WIMBO MAALUM WA YANGA, AFRIKA MASHARIKI HAKUNA, ALIYETUNGA ANENA AKIWA MAREKANI “MZEE MPILI YUPO"

  Рет қаралды 113,844

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 274
@AhazyStanley
@AhazyStanley 2 ай бұрын
Huu wimbo mkali kuliko hata wa Madrid 💚💛🖤🇹🇿🤝Hongera brother
@birundula
@birundula 2 ай бұрын
Nyimbo kama hizi tumezeokea kuzisikia matimu ya Mbele. Dah Ally Kamwe na Eng: Said tunawaomba mkubali wimbo Safi sana huu
@leonardmabula9472
@leonardmabula9472 2 ай бұрын
Wimbo mzuri unao amsha sana hisia ya Uzalendo na mapenzi ya kweli BIG ÙP
@CleanNgoda
@CleanNgoda 2 ай бұрын
Naomba wimbo mzuri kaka tuko good sana pamoja
@hafia.056
@hafia.056 2 ай бұрын
Wananchi mmpo lakini eee hayaa sasa sisi wanaYanga ama wananchi tujaribu kuwa very very seriously kwanza viongozi wetu makocha wetu nasisi one billions supporters kuipeleka the GIANT Youngs Africans mbele and mbele kabisa kabisa. Asanteni sana wanaYanga woote tusifanye mchezo...na kuwa na Wimborne hii niswafffy teana swafffy asante kakaa asante kakaa peleka mbele team yes well done 👏 ✔️ thanks you very much 👏
@MohamediJaziry
@MohamediJaziry 2 ай бұрын
Safi kaka wimbo mzuri umejitahd na umeonyesha ktu tuko pa1 hao wanasema kwaya ni hasili tu ya watanzania chuki majungu na kuto kupenda kizuri akikifanya mwenzio saf saf tuko nawewe 👍👍
@RosemaryRichard-fy9zk
@RosemaryRichard-fy9zk 2 ай бұрын
Aache zuruma aliwatumia watu wawili wakaimba ajawapa ata mia kima uyo
@CleanNgoda
@CleanNgoda 2 ай бұрын
Safi kaka wimbo mzuri umejitahd na umeonyesha ktu tuko haowanasema kwaya ni hasili tu ya watanzania chuki majungu na kuto kupenda kizuri akikifanya mwenzio saf saf tuko nawewe 🙏🙏🙏🔥👍👍👍
@peterchalamila6198
@peterchalamila6198 2 ай бұрын
Hongera sana dogo um wefanya vizuri sana¡¡ Tunauomba uongozi wa Yanga ulitafakari kwa undani sana jambo hili la YANGA ANTHEM
@Carolina-sm5zt
@Carolina-sm5zt 2 ай бұрын
Wimbo mzuri sana Mdogo angu japo wengine wanaweza kubeza wala usiwajali hao angalia nini unafanya na Mungu akusaidie katika mipango yako🎉🎉
@chotark1881
@chotark1881 2 ай бұрын
Kwaya yetu ,,safi sana ,mmefuata noteni za mziki wa kisabato , mnajua sana kutunga😂
@monicalucas3738
@monicalucas3738 2 ай бұрын
Wimbo mzuri sanaaa, ka,i nzuri sana kijana 👏👏👏🎉🎉🎉
@MajaliwaThobias
@MajaliwaThobias Ай бұрын
Wimbo huu hakika unahisia kubwa kuliko uleee wa cuf ni mzuri mzuri mzuri mnoo hata wanaweza kuununua❤
@MohamedMjeng
@MohamedMjeng 2 ай бұрын
Wimbo mzuri sana, hongera sàna mtunzi. Wananchi tumeupokea Kwa 🙏👏
@mohammedkombo9798
@mohammedkombo9798 2 ай бұрын
Good idea 👍
@wendelinmahumba8826
@wendelinmahumba8826 2 ай бұрын
Big up sana kijana, kumbe nimewahi kuwa naongea na kipaji kikubwa sana. Mungu akubariki sana 🎉🎉🎉🎉👏👏👏👏👏
