No video

Wimbo uliowatoa machozi watu wengi john Kashamba akiimba(SUBSCRIBE PLEASE Whatssap

  Рет қаралды 1,374,207

John Kashamba

John Kashamba

Күн бұрын

LINK OF THE OFFICIAL VIDEO WATCH HERE
👇👇👇👇
• UTASIMAMA UPANDE WANGU...

Пікірлер: 702
@MajdAl-pp6in
@MajdAl-pp6in 4 ай бұрын
Amina Mugu awatie guvi wazazi wenzangu nikidonda kikali sana lakini yote niyamugu nimeishiwa na guvu nikiona hiyo miliyawtoto poleni sana Tanzania mimi natoka Kenya saudarebia niko kikazi tu poleni sana wazazi wenzangu inaniuma Mugu zaidi kuwatia guvu
@reubenopuken4843
@reubenopuken4843 Жыл бұрын
Kwa hakika acha mungu attendee makuu yake. Huyu wimbo ni funzo kuu kwa maisha ya kisasa bila hela wewe ni dume surwali. Mungu akuongezee ujuzi na uwendelee kutunga nyimbo zaidi ya Imani.
@johnkashamba
@johnkashamba Жыл бұрын
Ameen kaka asante kwa kunitia moyo nafarijika kupata kibari hiki asante sana
@mwinjilistiaristidesmeja1834
@mwinjilistiaristidesmeja1834 Жыл бұрын
Nahitaji kupata nyimbo zako nitakupataje mtumishi wa Mungu, nimebarikiwa sana na wimbo wako huu
@johnkashamba
@johnkashamba Жыл бұрын
@@mwinjilistiaristidesmeja1834 Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu nitumie ujumbe what's sap 0717946737
@miriamgyuzi8159
@miriamgyuzi8159 Жыл бұрын
@@johnkashamba aAaaAAAaAaAAAaaaAa
@miriamgyuzi8159
@miriamgyuzi8159 Жыл бұрын
@@johnkashamba aa
@felixulanga
@felixulanga 4 ай бұрын
Wimbo unafundisha sana kazana utafika mtumishi
@Associacao_Maos_Solidarias
@Associacao_Maos_Solidarias 15 сағат бұрын
Meu Deus dos vivos tende compaixão de todos os necessitados , Tanzânia, Moçambique e África no geral,amen
@PapaTheKingKenya
@PapaTheKingKenya Жыл бұрын
Watching 🔥🔥🔥🔥🔥,hawa dada na ndugu wanitafute kama muibaji wa injili nimeupenda huu wimbo
@johnkashamba
@johnkashamba Жыл бұрын
Barikiwa sana tukutafute kwa namba ipi Mtumishi wa Mungu ubarikiwe kwa kututia moyo tunaomba maelekezo
@johnkashamba
@johnkashamba Жыл бұрын
Ameen
@johnkashamba
@johnkashamba Жыл бұрын
#SHUKRANI niwashukuru wote mlio jitoa kutazama nyimbo hii niwashukuru watu wote Duniani niwashukuru kipekee watu wa #KENYA mmenionyesha upendo mkubwa mme #share sana link Yangu Mungu awabariki sana pia #Tanzania nyumbani Asante na Nchi zingine siwezi taja zote nikamaliza ninaheshimu sana Msaada wenu naomba msinichoke pia mnishauri mnapo onasiko sawa Asanteni
@rodawafula2519
@rodawafula2519 Жыл бұрын
Amen and amen 🙏🙏🙏🙏
@FaithKyalo-js1jt
@FaithKyalo-js1jt 9 ай бұрын
Mungu akushike mkono akuzidishue ekima na maarifa umtumikie milele amina
@debornagage9882
@debornagage9882 Жыл бұрын
Min wimbo tamu sana
@johnkashamba
@johnkashamba Жыл бұрын
Asante sana naomba unisaidie Ku #share
@ToyiFelix
@ToyiFelix Жыл бұрын
Habari nduguzangu
@johnkashamba
@johnkashamba Жыл бұрын
Njema mwana wa Mungu
@helenamwashivyala3315
@helenamwashivyala3315 Жыл бұрын
Mungu utasimama upande wangu hakika
@johnkashamba
@johnkashamba Жыл бұрын
Ameen Ubarikiwe sana naomba unisaidie Ku #Share naomba
@munalook4477
@munalook4477 11 ай бұрын
Yesu amkumbuke zaidi ya hivyi
@johnkashamba
@johnkashamba 11 ай бұрын
Ameen Barikiwa sana nisaidie ku #share
@deborajacobo2273
@deborajacobo2273 7 ай бұрын
Ama kwel maskin mungu asimame tu bil mungu hatuwez chochote aiseee niuzuni tu mungu awe mfariji wetu daim ee yesu tusaidie tutie nguvu
@johnkashamba
@johnkashamba 7 ай бұрын
Ameen Barikiwa sana nisaidie ku share
@JoelTilal
@JoelTilal 6 ай бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi wa mungu
@christinemulongo935
@christinemulongo935 Жыл бұрын
Usikate tamaa mungu ajakuacha
@johnkashamba
@johnkashamba Жыл бұрын
Ameen Barikiwa sana
@johnkashamba
@johnkashamba Жыл бұрын
Leo nimekuja kuwashukuru wote mnaojitolea kwa upendo Ku #share link za nyimbo zangu Mimi ni kijana maskini ninae ishi kijijini sana najishugurisha na kilimo sinauwezo wa Ku #shoot video nzuri lakini naona mnavyo nipensa na kunisapoti naomba msinichoke naomba sana pia muendelee kunisaidia Ku #share siku moja nitapata pesa nitawaletea video nzuri na nitahamia Mjini na Mimi Asanteni sana no zangu za whatssap ni #0717946737
@johnkashamba
@johnkashamba Жыл бұрын
ASANTENI SANA WATU WA #KENYA NIMEUONA UPENDO WENU KWANGU NAIONA SAPOTI YENU MUNGU AWABARIKI SANA SANA.
