WOLPER ATANGAZA KUACHANA NA MUME WAKE “TUMEACHANA, MNANITUMIA VIDEO”

  Рет қаралды 38,689

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 215
@mankamushi4588
@mankamushi4588 13 сағат бұрын
Pole sana mdogo wangu .wewe ni mpambanaji .Lea watoto wako.mshukuru mungu kwa zawadi ya watoto.
@zepinashatibu5149
@zepinashatibu5149 Күн бұрын
😢hakuna mtu anaye penda uhuni huyu dada alitulia sanaa❤❤
@samwelimoshi5614
@samwelimoshi5614 Күн бұрын
Unajuaje nyie mna maana
@Kabwela776
@Kabwela776 Күн бұрын
Huyo Bibi ni Malaya wa mjini huyo watu wote maarufu wamempitia malaya huwa hatulii
@ZakiaAlRamadani
@ZakiaAlRamadani Күн бұрын
Haya sisi ni wapenzi watazamaji hayomengine hayatuhusu
@frankmganda2424
@frankmganda2424 Күн бұрын
Sio vizuri mwanamke aliye kuzalia unamfanyia hivyo kweli
@aishaissa2512
@aishaissa2512 Күн бұрын
Pole mamii acha aende lea watoto wako ❤❤
@Farajahelene23031
@Farajahelene23031 Күн бұрын
Wolper konde boy is your real love ❤️ not rich mitindo
@SadaSaid-n3k
@SadaSaid-n3k Күн бұрын
Pole dada jaki yatapita never give up
@devothaignatius5256
@devothaignatius5256 15 сағат бұрын
Maskini jmn pole mpendwa mungu akupe uvumilivu
@GraceRoman-xw7xm
@GraceRoman-xw7xm Күн бұрын
Cjapenda kabisaaa
@triceyanga
@triceyanga Күн бұрын
Ila wanaume jamani kwann msifanye uhuni kwa nidhamu mwanamke umepata nae watoto wawili jaman inapendeza sana baba na mama mkiwa pamoja na watoto vitoto vizur Mungu kawajalia lakini huwa hamfikiriri
@shivobs4485
@shivobs4485 Күн бұрын
Mnasahau kwamba na nyie wanawake ni wasenge sana
@HusnaMTITIKO-w3p
@HusnaMTITIKO-w3p Күн бұрын
​@@shivobs4485😂😂😂😂mm ni mwanamke ila nakuunga mkono wanawake sisi ni....
@MalaikaBright-rv6yb
@MalaikaBright-rv6yb Күн бұрын
​@@shivobs4485 😮😮😮 wanaanza useng.......wanaume! Hakika tupuuuuuu !!! Ipo hivo Wala sio kitu cha kubishania,,wanaume mmeumbiwa maajabu Wanawake wanavumilia vitu vingi sana vibaa na vya ajabu kutoka Kwa wanaume Itoshe kusema Ndoa ndoani ni mtihani na kipengele kigumu sana Anaweza apambane💪
@frankngoloka5416
@frankngoloka5416 Күн бұрын
Uwezi jua nyuma ya pazia nao wanawake wenye vijihela wanakuwa na kiburi chao furani
@AdveterKawenga
@AdveterKawenga Күн бұрын
nan anakubal ujinga huo ten bora hat mwanamke kuliko nyie mtu anakuvumilia kwenye shida ukipata unatafta mwingne ila mwanamke mpaka ukiona anesema amechoka kachoka kwel ​@@frankngoloka5416
@FatumaMwage
@FatumaMwage Күн бұрын
sijapenda kabisaaaaaaaa😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@NageMsuya
@NageMsuya Күн бұрын
Jmn mm nawaombea Mungu acruhusu hili
@GastoMasawe-v5w
@GastoMasawe-v5w Күн бұрын
Hakuna mwanammke mwenye upendo wakweli kaanae uone 😂😂😂😂😂
@hamidamussa593
@hamidamussa593 Күн бұрын
Ilimradi tuu ushapata watoto mwache akwendreeeeeeeeeeeee....
