Senior Dave wherever you are sisi kama funs hatujafurahia kabisa,,,n hii naomba ikufikie😢😢😢
@NancyWanguiMaina17 күн бұрын
Usiseme Sisi kama fans sema wewe kama fan period
@linetnyangate131118 күн бұрын
Bibi ya Dave ako na wivu sana ajiamini na Dave ukumbuke wambo alisimama na wewe adi ukapatikana same on u bibi yako akuna siku alikuongelelea Ata kidogo wambo mungu atafungua njia utapata job
@mumblessed00118 күн бұрын
Wow asante brother kwa Encouraging wambui mungu akubariki sana wambui utapata job nakuombea sana mrembo
@DianahMururi18 күн бұрын
Kama dave alifanyia wamboi ivo jui ya anita anataka arudi, najua mungu halali dave huwezi pata amani juu wamboi ni yy alikuwa anakushughulikia na akina Fred na unamfuta kazi ww huwezi pata amani hata, kwa wamboi tutamwombea mungu hili apate kazi
@carolinemwenze883118 күн бұрын
Dmk ambia dave alikosea sana.
@Risperchepkurui-pc9mn18 күн бұрын
That's not fare wamboi alishukulika sana time senior dave lost lkn mwishowe akafanyia ivo😢.
@beaticeMwani17 күн бұрын
Thank you for the good advice to wamboi sheis destin to greatness
@bettywanders210217 күн бұрын
Dave am telling you you can get another problem that is not the time to send that girl really god is going to answer your prayers
@josephinemogere861818 күн бұрын
Dmk I am so impressed by the good and powerful message you have past to Wambui let see the example of the Angel Wanjiku channel and God will prosper Wambui to the greater heights in Jesus Christ's Name Amen.
@Dmkfavoured18 күн бұрын
Amen 🙏
@jerushaeinvestment324618 күн бұрын
Senior Dave amewai saidia hadi waganga mbona kufuta wamboi like that after all the sacrifice that lady made indeed it's so painful
@JamilaNassor-i2v18 күн бұрын
Nimeshangaa
@marymwaura-iw7vn18 күн бұрын
Imagine,,,hakufanya poa
@suenashto669718 күн бұрын
To save his family. Plus when pastors prayed for Dave, anything that was standing in his marriage had to go.
@christine407217 күн бұрын
If si director j,na Fred angeeenda peke yake, kwa msitu hatari kama huo,second wambo had a very good house husband but she destroyed her self juu ya tamaa cheating your husband into your matrimonial house,hadi mpaka anachoma mtoto wake na uji moto wakifanya sex na rafiki ya bwanake foolishness of the high order gata hajalia na bahati huja mara moja hatawai ona ndoa mzuri she will be getting cheaters mpaka aamke
@suenashto669718 күн бұрын
Dave saved her life and she saved his life too. Wambui was brought to his life by some spirit and when deliverance happened the connection had to go too. Wambui is innocent but whatever connected them was to destroy Dave's family. Let us support Wambui without blaming Dave and God will make a way for her.
@sarahwanja973118 күн бұрын
Wambui, Never give up girl Mungu yuko na utapata kazi poa saana in Jesus Mighty Name Amini Mungu na usilie
@BiiraAa-o4y17 күн бұрын
Imagine Wamboi was looking for Senior while the so-called wife sleeping, cooking saying that her husband is acting waaa wonders shall never end walai . Wamboi, don't worry. God will help you to get a job and husband 🙏🏾
@lilianjosephat915118 күн бұрын
Sijafurahi amepigania maisha ya dave
@ClementinaHabineza17 күн бұрын
Alikuwa kazini sion kwa bure
@christine407217 күн бұрын
She was not alone asif fredy hakukua,na director jay
@DelphinMulera17 күн бұрын
Thanks dmk for your good advice to wambo n from that you gain my subscription from your chanel🙌🙌
@Dmkfavoured17 күн бұрын
🙏🙏🙏
@AngelaMbula-k1n18 күн бұрын
Dave ungea ngalia jambo Moja wambu amefanya Kwako naumusamehee
@zipporah.844518 күн бұрын
Thank you brother for encouraging wambo.sweet words.
