎉🎉 gonga like 👊🎉🎉🎉🎉
@saidimbano
@saidimbano Жыл бұрын
Kama bado unaangalia hii 2024 gonga like hapa
@paulinammuya9311
@paulinammuya9311 6 жыл бұрын
whozu haendi mbinguni,. Kama umemuona ameachwa na basi ya mbinguni Kama Mimi nilivyomuona Cheka kidogo
@naomycharles813
@naomycharles813 6 жыл бұрын
Nimemuona aiseeeee 😂😂😂😂😂😂
@jA-ox7vz
@jA-ox7vz 6 жыл бұрын
😂😂😂😂😂🙌
@carolinemwamba8333
@carolinemwamba8333 6 жыл бұрын
hahahahahaha
@faridamin6383
@faridamin6383 6 жыл бұрын
Nimecheka kinoma...hahahaha
@sebamgalula2632
@sebamgalula2632 6 жыл бұрын
paulina Mmuya 😁😁😁
@geraldgerald217
@geraldgerald217 6 жыл бұрын
Dah sjawah pata Like hata moja hefu gonga like hapa kama unaenda mbingun😁😁😁😁
@Cyper255
@Cyper255 6 жыл бұрын
Ubunifi ndio huu. Unajitofautisha na bidhaa nyingine zilizopo sokoni. Mziki ushakuwa wa ushindani huu.
@anoldabdon7365
@anoldabdon7365 6 жыл бұрын
Whozu mze baba aidia kali sana kichupa kikali sanaaa
@jackrinaman7521
@jackrinaman7521 6 жыл бұрын
Kweli
@farajampenzwa7939
@farajampenzwa7939 6 жыл бұрын
Samson Cyper kweli jamaa kapatia sana
@mathnasaeed3806
@mathnasaeed3806 6 жыл бұрын
Samson Cyper 100%
@richardlyamuya2295
@richardlyamuya2295 6 жыл бұрын
Mwajuma kaolewa
@irenesalumu
@irenesalumu 6 жыл бұрын
Wale tunaoenda mbinguni , tu like hapa
@gharibugredo5542
@gharibugredo5542 6 жыл бұрын
Mambo
@gaspermassawe7397
@gaspermassawe7397 6 жыл бұрын
Mangi kazaa BUTI.
@selemanmatola7284
@selemanmatola7284 6 жыл бұрын
Una nywele za kichina wewe huendi mbinguni😂😂
@GOODMORNINGSUBSCRIBER
@GOODMORNINGSUBSCRIBER 6 жыл бұрын
hahaha
@abeljackson8012
@abeljackson8012 6 жыл бұрын
IRENE SAL
@josephmmbando6220
@josephmmbando6220 6 жыл бұрын
Hii ngoma inatufundisha kumkumbuka Bwana mpaka Dakika ya mwisho. Good 🎶 music bro. 👊 whozu #100%
@zuu__95
@zuu__95 6 жыл бұрын
bonge la beat mamaeee.....we mpiga beat huend mbinguni ..wa2 kwenye hii ngoma wamevurugwa 😃😃
@isackmakasy9603
@isackmakasy9603 6 жыл бұрын
Cjui ntaacha lini kuwatch huku nasoma comments, nice video mkali
@kibokongurai4488
@kibokongurai4488 6 жыл бұрын
hapa sasa baba umedanganya unawezaje kufanya vitendo mbili kwa mda mmja ahahahaha
@rastotona9834
@rastotona9834 6 жыл бұрын
Isack Makasy napenda asana
@josejacob7579
@josejacob7579 6 жыл бұрын
Jamaa anajua sana kuanzia kuimba mpaka video, yuko serious, i like this guy, keep it up bro whozu
@ARTCELLENCY
@ARTCELLENCY 6 жыл бұрын
Kenya 🇰🇪 in the building
@astroajy3911
@astroajy3911 4 жыл бұрын
Art Dehnow TV which building r u talking about 😂😂
@sir-leemsalim5427
@sir-leemsalim5427 4 жыл бұрын
Which building surely
@kennar012
@kennar012 4 жыл бұрын
@@astroajy3911 cheza ka wewe. Hio stoper imechapa saka kitu ingene ya kuambia msee otherwise uko thutha mbwaya morio.
