Auntie,...make sure antoo ametoshea kwa bag yako😂🤣😂 🤣
@mfalmeamoskamau8 күн бұрын
Please isiwe Ni Anto najua.. Kuna mmoja Ni fisi kuruka.. 😂😂
@HenryOchieng-jq8ep8 күн бұрын
Let me lough in a way that please the Lord😂
@JamesOpuk8 күн бұрын
Ambia anto ajitayarishe kufinywa Kwa bag😂😂😂juu kumekuuchaaa 😂😂😂@@mfalmeamoskamau
@christinewambui86134 күн бұрын
@@mfalmeamoskamauSo ata nyinyi kama men mnajuanga wanaume wenye ni fisi?
@AbigaelKhamalishi2 күн бұрын
😂😂😂😂leta chai@@mfalmeamoskamau
@BowensVince8 күн бұрын
A very focused man Hadi at this age amejenga what do women want
@fanmuthura48448 күн бұрын
Imagine .....amejituma sana
@frankkitilimusingi12068 күн бұрын
@@BowensVince Very focused man but mama utamu ya 2min ndo muhimu/focus kwake😏😏
@maggiewanda24048 күн бұрын
One in a million man
@BowensVince8 күн бұрын
@@frankkitilimusingi1206 mtakula iyo utamu
@aquabonsu17 күн бұрын
Stupid woman, good man and she is taken care of, sash amebomoa boma yake and risked her kids future.
@paulkaranja92578 күн бұрын
Ukishikwa....shikika. Story ya "let's talk at home" -sahau .. SHIKIKA !
@mokeiraeznah42498 күн бұрын
Kenya never disappoint,,,,,😂😂enda ubebe vitu zako sitaki kukuona kwangu,,thatz a song kwa kila mwanaume mwenye amegongewa
@susanaseyonyundo96898 күн бұрын
😅😅😅😅😅😅
@naomybosibori95047 күн бұрын
NISAMEHE BEB ILIKUA TU SKU MOJA BEB
@DevinerStevo-px5fq4 күн бұрын
Ubaya mkiachana, Mgongaji hapatikani kwa sasa😢😢😢😢
@lambertmkz8 күн бұрын
A lady friend of mine was telling me how many married women are sexually frustrated 😮 That their husbands rarely get intimate with them and when they do, it's a one minute affair. People who are in a committed relationship should have time to talk about sex because it's a very important part of a relationship
@JohnMwangi-jv3pp8 күн бұрын
Sexual lust inawasubua , hainanga dawa
@frankkitilimusingi12068 күн бұрын
It doesn't still give justification to cheat on your partner, upo!!
@sandraawour8 күн бұрын
mimi ex hubby used to give me full dose even though he was a miraya
@conslataboke70888 күн бұрын
Yeah it's true.
@Pena-k1h8 күн бұрын
Remember your wife was also telling someone else, Remember it's the same game
@jalupot8 күн бұрын
I wonder where someone can find a kind man like this one. Dear God, please, connect me with such a man.
@abdullahijma20738 күн бұрын
Never gets old: hizi ni texts tu, tuongelee kwa nyumba, it only happened once, hizi messages ni uongo 😂
@shemsakani7537 күн бұрын
Haunipatii time...... ilikuwa tu mara moja......
@MthaMwalimu7 күн бұрын
Story za apunuani
@bengikaru7778 күн бұрын
From Riggy G and myself, congrats comrades kwa excellent camera quality..inakaa movie
@teresianjeri27228 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@ruthngina55998 күн бұрын
😂😂😂true true
@MthaMwalimu7 күн бұрын
Kabisaa
@michaelnjuguna35028 күн бұрын
Just when she break and say" do you give me attention" just know shes guilty.