@hamidamussa593
@hamidamussa593 22 сағат бұрын
Ukiwa na watoto wadogo km humtegemei mtu kifedha stress za mume zinapotea keep busy kumshuhulikia watoto wako wazazi walitwambia kua mume ni rafiki muda wowote urafiki unaweza kuvunjika lkn watoto wako ndio maliwazo yako
@Fathasssane-vs2th
@Fathasssane-vs2th Күн бұрын
Maneno haya si mangeni jijini 😂😂😂kiki inahusika 2025 ya moto
@vero57
@vero57 Күн бұрын
Pole sana wolper, we agalia watoto wako , ukipata mme mwingine endelea mwaya. Sana sana muhusishe mchungaji wako wa kkkt akusaidie
@vaikaayagadiel520
@vaikaayagadiel520 Күн бұрын
Mungu anachukia Kuachana. Mungu aingilie kati
@mankamushi4588
@mankamushi4588 13 сағат бұрын
Wanaume hawanaga adabu dada
@fatmaathumani7116
@fatmaathumani7116 Күн бұрын
Kijana bado hajamaliza ujana 😢😢😢
@maureenlilykiwia1515
@maureenlilykiwia1515 Күн бұрын
Nikisoma coment naamini wachawi ni wengi sana maana ukiwa na wivu wewe ni mchawi. Sasa wakiachana una furahia unakuwa umepatq faida gani
@mankamushi4588
@mankamushi4588 13 сағат бұрын
Tena ndio utaishi maisha ya furaha na amani ya moyo.mwache aendelee na uchafu wake.
@SabihaibrahimRajabu
@SabihaibrahimRajabu Күн бұрын
Majambazi hawakai pamoja mukiona tunadumu kwenye ndoa munaona ni rahisi tu kila mtu afunge ndoa tunavumilia na kustahamiliana hayo mengine ni madogo sana watu wanaona makubwa na yanapita siku hizi kila utakqyekaa nayeye anamqzito usioyajua
@janethiPiala
@janethiPiala 22 сағат бұрын
Wewe dada ukifuatisha maneno ya watu ndoa haiwezi kudumu hao wanaokutumia kwa taarifa yako wanakuonea wivu ohoo
@HellenLema-j3y
@HellenLema-j3y 16 сағат бұрын
We amuatu dada unachoona nisahihi coz ndoa zinasiri nyingi sana we ndo unaejua kila la heri mungu akusimamie katika maamuzi magumu utakua Sawa tu baada yamda kuna wakati inabidi iwetu
@sophiakimaro5174
@sophiakimaro5174 Күн бұрын
Isijekuwa ameshajiunga na like kundi la kina matha mwaipaja ili kuongeza kipato.
@rwandarwejo7760
@rwandarwejo7760 Күн бұрын
Kwa iyo ile pesa yote ya harusi ime enda tu ivo 😄😁😁😆😅😀😄😄😁😆😆😅😆😁😄😀😀😄😁😆😅😅😅 I wish I can advice young people or people who are not yet do wedding please mu ishi pamoja Mufanye harusi üzeni 😄😄😀😄😅😁😆
@nuruamry
@nuruamry Күн бұрын
Mwanamke mpumbavu huivunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe
@ZaitunJuma-l5p
@ZaitunJuma-l5p Күн бұрын
SS Jamani dd woper mmejenga ndio muachane
@stellahwilfred5762
@stellahwilfred5762 Күн бұрын
Aende tu maadam anajiona ana mitindo mingi😢 Pole dear keeping up
@FhhH-d1u
@FhhH-d1u Күн бұрын
Huyu nae. Tumechoka naye. Kila siku unakimbilia mtandaoni sio vizuri. Mambo ya ndoa kuyaanika. Hadharani.