@princeombeni2712
@princeombeni2712 6 жыл бұрын
Whozuu umetisha sanaa mkali....kama uko na mimi gonga like twende sawaaaa
@RaiyaanRasheedRay
@RaiyaanRasheedRay 5 күн бұрын
January 02 2025 tuliorud baada ya Whozu kupost TBT like hapa❤❤❤❤😊
@francisjohn4654
@francisjohn4654 6 жыл бұрын
iko vizuri sema nadhani ungeenda na idia iyoiyo ya kwene gari moja kwa moja yan ulipoachwa ww ndio ingekua mwisho ingekua magori kwel
@l.jviktor7745
@l.jviktor7745 6 жыл бұрын
Jamaa anajua .. af nyie viewers kwa usalama wako naomba tu ulike hii comment
@innovatormusic2949
@innovatormusic2949 6 жыл бұрын
Daaah jaman whozu kaua hii idea kali san kam unakubalian na mm gong like twend saw
@jovinmdee4207
@jovinmdee4207 6 жыл бұрын
Bonge 1 ya m,bunifu an. Kaza mzeebaba tufraie maixha kwa kaz zko japo Uendi mbinguniiiiiiiii
@divarechol8657
@divarechol8657 6 жыл бұрын
Kama unaangalia video hii uku ukizipitia comment gonga like hapa.
@hamadmaganga5945
@hamadmaganga5945 6 жыл бұрын
s
@Keyztz
@Keyztz 6 жыл бұрын
diva rechol Atar .... GUSA LINK APA USKIZE KAZI YANGU #MZUKA WA #O kzbin.info/www/bejne/lam9i5VtZ7SggNk Usisahau ku subscribe🙏🙏🙏
@teclamasele8101
@teclamasele8101 6 жыл бұрын
diva rechol 7
@raxystarboy1377
@raxystarboy1377 6 жыл бұрын
Mamb
@raxystarboy1377
@raxystarboy1377 6 жыл бұрын
PW xn
@yonarashidimbwambo2299
@yonarashidimbwambo2299 6 жыл бұрын
Miezi mitatu tayar mi bado na watch haha whozu ni mbunifu bana
@damisokaikomaboy3883
@damisokaikomaboy3883 6 жыл бұрын
Sielewi Kwann jmond amekua wakwanza kutelemshwa,,kama umeielewa hii sanaa gonga like hapa
@tonyjemino548
@tonyjemino548 6 жыл бұрын
Hahaa ananuka miguu
@kihanda2554
@kihanda2554 6 жыл бұрын
J mond alikuwa anamtongoza Bi dada pale kariby na Mtumishi. Akamuona. Mtumishi akaona kumbe kabeba Wazinzi humu Ndiyo maana akamshusha😂😂😂
@goldmaster6639
@goldmaster6639 6 жыл бұрын
+Kihanda 255 hahaahaa
@joelmlimbwa5165
@joelmlimbwa5165 6 жыл бұрын
mpua ule
@kelvinnewa5275
@kelvinnewa5275 6 жыл бұрын
Kihanda 255 bhhggkjvbccfhkgcnmnggckhfcchk
@officialtalenttv3882
@officialtalenttv3882 6 жыл бұрын
Umetisha mzee Huendi mbinguni Ngoma qalii sanaaa
@picsandvidstv1348
@picsandvidstv1348 6 жыл бұрын
Them beats.Wait!!!them lyrics I mean!!fayaaaaaa!!