@Adilialovekenya8 күн бұрын
Najua mnashangaa nimepotelea wapi,,,,,, nilikuja home kitale na hakuna WIFI😂😂😂😌
@pamelamudogo55518 күн бұрын
Ata kwetu malava hakuna😅😅😅
@marosholeirungu58078 күн бұрын
Kwani wifi ya buree ijawafikia huko... 😂😂😂
@nellykosgei40308 күн бұрын
Weeee wacha unachomaaa iko😂😂😂😂😂
@brianlee22278 күн бұрын
kuja apa kibomet Niku hotspot
@RuthNekesa-g6i8 күн бұрын
@@brianlee2227Akuje huku ICM
@MaryWanjiru-p7y7 күн бұрын
Hakuna mtu anacomment kwa backyard vile kuko so beautiful..
@MKobe_2543 күн бұрын
MIRAYA!!
@tuyisengeleonard45378 күн бұрын
BMS unasaidia wengi Mungu akubariki bro. All my love from Kigali
@paulkaranja92578 күн бұрын
She starts crying when she hears USHAGO. Juzi, other one cries when she hears she is fired. Infidelity doesn't make Jezebel spirit cry... badilisha makalio lifestyle you get a river of tears.
@marcybarasa2548 күн бұрын
Wenye wameanza kunyesha mikono juu , means December tutakuwa free 👋👋😂😂
@violetingahizu11148 күн бұрын
😂😂😂nilimaliza Jana ,Sema Raha teletele
@carolineasigo59728 күн бұрын
Yangu inaisha leo😂😂😂😂😂😂😂
@Roxana-q5j8 күн бұрын
@@violetingahizu1114Kumaanisha utavuka mwaka nayo😅😅
@mutisyatimothy81998 күн бұрын
Yangu ndio inaanza meaning hiyo 25 na viungo nikicheza mimba ndani kuzaa ni mwezi wa nane mwisho
@DianaAseyo-vi3rk8 күн бұрын
😅😅😅😅😅nangojea yangu leo
@sylviawabomba-hc9tf8 күн бұрын
22:45 Wewe mwanamke nibumbwa sana,mmi hapa 22:50 naumia kupata hata wa kunijengea,hii gazia inafanya mchezo hapa
@Cynthiachepet3 күн бұрын
Wacha tu
@victorkiprotich78518 күн бұрын
Trophy 🏆. And the ladies have it 2024 🥇
@suebey39536 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂 Exactly this year😂😂😂😂
@martinkimotho-w2x7 күн бұрын
Mwanamke kukubali cheating ni kama kumwambia ruto resign
@maryngatia23628 күн бұрын
Gakigaki hapa kisii matope haikosi.matope peeee,mvua vuuuuu kaeni huko kanairo
@bedicaambani47418 күн бұрын
Such very hardworking and loyal men are always taken for granted but as usual regrets come later.. You loose Gold while chasing for stone... My dear rudi kisii kwa matope dawa ya matope ni gumboot
@MKobe_2543 күн бұрын
Achana na matope yetu!
@SusanWanjiru-cr2sg2 күн бұрын
😂😂😂😂
@CONSOLATANECHESA8 күн бұрын
Mungu mm nilikosea wp kupata mwanaume kama huyu aki
@SonduRiver8 күн бұрын
Ladies have decided to follow the foot steps of their leader Eve right from Eden. Let's crown ladies officially on usherati
@eunicewanjiru93927 күн бұрын
@@SonduRiver that is where you've got it seriously twisted, because Eve was faithful to her man.
@chebetracheal28604 күн бұрын
😅😂😂
@lenitygakii95708 күн бұрын
Swali langu n mm n vile Niko faithful siwezi pata mtu mwaminifu n magaidi tu hunamshika red-handed without even going far 😔🤔🤔😎
@Ryan_wander12348 күн бұрын
The only thing unaeza amimi mwanamke n akikwabie......nikujie Na pads
@lordmaina24327 күн бұрын
Hii NI ngori...