@GloriaFurahaRutakaza
@GloriaFurahaRutakaza Күн бұрын
Kwanza katika wanawake wazuri wenye kutunza ndowa yao ila hana mume muzuri uyo siyo mume mzuri
@catherinemumbi-g9i
@catherinemumbi-g9i 20 сағат бұрын
Unataka ajinyo ge au
@MwanjiNzala-mo5ni
@MwanjiNzala-mo5ni 16 сағат бұрын
Nyumba itabaki na Nani au ndo.mtagawana au ndo itabaki ya watoto msimamizi mama.yao
@BinaFaustus
@BinaFaustus Күн бұрын
Jamani inauma sana kweli msemo wa mama yangu aliniambia hajaona faida ya kuolewa mhhh acha niende Lee kutafuta maisha ila inauma sikutegemea
@MohamedOmari-y1t
@MohamedOmari-y1t Күн бұрын
Ikiwa kitu hujawahiona weye haimaanishi kuwa hakipo😂😂😂
@LearnwithMadamnaomi
@LearnwithMadamnaomi Күн бұрын
Lea wanao siwajua bado sana wadogo Cha kufanya , jitunze ulee wapambanie , mwache yeye asambaze upendo
@ChristinaLumato
@ChristinaLumato 11 сағат бұрын
Furaha yako watoto wako mwache aende
@Kabwela776
@Kabwela776 Күн бұрын
Wameachana yaani ndoa miaka miwili ndoa chali 😢hawa wote watakuwa ni malaya maana huyu mchanga Wolper kila mwanaume amemvua chupi mjini Na kumchungulia na kuiona kuma yake huyu mchaga malaya mbwa !
@MiliamNgozi
@MiliamNgozi 22 сағат бұрын
MUNGU akusaidie maana huwenda hujui hawa watu😢
@PeterHoza
@PeterHoza Күн бұрын
ni utoto tu unamsunbua akikua atatulia
@jkuser7593
@jkuser7593 Күн бұрын
Uliforce sana hyo ndoa mwanaume hakuwa na nia ya kukuoa haya sasa
@MimahAlly20
@MimahAlly20 Күн бұрын
Nkwel kbs ujan mwing yul bdo young
@chrispinantabaye4866
@chrispinantabaye4866 Күн бұрын
Hata umri jamani,kijana wa watu hajamaliza kula ujana😷😷😷
@leokamil6284
@leokamil6284 Күн бұрын
​@@chrispinantabaye4866kweli kabisa mwanamke alikuwa kamaliza ila mwanaumme bado mdogo ki umri wa maisha ya ndoa ndio maana ni ngumu kutulia
@salomeshongola1697
@salomeshongola1697 Күн бұрын
Mwanamke huwezi toa siri zako kwenye mitandao.kama ni kuachika au kuacha nenda kimya,Matangazo ya,nini?zaidi ya kujizalilisha.Na una watoto.Nyie mastaa munanichefua.Utafikiri Hamuna wazazi wa kuwashauri.Chefuu 🤑🤑🤑
@estersosthenes8413
@estersosthenes8413 Күн бұрын
Amefanya hvo baada yawatu weng kumfata na vdeo na ushaur Kwan pia kasema ukwel kama ndoa ilfungwa ma watu wakashuhudia bac kuachana pia washuhudie
@Kabwela776
@Kabwela776 Күн бұрын
@@estersosthenes8413mambo ya ndoa sio kuyaanika mtandaoni Na huyo mchaga malaya mbwa kila mwanaume mjini amemvua chupi
@NusiMustapha
@NusiMustapha Күн бұрын
Huyo ni msanii anajulikana anaficha ni I asiseme hadharan
@nshaijatedy5512
@nshaijatedy5512 13 сағат бұрын
Mna utan na ndoa sio
@ValerianaKilumile
@ValerianaKilumile 18 сағат бұрын
Mwanamke ukijenga nyumba naunataka mume wako kulipa pango inabowa mtu anaamua kujiongeza
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 Күн бұрын
Wewe tena yamekushinda
@amenaameeena3317
@amenaameeena3317 Күн бұрын
Ndoa ya kanisani aina taraka mpaka kifo kikubwa umejipatia watoto iyo ndiyo zawadi kubwa kwako mwanaume wanakuja na kuondoka wewe lea wanao 😅
@RenataJesse
@RenataJesse 2 сағат бұрын
Muache wanasemaga Bora uwekeze Kwa mke wako na watoto wako kulikon awala maana ukifiriska watakuinua lakn awala atakukimbia
