WOII MUM ALINICHAPA JUU YA KUKULA CHAKULA

  Рет қаралды 9,717

EV MERCY NUNGARI

EV MERCY NUNGARI

Күн бұрын

Пікірлер: 131
@ruthwambui6000
@ruthwambui6000 3 ай бұрын
Huyo mtoto asiwachiwe aunt yake better atafutiwe another place akae cz all those years they have done nothing as a family and they knew what was happening with the boy how now anataka hukaa na yeye
@ciruAgneskamande9011
@ciruAgneskamande9011 3 ай бұрын
She's genuine shida ni sister yake
@trizahkiarie2468
@trizahkiarie2468 3 ай бұрын
Muheshi wachana na huyu antie for all those seven years hajajua huyu mtoto ana chapwa huyu ako na ujaja apate support
@Marywanjiku-b7q
@Marywanjiku-b7q 3 ай бұрын
I support in this for 7 yrs hajui mtoto hasomi..the boy will suffer in their hands they have no love for the boy
@savanna-kw7vg
@savanna-kw7vg 21 күн бұрын
💯
@Jane-c7g4j
@Jane-c7g4j 3 ай бұрын
Huyu Aunt achaa kutetea dadako ako na makosa ju anamchapa hadi anamwanga damu hapendi huyu mtoto full stop . Hapa hakuna shetani ni mama mbaya😢
@faithkim9861
@faithkim9861 3 ай бұрын
In the us all those kids she have would have been taken away by the children protection rights, hapa hakuna negotiating with the offenders the evidence is there ,she actually should be facing the law right now
@gracekuruga639
@gracekuruga639 3 ай бұрын
Aaaii huyu auntie yake asipewe Mtoto she is interested na support ya mtoto
@maggiemwangi7965
@maggiemwangi7965 3 ай бұрын
Auntie is taking advantage asaidiwe coz she could have taken action long before
@ciruAgneskamande9011
@ciruAgneskamande9011 3 ай бұрын
​@@maggiemwangi7965mimi naona anakaa genuine shida ni sister yake, maybe before ilikuwa hard kuchukua mtoto bila intervention ya serikali though hayo ni maoni yangu
@VeronicaDunbar-q5v
@VeronicaDunbar-q5v 3 ай бұрын
​@@maggiemwangi7965 A take action kwani yeye ndie serekali? All one can do ni kuongea. Haezi chukua mtoto kwa nguvu zake binafsi.
@marykamore6402
@marykamore6402 3 ай бұрын
Riu uuu niatia maaa😢Hawa watu wachukuliwe hatua sasa iwe fuzo...unakaa na jamaa vizuri lakn mtoto wako unamtesa,uyu ni uguruki riu na hasira za ufala
@miriamwanjiru7942
@miriamwanjiru7942 3 ай бұрын
Hii imezidi Kwa nini mtu azae mtoto mzuri alafu anamtesa alafu wanatembea free wachukuliwe atua ndio ata wengine wajifuze nao it's so sad
@RozaIraqi
@RozaIraqi Ай бұрын
Yes..true nimbaya sana mbona ampige mtoto..mama huyu ningempata mimi nimpige pia..very cute boy ..i have 3 sons..Nungari usiwape mtoto hata huyu dada
@janniferlopech
@janniferlopech 3 ай бұрын
Mhesh usiache huyu mtoto kwa auntie yake she is hiding somethis how could she 7 yrs without knowing mtoi anapitia anataka awachwe na yy dio asaidiwe after few uitwe mtoi anateseka usimwache pliz mhesh
@MiriamMuthoni-mw9zv
@MiriamMuthoni-mw9zv 3 ай бұрын
Then niko na swali na msinitusi,,kila pahali ukienda unazaaa,,,uwezii zaa watoto unawezana nao
@carowanjohi3237
@carowanjohi3237 3 ай бұрын
Asipewe 7yrs huyo mtoi anafaa kuwa gredi2 aunt hajawai jua mtoi hayuko shule asipewe mtoto
@jemimahjemimah5525
@jemimahjemimah5525 3 ай бұрын
Hawa wasipatiwe huyo mtoto juu atamkujia huko kwa siz yake akikosa wa kuachia hao wengine, nigatwarwo children's home
@marykamore6402
@marykamore6402 3 ай бұрын
Huyu mtoto better apelekwe place ingne sio kwa huyu auntie 😢gate means nothing
@jeddyjohn8813
@jeddyjohn8813 3 ай бұрын
The kid isn't safe at the aunty's place this is the fact...the mother will go there for the kid...