@LaizarEmmanueli
@LaizarEmmanueli 2 ай бұрын
Kaka wimbo mzur sana naomb Wana yangap wenzangu kubali wimbo huu na pia tump suppt kijana huyu asanteni sana wananchi mpoo
@LucyVictor-c9c
@LucyVictor-c9c 2 ай бұрын
Simba mnaumizwa sana na kwaya ya Yanga,....Na ninyi tengenezeni Qaswida kama ni rahisi......mnateseka sana 😂😂😂😂😂
@tonyjames6658
@tonyjames6658 2 ай бұрын
😅😅😅...et kwaya
@calvintheone299
@calvintheone299 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@liberatusjackson5045
@liberatusjackson5045 2 ай бұрын
Wambie😂😂😂😂 TABORA
@VanShayokviewshoursago
@VanShayokviewshoursago 2 ай бұрын
Unajitekeny nakuchek mwenyew
@JghghfgjjgfHvfghhhff
@JghghfgjjgfHvfghhhff 2 ай бұрын
😂😂😂kwalipi
@hassanimngetege2904
@hassanimngetege2904 2 ай бұрын
Huu wimbo ni sahihi sana kwa viongozi kuipitisha iwe rasmi mzuri na mfupi🤣🤣🤣👏👏👏👍
@NurdinMatumbi-v6n
@NurdinMatumbi-v6n 2 ай бұрын
Uko vizuri sana kaka💛💛💛💛💛💚💚💚💚💚
@gladnesswazir-zz9lk
@gladnesswazir-zz9lk 2 ай бұрын
Wimbo mzuri 🎉💚💚💚💛💛☝️✅🇹🇿
@hirizonetz9558
@hirizonetz9558 2 ай бұрын
Huu wimbo tuutumie kwenye kila mechi mashabiki tutakuwa tunauimba ni wimbo mzuri kinoma
@sirielsamweli
@sirielsamweli 2 ай бұрын
Yanga mbele daima❤❤❤❤❤ally kamwe ❤❤❤❤Eng. Hersi❤❤❤❤GSM ❤❤❤❤❤❤❤❤Yanga Bingwa@wimbo wet mxuri❤❤❤❤❤
@neemansasu9761
@neemansasu9761 2 ай бұрын
Weka kopa za njano
@DhahabuSafi
@DhahabuSafi 2 ай бұрын
Very good.wimbo super kabisa. Thanks.
@donaldmasamaki8730
@donaldmasamaki8730 2 ай бұрын
Kijana nakupa 👏👏👏kwa hii special anthem ya YangA. nina uhakika hii itaongeza morali ya wachezaji na sisi wanachama , wapenzi na mashabiki wa YangA kuhakikisha tunashinda daima.. Naunga mkono hii anthem ipigwe kwa mara ya kwanza tarehe 26.11.2024 Mkapa stadium. 🙏🙏🙏🙏
@Carolina-sm5zt
@Carolina-sm5zt 2 ай бұрын
Kweli kabisa wimbo ni mzuri
@YaredJunior-co1kz
@YaredJunior-co1kz 2 ай бұрын
❤❤ upewe mauwa yako 🎉🎉
@MichaelMagesse
@MichaelMagesse 2 ай бұрын
Nimeufurahia sana Bigup😅😅😅
@daudilangison-gj4yo
@daudilangison-gj4yo 2 ай бұрын
Nimeshangaa VIONGOZI WETU hawajauzungumzia kabisa Huu WIMBO, aiseee hii song tamu Sana kikubwa mtunzi kafanya KAZI Yake 🙏🙏🏽🙏🙏🏽
@omarsalum4052
@omarsalum4052 2 ай бұрын
Maelezo mazuri sana, hiii inaonesha elimu ina umuhimu kias gani kwenye maisha
@emmanuelmwasha8625
@emmanuelmwasha8625 2 ай бұрын
Kijana hongera sana Mungu akubariki Sana, Na jina lako litabaki vizazi Na Vizazi kwa protect hii, Leo umefanya kwa lengo la kibiashara na kiupenzi wa Timu yako, lkn affect yake itapekekea jina lako kutokufa. Napenda Na Nina shawishika wananchi kuukubali
@donaldmasamaki8730
@donaldmasamaki8730 2 ай бұрын
KONGOLE SAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA! Mr. Frank Mkika. Tunaomba upitishweeeeeeeee bila kupingwa.