@Thekenyan1
@Thekenyan1 6 жыл бұрын
Maze this song kills my vibe straight from 254 iko Kali kuliko kwangwaru
@CLASSICTVONLINE1969
@CLASSICTVONLINE1969 6 жыл бұрын
Whozu nakukubali chaliii ya moshiiiiiii kitanduuuuuuuu
@musshonest1378
@musshonest1378 6 жыл бұрын
oy broo uyu chalii niwakitandu
@CLASSICTVONLINE1969
@CLASSICTVONLINE1969 6 жыл бұрын
@@musshonest1378 Ndiioo tena amesoma hapo sokoine mm hadi kwao nakujua
@CLASSICTVONLINE1969
@CLASSICTVONLINE1969 6 жыл бұрын
@@mallyadismas9892 yaaaap
@CLASSICTVONLINE1969
@CLASSICTVONLINE1969 6 жыл бұрын
@@mallyadismas9892 kule kule wap?? Kwanzaa unapajua kitanduuuu
@CLASSICTVONLINE1969
@CLASSICTVONLINE1969 6 жыл бұрын
@@mallyadismas9892 uuuwiii sio kitandu ya huko Man yeye ametokea ktandu ya huku kcmc- moshi- Kilimanjaro
@lucasnzinyangwa5921
@lucasnzinyangwa5921 6 жыл бұрын
,,,Ee bana ee,,, style flan iv yan tofaut kabsaaa,,,fantastic message ,,, creativity nzuriiii sanaaa ,,,, keep it up master # whozu,,,
@balumakambu8111
@balumakambu8111 6 жыл бұрын
Kama umemuona jaymond gonga like apa tuende mbinguniiii
@happymeza7789
@happymeza7789 6 жыл бұрын
balu makambu chaliii ya moshiii nakukubali huendi mbinguni
@kilazajr3720
@kilazajr3720 6 жыл бұрын
naona machalii wanacheza kingarerooo.... tatizo umewachanganya na wanaume wa dar
@bettymoseti7901
@bettymoseti7901 4 жыл бұрын
Dzaaaam,this guy just makes my days😂🇰🇪
@tauwfiqkhajijr.9315
@tauwfiqkhajijr.9315 6 жыл бұрын
Daaaah umetaisha mzee baba nakuelewa
@deusmbassa7093
@deusmbassa7093 6 жыл бұрын
toka tunavesha mpaka sasa nakuelewa sana
@frankchina9246
@frankchina9246 6 жыл бұрын
Msenge sana #Whozzu.. Mpka gar limekuacha... 😁😁😁😁😁😁😁😁, kal mzee..
@domniconyango3122
@domniconyango3122 5 жыл бұрын
Wa Tanzania mmetufunika na vita ya Simba na Konde Hadi tunasahau wenzetu...big up Whoza..Love from Kenya
@breymbasa3451
@breymbasa3451 6 жыл бұрын
🙉🙉 hili jamaa noma sana
@leilayzer11
@leilayzer11 6 жыл бұрын
Nitakua mchoy wa hongera kama nisipo sema whozu honger umepiga hatua ngoma kal dy after day ,keep doing it.
@tamali9579
@tamali9579 6 жыл бұрын
Nzuri! Its funny same time educating same time inakupa ile vibe ya kufanya upuuzi fulani tu ili ujitoe mawazo! So Lit🌋🔥🔥🔥🔥🔥🔥 "unanibeep alafu Hupatikani " hah
@rodrickcholobi4331
@rodrickcholobi4331 6 жыл бұрын
Chris Jr bro hadi huku upo!!!😁
@BelleTV4
@BelleTV4 6 жыл бұрын
Mpaka Nigeria umetisha🙌
@younginspired3899
@younginspired3899 6 жыл бұрын
Waliorudia mara 2 kuangalia like hapa tujuane
@ruthjohnson5556
@ruthjohnson5556 6 жыл бұрын
Young Inspired nipoo
@mwannerashid4731
@mwannerashid4731 6 жыл бұрын
ng'wana ishudu
@nellymollel4672
@nellymollel4672 6 жыл бұрын
+Ruth Johnson nikwere chali zanqu congratulations congratulations congratulations
@sumykweka93
@sumykweka93 6 жыл бұрын
Loooooove dic song
@younginspired3899
@younginspired3899 6 жыл бұрын
Qaliii saanaaa 🔥🔥
@majaliwamaige5848
@majaliwamaige5848 4 жыл бұрын
Huendi mbingu kama huts isikiliza hii ngoma
@mboyaletherock3674
@mboyaletherock3674 3 жыл бұрын
hahaha bwana whozu..... this is so creative
@Archivetv12
@Archivetv12 6 жыл бұрын
Na mimi Leo nimewahiwahi kidogo
@cosmasimaxiliani4566
@cosmasimaxiliani4566 6 жыл бұрын
hiko poa
@lovenesssimon3140
@lovenesssimon3140 6 жыл бұрын
Huwendi mbinguni hatari sanaaaa pande za makwetu chuga ......
@hopemuchi8689
@hopemuchi8689 6 жыл бұрын
Dope video loving it from 254🇰🇪🇰🇪
@niceladeus1697
@niceladeus1697 6 жыл бұрын
wokovuuu ni sasa ......tutubuu tuelekee mbinguniii
@martincamily7801
@martincamily7801 6 жыл бұрын
😂😂😂😂 bangi tamuu.... Huendi mbinguni. Kali xanaaaaa. KEEP IT UP!!
