WILL SMITH amempost, DON JAZZY alimpa 28m, REMA alimshukuru - Mfahamu JAMAL, Mruka Sarakasi Zanzibar

  Рет қаралды 34,954

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

/ yessjamal
/ yessjamal
/ @yessjamal

Пікірлер: 162
@joycekisamo4896
@joycekisamo4896 Жыл бұрын
Wow! This young man is very smart and so talented...atafika mbali sana; sky isn't the limit for him 👏🏽 👏🏽 👏🏽 Yaani imebidi ni pose video ni Google Don Jazzy...Wow! His net value is $100 Million, whaaaat!!???!! Jamal you are smart, talented na una nyota inayo ng'aa SANA! 👍🏽 🙏🏽
@zanzibarboyzanzibar509
@zanzibarboyzanzibar509 Жыл бұрын
🙏🏿🙏🏿🙏🏿
@mkaapwekekariakoo6417
@mkaapwekekariakoo6417 Жыл бұрын
Safi sana. Nafurahi kuona walau anajitahidi kujifunza lugha zaidi. Japo lugha kubwa yake ni upendo na furaha ... Nice one
@sassboy9360
@sassboy9360 Жыл бұрын
Jamal is best na yupo juu sana ila Ali jape is more than the best mtafute utuletee
@smootkizy_jr
@smootkizy_jr Жыл бұрын
Sns mmenifanya niamke usiku san kuwatch hii interview baada ya kuona post yako instagram now nime appreciate san huyu jamaa nilitaman sana oneday aingie kwenye hiyo studio now lengo limetimia good job san bro
@PesaMadafu
@PesaMadafu Жыл бұрын
Trusting the process ❤ I loved it
@mahmoudaziz4717
@mahmoudaziz4717 Жыл бұрын
Jamaa yuko juu saii. Big up jamal love from nungwi.
@muujux9009
@muujux9009 Жыл бұрын
So nice jamall more fire
@Abbakhan.
@Abbakhan. Жыл бұрын
Aise mimi naapreciate sana hii kauli yake "najipeleka mwenyewe" ni kitu cha msingi sana katika maisha usisubiri kupelekwa kwenye mambo yako yafate kwa mafanikio yako mwenyewe..
@ghatichacha837
@ghatichacha837 Жыл бұрын
Proudly 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@sonaldojr3119
@sonaldojr3119 Жыл бұрын
👏
@maissah
@maissah Жыл бұрын
Jamal Invite Eliud Kipchoge, Usain Bolt, Victoria Beckham,
@salitosofo5561
@salitosofo5561 Жыл бұрын
Mwambie aachee ubinafsi wa kusema umimi na kuwasahau wenzake
@dilipdab3714
@dilipdab3714 Жыл бұрын
Kwwli.tunachukua.poa.kweli
@mikiothman103
@mikiothman103 Жыл бұрын
Makachu ni kubiga mbizi
@hamadfakhi3195
@hamadfakhi3195 Жыл бұрын
Home boy
@asante2077
@asante2077 Жыл бұрын
Safi sana dogo, ila ongea kiswahili, English kwako kipengele
@manikhalid8623
@manikhalid8623 Жыл бұрын
Mwamba uyo mtu laxima aonge English ata kma nikipengele He is learning for the best not for the worst dont be a bully.!!!!
@murattywamuratty9778
@murattywamuratty9778 Жыл бұрын
Sauti kama ya Ayoo
@dilipdab3714
@dilipdab3714 Жыл бұрын
Jamal.ww.lakini.unazinguwa.tuu
@NR-ll4sr
@NR-ll4sr Жыл бұрын
Amefanya nini?
@zenarashid930
@zenarashid930 Жыл бұрын
Change settings zako za studio haivutii…ni ushauri tu.
@SimuliziNaSauti
@SimuliziNaSauti Жыл бұрын
Unaonaje ukifungua yako ukaweka setting unazopenda wewe?
@PROGRESS-PULSE
@PROGRESS-PULSE Жыл бұрын
@@SimuliziNaSauti Ila umempiga na kitu kizito kichwani 😂😂
@mudighurayra
@mudighurayra Жыл бұрын
@@SimuliziNaSauti hahahaha
@leadflavour_tz
@leadflavour_tz Жыл бұрын
@@SimuliziNaSauti Dawa ya kuituliza debe tupu 😂 iache kupiga kelele 😅
@iddwangway9403
@iddwangway9403 Жыл бұрын
😂😂😂😂 yaan wew ni disaster umemuua na bunduki cosmas
@ashurahatibu5069
@ashurahatibu5069 Жыл бұрын
Et tanzaniwma alfu znz ni Arabic 🤣🤣🤣
@jessicamwasandube944
@jessicamwasandube944 Жыл бұрын
Akili mingi sana Jamal
@ayubleo
@ayubleo Жыл бұрын
😂😂😂
@priscillachristiansen4331
@priscillachristiansen4331 Жыл бұрын
Contact pls.