@leoncearistides3448
@leoncearistides3448 2 ай бұрын
Classmate wangu pale Karatu boys high school class of 2019 PGM
@HamisifarijalaNyoni
@HamisifarijalaNyoni 2 ай бұрын
SAFI SAAANA KIJANA MZALENDO MWENYE SIHA YA MABADIRIKO HAKIKA NAIONA YANGA MBELE NAIONA IKIRUKA VIKWAZO VIKUBWA NA KUWEKA ALAMA ISIYOFUTIKA
@mwanahamisihatibu590
@mwanahamisihatibu590 2 ай бұрын
Umefanya kazi nzuri
@rehemanyenzi2165
@rehemanyenzi2165 2 ай бұрын
Yanga mbele daima nyuma mwiko MUNGU aibariki Yanga ❤❤❤pamoja na viongozi wetu wa yanga sport club
@rehemanyenzi2165
@rehemanyenzi2165 2 ай бұрын
Wimbo ni mzuri sana yanga sport club 🎉🎉🎉🎉
@rehemanyenzi2165
@rehemanyenzi2165 2 ай бұрын
God bless for yanga sport club 🎉🎉🎉❤❤❤
@neemansasu9761
@neemansasu9761 2 ай бұрын
Weka kopa za kijani
@GodfreyKarino
@GodfreyKarino 2 ай бұрын
Mmm ni wimbo mzuri saaana
@ismailngulingar2133
@ismailngulingar2133 2 ай бұрын
Huu ni best song kwa club kubwa kama yanga tuachaneni na nyimbo za singeli kama za yule naniii wa simba tunda bovu nyimbo zake za hovyo hovyo. Hii ni nyimbo iliyoenda shule sio kila nyimbo hiwe inaamsha amsha kwa midundo tuachaneni na fikra hizo vikundi vya amsha amsha vipo. Vitafanya kazi yake ila hii hiwe nyimbo special song kwa club yetu pendwa yanga
@AnthonyMsigwa
@AnthonyMsigwa 2 ай бұрын
Mujomba upo good❤❤❤❤
@Willzyp
@Willzyp Ай бұрын
🎉🎉 chama kubwaaa
@RamadhanMbwana-o1j
@RamadhanMbwana-o1j 2 ай бұрын
Ngoma iko poa, lakini ungeingiza na vionjo vya Kiafrika kidogo itakuwa Bomba zaidi👍🏿
@SamsonMajula-u8f
@SamsonMajula-u8f Ай бұрын
I have mine also, written but I never went to studio
@christianjohnmwalugaja8090
@christianjohnmwalugaja8090 2 ай бұрын
Safi sana dogo. Nadhani viongozi wetu ni wasikivu. Nami nakadhia hapo.
@BarakaJapheti-p5k
@BarakaJapheti-p5k 2 ай бұрын
Kak angu,hakika wewe umefikiria jambo jema Sana,hakika nitamanio langu pia lamda mrefu Sana tufike huko,Yani nimekuona kama umeshuswa na Mungu ili uje utimize kwa vitendo matamanio yawengi ktk Hilo,nawasii viongozi wa yanga maana naamini niwasikivu basi hili walichukuwe kikamilifu na kwakila namna wakuunge mkono kwakila unali hitaji,barikiwa Sana kaka,najua changamoto zipo nakusii usikate tamaa ktk hili,nakusii lipambanie kama mpigania uhuru wa nchi kwa moyo wa dhati, Naitwa Baraka from Arusha,kama tunatakiwa tuchangie pia tuambie ,yanga kwanza
@ameirzapy1318
@ameirzapy1318 2 ай бұрын
Huu wimbo unatufunza kuishi hatua zote za mpira, maumivu, furaha na kila kitu
@Saidiamiri-s8i
@Saidiamiri-s8i 2 ай бұрын
Mbona siuoni huu wimbo hapa!
@muhidinihamisiathumani
@muhidinihamisiathumani 2 ай бұрын
Mi naona ni mwimbo nzuri sana ikipigwa tare 26 itahamasisha watu kujaza uwanja
@isackhabel1559
@isackhabel1559 2 ай бұрын
Hongera sana ndugu yetu umetuheshimisha sanaa uinuliwe zaidi na zaidi
@WilfredChomo
@WilfredChomo 2 ай бұрын
NIMEPENDA SANA WIMBO WA MSHIKAMANO WA YANGA AFRIKA.NINAUBARIKI KUWA WIMBO WA USHINDI.VIONGOZI WA YANGA,UPOKEENI KWA MIKONO MIWILI.HAYA NI MAONO MAPYA. KUMBE MZEE MPILI NI MTAALAM WA SAXOPHONE?BIG UP KWAKE.
@zaishanga1622
@zaishanga1622 2 ай бұрын
Unatisha mwanangu big up upigwe kwa kwelii!