@IvineAlumasa-oc8kf7 күн бұрын
😂😂😂ata hiyo usiamini, anaeza kuambia hivo kumbe alisetia mwingine mchana so hataki umuombe😂😂😂😂
@Rkerry7 күн бұрын
Wooooooiiii, kasichana, shamba kanunuliwa, nyumba kanjengewa, then, surely!!!!, hata kama AMUK yako ndio hotpot ya kupreserve Atony...enda kwenu mke mwingine a come akae joy...💃💃, enda..
@Lucyiminza8 күн бұрын
Good man,good decision 👏
@WesleyKoech8 күн бұрын
Design Stevo amechukua phone ya huyo dem....very clever.
@joshuamutwiwa84077 күн бұрын
That hand expression akimwambia amek sure antony ametoshea kwa bag😂😂😂
@MercyIndasi8 күн бұрын
Bro fanya DNA uenda watoto sio wko😅
@Bobby199848 күн бұрын
"Rosarine"......hata wakisii pia hii tabia ya kukula mabibi za watu muache.I remember we once solved same like case
@pharoah-ahmose60758 күн бұрын
Most videos are not kisiis. Most are from the lake and mountain.
@navukalunavatanzi62278 күн бұрын
Kwani bibi ni mtoto alitaka hapo hakuna sababu ni umalaya tu
@Bobby199848 күн бұрын
@@navukalunavatanzi6227 true
@Elvis-mo9sy7 күн бұрын
😅😅😅😅😅
@surveyjosp74128 күн бұрын
Antony anakula bibi na ng'ombe inakula mimea ya wenyewe
@onduruomolo4758 күн бұрын
Wote wanakula visivyo vyao.😂
@irenemuli52838 күн бұрын
😂😂😂😂
@joedema75048 күн бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@Joyek-r5e8 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@douglaskatoyo10227 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂yesuuuuu
@gakiimiriti98098 күн бұрын
Kwani ni mimi pekeyangu hubeba handbag?
@MugwikaNtaugu7 күн бұрын
Kenyan women mmezidi walai😢😢,,,pole bro just move on na ushale huyo malaya
@warigialifestyle8 күн бұрын
Ai wanawake wameamua "blood is no monger thicker than water"😢💔his gender of mine nowadays😢
@muriuwangai36178 күн бұрын
Can't Bigman send or forward the same SMS to husband's phone for reference purposes?
@janeshigami87698 күн бұрын
Sijui tufanye nini !!!!....mara tuandike house girl...house boy....mara uishi na Sister yako.... Brother yako...rafiki yako....SHIDA TUPU....tufanye aje???
@LydiaKaroki7 күн бұрын
Dunia kuisha
@oscarmuriithi56368 күн бұрын
Wacha aende kwa Antony hiyo kitu imtoke mzee😂😂😂
@millicentokwaro8 күн бұрын
Umesema ikakutoka😂😂
@suenjoki2687 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@sammakori36947 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@ayiechaanne67565 күн бұрын
😅😅😅😅😅
@roselynewaswa62348 күн бұрын
Uweeee na si mlisema wakisii wanagonga hiyo kitu kama kisiagi,😢😢😢huyo Dem anatoa wapi nguvu yakugongwa na kisii mbili😢
@jameskewa14508 күн бұрын
Nashangaa pia
@motiryot7748 күн бұрын
Do women know the effects of divorce on children? Do they even think before cheating that men rarely forgive cheating! Co-parenting may sound good but for the children, it's a forever trauma
@billywilz87536 күн бұрын
I wish they knew
@kennedymwangi78437 күн бұрын
Mwanamke ata akuzalie gold uuze, siku ni moja akutedee ujidhalao, never trust a WOMAN at all!!!