@danfordbyemerwa3890
@danfordbyemerwa3890 6 жыл бұрын
Kazi buti mzee baba Zindsha ubunifu. Tuko pmja braza
@rashidimanga6111
@rashidimanga6111 6 жыл бұрын
Kama na ww umelike huku unawatch gonga like hapa
@oswardmpaly4981
@oswardmpaly4981 6 жыл бұрын
qaliiii #huendiimbinguniii
@yuleboybishooo807
@yuleboybishooo807 6 жыл бұрын
Hupendi mbinguni
@athumanbisansaba585
@athumanbisansaba585 6 жыл бұрын
Rashidi Manga katisha
@yohnazacharia1406
@yohnazacharia1406 6 жыл бұрын
hy
@rashidimanga6111
@rashidimanga6111 6 жыл бұрын
Athuman Bisansaba 😂😂😂 one love
@kenedimungure6397
@kenedimungure6397 6 жыл бұрын
perfect match ndug yang Whozu hila moshi utaenda
@kitatakitata8678
@kitatakitata8678 6 жыл бұрын
hahaha kaka Gøød cnå gøñga like hapa hilo #Jaymond nalikubaligi
@swahiliandculture6599
@swahiliandculture6599 2 жыл бұрын
I m still watching this song.. Agosti 2022... ninajifunza vitu vingi hapa watu wengi tunapenda kwenda mbinguni ila dunia imetuzidi ..mbinguni sio mchezo lazima kujikana ndugu zangu.Mungu atusaidie sana. Si utani lakini tujitathimini safari yetu ya Mbinguni tumeiandaaje? Hivi ndivyo utakavyotolewa na kukataliwa kwa matendo yako..
@danieljeromelyimo6673
@danieljeromelyimo6673 4 жыл бұрын
This song is Amazing 😂😂😂😂Be prepare to go Mbinguni😃😃😃
@kennethkimasso6979
@kennethkimasso6979 6 жыл бұрын
Bonge moja la ngoma,tisha sn whozu
@moorex8633
@moorex8633 6 жыл бұрын
Kama unajijua unasoma comments huku una angalia video jua Huendi mbinguni..Gonga like
@OffcialKp
@OffcialKp 6 жыл бұрын
😂😂😂😂huendi.mbingun
@elizabethmabula101
@elizabethmabula101 6 жыл бұрын
+Official Kipungathedontz 😂
@selemanmohamed7668
@selemanmohamed7668 4 жыл бұрын
😀 aliyeona Dereva peke ake kaenda mbinguni mikono juu
@Mbeyaconscious
@Mbeyaconscious 6 жыл бұрын
dogo unanifurahishaga kwa ubunifu wako kwenye ubora wako
@abubakarinkundire8725
@abubakarinkundire8725 6 жыл бұрын
unastaili yakipekeee naimani utatusua duuu we noma
@saumusaumu8623
@saumusaumu8623 Жыл бұрын
Hii ngoma iliweza kaka blaza ......kaambae imekuwa released 2 hours ago .....much love❤️❤️❤️❤️ from +254🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@saidaradman5317
@saidaradman5317 6 жыл бұрын
Nipo mbinguni lakn mtandao umesoma mpk huku 😁😁
@officialmpbaraka2999
@officialmpbaraka2999 6 жыл бұрын
Daaaaaah,,,,kwakweli Whozu ni wakipekeee APA Tz
@kyki01
@kyki01 6 жыл бұрын
Baraka Anthony kzbin.info/www/bejne/kJW9f4ONbKuEiM0 KYKI LIAR kindly give a listen n subscription
@abcdefgger
@abcdefgger 6 жыл бұрын
Nakupenda saaaaana jamani
@grace168
@grace168 6 жыл бұрын
Woozuuu noma Wale wa mbinguni gonga like twende mbinguni
@maxwelondieki8416
@maxwelondieki8416 6 жыл бұрын
Huendi binguni@msaniii, kumbuka ukweli hupendwi, much love from kenya
@Chombezaflava
@Chombezaflava 6 жыл бұрын
Kakosekana mai wa ankoo zumo music ingekua lit like kama unaamini hili
@nickomlumbetz5326
@nickomlumbetz5326 6 жыл бұрын
Aha ha ha ha ha ha ha ha!!!!!!Whozu we noma
@chunatv7282
@chunatv7282 6 жыл бұрын
kama umemuona jaymond gonga like zake hapa
@WINGLINEmediaONTUBE
@WINGLINEmediaONTUBE 5 жыл бұрын
Classic song with good message "...mtumishi unasinzia ibadani..." "...unakula bia na kwenu hujajenga..." "...posa haijafika unamsinichi mshenga..."