@chepkoechjoy3513
@chepkoechjoy3513 Жыл бұрын
Be blessed
@johnkashamba
@johnkashamba Жыл бұрын
Ameen
@Michaelntambala-dw6cx
@Michaelntambala-dw6cx 11 ай бұрын
Hakika ni kazi iliyotukuka
@johnkashamba
@johnkashamba 11 ай бұрын
Ameen Barikiwa sana nisaidie ku #share naomba
@naseeralbishi4726
@naseeralbishi4726 5 ай бұрын
Amen Mungu apigane na adui zangu
@johnkashamba
@johnkashamba 5 ай бұрын
Ameen Barikiwa sana nisaidie ku share Tafadhar nisaidie
@florencekaranja5169
@florencekaranja5169 Жыл бұрын
Mungu simama na wanyonge
@johnkashamba
@johnkashamba Жыл бұрын
Ameen Barikiwa sana na Asante sana kwa kuwa watu wa wengi kwa sehemu kubwa mmenifanya kuwa hapa Leo naomba unisaidie Ku #share na MUNGU akubariki sana
@marymarbell3958
@marymarbell3958 5 ай бұрын
😢God bless you umenitia nguvu na huu wimbo naomba mungu unipiganie
@johnkashamba
@johnkashamba 4 ай бұрын
Barikiwa sana nisaidie ku share Tafadhar nisaidie NAOMBA
@user-mr6gz9dc4q
@user-mr6gz9dc4q 7 ай бұрын
my God bless you and increase work your hands
@johnkashamba
@johnkashamba 7 ай бұрын
Ameen Barikiwa sana
@PhiligencySeleman
@PhiligencySeleman Жыл бұрын
Hongera kk
@johnkashamba
@johnkashamba Жыл бұрын
Barikiwa sana
@user-mc4yk5iv6j
@user-mc4yk5iv6j 9 ай бұрын
Mungu naamini umesikia kilio cha wanyonge
@isayasangija8587
@isayasangija8587 Жыл бұрын
Yuko Mungu hakika Ubalikiwe sana ujumbe unapenya kwenye hisia zangu ni metoa mchozi hakika
@johnkashamba
@johnkashamba Жыл бұрын
Ameen ubarikiwe sana kwa kunitia moyo naomba unisaidie Ku share
@vincentauxerbius7554
@vincentauxerbius7554 Жыл бұрын
Mungu wetu ni mkuu sana akubariki sana kwa hicho alichokiachia kwako jitahd kukitumia kutangaza neno lake amen
@johnkashamba
@johnkashamba Жыл бұрын
Ameen Barikiwa sana sana kwa kusapoti kazi hii naomba pia unisaidie Ku share
@vincentauxerbius7554
@vincentauxerbius7554 Жыл бұрын
@@johnkashamba pamoja sana
@godfreyhanda921
@godfreyhanda921 6 ай бұрын
Amen 🙏 vita ni vyako bwana
@rhodamahewa4155
@rhodamahewa4155 Жыл бұрын
Ubarikiwe kaka John wimbo unagusa
@johnkashamba
@johnkashamba Жыл бұрын
Ubarikiwe sana yesu akutunze sana naomba unisaidie ku share na #subscribe
@johnkashamba
@johnkashamba Жыл бұрын
Leo nimekuja kuwashukuru wote mnaojitolea kwa upendo Ku #share link za nyimbo zangu Mimi ni kijana maskini ninae ishi kijijini sana najishugurisha na kilimo sinauwezo wa Ku #shoot video nzuri lakini naona mnavyo nipensa na kunisapoti naomba msinichoke naomba sana pia muendelee kunisaidia Ku #share siku moja nitapata pesa nitawaletea video nzuri na nitahamia Mjini na Mimi Asanteni sana no zangu za whatssap ni #0717946737
@africanustv6398
@africanustv6398 Жыл бұрын
Kali sana
@johnkashamba
@johnkashamba Жыл бұрын
asante sana Mungu akubariki sana naomba unisaidie Ku #share na Mungu akubariki sana
@mwitimrukaria4906
@mwitimrukaria4906 Жыл бұрын
Mungu hakubariki bro
@johnkashamba
@johnkashamba Жыл бұрын
Ameen Barikiwa sana na Asante sana kwa kuwa watu watu wengi kwa sehemu kubwa mmenifanya kuwa hapa Leo naomba unisaidie Ku #share na MUNGU akubariki sana
@AbdurachidNzoyamara-cz3mp
@AbdurachidNzoyamara-cz3mp 10 ай бұрын
Mungu ni Mungu Acha makuu atendeke hajawahi shindwa kwamaana Fadhili zake niza milele ameen
@TabiaObadia
@TabiaObadia 4 ай бұрын
Mungu ni mugutu acha aitwe mungu
@omarymwenebatu
@omarymwenebatu 6 ай бұрын
Mbarikiwesana kunamafunzo makubwa
@Africanworshipmedia
@Africanworshipmedia Жыл бұрын
Atukuzwe masihi Kristo Mwana Wa Mungu. Sifa, Utukufu na mamlaka ni vyako sasa na hata daima.