@iamvic_ke8 күн бұрын
In the next few years men will no longer prioritize marriage
@JohnMwangi-jv3pp8 күн бұрын
Ushasema
@nellykosgei40308 күн бұрын
Haki this women weh that trophy is yours weh weh weh
@KashiAbush8 күн бұрын
Hii attention wanawake hutaka ni gani jamani....very sad😢😢😢😢😢
@BrianOnyango-p8k7 күн бұрын
Ntaanza kutafuta kazi ya shamba boy😂😂 nimesema 2 ndo initoke😂
@MercyMacharia-k3i6 күн бұрын
Wow, a very focused man there, hardworking n intelligent.... So sorry to him
@JudixnimoKariithi7 күн бұрын
To be honest wanawake uwa mnataka aje surely??? mwanaume asipojituma na ku provide ni shida,akijituma na a provide bado ni shida, surely wanawake wengine nini uwa mnataka😡😡 nkt
@jdawa65698 күн бұрын
Eti nisameee! Inaenda. Nakusamea lakini unaenda. Wanawake wana.mchezo sanaaa.😢😢😢. Potelea mbali.
@barnesmalimbe92328 күн бұрын
Wanaume fanyeni DNA pressure na salt itapandaaa ile nomaaa
@Stella_972538 күн бұрын
Yaani hii "don't touch me" phrase will never get old 😂😂😂
@TonyObiero8 күн бұрын
This word called ATTENTION makes me sick.
@BKKM118 күн бұрын
Me too it annoys me.
@TabithaWaiharo-f9g8 күн бұрын
Me too it's annoying, women should make themselves busy nah
@Mzalendo-l6b8 күн бұрын
Just an excuse for infidelity of lusty wives!!
@TabithaWaiharo-f9g8 күн бұрын
Does this lady know how hard it is to find a man like this one, weee you good have hold that man strong siz
@bentaaliwa76968 күн бұрын
Mwanamke mjinga hubomoa boma yaye mwenyewe. Angefikiria hiyo ndoa ya mwaka mingi kabla alale na Antony
@calebanunda23968 күн бұрын
Enyewe mwanaume lazima aone dust just be ready for heartbreaks muulize mimi
@maazuu-dm7zr7 күн бұрын
GOD WHATEVER MY LUCKY GENDER SAID IN THEIR PRAYERS SIKIJUI ILA NAOMBA UTENDE KWANGU BABA AS WELL I WON'T DISAPPOINT, HEAVEN IS MY PORTION IN JESUS NAME 🙌
@deekiki19247 күн бұрын
Very unapologetic until was told arudi ushago akanyage matope she went on a standstill 😂
@mulewajoel655217 сағат бұрын
Eti siku moja😂😂😂😂...hiyo kitu imepigwa....kama ingeongea.... uuuueee 😮😮😮
@benjaminnderitu46168 күн бұрын
Hii mbuzi may be another country,Kenya apana
@maazuu-dm7zr7 күн бұрын
😂😂zii n vile I'm not around hiyo ningeiwahi mimi
@monicahkamau-us2fl8 күн бұрын
Ati attention ( nonsense) c kaa ni attention unataka uende koinange. Huko wanaume hupea wanawake attention.
@DeborahMoraa-m9m8 күн бұрын
Aki this year ladies we have won a trophy of cheating waaa putting blame on money and attention as an excuse .men are suffering looking for money to cater for responsibilities aki tuwahurumie jameni ladies tuache 90 percent of lafies on this forum are cheating .praying for men
@danielmurage49268 күн бұрын
this woman has been lying to my cousin..she is even engaged to him...
@pamelamudogo55518 күн бұрын
Sure
@GladyKalekye8 күн бұрын
Really 🙆🙆 Delilah 😈
@marionmuturi52838 күн бұрын
😱😱😱for real?