@toytv89
@toytv89 6 жыл бұрын
Huyo ndio whozu Kama unamkubali gonga like
@joemwaka5214
@joemwaka5214 6 жыл бұрын
kama namwona gnako pale katiiii! goma kaliii mzee
@ndossiadventurestz.6796
@ndossiadventurestz.6796 6 жыл бұрын
kali sana mzee
@kushmusic9015
@kushmusic9015 6 жыл бұрын
Daaah uyu jamaa makuzi sana
@moudymakoah2351
@moudymakoah2351 6 жыл бұрын
Tulofika #mbinguni like tujuane naita majiNa hukuu
@dorotheamlambiti8396
@dorotheamlambiti8396 6 жыл бұрын
huendi mbinguni naomba like zenu
@smartunicomtz8548
@smartunicomtz8548 6 жыл бұрын
Whozu Big Up, lazima twende mbinguni by GRK Kasogota
@asifiweaaron7076
@asifiweaaron7076 6 жыл бұрын
Safiii
@lazzodofficial2174
@lazzodofficial2174 6 жыл бұрын
Jay mondy aendi mbinguni kabisa uyoo
@pambahamisi2450
@pambahamisi2450 6 жыл бұрын
noma mazee
@justinemwenda6854
@justinemwenda6854 6 жыл бұрын
Tisha sanaaaaaaa whozu kwa hii video na hayo mabutu huendi mbingun
@chrisonlinetv1677
@chrisonlinetv1677 6 жыл бұрын
jamani naomba likes kwa whozuuuuuuu chupa la kibabeee
@toytv89
@toytv89 6 жыл бұрын
Oyaaa uyi ndio whozu ivi atakuja lini arusha
@toytv89
@toytv89 6 жыл бұрын
Huendi mbinguni
@gpdwill6226
@gpdwill6226 6 жыл бұрын
Vibe Kama loteeeeeeeeee
@graceniyukuri8027
@graceniyukuri8027 6 жыл бұрын
This is what we call creativity .........ndouca usha faile huendi mbinguni
@B12MD
@B12MD 4 жыл бұрын
Africa forever ♾!!!!!!!!! YESSIR
@benjame7266
@benjame7266 6 жыл бұрын
🇰🇪🇰🇪 respect ...gonga like kwa Whozu
@samsung.255
@samsung.255 6 жыл бұрын
nimeilewa sana big whozu
@barbiemilleye8276
@barbiemilleye8276 6 жыл бұрын
Team whozu ngonga like twende mbele 👌😭💕
@kingandreemmanuel7908
@kingandreemmanuel7908 6 жыл бұрын
Nice bro
@calvinthobias7968
@calvinthobias7968 6 жыл бұрын
Video Qaliii nyimbo Qalii
@ElizabethElizabeth-u8x
@ElizabethElizabeth-u8x 6 жыл бұрын
wasoma comment gonga like tujuane plz😂😂
@mekydady2189
@mekydady2189 6 жыл бұрын
Daah chali yangu whozu nakuona mbali sana mwamba yani kaza buti mwanangu wa a town
@billionairecompany7031
@billionairecompany7031 6 жыл бұрын
Jaymond kanichekesha san bonge la video bonge la idea
@momoshi2697
@momoshi2697 6 жыл бұрын
Izo nguo Mzee baba oversize. Umetixa whozu
@benardamuga510
@benardamuga510 6 жыл бұрын
IKO NA BITI KALI KAMA ILE YA ''LAMBA LOLO'' lyke
@collinsoruma4677
@collinsoruma4677 6 жыл бұрын
Iko juu creativity Nikali
@emmyyahya8358
@emmyyahya8358 6 жыл бұрын
Tangu niaze kujua KZbin sijawai ku coment daa kuna watu Cjui wana kaa umumu 😂😂😂
@timotheoonesfory9829
@timotheoonesfory9829 5 жыл бұрын
Amina Yahya wanakaa humu humu 😂😂😂😂😂😂
@joyfullgrayson1651
@joyfullgrayson1651 4 жыл бұрын
Yaaan n firee
@pointmarkjconsultinglimite6075