@johnkashamba
@johnkashamba Жыл бұрын
Ameen Barikiwa sana Mungu akutunze naomba unisaidie Ku #share
@johnkashamba
@johnkashamba Жыл бұрын
Leo nimekuja kuwashukuru wote mnaojitolea kwa upendo Ku #share link za nyimbo zangu Mimi ni kijana maskini ninae ishi kijijini sana najishugurisha na kilimo sinauwezo wa Ku #shoot video nzuri lakini naona mnavyo nipensa na kunisapoti naomba msinichoke naomba sana pia muendelee kunisaidia Ku #share siku moja nitapata pesa nitawaletea video nzuri na nitahamia Mjini na Mimi Asanteni sana no zangu za whatssap ni #0717946737
@sauttyndogobabaa
@sauttyndogobabaa Жыл бұрын
Nce song ever imeniguza kweli😌😌simama na mimi pigana na adui zangu
@johnkashamba
@johnkashamba Жыл бұрын
Ameen Mungu akubariki sana
@sauttyndogobabaa
@sauttyndogobabaa Жыл бұрын
@@johnkashamba 🙏🙏🙏
@user-eu6zk5qi4u
@user-eu6zk5qi4u 7 ай бұрын
Johny mungu akupariki ame
@johnkashamba
@johnkashamba 7 ай бұрын
Ameen Barikiwa sana nisaidie ku share
@graceamran326
@graceamran326 Жыл бұрын
Ameen kaka John yesu akutie nguvu nimejikuta nimeguswa hi nyimbo inanihusu mimi kabsa yesu atutie nguvu
@johnkashamba
@johnkashamba Жыл бұрын
Ameen Barikiwa sana Dada Grace Mungu asikusahau akupe haja ya moyo wako nikuombe unisaidie Ku #share hii
@LukaslaizerLaizer
@LukaslaizerLaizer 8 ай бұрын
poleee best ubarikiwe sana
@TelesiaSanga
@TelesiaSanga 8 ай бұрын
Hakika mungu wetu ni jemedari wa vita atapigana na adui zetu, mungu akuinue mtumishi
@johnkashamba
@johnkashamba 8 ай бұрын
AMEEN BARIKIWA SANA NISAIDIE TU KU SHARE
@johnkashamba
@johnkashamba 8 ай бұрын
Ameen Barikiwa sana nisaidie ku share
@Barakabatwerinyato
@Barakabatwerinyato 18 күн бұрын
Ubarikiwe zaidi
@betyndoli
@betyndoli Жыл бұрын
Pigana nao yesu wanao pigana n maisha yangu
@johnkashamba
@johnkashamba Жыл бұрын
Ameen hakika atakupigania Dada Yangu katika Jina la Yesu Pia nikuombe kutoka miyoni unisaidie ku sambaza #link kwa Ku #share kwa marafiki na kwingineko Nakuomba sana na Mungu akubariki sana kwa moyo wa upendo Asante sana
@rispher277
@rispher277 Жыл бұрын
Bila shaka waja mungu atetee viwete ,mayatima na wajane pia wenye hawajiwezi.
@johnkashamba
@johnkashamba Жыл бұрын
Ameen Asante sana kwa namna unavyo nisapoti Mungu akubariki sana naomba pia unisaidie #share hii link na Mungu akubariki sana kwa kila jambo utendalo
@urwagasabo.
@urwagasabo. Жыл бұрын
Very Soon I want be There.