@edithwairimu14008 күн бұрын
Maneno haya si mageni jijini😂😂😂
@ItsAngelic-k7j8 күн бұрын
Wewe hujua kila mtu😂😂
@JanefferNyutu-dt1vu8 күн бұрын
Mimi sina 😢mengi ... marriage lord marriage
@sylvialiabule38008 күн бұрын
Stivo zivunje kabisa Nko sure mbavu yangu iko kwa wrong relationship the way I was I must get my rib here
@JumaChigiri7 күн бұрын
😂😂😂😅
@JumaChigiri7 күн бұрын
Ubavu wako umeshaupta sasa ndio huu hapa yani ni mimi😊
@ItsAngelic-k7j8 күн бұрын
19:19 "nimesema pole, hakuna kitu iwezi suluhishwa" the entitlement and audacity to have
@nyolod7 күн бұрын
The more I watch this show, the more I drift from thinking about having a woman I love. I better have a girlfriend that we do and go your way. Marry on your own risk 😂😂😂😂😂
@MaryMuthoni-is7by7 күн бұрын
Same here
@bikoflavious29038 күн бұрын
Trust women at your own risk 😅😅😅😅😅😅😅 Kugongewa ni constant Whether Single, married, divorced,widowed... kugongewa lazima 😅😅😅😅😅😅
@gerrytushh8 күн бұрын
Ukweli wanawake mnataka nn😢😢
@judywaithira54038 күн бұрын
Acha kusema hivyo sio wote wambaya kwa kumi lazima kukuwe na wawili watatu wazuri.kwahivyo mtu mmoja akikosea sio wote wambaya nikam sasa niseme your friend amecheat na ww haujacheat then niseme pia ww ni same hio haiwezekani
@gerrytushh8 күн бұрын
@@judywaithira5403 okay dia I get you well here.
@wambuiwamwangi41287 күн бұрын
i know haiwahusu..kindly visit the airport and get an opinion on things in kenya..pia muombewe mtokwe na evil spirits ..nimeongea imenitoka
@lenitygakii95708 күн бұрын
Antony wherever you're nakuliza utatoshea Kwa bag kweli 😂😂😂🏃
@philipochieng1708 күн бұрын
Amegongewa na ni uchungu aki woe Mungu help boy child pressure will kill us the guy has really felt very disappointed halafu ati unipee attention what attention do you women want surely we are out here hustling but weeh painful indeed
@KelvinMutwii-i8q5 күн бұрын
Antony make sure ametoshea kwa bag yako made my day😅😅
@edwinonyango16915 күн бұрын
Stevo mwambie Rozline aweke Antony kwa bag za Nigeria atatoshea🤣🤣🤣🤣
@ireneondimu54168 күн бұрын
Unajua home....na Anthony umuuke atoshee k bag yako muunde na yy😂😂😂na ni ivo aende tu😢
@paulkaranja92578 күн бұрын
Video editor, nimeona effort ya kusave data bundles yetu 👍......ama ni KZbin ina edit mimea ?!?
@feisty-KoolQueen548 күн бұрын
Ayamu confused with Kenyans. If someone is providing, hakupei time. If he doesn't provide, what do you offer me? Kenyans, what do you want......just stay single all of you and declare open relationships 😂😂
@onokamonique90748 күн бұрын
God why don’t you bless me with such a man…tulikusea wapi
@christinewavinya39788 күн бұрын
Nyota ni kama iliibiwa
@onokamonique90748 күн бұрын
@ kabisa
@sheilaanyango7 күн бұрын
Hapo pa kulalamika yani kutete kila saa ndio unakosea. Why don't you have faith in JESUS...
@simonwambugu6417 күн бұрын
Antony atoshee kwa bag🙆🏼♂️🤣🤣….ati it was “once”!!!as simple as that?!!
@ericgathii13877 күн бұрын
Mungu saindia wanaume hawana mtu wa kuwapigania. Mwanamke ameulizwa nani wanacheat, anasema ni wanaume alaf yeye ndiye anatolewa kama mfano. God have mercy on us men, hizi ndoa mahali zimefika acha zikae tu😢 Hazina maana
Hii msamaha huwa munaomba huwa mnajua ni nini huwa munasema unasema usamehewe ju umelala na mwaume mwingine unaeza toa huyo mwanaume ndani yako ju ukisamehe mtu kosa na hujui ni nini unasamehe hii mambo ndio imeshababisha watu wauane
@victornyakinda51358 күн бұрын
This gender never learns
@PeterNgure-z3x8 күн бұрын
Ngombe zinakula kwa jirani ,Antony akikula bibi yako
@abiudwamalwa81808 күн бұрын
Wakisii tushawazoea
@user-bo1pi5ux9b8 күн бұрын
Nyumba hiko na majini 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅Antonio pls take care of this woman
@t.danno36447 күн бұрын
Wacheni tu wakisiii tulie itutoke,..😢😢😢
@captainbosingwa72267 күн бұрын
Hakuna sababu ukipewa attention utasema kitu nyengine cheater will always look excuse for cheating.