@KapondaZenaida
@KapondaZenaida 2 ай бұрын
Daima mbele nyuma mwiko 💚💚🔰 hiiimeenda tumeitisha
@albertvalentino130
@albertvalentino130 2 ай бұрын
Huo ndo wimbo unaopaswa kuimbwa uwanjani wakati game inaendelea,wakati watu wanasakwa vilivyo --- wimbo una meck send -- " ule Leo ndo Leo ... Unaimbwa haraka haraka mno,hautach -- wananchi twende na huu Sasa "
@raphaelkessy7360
@raphaelkessy7360 2 ай бұрын
Wimbo wetu💛💚💛💚👍
@NurdinMatumbi-v6n
@NurdinMatumbi-v6n 2 ай бұрын
Nice song❤❤❤❤❤❤❤
@panchovalentino3576
@panchovalentino3576 2 ай бұрын
VIVA YANGA VIVA WANANCHIII NGOMA KALII SAANA 💚💛⚽🏆🔥💪🥇
@IdefonceAchimesi
@IdefonceAchimesi 2 ай бұрын
Kiukwel ni nyimbo Bora sana imepoa sana kiukwel jamaa ameutendea haki sana huu wimbo
@safarivahocha8077
@safarivahocha8077 2 ай бұрын
Mimi naona uachie tu wimbo wako, afu viongozi wataamua wenyewe kama unafaa kuidhinishwa kama wimbo wa Yanga , kutokana na utakavyokua umepokelewa na wananchi. Ila sidhani kama ni busara kuwataka viongozi Yanga kuidhinisha wimbo mapema kiasi hicho. Ni mchakato ndugu yangu.
@BramaMrama
@BramaMrama 2 ай бұрын
Daa kaka nyimbo mzir sana
@ommy2525
@ommy2525 2 ай бұрын
Mpaka mtungiwe nyimbo Sasa huo ni wimbo wa kuhamasisha au wa kuomboleza utoporoooooo😅😅😅😅😅😅
@SarahSanga-p6d
@SarahSanga-p6d 2 ай бұрын
Kuma ww utopolo
@nsajigwamwakalinga3591
@nsajigwamwakalinga3591 2 ай бұрын
Hii njema sana
@makaroyakisasa7199
@makaroyakisasa7199 2 ай бұрын
Yanga msaidieni jamaa amalize shule yake hata kama nyimbo ni mbaya ni Project aliyochagua ❤.
@astinamtega4799
@astinamtega4799 2 ай бұрын
Alisha maliza chuo 2023 UDSM
@makaroyakisasa7199
@makaroyakisasa7199 2 ай бұрын
@astinamtega4799 degree ndo kamaliza UDSM, na degree sio mwisho wa Elimu huyo marekani anaendelea kuongeza Elimu.
@bernadethaabudho6587
@bernadethaabudho6587 2 ай бұрын
😂Hongera Kijana Mzalendo kwa Ubunifu Mzuri.Huu wimbo Mzuri,Una Hamasa Ktk Timu Yanga,Na omba Uimbwe Kila Mechi Inapocheza,Ili kuleta Hamasa Zaidi.Viongozi Mlifànyie kazi.🇹🇿🙏
@tasilomdamu5417
@tasilomdamu5417 2 ай бұрын
Hongera kijana! Viongozi wa yanga liangalieni Hilo, ili wimbo huo uimbwe tar.26/11/2024
@RajabuMtanda
@RajabuMtanda 2 ай бұрын
Safi kabisa guy wimbo uimbwe dune day
@jicjeph2987
@jicjeph2987 2 ай бұрын
Wimbo ni mzuri sana. Ila inakosa testi ya sauti. Kwenye test ya vocal, inabidi ziwe sauti nyingi. Isiwe ya mtu mmoja.
@bonifaceeria1927
@bonifaceeria1927 2 ай бұрын
Wimbo mzuri Kaka tuko pamoja
@jumachapile2829
@jumachapile2829 2 ай бұрын
Nimeusikia huu wimbo ni mkari sana
@JanethNjuga
@JanethNjuga 2 ай бұрын
Huu wimbo kiukweli una hisia kali sana, unaweza ukauimba huku machozi yanatoka, tuutafutie jina uwe rasmi.