@johnkashamba
@johnkashamba Жыл бұрын
God bless you very much for your heart of love for them, these people live in Tanzania, Kilimanjaro, their what's sap number is +255717946737
@anithakilasi3681
@anithakilasi3681 Жыл бұрын
Mhh yaan duu huu wimbo umegusa saana, barikiwa saana Mtu wa Mungu,
@johnkashamba
@johnkashamba Жыл бұрын
Ameeb barikiwa kwa sapoti yako naomba unisaidie Ku share pia na #subscribe
@barakanyato192
@barakanyato192 8 ай бұрын
Aisee Mungu akubaliki
@johnkashamba
@johnkashamba 8 ай бұрын
Barikiwa sana
@DixmaxOkumu-fu7ew
@DixmaxOkumu-fu7ew Жыл бұрын
Machozi ya nyongehulibwa na mungu
@johnkashamba
@johnkashamba Жыл бұрын
Ameen niseme asante sana kwa upendo wako pia naomba unisaidie Ku #share tafadhar nakuomba na Mungu akubariki sana
@mwaminifungo4665
@mwaminifungo4665 Жыл бұрын
Mungu akukumbuke
@johnkashamba
@johnkashamba Жыл бұрын
Ameen Asante kwa maombi yako nakuomba unisaidie Ku #share na Mungu aonae akubariki sana na kukufanikisha kwa msaada wako
@user-gd5dk8nu2v
@user-gd5dk8nu2v 11 ай бұрын
Kaka tunakupenda wadogozako mungu akutie nguvu ukupandishe viwango kwenda viwango
@johnkashamba
@johnkashamba 11 ай бұрын
Ameen Barikiwa sana
@jacklinekhayechia4362
@jacklinekhayechia4362 Жыл бұрын
Jehovah akubariki alicho kiweka ndani mwako nikikubwa tumika ni yeye mwenye nguvu
@johnkashamba
@johnkashamba Жыл бұрын
Oooh Ameen sister Jacklin Asante kwa kunitia moyo Ubarikiwe sana sana naomba pia unisaidie Ku share Ubarikiwe sana
@johnkashamba
@johnkashamba Жыл бұрын
Leo nimekuja kuwashukuru wote mnaojitolea kwa upendo Ku #share link za nyimbo zangu Mimi ni kijana maskini ninae ishi kijijini sana najishugurisha na kilimo sinauwezo wa Ku #shoot video nzuri lakini naona mnavyo nipensa na kunisapoti naomba msinichoke naomba sana pia muendelee kunisaidia Ku #share siku moja nitapata pesa nitawaletea video nzuri na nitahamia Mjini na Mimi Asanteni sana no zangu za whatssap ni #0717946737
@readonshilaho4279
@readonshilaho4279 Жыл бұрын
Ningekuwa na uwezo ningesaidia ndugu yangu.Mungu akulinde.
@johnkashamba
@johnkashamba Жыл бұрын
Ameen Asante sana
@margaretaliero5431
@margaretaliero5431 Жыл бұрын
😢😢😢😢 so touching. Mungu anaviumbe vya dhamana jamani. Barikiwa mtumishi 💕💕
@johnkashamba
@johnkashamba Жыл бұрын
Ameeen Mungu akubariki sana kwa Support yako naomba unisaidie ku #Share na. #subscribe kama bado hujafanya hivyo
@ToyiFelix
@ToyiFelix Жыл бұрын
Kwer tumtumikie bwa❤
@peninakombe
@peninakombe Жыл бұрын
Amen ndugu munguazidi kukupa kibal imniinua mahal hii nyimbo yako
@johnkashamba
@johnkashamba Жыл бұрын
Ameen hakika atakupigania Dada Yangu katika Jina la Yesu Pia nikuombe kutoka miyoni unisaidie ku sambaza #link kwa Ku #share kwa marafiki na kwingineko Nakuomba sana na Mungu akubariki sana kwa moyo wa upendo Asante sana
@peninakombe
@peninakombe Жыл бұрын
@@johnkashamba amen nitakusaidia
@johnkashamba
@johnkashamba Жыл бұрын
@@peninakombe Asante sana jamani Mungu akubariki sana asikupungukie nashukuru sana
@jennykiller5966
@jennykiller5966 Жыл бұрын
Mungu unaweza kufany.kila.jambo..hakika.hautaacha wano kulikulilia.simama..kwa.kila.mmoja..bwana..simama.nao
@johnkashamba
@johnkashamba Жыл бұрын
Ameen sana naomba unisaidie Ku share na #subscribe kama bado
@johnkashamba
@johnkashamba Жыл бұрын
Leo nimekuja kuwashukuru wote mnaojitolea kwa upendo Ku #share link za nyimbo zangu Mimi ni kijana maskini ninae ishi kijijini sana najishugurisha na kilimo sinauwezo wa Ku #shoot video nzuri lakini naona mnavyo nipensa na kunisapoti naomba msinichoke naomba sana pia muendelee kunisaidia Ku #share siku moja nitapata pesa nitawaletea video nzuri na nitahamia Mjini na Mimi Asanteni sana no zangu za whatssap ni #0717946737
@faithndanukombe254
@faithndanukombe254 Жыл бұрын
The song umenifny nikatoa machozi😢😢jina la nyimbo plss