@EstherblessingNjoki4 күн бұрын
Eti nn Steve Antony atosheee Kwa bag..bt she deserves fgveness amkubali
@AliceCharo-wz9oz8 күн бұрын
😂😂😂😂huyu nkimpta mahali mm ciezi kubali ju atatoa charts za ma x hpa kibao😂
@Juma-g5i8 күн бұрын
😂😂 Adi mm naona hivyo nikimwona nitapiga kona ingine hapo ata ona tu upepo
@rosewairimu17617 күн бұрын
Mtu aniambie, ni mimi mjinga ama...juu mimi sipewi pesa, mi hutoa zangu ndio life iweze ku run smoothly. Na ata hio time sipewi...na sihanyi. Wengine wako na watu supportive na responsible...na mtu anahanya, eti hapewi attention...sijui time! God where did I go wrong...😮💨😮💨
@PeggyMwanza16 күн бұрын
Hii attention hawa madem hutaka hulipa bills gani? Juu zangu hazikubali attention kama currency 😂... Anyways, ladies, an idle man is a broke man and vice versa 🤭
@CruminaStarlight4 күн бұрын
Steve ana soma hizo message na passion, nimecheka
@EstherblessingNjoki4 күн бұрын
Mwanamke ata ukimpata i😂😂😂😂ko ndani eti bado hajaingia
@mtoiiwamama8 күн бұрын
Can someone tell me how to retrieve deleted messages kindly
@saumusalma4078 күн бұрын
Don't even try 😂 you'll regret, what you don't know doesn't hurt you
@derekmuange86638 күн бұрын
Better live in ignorance. U might commit murder 😂
@JumaChigiri7 күн бұрын
@@saumusalma407😂😂😂😂😅
@JumaChigiri7 күн бұрын
@@saumusalma407mwambie ukweli my bbygirl 😊, asijaribu
@gerrytushh8 күн бұрын
Lakini East Africa, especially Uganda and Kenya 🇰🇪 must harmonize the names of communities along their common border. WHY are identical communities called by different names in both countries 🤔👀😁🤭
@faumash67348 күн бұрын
wanawake si tukue na adabu aki jameni,umeolewa umejengewa umeekwa poa ni nini ingine unatafta jameeeeeeeni mbwa koko😢😢
@marcosgicher78187 күн бұрын
tupa yeyeeee....rudisha yeye Western mbioooo...kubaff huyu bibi
@jemimahnafula94578 күн бұрын
ROSALINA Umedisapoint mkisii sana aki gakii😂😂😂😂😂😂 Secondly ROSALINA on behalf of single ladies here,we need such man in life kama hauna habari. So leave us this focused man for us to do peaceful campain please 😅😅😅😅😅😅 Me campaigning nikiwa Qatar and ROSALINA give us peace okay?😅
@AlbertDalizu.DalizuAlbert7 күн бұрын
Mimi nimekuliwa na najua hiyo pain 😂😂,najipenda na I'm happy being single
@Simply_memba7 күн бұрын
Vile stivo anashangaa wako na ng'ombe kills me 😂😂😂
@Kemunto-gs3zg8 күн бұрын
Wacha aongee imtoke😅😅😅😅😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@Josephineonyango-cl6ql8 күн бұрын
😂😂😂😂eti nyumba iko na mapepo na kumbe yeye ndio ako na mapepo ya umalaya