@JackyTarimo
@JackyTarimo 23 сағат бұрын
eeh jamani kwani kwenye ndoa kuna nn??????adi naogopa kuingia
@jkuser7593
@jkuser7593 Күн бұрын
Si ulisema hawez kukuacha imekuaje😂😂😂😂
@fatumambaruku963
@fatumambaruku963 Күн бұрын
Yy ndie kamuacha mume
@p.kasongot979
@p.kasongot979 Күн бұрын
😂😂😂😂😂😂 hapo sasa
@Kabwela776
@Kabwela776 Күн бұрын
Mume ndio kamuacha 😅ameenda kwa mwanamke mwingine
@mwitaagness455
@mwitaagness455 18 сағат бұрын
​@@Kabwela776hii ni ile nani zaidi, tupo hapa, keshokutwa utasikia ameniomba msamaha, wako kazn hawa wanatafuta kiki
@Kabwela776
@Kabwela776 17 сағат бұрын
@@mwitaagness455 sidhani kama unaweza kutafuta kiki kwenye kuachana na kuandika yuko kwenye process ya divorce , huyo Bibi mshangazi mchaga inaonekana amekipata alichotaka Na amekuwa malaya sana amewavulia chupi almost wanaume wote huko dar wanamuziki Na watu wengine ni ngumu sana mwanamke kama huyo kudumu kwenye ndoa Na mume wake alikuwa ni mdogo sana mume inawezekana amepata kijana mwenzake
@josephlukumay6920
@josephlukumay6920 Күн бұрын
Sawa ila mapema sana 2025
@OliverGodwinzakaria
@OliverGodwinzakaria Күн бұрын
Jmn polen Sana Kadi mlizigawa na Faras
@mtoshauri9183
@mtoshauri9183 Күн бұрын
Kwani mlipopenda ulitutagazia eti tumependa hadi mkiacha ututangazie?
@vivinenibitanga8529
@vivinenibitanga8529 Күн бұрын
Amuache tu sisi tuko hapa tunamusuburi Baba P😂😂
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 Күн бұрын
Pole sana worper
@habibakhalfan1065
@habibakhalfan1065 Күн бұрын
sijapenda_kabisa_wolper_wewe_ushakus_mtu_mkubwa_na_watoto_ni_baba_na_,mama_Mkamilifu_ktk_Dunia_hakuna_au_,umeona_watoto_wawili_wanekutosha?
@MacrinaLuoga
@MacrinaLuoga Күн бұрын
Rich kabla hajafunga ndoa alitakiwa ajue no mwanamke wa ainagani anaowa kauri za jack zilikuwa zinaonyesha no.mwanamke anaependa kumili Mali Richie awe chini yeye juu. Hata nyumba kajenga yeye huyo mwanamme. Hana kitu. Anavunja ndoa kafanikiwaa..malengo yake. ...pole. Jack. .Rudi ulikotoka .
@MkisiStylish
@MkisiStylish 19 сағат бұрын
Haya maneno sio mageni kijijini kwetyu 😹
@witneyjerry2587
@witneyjerry2587 Күн бұрын
Pole wolpa,lakini hongera pia,mijanaume mengine kuishi nayo ni mitihani mitupu,litakukumbuka acha license likadange vizuri na hiyo mimalaya ,fainali uzeeni
@nyenza
@nyenza 23 сағат бұрын
Kwa taalifa yako uzeen hatufiki tunakua tumeshakufa
@edmundnkarangu134
@edmundnkarangu134 Күн бұрын
Havina mda😭
@OmanOman-f7r2p
@OmanOman-f7r2p Күн бұрын
Ndoa za wasanii mtihan. Sasa uka Mkanya nakumwambia wanaum ni asili yay kuchepuka sasa tutaachan nawangap
@WemaCuthbert
@WemaCuthbert Күн бұрын
Pole Mamy 😭😭
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 Күн бұрын
Ila mastaa 😢😢😢😢
@Asha-s9u8p
@Asha-s9u8p 21 сағат бұрын
😂😂😂😂 na kocha wao ni shusho
@LinahRwambali
@LinahRwambali Күн бұрын
Nlijua tu hii ndoa ingevunjika, ndoa ya mwanamke kumzidi umri mwanaume huwa haidumu
@neemaisrael688
@neemaisrael688 Күн бұрын
HASARA YA MITANDAO. FANYA MAISHA KAMA MUHDABE FANYA YA KWAKO TU. TATIZO MITANDAO.
@jacksonkaale.