@Kiulaini
@Kiulaini Жыл бұрын
Sky please mtafute huyu jamaa Ally jape ufanye nae interview the guy is something else mashallah ana kipaji kukubwa sana
@officialarafa6511
@officialarafa6511 Жыл бұрын
Wazenji tujuwane 😍😍😍one love
@ashurahatibu5069
@ashurahatibu5069 Жыл бұрын
Ili iweje
@atumbwilo8277
@atumbwilo8277 Жыл бұрын
Management ya SNS asante kwa kufanya vipaji kama hivi tuvijue Tanzania tumebarikiwa sana
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar Жыл бұрын
Ahsante sana brother Sky kwa kumleta Jamaal nimejifunza mengi sana
@kijonalusay
@kijonalusay Жыл бұрын
Good Luck and All the Best fam we Happy for You zidi kuipeperusha bendera ya Zanzibar na Tanzania kwa Ujumla
@joycegervas7594
@joycegervas7594 Жыл бұрын
Wasanii wa Tanzania wanatakiwa wajifunze kwa kupitia hii video...hongera zao sana
@regankeresi6410
@regankeresi6410 Жыл бұрын
Jamaa yuko smart .wasanii wa bongo wanachukulia watu poa ndio maana wanafeli
@rjb31
@rjb31 Жыл бұрын
This Guy's charming Kills every drop of talk 💰💰💰💰
@2116-n
@2116-n Жыл бұрын
Very true, na unatamani kuendelea kumsikiliza
@dilipdab3714
@dilipdab3714 Жыл бұрын
Kweli.wabongo.hanakitu.usidilianao.wabongo.watakupoteza.
@aishaswab2413
@aishaswab2413 Жыл бұрын
Inauma pale unapo mtafuta mwafrica mwenzako akufanyie kazi na yeye ako busy kumtafuta foreigners ..na baadae wanateta ati we Africans we don't support our our.wake up guys wakeup.
@husnawright3554
@husnawright3554 Жыл бұрын
Keep doing what you doing man!! 👌 watching you from USA 🇺🇸.
@abdul-hafidhothman9310
@abdul-hafidhothman9310 9 ай бұрын
Hi husna🎉
@welcometoeat165
@welcometoeat165 Жыл бұрын
Watanzania wana roho mbaya shida inaanzia hapo! Yan wana koso pata
@byabe870
@byabe870 Жыл бұрын
Sns mbona atujapata habari ya utafiti kuuhusu kijana RUSHAWN. #sky walker usitwangushe bro
@Bboy_cantara
@Bboy_cantara Жыл бұрын
Mbona ww rafiki yako alivyo chukuwa video ya Badest wa j combat crew hakumpa credit badest akawa na trendi yy na alifikya hatuwa hata hakusema kama ulaya alienda na wenzake huko kufanya kazi and baada ya kuondoka j combat py video ilikuwa ina enda aki postiwa baddest ww una sema Nick ndo alofanya kama una juwa kumpa credit bas ww na rafiki yako Nick akipostiwa museme nani alo fanya ili apate credit mwenzenu
@shadiahshadiahshadiahshadi4060
@shadiahshadiahshadiahshadi4060 Жыл бұрын
Allah abaraliki
@rede_nalisis_tz
@rede_nalisis_tz Жыл бұрын
I know this Guy, Jamaa anajitahidi snaa
@moseshandsam1865
@moseshandsam1865 Жыл бұрын
Super talented keep doing the great work broooo tunaona kazi zenu sana kutoka pande hizi 🇬🇧🇬🇧🇬🇧🇬🇧
@Eddo-es7zs
@Eddo-es7zs Жыл бұрын
Sky una roho nzuri sana, unawafikia hadi watu tusiotarajia
@m___ck799
@m___ck799 Жыл бұрын
Such a nice guy...! Pia najiulizaga mbona wasanii wetu hawatangazi Zanzibar kabisa and its a beautiful 🏝 !??
@alexandrucarmen3185
@alexandrucarmen3185 Жыл бұрын
Hawalipwi dear
@Qqambaa
@Qqambaa Жыл бұрын
Ndoto yngu nikufika Zanzibar siku moja InshaAllah
@abuumunyrelbatwaawy7490
@abuumunyrelbatwaawy7490 21 күн бұрын
​ Karibu sana, zanzibar hakuna matata
@simulizi2632
@simulizi2632 Жыл бұрын
Hongera zao sana. Hard work pays 🙋🏾‍♂️
@habibhamza9766
@habibhamza9766 Жыл бұрын
Nimependa hii interview kufanywa na Sky mwenyewe
@missdija4959
@missdija4959 Жыл бұрын
Smart minded👏🏽🙌🏽🔥 Sijachoka kusikiliza hii interview hata kidogo. Hongera SNS, Hongera Jamal
@peninashungu6633
@peninashungu6633 Жыл бұрын
Naisi Hao waliokufata sio wcb ungeonana na daimond angekupa ata rengeeeeeeeee
@peninashungu6633
@peninashungu6633 Жыл бұрын
Anaongea vizuri Sana nimependa anajieleza kiutamu unapenda kumsikiliza kila wakati
@samniza1763
@samniza1763 Жыл бұрын
I am following him straight away, such a genius guy. We need more youth of this kind.