@wakiurumuriu1411
@wakiurumuriu1411 3 ай бұрын
Nungari pls bring us update on this story and don’t allow this aunty to take the child he isn’t safe
@jeddyjohn8813
@jeddyjohn8813 3 ай бұрын
Where was the aunty all that time??? take the kid to a children's home the aunty will be visiting him....the aunty should have taken the kid without demands of support if she was remorseful for the kid...for 7 years she didn't know the kid wasn't in school surely 😢😢😢
@rebbecagakuru3390
@rebbecagakuru3390 3 ай бұрын
She shouldn't be given where was she before as he was going through this
@peterkarumba8224
@peterkarumba8224 3 ай бұрын
Wooiii Muhesh usiache mtoto na hao watu, sister ake amemwambia afanye juu chini mtoto asiende bome, ndio badaye amchukue
@monicakamau9682
@monicakamau9682 3 ай бұрын
Huyu anataka mtoto ndio asaindiwe juu hiyo wakati wote walijua huyu mtoto anateswa
@elizabethmwangi2918
@elizabethmwangi2918 3 ай бұрын
Nungari kindly keep the children he will be safe
@bilharwambui2035
@bilharwambui2035 3 ай бұрын
Ata hawa watoto wengine maisha yao haiko pazuri.watoto wote wachukuliwe period.mimi watoto Wangu ukinguza nauwa mtu.mwenye uyu mtoto Na Yule mwingine John Ni wanawake wambaya roho chafu.
@MiriamMuthoni-mw9zv
@MiriamMuthoni-mw9zv 3 ай бұрын
Uyu aunty ni amevalia ngozi ya kondoo LAKINI NI UBWA MWITU😪😪Iyo mwika yote akuaanajua shida hizi zote,,,anakibilia kile mtoto anapewa
@carolinelynch5526
@carolinelynch5526 3 ай бұрын
The auntie is not genuine, why speak out now!! Where was she all this time? She is only after what the boy will get. Sad though!!!
@MiriamMuthoni-mw9zv
@MiriamMuthoni-mw9zv 3 ай бұрын
Truth anataka support na mtoi
@zipporahwawira4510
@zipporahwawira4510 3 ай бұрын
Huyo mama ako bitter na mtoto na ni vibaya sana kutoa hiyo bitterness na mtoto. Nashangaa sana kwa sababu huyo mtoto akichapwa Aunt yake alikuwa akijua, pia anajua mtoto hakuwa anaenda shule
@mercywanjiku7426
@mercywanjiku7426 3 ай бұрын
Hi namesake mtoto sio save huko pls aede children home kwa auntie ni wakati amefunga shule..
@esthermwaniki5832
@esthermwaniki5832 3 ай бұрын
Mhesh Tata wamwana ni hinga ndukamune mwana ucio
@Maggiemax477.
@Maggiemax477. 3 ай бұрын
Huyu mtoto Mhesh 😢mchukuwe
@lydiahmwangi6722
@lydiahmwangi6722 3 ай бұрын
Nungari our mom twendete muno ucio mwana ona aunt yake ndukamuhe reke gatware childrenhme pls pls pls.
@leahmuthoni9576
@leahmuthoni9576 3 ай бұрын
Kuna wazazi mashetani they don't have sense to hell...huyo mtoto usimuache huko ni kama wako kimoja hao sisters.
@mukami819
@mukami819 3 ай бұрын
Gutema mwana mutwe zii nungari pliz incase of the kid safety usimuache kwa huyo auntie pliz😢😢😢😢
@Twinschannel-sf3uo
@Twinschannel-sf3uo 3 ай бұрын
Aunt yake akikosa kutafutiwa kazi ama akose kazi atachoka na huo mtoto.
@Jane-c7g4j
@Jane-c7g4j 3 ай бұрын
Woiye Ngai mwathani 😢,God bless you ma'am Nungari
@waithirathiga
@waithirathiga 3 ай бұрын
The child should first go to a children's home . How come this auntie hadn't reported to authorities before Nyumba kumi called Nungari?
