Ila Brother willy ajadadisi mziki vizuri kama mwanamziki ajaongeya kama Mwanamziki yani anaongeya kama shabiki Mahana maojiona yanaitaji busara zaidi
@Mastajibumusic2 ай бұрын
Duh niatari msanii nunda
@Mastajibumusic2 ай бұрын
Duh icant talk with you wait for it
@DadaKaka-jv7yf2 ай бұрын
🔴 #IME FATA, SO NI VEMA KWANZA
@Olakemelody2 ай бұрын
Willy nunda Cha kwaza juwa tuna kueshimu sana brother kama kweli WW mzazi usifikie Ku mtusi mwanao siyo matusi ili upate kiki brother interview hii wanasikiliza watu wengi sana ata aho wa manaja unao taka wakusapoti Kwa matusi Ayo kweli uta wapata Wewe fanya mziki usihongelee walioko Tanzania brother utashidwa kufanya Yako ukibaki unahagalia tu walioko Tanzania 😀
@bfizianoofficial6572 ай бұрын
Ana Domo sana uyo Grand 😂
@saluxeagle2 ай бұрын
Willy
@AmisiHassaniTygo2 ай бұрын
Ikulu kama ikulu
@MbondoJeunesTalents2 ай бұрын
Willy Nunda ihi Hop yote imepotea kwanini.
@chrisrickado2 ай бұрын
Mziki unakwenda na wakati pia na unahitaji uwekezaji
@Kilo-j5r2 ай бұрын
Willy nunda ni mganga wa asili uyo
@chrisrickado2 ай бұрын
Na mbinu pia
@donhenriquemauridi18492 ай бұрын
Alichokisema ni ukweli. Ila wajinga watachukulia kick nakuhunda bifu katika hilo. Daima ukweli uhumiza. Kuhamia sehemu, haijalishi kuendelea kimziki, bali nikufanya kazi kwa bidik popote pale, na utatatoka kimataifa. Nawatakieni kilalaheri wasani hote wa nyumbani
@LEGENDSBROTHERHOOD2 ай бұрын
Wewe mwenyewe umepauka , utafikiri unalala ndani ya vumbi , wewe huzidi hata msanii mmoja wa NYARUGUSU, kule wanajituma , wanafanya videos nzuri, mziki mzuri kuliko nyie