@IsmailMpita
@IsmailMpita 2 ай бұрын
Duuuuh kwa hiyooo hiyooo nyimboo nzur ? Ndomaana diamond anakua mkubwa kila siku kumbeee watu wanaimba ujinga
@Carolina-sm5zt
@Carolina-sm5zt 2 ай бұрын
Usiite ujinga kazi ya mwenzako mbarikie tu nawe utabarikiwa
@kimswartty1161
@kimswartty1161 2 ай бұрын
Nyimbo sawa ila bado haitoweza fikiaa ya simbaa mazee
@HalimaMatembo-nw4tb
@HalimaMatembo-nw4tb 2 ай бұрын
Nyie mnaosema beat limepooza mlitaka likae beat la amapiano au😂😂
@damianmcba9525
@damianmcba9525 2 ай бұрын
Waambie wasikilize Anthem ya Madrid au ya barcelona ndio watajua Aziwekwi beat za disco bali uwanjani kwa ajili ya team
@PaulKidula-o9g
@PaulKidula-o9g 2 ай бұрын
La singeli😅
@Pascal-z2k
@Pascal-z2k 2 ай бұрын
Mzee Mpiri ametisha san
@charlesmugisha6529
@charlesmugisha6529 2 ай бұрын
Uo wimbo ni mzuri Sana unatufaa Wana yanga.🙏🙏♥️♥️
@Beagasper
@Beagasper 2 ай бұрын
God bless my Yanga, bless uongozi wetu Mungu tupe ushindi.
@RajabBiseko
@RajabBiseko 2 ай бұрын
Aisee huu wimbo umenisisimua sana,jamaa kafikiria kuhusu huu wimbo kuhusu timu yetu
@SospeterNdaga
@SospeterNdaga 2 ай бұрын
Kolo nao wanao wa rose mhando
@nkengimasanja1899
@nkengimasanja1899 2 ай бұрын
Wameanza kuimba kwaya😂😂😂
@PaulKidula-o9g
@PaulKidula-o9g 2 ай бұрын
😅😅manina
@Carolina-sm5zt
@Carolina-sm5zt 2 ай бұрын
Kwaya ndiyo habari ya mjini tena unaimba kwa hisia
@shedadiabdul654
@shedadiabdul654 2 ай бұрын
Wivu Mama Wivu
@SelvanusKaishozi
@SelvanusKaishozi 2 ай бұрын
Mimi kiujumra nimeikubali kabisa ndogo uko vizuri sana ndovitu vinaitajika ktk soka lakisasa
@bakarimdeve8386
@bakarimdeve8386 2 ай бұрын
Mimi ni Mwananchi Mwanachama na Shabiki naunga mkono wimbo huu
@andrewsabaini4991
@andrewsabaini4991 2 ай бұрын
Wimbo mzuri sana nashauri kile kibwagizo cha mwisho kirudiwe mara mbili.
@malangobinlokendo1231
@malangobinlokendo1231 2 ай бұрын
Mbona huhu wimbo nahutafuta youtube sioni jamani msaada wa links yaani nimeshatafuta hadi shazam wapi
@Kimweri_tz
@Kimweri_tz 2 ай бұрын
Bonge moja la wimbo
@maxiellmillian
@maxiellmillian 2 ай бұрын
Mzee mpiri ni Fundi wa kupiga hilo dude 😅😅😅😅
@kibwetere8147
@kibwetere8147 2 ай бұрын
Good song Yanga African
@schofieldodhiambo7957
@schofieldodhiambo7957 2 ай бұрын
Hii imeshapita. Sisi ndio wenye team
@MAJIDJUMA-cj1ok
@MAJIDJUMA-cj1ok 2 ай бұрын
Safi sana kaka
@silasmarandu1485
@silasmarandu1485 2 ай бұрын
Yanga hii inafungwaje! Was the best🤔🤔 Sasa nashangaaa hauimbwi tena, asking myself!