@wanjiruwanganga5707
@wanjiruwanganga5707 3 ай бұрын
.Ghai huyo mama anafaa kua ndani.. nkt..hakuna kitu anakataa...ndirakirega iie nkt
@marywanjiku9342
@marywanjiku9342 3 ай бұрын
Ino ni hinga mbele iyo uraturaga Ku Tata wa mwana conoka muno ugitheka hao tumitheko twa Wana guok
@RozaIraqi
@RozaIraqi Ай бұрын
Nooo..hasira asidhulumu mtoto..she should face the law eishh
@monicakamau9682
@monicakamau9682 3 ай бұрын
Icio ni ngoma. Andu mena thina na makiaga na ciana ciao no tikuhura. Ako na bitterness ya mwenye alizaa na yeye huyu mtoto
@GddoEjdodo
@GddoEjdodo 3 ай бұрын
Woiye please usijalibu kuacha hyo mtoi please
@IliM-hf5ku
@IliM-hf5ku 3 ай бұрын
Watching from saudia aribia hey 👋 ucio.mwana.mercy.nungari.ndukamuneane..mutuare.mucii.wa.ciana
@felisterwaithera5989
@felisterwaithera5989 3 ай бұрын
I agree with you núngari, Kaa na mtoto,
@maggiemwangi7965
@maggiemwangi7965 3 ай бұрын
Atì starehe citahana😂unasema tu for your convinience upata help
@wakiurumuriu1411
@wakiurumuriu1411 3 ай бұрын
The pain of a Mother This aunty want the boy in exchange of kibarua and all. Those who want to heo can give her work but this child being with aunty is a big NO…red flag…why didn’t aunty confess the mother came previous night.. this boy is kit safe at all.
@gukawafly
@gukawafly 3 ай бұрын
Thanks you for taking care boy child
@Grace-p2u
@Grace-p2u 3 ай бұрын
Nungari ira sista aiganire nondeguikara na mwana okage kumucerera
@millicentmuthoni3557
@millicentmuthoni3557 3 ай бұрын
Everybody has problems why did she not protect herself if she can't raise her kids than frastrating the kid?
@Vallaryi
@Vallaryi 3 ай бұрын
Boychild are now going through hell, please God have mercy on them 😢😢 nungari please start a big childrens home , then employ me, I have experience of taking care of disable children n small kids
@annwanjiru9231
@annwanjiru9231 3 ай бұрын
Nungari mtoi atafte place far sana na hao watu where was she before
@zipporahwawira4510
@zipporahwawira4510 3 ай бұрын
Tafadhali mtafutie huyo mtoto pahali safe sio kwa Aunt yake. Mama ya huyo mtoto anaweza track mtoto hata akicheza Na wengine na amchape tena
@margretnyambura7381
@margretnyambura7381 3 ай бұрын
huyu aunt asipewe hyo mtoto
@shiimi-p7f
@shiimi-p7f 3 ай бұрын
But mm nko na swali hiyo muda ya 7yrs huyu aunt hakua anajua huyo mtoi hajai enda shule 😢😢
@JeanmarieWachira
@JeanmarieWachira 3 ай бұрын
Nungari uyo tata wee ni hinga,,asipewe mtoto,,manyitaniire na nyina,,,nigetha atiithio,,alikuwa wapi before ,,saa hii ndio ako na interest na Mtoto,,, please nungari please,,,usipeane boy child 🙏
@VeronicaDunbar-q5v
@VeronicaDunbar-q5v 3 ай бұрын
Wanama wengine wanaita watoto wao vizisani. Na ni wao waliowazaa.
@NancyWangechi-cy1xd
@NancyWangechi-cy1xd 3 ай бұрын
Ati ako na stress.Who doesn't get stressed ?Unfortunately for these Women abusing their kids unlike before social media ziko.The day is coming these kids will table evidence of your Abuse in the name of depression.I hope by then kutakuwa kama US mfungwe for life.Continue!!ipo siku.Nonsense!
@lynetoto2616
@lynetoto2616 3 ай бұрын
Wasiashiwe mtoto
@janetolbert9502
@janetolbert9502 3 ай бұрын
This kid should be taken to children home I don’t think it’s ok with the aunt too please please please
@ruthnjambi728
@ruthnjambi728 3 ай бұрын
Nungari maa ndukaneane mwana ucio tondu ni Uru mwana Uyu acoke thinaini ringi
@lucynyaga3559
@lucynyaga3559 3 ай бұрын
Nungari usiwachie huyo mtoi eda Naye huyo mama. Atamwedea huko Kwa sis yake
@hannahhinga7621
@hannahhinga7621 3 ай бұрын
Please enda na uyo motor for now aweze kupona . He needs to heal from that tress and hatered from the mother. Don't give the boy to the Antie I don't think he will be safe.