@pointmarkjconsultinglimite6075 6 жыл бұрын
Big up sana Whuz ni Ubunifu wa kipekee kaka nimekubali all the best
@icycombat6xty3independenta92
@icycombat6xty3independenta92 6 жыл бұрын
Hii ni massive... 254 tick
@info333plus7
@info333plus7 6 жыл бұрын
Tuisapoti nyimbo ifike 1M
@sharonmusembi5567
@sharonmusembi5567 6 жыл бұрын
254 in the building
@alemanmakonda5292
@alemanmakonda5292 6 жыл бұрын
ngoma Kali Whozu
@latifajuma8474
@latifajuma8474 6 жыл бұрын
hahahahahahaha uwii J mondy wamwisho kwenda mbinguni na wa kwanza kutolewa hahahahahahaha the song is gudda the video is lit🤘🤘
@dangotesam9845
@dangotesam9845 6 жыл бұрын
Noma sana Whozu, noma sana!! Ila hata we pia huendi😂
@Dr.zaidi4
@Dr.zaidi4 6 жыл бұрын
This boys have done it like the best of the 90s
@mamudidrisa385
@mamudidrisa385 6 жыл бұрын
Salute mwanangu ...wakikubania hawaendi mbinguni
@EddyEdyuseEddyOneTv
@EddyEdyuseEddyOneTv 6 жыл бұрын
Kama umeikubali ngoma hii gonga like
@mohamedsuleiman1515
@mohamedsuleiman1515 6 жыл бұрын
Eddy Edyuse jamani wambinguni wapiiiii
@neemaacrey5559
@neemaacrey5559 6 жыл бұрын
Eddy Edyuse tunakuja
@mckiemike3048
@mckiemike3048 6 жыл бұрын
Brathe we uko sure unaenda
@Kipanki_photography
@Kipanki_photography 6 жыл бұрын
noma sanaa
@faridahassan8345
@faridahassan8345 6 жыл бұрын
ukitazama video hii bila kulike Ku comments bila kushare bas huendi mbinguni
@supersport9532
@supersport9532 6 жыл бұрын
sawa sawaaa broo hukoseagii aniii
@sostcgtech
@sostcgtech 6 жыл бұрын
ipo vizuri sana
Whozu - ROBOTI (Official Music Video)
3:08
Whozu
Рет қаралды 1,8 МЛН
Dulla Makabila - PITA HUKU (Official Video)
4:58
Dulla Makabila
Рет қаралды 7 МЛН
Жездуха 41-серия
36:26
Million Show
Рет қаралды 5 МЛН
УНО Реверс в Амонг Ас : игра на выбывание
0:19
Фани Хани
Рет қаралды 1,3 МЛН
Непосредственно Каха: сумка
0:53
К-Media
Рет қаралды 12 МЛН
Vampire SUCKS Human Energy 🧛🏻‍♂️🪫 (ft. @StevenHe )
0:34
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 138 МЛН
Navy Kenzo feat. Diamond Platnumz -  Katika (Official video)
3:19
Navy Kenzo
Рет қаралды 33 МЛН
Whozu &  Baddest47 - AAH WAP!! (Official Music Video)
2:37
Whozu
Рет қаралды 3,4 МЛН
Dogo Janja - My Life (Official Music Video)
3:36
DogoJanja
Рет қаралды 2 МЛН
Zuchu feat Toss - SIji (Official Music Video)
3:42
Zuchu
Рет қаралды 12 МЛН
Whozu ft Marioo - VAVAYO (Official Video)
4:42
Whozu
Рет қаралды 3,1 МЛН
Jaivah x Marioo - Buruda (Official Visualizer)
3:48
JAIVAH
Рет қаралды 6 МЛН
Whozu - GONGA (Official Music Video)
3:33
Whozu
Рет қаралды 694 М.
Dj Mushizo x Ibraah Ft Jay Combat Ft Baddest 47 - WIVU Remix ( Official Video )
3:49
Жездуха 41-серия
36:26
Million Show
Рет қаралды 5 МЛН