@johngerald4677
@johngerald4677 Жыл бұрын
Mbona mnaruka wengi unaonekana peke yako
@ezeedi871
@ezeedi871 Жыл бұрын
Panachakujifunza kutoka kwa Don Jazzy legend kafanya kitu pw Sana as Africans i respect him
@emmanuelmchaki2938
@emmanuelmchaki2938 Жыл бұрын
kaz nzuri sky 🔥🔥🔥
@eyabdimaha3698
@eyabdimaha3698 Жыл бұрын
Hongera sana Allah akufanyie wepesi kwenye kazi yako na akuhifadhi pia ufike mbali insha'Allah
@tecratzmwakyambomwakyambo7243
@tecratzmwakyambomwakyambo7243 Жыл бұрын
Anatumia majina gani
@hamadfakhi3195
@hamadfakhi3195 Жыл бұрын
Yesjamal
@mwanajumaomahundumla6504
@mwanajumaomahundumla6504 Жыл бұрын
Mcheshi Mashallah Mungu akutimizie malengo yako
@PAPAZAMIRHAHAYA
@PAPAZAMIRHAHAYA Жыл бұрын
Nice sanaa... God Bless Don Jazzy
@lambickmanda9125
@lambickmanda9125 Жыл бұрын
Napenda sana ihii interview
@NR-ll4sr
@NR-ll4sr Жыл бұрын
Wasanii wa Bongo hata ukitumia nyimbo zao hawakupost hata insta story,namkumbuka yule mmasai aliwapost waBongoo weee,,hata. Nyoko. Hawakumwambia,,,mwisho akaamua apost wahindi....
@benjaminkangolo2017
@benjaminkangolo2017 Жыл бұрын
Good job 👍
@bonemwaminifu3935
@bonemwaminifu3935 Жыл бұрын
Sky legend
@stellah3844
@stellah3844 Жыл бұрын
💞💞🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@bonemwaminifu3935
@bonemwaminifu3935 Жыл бұрын
Tisha sana
@axmedcumar6196
@axmedcumar6196 Жыл бұрын
Daaah safi sana yaani Dogo Jamal una madini kama yoteeee blessings
@michaelramadhan9466
@michaelramadhan9466 Жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥
@Qqambaa
@Qqambaa Жыл бұрын
Ana kiswahili Cha mombasa
@Sean1877
@Sean1877 Жыл бұрын
Kiswahili cha pwani or coastal Swahili
@sahimm4767
@sahimm4767 Жыл бұрын
Coast yote ni moja
@farhatothman3710
@farhatothman3710 Жыл бұрын
Pole icho ndo kizanzibar
@ashuraomar4935
@ashuraomar4935 Жыл бұрын
Ana kiswahili cha Zanzibar
@NR-ll4sr
@NR-ll4sr Жыл бұрын
Zanzibar
@dilipdab3714
@dilipdab3714 Жыл бұрын
Bongo.hawana.kitu.wababaishaji.wabongo.achana.nao.zeji.tupo.juu.sanaa
@ashurahatibu5069
@ashurahatibu5069 Жыл бұрын
Huyo anaemhoji ni mznz kwani acheni ujinga znz
@donomar6876
@donomar6876 Жыл бұрын
Sharp Mind... Akili Kubwa
@nizobeatz90
@nizobeatz90 Жыл бұрын
ongera mzee wangu jamal
@abrashizorashid117
@abrashizorashid117 Жыл бұрын
Kazi safi
@2116-n
@2116-n Жыл бұрын
20:59🤣🤣🤣, wenge la pesa @sns
@ladyt1471
@ladyt1471 Жыл бұрын
Hongeŕeni sana
@KSACTV
@KSACTV Жыл бұрын
sky interview nzuri sana
@sumajux4530
@sumajux4530 Жыл бұрын
Big point kua kila kitu anachukua muda kujipatia knowledge
@yellabenard8881
@yellabenard8881 Жыл бұрын
Akiri mingi chief ......