@LeylaSaria
@LeylaSaria 2 ай бұрын
Tunaimba saan Kwan kigen Nini hapo kufungwa na Azam tungefungwa na Simba ndo tungeshangaaa😂
@abubakaryussuf-g2i
@abubakaryussuf-g2i 2 ай бұрын
Ngoma kali kweli hiii ikapigwe tuu
@abrahmanmussa1384
@abrahmanmussa1384 2 ай бұрын
Ubarikiwe sana tupopamoja sana
@godsson5954
@godsson5954 2 ай бұрын
wauchangammshe wimbo hup idea nzur beat mbaya
@errydeo8865
@errydeo8865 2 ай бұрын
No ,umetulia ulivyo! Hiyo ni football anthem,sio wimbo WA kurukaruka bro! Kasikilize anthem Kama YOU WILL NEVER WALK ALONE(Liverpool), BLUE CITY( Man city) , GLORY GLORY ( Man U) na Nyingine nyingi! kila MTU akiujua,ukaimbwa na watu 40! Kiwanja kizima kinazizima! Zipo nyingi mbona za kuruka! JAMANI HIZi ZINAITWA FOOTBALL ANTHEMS( zinaweza kuwa za culu au timu ya taifa)
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 2 ай бұрын
DUH MIMI NI MWANANCHI LIA LIA LAKINI HILI SIYO NYIMBO TU HILI NI BONGE LA KWAYA, HATA KWA CHACHI TUNALIGONGA KAMA PAMBIO!! HONGERA MTUNZI YAONEKA WEWE NI MSABATO MZURI... YANGA TUPOKEE NYIMBO YA KISABATO HII 😂😂😂
@RatifaDihoni
@RatifaDihoni 2 ай бұрын
Hiyo ni gospol tu,atunge mungine
@AbdulShemweta-db8mf
@AbdulShemweta-db8mf 2 ай бұрын
da kweli utake usitake yanga tuko ulimwengu wetu hongela saaaaaaaana2
@JUMABOY-xo2df
@JUMABOY-xo2df 2 ай бұрын
Kwani wimbo inaitwaje
@RosemaryRichard-fy9zk
@RosemaryRichard-fy9zk 2 ай бұрын
Acha roho mbaya wimbo wameimba Tom na Godi
@shafiimohamedi311
@shafiimohamedi311 2 ай бұрын
Hii imeenda
@mosule9262
@mosule9262 2 ай бұрын
Hiyo kwaya haidumu kwenye mpira ,Sasa mzize wa Nini kwenye kwaya ,?
@MarksevenTz
@MarksevenTz 2 ай бұрын
Idea nzuriii ila MELODY WITH BEAT Ni MBAYAAA.. Jamaaa Akae Na Fobi amfundishee namna ya kutengeneza nyimbo zenye VIBE LA KUAMSHA KUSHANGILIA MWANZO MWISHOO
@moniek6317
@moniek6317 2 ай бұрын
Tunga wako
@JofuleydanieliMadeje
@JofuleydanieliMadeje 14 күн бұрын
Mnateseka makolo mkiwa wapi
@godsson5954
@godsson5954 2 ай бұрын
wimbo umepooza sana kama kwaya
@Tabibuibrahimu
@Tabibuibrahimu 2 ай бұрын
Hii ni Anthem
@FrenkMushi-i7f
@FrenkMushi-i7f 2 ай бұрын
Umeshaa zoea singeliii wee kengeee
@NeemaMushi-wj1zn
@NeemaMushi-wj1zn 2 ай бұрын
😂😂😂😂
@LucyVictor-c9c
@LucyVictor-c9c 2 ай бұрын
@@godsson5954 Mtoto naona unaotaka....hujakoma tu!!?
@SarahSanga-p6d
@SarahSanga-p6d 2 ай бұрын
Huelewi kitu ww
@veelmng7746
@veelmng7746 2 ай бұрын
ubunifu mkubwa hongera sana
@JonasAthanas-m5n
@JonasAthanas-m5n 2 ай бұрын
Nyie makolo mbona mna nongwa mtuheshimu maana max ana hasira na ninyi kwa mara nyingine
@JoshuaJonathan-yk7lh
@JoshuaJonathan-yk7lh 2 ай бұрын
Let us GO,,,,
@ohadilameckmdunya5309
@ohadilameckmdunya5309 2 ай бұрын
Wimbo upigwe,iwe surprise ya wananchi Kwa Makolo
YANGA MBELE KWA MBELE SONG| WACHA WAISOME NAMBA.
2:49
Yanga TV
Рет қаралды 42 М.
To Brawl AND BEYOND!
00:51
Brawl Stars
Рет қаралды 17 МЛН
BAYGUYSTAN | 1 СЕРИЯ | bayGUYS
36:55
bayGUYS
Рет қаралды 1,9 МЛН
Правильный подход к детям
00:18
Beatrise
Рет қаралды 11 МЛН
When A Gang Leader Confronted Muhammad Ali
9:03
Boxing After Dark
Рет қаралды 12 МЛН
Simba SC 1- 5 Yanga | Highlights | NBC Premier League - 05/11/2023
12:02
To Brawl AND BEYOND!
00:51
Brawl Stars
Рет қаралды 17 МЛН