@janewanjuku7321
@janewanjuku7321 3 ай бұрын
Pls don't give this boy to her untie cos she was there before then
@rachealwangari6213
@rachealwangari6213 3 ай бұрын
Mtoto asiende kwa huyu auntie ...nooo
@MiriamMuthoni-mw9zv
@MiriamMuthoni-mw9zv 3 ай бұрын
Mundu mukaa mukigu,,,unafurahisha mwanaume kuliko watoto wako,,,,uyo mwanaume anakunywa pombe wakati atakuacha mjinga wewe
@HannahMuigai-hh7yi
@HannahMuigai-hh7yi 3 ай бұрын
Ngai andu nimagire thaa biu
@rosengendo5295
@rosengendo5295 3 ай бұрын
Huyo n pesa anataka Nugari ..ana haja na mtoi ..for 7years alikuwa wapi?asipewe mtoi aki
@annenjomo240
@annenjomo240 3 ай бұрын
How do we support you Nungari
@loishaldemann6166
@loishaldemann6166 3 ай бұрын
Huyu auntie naona kama anataka huyu mtoto ndiyo asaidike ,,,vile ana insist asaidiwe pia….mtoto aende mahari auntie yake awe akimuchukua shule zikifngwa.
@rosengendo5295
@rosengendo5295 3 ай бұрын
Nugari apana usimpe mtoto...for one anatetea siz yake sana...secondly huyo ma anafaa kuwa polisi coz alikuwa amuue Mungu akazuia huyo mtoi...pls,pls huyo aunty apana ..alikuwa anajua yale huyo mtoi anapitia but hakumchukua
@JULIANDUNGU-cu1mu
@JULIANDUNGU-cu1mu 3 ай бұрын
Auntie asiachiwe mtoto nungari tafadhali
@marywanjiku350
@marywanjiku350 3 ай бұрын
Úúi na. vile hako kaboy nkasmart ata akuwe na bitterness aje nothing justifies uyu mtoi achapwe Ivo.Nungari usuwaachie uyo mtoi
@CateMuchina-dx6ey
@CateMuchina-dx6ey 3 ай бұрын
Mbona anazaa kama hataki mtoto siuweke family planing na ni bure shindwe
@Grace-p2u
@Grace-p2u 3 ай бұрын
Uyu niungi🙆
@faithcalos1078
@faithcalos1078 3 ай бұрын
Nungari usikubali auntie aende na mtoto please
@testzoutune1191
@testzoutune1191 3 ай бұрын
NUNGARI USIWAPATIE HUYU MTOTO KABISA SAVE THAT INNOCENT SOUL PLEASE
@bilharwambui2035
@bilharwambui2035 3 ай бұрын
Uyu aunt simuamini.
@beatricenjeri8502
@beatricenjeri8502 3 ай бұрын
Aunty asipewe mtoto bona hakumuchua kitambo amupeleke shule
@CarolineNjoki-i1u
@CarolineNjoki-i1u 3 ай бұрын
Huyo mtoto apelekwe safe house
@gladysmwangi1214
@gladysmwangi1214 3 ай бұрын
Woiye i feel for boy child,aki mbona wengi wanateswa ni boy child ?
@IrenewairmuWairimu
@IrenewairmuWairimu 3 ай бұрын
Nungari chukua huyu mtoto huyu pia ame kuwa wapi nkt
@beb829
@beb829 3 ай бұрын
Huyo mtoto apelekwe children's home then akifunga ndio akuje kwa aunt yake, i dont trust them
@milkawainaina1651
@milkawainaina1651 3 ай бұрын
Wasipewe mtoto
@RozyMary-ko7wf
@RozyMary-ko7wf 3 ай бұрын
Big no the kid go be take a children s home if aunt is not ok
@janengina-be7ln
@janengina-be7ln 3 ай бұрын
WEE tiga kuhenania Ona okorwo enathina ndagiriire kuhura mwana githemba giki
@ichaihellen2033
@ichaihellen2033 3 ай бұрын
Why stay with a man who us making u bitter?mpka unapiga mtoto hivi....
@catherinenyamburamaina6701
@catherinenyamburamaina6701 3 ай бұрын
The boy aperekwe Home....Aunt ya the boy!!! Why do u wnt him Now?