@jacksonkaale. Күн бұрын
Nawaonea huruma watoto walishazoea wakiamka wanamwona baba na mama kwa pamoja....
@hopekandrossy1714
@hopekandrossy1714 23 сағат бұрын
Umeoa
@YunisJerald
@YunisJerald Күн бұрын
Kwani ni mara ngapi hyu kusema kuachana na baba p
@AsiaShaban-zz4yr
@AsiaShaban-zz4yr Күн бұрын
Ndoa ya taifa imeingia mchanga kumbe mbona January 5, 2025 jmn harmonize mchumba x huyo yupo single tatizo ndo ivo Mzee mapito sikuiz anapenda nyashi sijui atarundia shuka alolalia jana
@christinamwita6157
@christinamwita6157 23 сағат бұрын
Wanaume wafanyiwe nn ndo wajue wanapendwa jmn mnatutesa sana
@NeemaSamson-ti8pc
@NeemaSamson-ti8pc Күн бұрын
Kuachana sio kitu kigeni dada jack cha msingi pambana kuwalea watoto wako
@zainabwage4658
@zainabwage4658 Күн бұрын
Ingekuwa zinaa wangedumu lkn ndoa mmmhhh
@BarbaraPatience-qt9cc
@BarbaraPatience-qt9cc Күн бұрын
Wewe WOLPER wacha ujinga,Rudi kwako uishi na mumeo. Wacha maringo wewe ni mshangazi
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 Күн бұрын
Wewe tena mpaka useme
@blessshakerz5965
@blessshakerz5965 Күн бұрын
Kwann mastaa hawadumu Kwa ndoa
@EmmilianaDeodath
@EmmilianaDeodath Күн бұрын
Kwa sababu wanahela hawawez kuvumilia Ila Sisi ndo tunang'ang'ania unawaza unaondoka na watoto unaenda wap familia haikutaki huna mbele wala nyuma inabidi utulize komwe
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 Күн бұрын
Siyo mastaaa huk mtaaa kila kukikicha wana achana
@elizabethdamas-zp9xl
@elizabethdamas-zp9xl Күн бұрын
ata raia wa kawaida hawadumu pia isipokua wao sio maarufu ndo maana tunaona kama mastaa ndo wanaachana ovyo ila ata ambao ni rahia ndoa zinavunjika kila kukicha
@sammasika3627
@sammasika3627 Күн бұрын
Wanaume atuliziki jaman jackline ni wakumuacha kweli
@leebronkasianh5296
@leebronkasianh5296 Күн бұрын
Ndio zinavyoishia ndoa z a kujiproud mitandaoni,unakuta kila kitu fake hakuna real love ni drama tupu😂
@salmafimbombaya9099
@salmafimbombaya9099 Күн бұрын
Kwahiyo na mali mnazigawana ?
@judyngowi391
@judyngowi391 Күн бұрын
Tatizo uliolewa na kiben 10, hajamalizq ujana
@Peterchila-un2lx
@Peterchila-un2lx Күн бұрын
Wolper amrizishi mume wake
@FabianSemba
@FabianSemba Күн бұрын
Sasa huku ndiko mlipofungishwa ndoa?? Mbona mnakosea kiapo ninyi watu maarufu
@zaitunijuma8710
@zaitunijuma8710 Күн бұрын
Cc tukiachana wala hatutangazi wasanii sasa kila kitu mtandaoni kwani ungepiga kimya tu ungebadilika
@juliethhenrymasanja940
@juliethhenrymasanja940 Күн бұрын
We dada hebu kaa nda Ndoa yako, hayo siyo maisha
@elizabethdamas-zp9xl
@elizabethdamas-zp9xl Күн бұрын
kwaiyo ata kama kuna unyanyasaji mtu unapitia ubaki tu ukifia apo
@masaweiddi2278
@masaweiddi2278 21 сағат бұрын
Jaman dada pole why this
@robertadolf562
@robertadolf562 Күн бұрын
naomba hiyo nafas jaman...niendeleze hapo alipoachia rich
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 Күн бұрын
Ndoa sio kwapa mwijaku kasema ndoa ndoana 😅
@homeandaway2811
@homeandaway2811 Күн бұрын
Hakukosea Mwijaku 😂 nacheka kama mazuri