@johnkashamba
@johnkashamba Жыл бұрын
Mungu akubariki kwa Support yako naomba unisaidie Ku #share video hii kwa wengine kzbin.info/www/bejne/Y2TTkpSvba2jZ6M Utasimama upande wangu by John kashamba
@faithndanukombe254
@faithndanukombe254 Жыл бұрын
@@johnkashamba thanks I will
@esperancenathali
@esperancenathali Жыл бұрын
Sijatazama wimbo wote la mwanzo 😢Mungu akusimamie katika kazi uake utafika mbali
@johnkashamba
@johnkashamba Жыл бұрын
Ameen jamani Dada Yangu Mungu akubariki sana naomba unisaidie Ku #share hii
@johnkashamba
@johnkashamba Жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏🙇‍♂️🙇‍♂️
@agnesslucas4744
@agnesslucas4744 Жыл бұрын
barikiwa kwawimbo wa fuzo kwetu ss
@johnkashamba
@johnkashamba Жыл бұрын
Ameen barikiwa pia kwa sapoti yako naomba pia unisaidie Ku share na subscribe
@violethwillium8282
@violethwillium8282 Жыл бұрын
Mungu nimwema Amee
@johnkashamba
@johnkashamba Жыл бұрын
Ameeni Barikiwa Sana naomba unisaidie KU #share
@diackomwansu660
@diackomwansu660 Жыл бұрын
Nice 😊
@johnkashamba
@johnkashamba Жыл бұрын
Ameen sana
@johnkashamba
@johnkashamba Жыл бұрын
Tusaidie Ku share
@gracesambula1970
@gracesambula1970 Жыл бұрын
Hayo mafunzo masuri sana mungu Awabariki
@johnkashamba
@johnkashamba Жыл бұрын
Ameen Dada Grace ubarikiwe kwa sapoti yako naomba unisaidie Ku share hii
@Sheilashisiali-df6gm
@Sheilashisiali-df6gm 5 ай бұрын
Amen more blessings 🙌 🙏
@johnkashamba
@johnkashamba 5 ай бұрын
Barikiwa sana nisaidie ku share Tafadhar
@NoraSharana-ue3jl
@NoraSharana-ue3jl Жыл бұрын
God bless you 🙏 ❤️
@johnkashamba
@johnkashamba Жыл бұрын
Ameen Barikiwa sana naomba unisaidie Ku #share naomba msaada wako
@DamaKerubo-ei5sd
@DamaKerubo-ei5sd Жыл бұрын
Nice song powerful msg❤❤
@johnkashamba
@johnkashamba Жыл бұрын
Ameen Barikiwa sana nisaidie ku #Share
@user-do6un4ow8v
@user-do6un4ow8v 10 ай бұрын
Amina san ubarikiwe
@johnkashamba
@johnkashamba 10 ай бұрын
Barikiwa sana nisaidie ku #share
@johnkashamba
@johnkashamba Жыл бұрын
BWANA YESU ASIFIWE NIKUKARIBISHE KTAZAMA OFFICIAL VIDEO YA WIMBO HUU LEO CHAKUFANYA #GUSA LINK HAPO CHINI LINK OF THE OFFICIAL VIDEO WATCH HERE 👇👇👇👇 kzbin.info/www/bejne/f2KaZnujfq10iq8
@jacksonsilungwe
@jacksonsilungwe Жыл бұрын
Naombaa..yamwombajii..huyu..nikiwa...zambia
@johnkashamba
@johnkashamba Жыл бұрын
Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu asante kwa support yako namba za Muimbaji huyu ni 0717946737 au 0719997926 zote ziko whatssap Barikiwa sana
@johnkashamba
@johnkashamba Жыл бұрын
0717946737 whatssap
@user-op5dj2pi1y
@user-op5dj2pi1y Жыл бұрын
Mungu akubaliki
@johnkashamba
@johnkashamba Жыл бұрын
Ameen asante sana naomba unisaidie ku #Share
@Karin-wk5xr
@Karin-wk5xr Жыл бұрын
Mmmmh huo wimbo umefanya nilie
@johnkashamba
@johnkashamba Жыл бұрын
Jamani pole na asante kwa sapoti yako naomba unisaidie Ku share hii
@Karin-wk5xr
@Karin-wk5xr Жыл бұрын
@@johnkashamba ok asante
@bettynduta8066
@bettynduta8066 Жыл бұрын
Eee Mungu wa Israel uturehemu, tuondolee kiburi tuumbie moyo safi ili tukubalike machoni pako katka jina la Yesu Amen
@johnkashamba
@johnkashamba Жыл бұрын
Ameen Barikiwa sana naomba nisaidie Ku share
@bettynduta8066
@bettynduta8066 Жыл бұрын
@@johnkashamba Amen
@hellenobwogi472
@hellenobwogi472 Жыл бұрын
Wow amazing song and touching wacha mungu aitwe mungu
@johnkashamba
@johnkashamba Жыл бұрын
MUNGU akubariki sana umekuwa MTU muhimu na sehemu ya kuinuka kwa huduma yangu MUNGU akubariki sana naomba usinichoke nisaidie Ku #share link hii na MUNGU akubariki sana
@johnkashamba
@johnkashamba Жыл бұрын
Ameen Barikiwa sana MTU wa MUNGU naomba pia unisaidie Ku share #link nqhitaji msaada wako naomba sana nisaidie na MUNGU akubariki kwa kadri ya uhitaji wako
@user-if2fw8xx2d
@user-if2fw8xx2d 11 ай бұрын
Mungu ni mwema 😢😢😢be blessed sana kwa nyimbo nzuri
