Рет қаралды 64,634
WIMBO WA HAKI ZA WATOTO unawafunza watoto kuhusu haki zao na mada ya HAKI ZANGU katika gredi ya kwanza, KENYA. Watoto wana haki ya KUISHI, MALEZI BORA, CHAKULA. MAVAZI, ELIMU, MATIBABU na KUPENDWA. This song teaches kids to know their rights. Rights of children. Children have the right to LIVE, GET GOOD UPBRINGING, FOOD, CLOTHES, EDUCATION, MEDICAL CARE and LOVE @babusatv #africancartoons