@AshaJuma-s7l
@AshaJuma-s7l Күн бұрын
Madhara ya kufosi ndoa ndiyo hayo sasa
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 Күн бұрын
Tatizo mlipangawa sana navindoa uchwara haya ndoa chali
@sheckycobb5240
@sheckycobb5240 23 сағат бұрын
Roho mbaya
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 23 сағат бұрын
Roho mbaya alomuacha Huna akili nini wewe mama ako pia anaroho mbaya labda hujui tu
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 23 сағат бұрын
@sheckycobb5240 Ahh nipishe mie mkiigia kwenye ndoa mnatutambia sana bora alivoachwa tokalini ndoa zamitandaoni zikadumu hilooo
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 23 сағат бұрын
@sheckycobb5240 kaachwa bibi we ataukisema vip aungane nachama chawajane upo nyonyo
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 23 сағат бұрын
@sheckycobb5240 Hahaha farasi kishindo kibenteni sio waume
@lisawilliam2491
@lisawilliam2491 Күн бұрын
dah sad
@Maya-bm9bu
@Maya-bm9bu Күн бұрын
Ni Roman Catholic ndo walifunga ndoa na sio KKT ! Rich ni Mkatolik sio Lutheran
@rithadonatus8110
@rithadonatus8110 Күн бұрын
Sasa mambo hayo unaleta kwenye media
@halamascat2816
@halamascat2816 Күн бұрын
💔💔
@stn4873
@stn4873 Күн бұрын
NDOA KIZAZI HIKI SI JAMBO LA KUKIMBILIA ILA MWEZI UJAO NAOA.
@JokhaJokhaabla
@JokhaJokhaabla Күн бұрын
Pole sana kama nikweli basi yte ni mipango ya Allahkila kinachokutokea kwenye maisha yako jua nimipango ya ALLAH
@yohanakobero3387
@yohanakobero3387 23 сағат бұрын
Uongo. Mungu anachukia talaka. Hivyo haiwezi kuwa mpango wa Mungu.
@JokhaJokhaabla
@JokhaJokhaabla 23 сағат бұрын
@yohanakobero3387 kha huyu vp usinichefue mm .
@bbclondonulimwenguwasoka6126
@bbclondonulimwenguwasoka6126 Күн бұрын
Nitafute ni kuoe chap
@AzaAzamhmod
@AzaAzamhmod Күн бұрын
Mhm mwanamke akiwa na vihela maamuz yke ni mazito 😂pole Wolper.ila jua hakuna mwanamme alotulia wote baba mmoja
@eliezelbutoyi8927
@eliezelbutoyi8927 Күн бұрын
Kumbe your husband ni shoga analiwa!!!!!!!!!!!!!
@Kabwela776
@Kabwela776 Күн бұрын
Acheni kumtia matope jamaa atakuwa amemshindwa huyo wolper malaya Na amefirwa karibia Na wanaume wote mjini hajui kukataa huyo
@CharlesMakwaya
@CharlesMakwaya Күн бұрын
Waachen kutuigizia movie hai
@dainesbenjamin8230
@dainesbenjamin8230 Күн бұрын
Mmmh ushangae hawajaachana ila hamtaki tuu mtumee hizo vituu ziko zinamuumizaa 😂😂Mapenzi kubabayooo 😢😢
@homeandaway2811
@homeandaway2811 Күн бұрын
NDIO MANA SIPENDI MICHANGO YA HARUSI, KUPOTEZA PESA TU. IFIKE MAHALI WATU MFANYE HARUSI NDOGO TU, WATU 20 au 30 KAMA YA LULU NA MAJIZO, INATOSHA. TUWEKEZE KWENYE MAOMBI/DUA NDIO UWE MSINGI MKUU WA HIZI NDOA.
@braggadachu1723
@braggadachu1723 Күн бұрын
Yani wewe una akili kama zangu mimi Harusi yangu mwsho watu 30 tu
@homeandaway2811
@homeandaway2811 Күн бұрын
​​@braggadachu1723 bora hivyo yani tulipofikia ni pabaya. Najua hawakupanga kuachana lakini shetani yuko busy kuharibu, bora kumlilia Mungu, pia hizi ndoa tujifunze kuziweka mbali kabisa na MITANDAO.