@Dmkfavoured18 күн бұрын
🙏🙏🙏
@CatherineGathukumi18 күн бұрын
Dave hata kama unarudisha annita kazi mbona ufanyie wambo hivi?whn she was looking fr u everywhere annita was there saying ur scripting. Now tht u want her back u fired wambo thts nt fair u need to rethink again
@WinnieWekesa-t9y18 күн бұрын
Hio ni asante ya punda bt sio poa, hope mungu atafungulia wambui njia.
@janemainaofficial557917 күн бұрын
Dave hakumbuki wambu ndie alikuwa akimpea pumzi side chick's msome na hii bwana ya mtu sumuu
@AgnesOwino-r2p17 күн бұрын
God will make a way for you darling
@ColletaOngango18 күн бұрын
Mr, or senior Dave from day one wamboi alisimama na wewe, bona ujachukua uamzi wa haraka, vile magoons walimu angaisha kweli, senior Dave we love you our brother, but this you did wrong to wambui.
@Mesaidi18 күн бұрын
Sdave SbRI huyu annita Akufanyie makubwa zaidi ya hyo
@Lastbornofficial138718 күн бұрын
Hawakukosana na dave but i talked about this before ifanyike na ni mungu anafanya kazi mungu atatenda
@RechalNjeri-n6v17 күн бұрын
Hi we kweli binadamu usahau lakini mungu hajakusahauhiyo kitedo umefanyia dave kujituma kumtafuta na bibi yake alikuastarehe zake mungu mungu atafungulia wambo jia si mungu aliona kujitolea kwa wambu kesho hakutakucha kama leo bado kunajia milango ifunguke don't give up
@linetnyangate131117 күн бұрын
@@RechalNjeri-n6v ata wakati alikuwa anaitaji apuliziwe ewa wambo alijitolea akapuliza namdomo hiyo kazi bibi yake ndio angefanya ukakuwa uwai akili ndio mtu akufaye kwa dhiki ndie rafiki wa kweli
@beckymaria212517 күн бұрын
Amen and amen God has removed wambui frm Dave so that she can bless her wth her own u.tube and job
@Mesaidi18 күн бұрын
Nashangaa huyu sdave mbona wahalifu amesaidia na huyu wamboo ameshindwa nikumsaidia na ninjuz tu nlikua pamoja kwa msitu sdave wallah ogopa mungu
@annnjane169717 күн бұрын
Wambui fought all the way, mpaka kupea Dave mouth-to-mouth resuscitation, wanadamu husahau. Kurudi kwa Anita had nothing to do na kuachiza Wambui kazi, ,,"meaning Dave should never employ a lady." Who has Wambuis mobile number???????????? Or how can i reach her?????
@blessings1217817 күн бұрын
This is not good at all but we listen and we don't judge 😢😢😢 Wambui God will open door for u😢
@bettywanders210217 күн бұрын
Dave I come from Uganda why do you do that to that girl
@Rukas-z4p16 күн бұрын
Aweke.haraka.tuwoci.kabx.wamboi.nakupendaaa
@hawamuwanga24617 күн бұрын
Thanks for the advise about her channel
@miracleerianh994118 күн бұрын
For sure am also not happy for senior dave, this young lady suffered looking for him, and this was how he could pay her back,
@RuthAmukamwa-wh9ke18 күн бұрын
May God intervene through her life we should not judge anyone
@estheraluko366118 күн бұрын
Understanding Anita cannot be in the same place with Wambo i hesimu ndoa ya Dave pls guys Anita is first lady to Dave period.
@MutonyiEmmily-m5b17 күн бұрын
Wow thank you my brother
@bundimiyungo336518 күн бұрын
Dave I understand you want to save your marriage. But you should have talked to Anita that Wambui is there for work.. This is not the way to go.. The way wambui was risking her life in your search. This is inhuman
@hawamuwanga24617 күн бұрын
Let her tumiya that fimbo but let her remember and apologise to that gentleman he betrayed 😢😢😢
@DamarisDamaris-si5sy18 күн бұрын
Dave hajafanya kazi nzuri,huyo annita mbona hakujitolea kutafuta bwanake, kweli wanadamu hawana wema
@Mesaidi18 күн бұрын
Mchukue wamboo bass bro ufanye nae Kaz Bado hajazoea
@suenashto669718 күн бұрын
Well said
@Dmkfavoured18 күн бұрын
I have called her nkamwambia namalizia studio then ntamwambia@@suenashto6697
@Charitykim60017 күн бұрын
Thanks DMK....I was late ...