@johnkashamba
@johnkashamba 11 ай бұрын
Ameen Barikiwa sana naomba unisaidie ku #Share tafadhar naomba
@SamsonAbelly-kv9ho
@SamsonAbelly-kv9ho Жыл бұрын
Very good song
@johnkashamba
@johnkashamba Жыл бұрын
Thank you so much please naomba unisaidie Ku #share naomba
@RoseKasichana
@RoseKasichana 2 ай бұрын
Hii imeenda
@zakayombangoissaya5697
@zakayombangoissaya5697 Жыл бұрын
Hakika umebarikiwa mtumish
@johnkashamba
@johnkashamba Жыл бұрын
Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu nimefurahia Comment yako naomba unisaidie Ku #share na Mungu akubariki sana
@josieinyanji2122
@josieinyanji2122 Жыл бұрын
Amen be blessed bro Great song
@johnkashamba
@johnkashamba Жыл бұрын
Ubatikiwe sana naomba unisaidie Ku #share
@user-dr6yx8wc3n
@user-dr6yx8wc3n 9 ай бұрын
mungu nimwema
@johnkashamba
@johnkashamba 9 ай бұрын
Ameen Barikiwa sana nisaidie ku share
@morganbendera598
@morganbendera598 Жыл бұрын
Poa sana
@johnkashamba
@johnkashamba Жыл бұрын
MUNGU akubariki sana umekuwa MTU muhimu na sehemu ya kuinuka kwa huduma yangu MUNGU akubariki sana naomba usinichoke nisaidie Ku #share link hii na MUNGU akubariki sana
@teresiajonas5500
@teresiajonas5500 Жыл бұрын
Hongera sana wimbo mzuri sana
@johnkashamba
@johnkashamba Жыл бұрын
Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu
@LutemaKalimbaFloribert
@LutemaKalimbaFloribert 5 ай бұрын
Mwenyezi Mungu azidi kufanyikisha kazi hii, ongera kw
@johnkashamba
@johnkashamba 5 ай бұрын
Ameen Barikiwa sana nisaidie ku share Tafadhar
@user-rk3tw9yq4j
@user-rk3tw9yq4j 11 ай бұрын
Ubarikiwe
@johnkashamba
@johnkashamba 11 ай бұрын
Ameen Barikiwa mno nimefurah kwa support yako naomba unisaidie ku #Share
@MainesDismas
@MainesDismas 10 ай бұрын
Daa mungu wangu
@johnkashamba
@johnkashamba 10 ай бұрын
Asante kwa support yako naomba unisaidie ku #Share
@focuserick6162
@focuserick6162 Жыл бұрын
Ok nilikua sijashea kabisa nilisahau.mungu akutie nguvu.
@johnkashamba
@johnkashamba Жыл бұрын
Ameen kaka Barikiwa sana nashukuru mno mno Mungu akubariki sana
@johnkashamba
@johnkashamba Жыл бұрын
Leo nimekuja kuwashukuru wote mnaojitolea kwa upendo Ku #share link za nyimbo zangu Mimi ni kijana maskini ninae ishi kijijini sana najishugurisha na kilimo sinauwezo wa Ku #shoot video nzuri lakini naona mnavyo nipensa na kunisapoti naomba msinichoke naomba sana pia muendelee kunisaidia Ku #share siku moja nitapata pesa nitawaletea video nzuri na nitahamia Mjini na Mimi Asanteni sana no zangu za whatssap ni #0717946737
@mrkibali6075
@mrkibali6075 Жыл бұрын
Hongera ndugu yang una kitu ndani Yako
@johnkashamba
@johnkashamba Жыл бұрын
Ameen kaka Mtumishi wa Mungu barikiwa sana umenitia moyo sana
@omegajohn6225
@omegajohn6225 Жыл бұрын
Kak 💪 Mungu azidi kukuinua milele🎉🎉🎉🙏🙏🙏🙏
@user-sy7lt7vr1n
@user-sy7lt7vr1n 5 ай бұрын
Kwakweri wamama tusiangarie leo tujuwekunakesho
@johnkashamba
@johnkashamba 5 ай бұрын
Barikiwa sana nisaidie ku share
@AgnessMtweve-wn2oy
@AgnessMtweve-wn2oy 8 ай бұрын
Hakika MUNGU mkuu
@johnkashamba
@johnkashamba 8 ай бұрын
Hakika Barikiwa sana nisaidie ku share
@esthermoindi7097
@esthermoindi7097 Жыл бұрын
Nice song
@johnkashamba
@johnkashamba Жыл бұрын
Asante sana Dadangu barikiwa sana naomba unisaidie Ku #share
@musafiribahati8295
@musafiribahati8295 6 ай бұрын
Ubarikiwe na Mungu
@lorinkijedi2373
@lorinkijedi2373 Жыл бұрын
Wow nice song God bless you
@johnkashamba
@johnkashamba Жыл бұрын
Ameen Barikiwa sana
@geofreyburchard432
@geofreyburchard432 Жыл бұрын
Mungu awabariki mnaotupa neno la kweli
@johnkashamba
@johnkashamba Жыл бұрын
Ameen barikiwa pia kwa sapoti yako
@user-yo8ek5fo4s
@user-yo8ek5fo4s 6 ай бұрын
Wimbo mzurii
@munalook4477
@munalook4477 11 ай бұрын
Plz mama president mama wa tanzania,hona hii mbaraka mum ,am from kenya,ni vyema mum usimame na hii message ya mungu .