@esterlema8255
@esterlema8255 20 сағат бұрын
Amen
@florasongay8934
@florasongay8934 Күн бұрын
Jamani pole
@lulually5717
@lulually5717 Күн бұрын
ndoa za siku hizi full maigizo
@Kabwela776
@Kabwela776 Күн бұрын
Wanawake wa kaskazini sio wa kuowa hao wa kulala nao tu ukitaka mke tafuta sehemu ingine wana viburi sana dharau wakorofi sana Na wajuaji Ndio wao yaani wanaume waliokuwa na wanawake hao wa kaskazini ni kama wanaume wameolewa wanaume hawana sauti kabisa kwenye ndoa zao walioowa wanawake wa kaskazini.
@samwelmwangi9185
@samwelmwangi9185 Күн бұрын
Sio kweli, tatizo ulilolitaja ni la mtu binafsi sio la ndugu zetu wa kaskazini tu.
@sgjjkwbueow
@sgjjkwbueow Күн бұрын
Tunashukuru umetangaza mapungufu ya mkeo mana inaonekana umeoa kabisaa uchagani sasa ya kwako unatangaza lini bwana mkubwa?
@Kabwela776
@Kabwela776 Күн бұрын
@ matatizo hayo hawana wabena au wahehe Na makabila mengine wanawake wana heshima sana sio kama wanawake wa kaskazini Na masingle mothers wengi mjini ni wanawake wa kaskazini
@Kabwela776
@Kabwela776 Күн бұрын
@@sgjjkwbueow mkuu Mimi sijaowa uchagani
@barakalameck7342
@barakalameck7342 Күн бұрын
Asa unawatoto wa wili umezalishwa nani atakuoa?
@SamaThomas-b1k
@SamaThomas-b1k Күн бұрын
Wanawake n watu wa ovyo san
@JokhaJokhaabla
@JokhaJokhaabla Күн бұрын
Nikweli tuwajinga ila bila mwanamke usingezaliwa.pia huyo mwanamke kakuzaa halafu huyohyo mwanamke huwezi kuishi bila ya kumaliza starehe zako na hufui huli huwi msafi bila ya huyo mwanamke na kuna wakati hutoboi kama huna huyo mwanamke yani acha kumdharau mwanamke
@JokhaJokhaabla
@JokhaJokhaabla Күн бұрын
Kila jinsia ina umujimu wake nandio M.Mungu akaumba jinsia 2 yakike na yakiume kwamba kilammoja ni msaidizi na nimunimu kwa mwwnzake.na asilimia kubwa wanaochepuka ni wanaume .m.mke akikupenda kamwe hakutokei nje ya ndoa hata awe katoka kwenye uchangu doa akipata wakumtunza anatulia na harudii kujiuza .ila nyie wanaume hata mwanamke akujali vp na akutosheleze kuanzia chakula usafi kukucare mpaka kitandani hamtosheki wala nyie anayoyafanya mwanamke kwa siku ndani ya nyumba hamuwezi kuyanya wala hamjui mke anachokaje mnataka mujaliwe tu
@eliezelbutoyi8927
@eliezelbutoyi8927 Күн бұрын
Rudi kwa harmonize
@Peterchila-un2lx
@Peterchila-un2lx Күн бұрын
Kisimi cha wolper kimeota sugu
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 Күн бұрын
😢😢😢
BWANA HARUSI KAMKATAA BI HARUSI   LIVE BILA UOGA.AKATAA ZAWADI 🧐
5:15
ELISHADAI ONE MEDIA
Рет қаралды 196 М.
We Attempted The Impossible 😱
00:54
Topper Guild
Рет қаралды 56 МЛН
Beat Ronaldo, Win $1,000,000
22:45
MrBeast
Рет қаралды 158 МЛН
Правильный подход к детям
00:18
Beatrise
Рет қаралды 11 МЛН
MKE WA DAVI WA HUBA ATOA TANGAZO BAADA YA NDOA YAO NA DAVI WA HUBA.
8:17
We Attempted The Impossible 😱
00:54
Topper Guild
Рет қаралды 56 МЛН