@barakamafoletz
@barakamafoletz Жыл бұрын
Creator Economy 👏👏👏👏👏
@NR-ll4sr
@NR-ll4sr Жыл бұрын
WaTz wengi roho mbayaaaa, wanaona wakimsaidia mTz mwenzao atafanikiwa,,
@beatricemwakalinga4140
@beatricemwakalinga4140 Жыл бұрын
This time nikija Zanzibar i wish to meet him ni kijana mwenye tarent kubwa
@Kibaadvocate
@Kibaadvocate Жыл бұрын
Jamaaaa katisha sana
@akimanaarlene851
@akimanaarlene851 Жыл бұрын
Uku riyadhi rema amefanya visuli
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 Жыл бұрын
Rema all the world ametisha hadi billboard
@akimanaarlene851
@akimanaarlene851 Жыл бұрын
@@fahadfaraj6474 sana
@kingnass4552
@kingnass4552 Жыл бұрын
Good story amazing
@erickabel6201
@erickabel6201 Жыл бұрын
❤❤❤❤❤
@twentyacresfarms3464
@twentyacresfarms3464 Жыл бұрын
17:23
@regankeresi6410
@regankeresi6410 Жыл бұрын
Jamaa yuko smart .wasanii wa bongo wanachukulia watu poa ndio maana wanafeli
@rashidyussuf9633
@rashidyussuf9633 Жыл бұрын
Nice sana jamal na sky
@fadhiliromwald
@fadhiliromwald Жыл бұрын
👏🏿
@moseshandsam1865
@moseshandsam1865 Жыл бұрын
Nice job ✅✅✅✅✅
@mweusiasili8345
@mweusiasili8345 Жыл бұрын
Nice interview
@rosemahenge9071
@rosemahenge9071 Жыл бұрын
Kumbe wazanzibar asili yao ni wacheshi nimeligundua hili sasa ukisikiliza interview za Zuchu huchoki kusikiliza na leo nimemsikiliza Jamal sijachoka kusikiliza interview haiboi jamaa yupo humble ahsante sana SnS kwa kutuletea Jamal 🥰🥰
@kitewithkhamis6035
@kitewithkhamis6035 Жыл бұрын
Hahaha!
@ashurahatibu5069
@ashurahatibu5069 Жыл бұрын
Jaribu kwenda kuishi nao utawajua vzr
@rosemahenge9071
@rosemahenge9071 Жыл бұрын
@@ashurahatibu5069 wakoje tena jamani mbona unanikatisha tamaa
@esterlove8489
@esterlove8489 Жыл бұрын
Mbna wazanzanzibari wako poa sana
@esterlove8489
@esterlove8489 Жыл бұрын
Sisi tupo zanzibar tunaishi nao
@lodvee1717
@lodvee1717 Жыл бұрын
I wish you all the best genius Jamal, Sky bro keep it exceptional🙏
@sharifahabsi5004
@sharifahabsi5004 Жыл бұрын
Mashaallah 👏👏
@tafutampenzi1653
@tafutampenzi1653 Жыл бұрын
Moja kati interview nzuri sana
@fortunathabarabara8471
@fortunathabarabara8471 Жыл бұрын
Hongera brother nimeenjoy
@starniceofficial5492
@starniceofficial5492 Жыл бұрын
5th to comment
@mwanamkeshujaabongoflavama7180
@mwanamkeshujaabongoflavama7180 Жыл бұрын
Ndo nakisikia lakini tu nasubiri kusikia manzee
@samniza1763
@samniza1763 Жыл бұрын
Business language! Biashara haigombi.
@rahmambugi1950
@rahmambugi1950 Жыл бұрын
Hongera sana mungu aendee kukupa mwangaza
@samniza1763
@samniza1763 Жыл бұрын
Sisi tuliozaliwa nyumbani tunaelewa.
@mosesmahinya9654
@mosesmahinya9654 Жыл бұрын
Jamaal yuko vizur sana
@aminanamoyo83
@aminanamoyo83 Жыл бұрын
Keep going Jamal w👍👌❤
@MellanieKay
@MellanieKay Жыл бұрын
Inspiring 🎉
@fortunathabarabara8471
@fortunathabarabara8471 Жыл бұрын
nimecheka et hawa watu kweli?
@abdulkhalfan4695
@abdulkhalfan4695 Жыл бұрын
❤YessJamal 💥
Help Me Celebrate! 😍🙏
00:35
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 39 МЛН
11. Byzantium - Last of the Romans
3:27:31
Fall of Civilizations
Рет қаралды 4,7 МЛН
UI/UX Course | UI/UX Free Course | UI/UX Training | Intellipaat
3:34:54
round 3 بدوام كامل
3:16:17
Michael Beshay
Рет қаралды 3,8 М.
كيف تنجح العلاقات مع ياسر الحزيمي | بودكاست فنجان
3:03:09
The Open Forum Episode 58
3:48:17
EFDawah
Рет қаралды 80 М.