@johnkashamba
@johnkashamba 11 ай бұрын
Barikiwa sana naomba unisaidie ku #share
@Larissa254
@Larissa254 Жыл бұрын
Indeed it's a touching song, God bless you 🙏
@johnkashamba
@johnkashamba Жыл бұрын
Ameen my friend thank you for you're support
@flashercomedy115
@flashercomedy115 Жыл бұрын
Kazi safi kaka
@johnkashamba
@johnkashamba Жыл бұрын
Ameen Barikiwa sana sana
@mollyfrank9130
@mollyfrank9130 Жыл бұрын
Mungu pigania Wana wako🙏
@johnkashamba
@johnkashamba Жыл бұрын
Ameen Barikiwa sana naomba unisaidie Ku share
@johnkashamba
@johnkashamba Жыл бұрын
Leo nimekuja kuwashukuru wote mnaojitolea kwa upendo Ku #share link za nyimbo zangu Mimi ni kijana maskini ninae ishi kijijini sana najishugurisha na kilimo sinauwezo wa Ku #shoot video nzuri lakini naona mnavyo nipensa na kunisapoti naomba msinichoke naomba sana pia muendelee kunisaidia Ku #share siku moja nitapata pesa nitawaletea video nzuri na nitahamia Mjini na Mimi Asanteni sana no zangu za whatssap ni #0717946737
@shadrackwere3514
@shadrackwere3514 Жыл бұрын
Mungu ni Mungu. Wimbo huu umenitoa machozi. Unatubariki sana waKenya.
@johnkashamba
@johnkashamba Жыл бұрын
Ameen Mungu akubariki sana asanteni wa #kenya kwakua mmenitia moyo pakubwa Yesu awabariki sana nimekuwa nikiangalia Analysis mnaongoza asanteni naomba mnisaidie Ku share
@johnkashamba
@johnkashamba Жыл бұрын
Leo nimekuja kuwashukuru wote mnaojitolea kwa upendo Ku #share link za nyimbo zangu Mimi ni kijana maskini ninae ishi kijijini sana najishugurisha na kilimo sinauwezo wa Ku #shoot video nzuri lakini naona mnavyo nipensa na kunisapoti naomba msinichoke naomba sana pia muendelee kunisaidia Ku #share siku moja nitapata pesa nitawaletea video nzuri na nitahamia Mjini na Mimi Asanteni sana no zangu za whatssap ni #0717946737
@geraldlyimo2859
@geraldlyimo2859 Жыл бұрын
Mliopeleka hii injili kijijini Mungu wa Mbingunii awatunze
@johnkashamba
@johnkashamba Жыл бұрын
Ameen Barikiwa sana tunaomba support yako ya Ku #share na #subscribe kama bado
@danielyusuph1738
@danielyusuph1738 Жыл бұрын
MUNGU akubariki sana mtumishi uendelee juu zaidi ya hapo
@johnkashamba
@johnkashamba Жыл бұрын
Ameen Asante sana Mtumishi wa Mungu naomba pia unisaidie Ku #share link hii kwaya wengine na Mungu akubariki sana sana
@wanjiku28
@wanjiku28 Жыл бұрын
Why am I crying as I watch and listen ..... Is it because most of us take God's Grace and favour Soo much for granted 😢?? May God help us to always appreciate And be Grateful regardless our situations in Life. 🙏
@johnkashamba
@johnkashamba Жыл бұрын
Ameen Thank you and God bless you very much for supporting me, I have nothing to repay you, only God bless you very much in everything, I also ask you to help #share this link
@marykiwoi7821
@marykiwoi7821 Жыл бұрын
Very powerful song and touching our hearts. Barikiwa sana mtumishi kwa mafunzo ya ajabu.