@Charitykim60017 күн бұрын
Wambo has a great soul as i told you,she is wise...never drag someone in the past.....stand with her DMK
@rachelwaweru130917 күн бұрын
The job is not only at Dave, you should not be desperate.any job is a job while you wait big thing to happen
@Elizabethnzulavoma18 күн бұрын
Kwa mini akamuhua mtoto
@StellaNambuya-bp9cp18 күн бұрын
Ambia wambo asuch kamati TV hiyo guy ako na KAZI ya majuu
@Mesaidi18 күн бұрын
Tena sai utalipwa mabaya zaidi na a annita sdave kushinda kitambo
Je niyeye alijitoa au alifutwa kaxi its good to understand kiini cha yeye kutokua kaxi qwa snr😮
@marymwaura-iw7vn18 күн бұрын
Alisema n yy alimshw atoke aende
@felistasmakoni55518 күн бұрын
Guys Wambui or no Wambui Anita atamtoroka tu Dave. She’s controlling akisaidiya mschana tu Anita atamukataza. Just wait and see.
@Mesaidi18 күн бұрын
Tena Kuna watu waliianza ftna huu ya wamboo akuje gulf wamboo
@JanetMwende-k7z18 күн бұрын
Annita jua wamboi ni wengi uki kosa kubehave kama. Mmama , sasa. Kitakuramba ya byeeeeee.
@bettywanders210217 күн бұрын
They have spent time looking for you
@annnekesa810317 күн бұрын
SD huwa anasema kama kuna kauzuri nishawai kufanyia nikumbuke pia keo tunasema kama kuna kauzuri wamboi aliwaifanyia SD amlipe na uzuri, the influence of some people who calls themselves advisers
@LilianAchieng-bo9xo18 күн бұрын
Kama dave amemufukuza wamboi kwakika dave amecheza raff juu kuna njia ya kumtoa kwa kazi but namini mungu hatamsadia
@sarahwanja973118 күн бұрын
Why Why Why!!! Senior Dave umefanya ujinga wa sana na Mungu anakuona, usisahau vile wambui alikupugania ukiwa kwa kifo wewe
@annitahmaina558017 күн бұрын
Msiongee sana nahamjui vile wameachana mungoje senior aongee
Sababu ya kufutwa ilikua ni nni coz Kuna kitu sielewi...
@nabajjamwajuma719817 күн бұрын
Ameen 🙏
@gerardochiengokumu707117 күн бұрын
Sijafurahia
@Wyckieevents-y5v18 күн бұрын
What happened kwan na senior Dave akamtoa uku😮
@bundimiyungo336518 күн бұрын
Dave this is inhuman
@janeotiso55217 күн бұрын
Dave you don't know how wambui suffered while looking for you, annita was on tv saying you are scripting your contents, Why do this wambui? Senior Dave think, we respected your job but saidia wambui...
@gakyjaklin45017 күн бұрын
SD akufanya poa juu wamboi akufanya annita atoke kwake annita n mtu anapenda kuamaama hii n mara ya tatu anaama na kila kitu ukweli s wamboi kumfanya aame hpana,na mtu alifanya SD afukuse wamboi n Malaika alimpigia simu akasema wamboi atoke uko annita arudi yawa lkn waja mungu asimame na wamboi wamboi alisimama na SD wakati alipotea lkn n sawa tu
@EdithGichuki18 күн бұрын
Kwani Hana kwao ....siarudi kwao ama atafute Kazi ya nyumba ....ama what about mtoto mwenye alichomwa na uji
@josephinemogere861818 күн бұрын
Nyinyi mnangea kama wanyama kwani ulikua Ukaona huyu mtoto unasema? Wewe bure kabisa.
@carolinemwenze883118 күн бұрын
Shut up ..
@mumblessed00118 күн бұрын
Edthi plz be wise
@AminaKawanguzi18 күн бұрын
Why are talking about her like that
@ssjxnx493318 күн бұрын
Kama ulivyatilia vizuri hio store yawambo basi huwezi teta utaelewa ty lakin kama hakuna kitu unajua ulidandia juu juu kama kondakta basi utazidi kuwa nauchungu about wamboo