@MaggieFavour
@MaggieFavour 3 ай бұрын
Woii ma naniguo gekega ma
@WaithiraNjuguna-yj5nk
@WaithiraNjuguna-yj5nk 3 ай бұрын
Huyu sister alikua anajua mtoto haeendi shule
@miriamwanjiru7942
@miriamwanjiru7942 3 ай бұрын
Huyu sister pia yeye ako na ujinga sasa nini anasema?watu ni wengi wako na mashida, wengine hakuna pombe hatujai kunywa but hakuna siku tumetesa watoto, hadi mtu anaumiza mtoto?kama mimi niliwai kua depression na nikaachiwa mtoi wa 2yrs without job but hata hakuna siku niliacha mtoto wangu ama hata kupelekea my mum, infact hata alikua ananipea furaha na matumaini ya kuishi
@MaggieFavour
@MaggieFavour 3 ай бұрын
Usiache huyu mtoto mama yake atamkujia tu ndivyo akamuangaliliange hao wengine
@WinnieMobil
@WinnieMobil 3 ай бұрын
Uuuuuiiiiiiii kana kau gatigacoke kuinyina
@CatherineKaranja-v1r
@CatherineKaranja-v1r 3 ай бұрын
Ma nigathaka
@Jane-c7g4j
@Jane-c7g4j 3 ай бұрын
Apana chukua mtoto Nungari please
@dorismakena1587
@dorismakena1587 3 ай бұрын
Talking of food last week at kware pipeline a girl was killed by her mother for sharing chapati which was meant for Supper 😭😭😭sijui tunaelekea wapi.
@puritywainaina8806
@puritywainaina8806 3 ай бұрын
😢😢 what?
@Grace-p2u
@Grace-p2u 3 ай бұрын
Hakuna kuelekea dear ni watu wanapekejen carelessy c mtu aafunge kuzaa why bring the soul in the world for all this😢na mekweda makahurwo nyahunyu na magatwaro kuhingithio kiahinya
@janenimi147
@janenimi147 3 ай бұрын
Nungari usijaribu kuachia huyo mama mtoto ni hinga iyo
@nancyn5778
@nancyn5778 3 ай бұрын
Hakuna hasira nikupiga mtoto kwani mtoto ndiye alikukosea?
@NancyMugo-dg4mu
@NancyMugo-dg4mu 3 ай бұрын
Nipewe huyo mtoto nikae nayeye
@agnesngenye8411
@agnesngenye8411 3 ай бұрын
Nungari usiache uyo mtoi ata uyo aunt yake si mwaminifu
@gladyswamae8459
@gladyswamae8459 3 ай бұрын
Ena stress Na no araciara icio ti stress
@JudyKirori
@JudyKirori 3 ай бұрын
Huyo mtoto hayuko safe akiwa kwa auntie yake
@milkawainaina1651
@milkawainaina1651 3 ай бұрын
Usiwache mtoto
@BethBeth-d3e
@BethBeth-d3e 3 ай бұрын
Haiya Ngai ucio areda kuraga mwana iyo ni shaitani,, uyo usiache muheci
@miriamwanjiru7942
@miriamwanjiru7942 3 ай бұрын
Muhesh hawa watu wanafaa hata wao watandikwe,kwani majirani,hio nyumba kumi ni kazi gani wanafanya unaeza angalia aje mtoto ateswe ukiona kwani huyo mama ako na nguvu aje?ama ako na fita kama siafu???
@janewanjuku7321
@janewanjuku7321 3 ай бұрын
Children home pls
Gĩthũri-inĩ kĩa Nũngari: Kunyamario bururi-ini wa Saudi Arabia
1:14:24
She made herself an ear of corn from his marmalade candies🌽🌽🌽
00:38
Valja & Maxim Family
Рет қаралды 18 МЛН
VIP ACCESS
00:47
Natan por Aí
Рет қаралды 30 МЛН
Chain Game Strong ⛓️
00:21
Anwar Jibawi
Рет қаралды 41 МЛН
Ayanda Msweli Foundation | Kwa Shobashobane Massacre | Episode One
1:04:42
Gĩthũri-inĩ kĩa Nũngari: Ndiyendagia Kimwiri na Ndikahika ringi
1:19:55
ATUMIA AKWA EERI KURWARA NA CIANA CIAO
1:15:44
EV MERCY NUNGARI
Рет қаралды 10 М.
Gĩthũri-inĩ kĩa Nũngari: Gutiri Mwana Njikaraga Nake
1:16:14
EV MERCY NUNGARI
Рет қаралды 8 М.
He  abandoned me when pregnant after ruining my dream to travel to the USA
1:39:28
WOII! NIMAREGIRE NA MWANA WAKWA SAUDI
1:13:40
EV MERCY NUNGARI
Рет қаралды 11 М.