@johnkashamba
@johnkashamba Жыл бұрын
Ameen Dada Mary ubalikiwe sana kunitia moyo naomba pia usisahau Ku #subscriber na #Share
@jacklinekhayechia4362
@jacklinekhayechia4362 Жыл бұрын
Amen
@johnkashamba
@johnkashamba Жыл бұрын
BWANA YESU ASIFIWE NIKUKARIBISHE KTAZAMA OFFICIAL VIDEO YA WIMBO HUU LEO CHAKUFANYA #GUSA LINK HAPO CHINI LINK OF THE OFFICIAL VIDEO WATCH HERE 👇👇👇👇 kzbin.info/www/bejne/f2KaZnujfq10iq8
@GetrudaDaniel-xl4ri
@GetrudaDaniel-xl4ri 11 ай бұрын
Unanibariki sanaa kaka💞
@johnkashamba
@johnkashamba 11 ай бұрын
Ubarikiwe sana Dada yangu
@johnkashamba
@johnkashamba 11 ай бұрын
❤️❤️❤️❤️
@philipogabriel6056
@philipogabriel6056 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana ila hapo mwanzon milivoigiza kiswahili bado kinarafudhi ya nyumbani endelea kukaza kaka kumbuka unahudumia watu wa makabila tofaut tofauti 🙏🙏🙏
@johnkashamba
@johnkashamba Жыл бұрын
Ameeni kaka Barikiwa sana endelea kunitia moyo
@dennomtotowasarah1519
@dennomtotowasarah1519 Жыл бұрын
Aki inaguza moyoni Kabisaa... Barikiwa sana
@johnkashamba
@johnkashamba Жыл бұрын
Ameenj asante naomba nisaidie Ku share
@johnkashamba
@johnkashamba Жыл бұрын
Asante ni jamani kwa upendo mnao nionyesha machozi ya furaha yananitoka kila nikitazama watu mnavyo jitoa Ku #share video zangu sina chakuwalipa ila nawaombea Mungu asiwasahau hakika Mungu awakumbuke kuna watu wanapitia nyakati ngumu Mungu awapiganie nawapenda #Tanzania nawapenda wa #KENYA na nchi zingine Mmenipa heshima kubwa nisiyo stahili Asanteni sana 🙏🙏🙏🙏🙏😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏🙇‍♂️🙇‍♂️🙇‍♂️🙇‍♂️ no zangu za #what's sap 0717946737
@estheroduongo5186
@estheroduongo5186 Жыл бұрын
In life whatever you're going through just know that God never sleeps He will always hold your hand just give Him a chance
@johnkashamba
@johnkashamba Жыл бұрын
Ameen
@johnkashamba
@johnkashamba Жыл бұрын
Leo nimekuja kuwashukuru wote mnaojitolea kwa upendo Ku #share link za nyimbo zangu Mimi ni kijana maskini ninae ishi kijijini sana najishugurisha na kilimo sinauwezo wa Ku #shoot video nzuri lakini naona mnavyo nipensa na kunisapoti naomba msinichoke naomba sana pia muendelee kunisaidia Ku #share siku moja nitapata pesa nitawaletea video nzuri na nitahamia Mjini na Mimi Asanteni sana no zangu za whatssap ni #0717946737
@issamkilikiti20
@issamkilikiti20 Жыл бұрын
Very much jonh
@johnkashamba
@johnkashamba Жыл бұрын
Ni nakushukuru sana kwa upendo na support yako kwangu naomba usinichoke unisaidie Ku #share link hii kwaya wengine
@user-ql3fx7fl8c
@user-ql3fx7fl8c 6 ай бұрын
It's touching song God bless you 🙏🙏
@johnkashamba
@johnkashamba 6 ай бұрын
Ameen thank you for your support please help me #share
白天使选错惹黑天使生气。#天使 #小丑女
00:31
天使夫妇
Рет қаралды 14 МЛН
Gli occhiali da sole non mi hanno coperto! 😎
00:13
Senza Limiti
Рет қаралды 21 МЛН
Rose Muhando - Wanyamazishe (Official Music Video) SMS SKIZA 7634235 TO 811
7:20
Rose Muhando Official
Рет қаралды 28 МЛН
SHEREHE SONG BY JACKSON MUTINDA MASEKETE AT TALA KANGUNDO
6:05
Jackson Mutinda (MASEKETE)
Рет қаралды 102 М.
Umejuaje Kama si Umbea -Mwana Idi Shaban
13:48
Kiboisbreeders
Рет қаралды 3,9 МЛН
Israel Mbonyi - Nina Siri
11:11
Israel Mbonyi
Рет қаралды 59 МЛН
Annoint Amani - Msizike bado yuko hai ( official music video )
8:54
Annoint Amani
Рет қаралды 251 М.
白天使选错惹黑天使生气。#天使 #小丑女
00:31
天使夫妇
Рет қаралды 14 МЛН