Women Matters (3): Hili ni KOSA Wanawake wenya kipato zaidi ya wapenzi wao HULIFANYA, Okoa Uhusiano

  Рет қаралды 42,558

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

5 жыл бұрын

Mwanamke anapokuwa na kipato kikubwa cha fedha kumzidi mpenzi wake, inaweza kuwa chanzo cha kuvunjika kwa uhusiano, Kwanini? Dr Mwaka, Lillian Mwasha na Aunt Sadaka

Пікірлер: 126
@luluvictor5769
@luluvictor5769 5 жыл бұрын
Kama unapata elimu ninayoipata mimi gonga like. Hichi kipindi nicha pekee😘😘
@lissamsalu2179
@lissamsalu2179 4 жыл бұрын
Nimefurahi sana nanimejifunza
@rajabumaige7277
@rajabumaige7277 4 жыл бұрын
Nice
@petronillajosephat2655
@petronillajosephat2655 5 жыл бұрын
jaman ndoa n ngumu bila kupata watu kama kina mwaka .utaona kila mwanaume anamatatizo.yaan unahtaj kutumia akili nyingi.
@PRAYAGAIN
@PRAYAGAIN 5 жыл бұрын
Today is today My notebook is full.... Doctor mwakaaaaa🙌
@atomphoton5000
@atomphoton5000 5 жыл бұрын
Dr. Mwaka kaongea point za kutosha, alafu kweli mwanamke ajaumbiwa kufanya kazi abaki nyumbani ale watoto.
@khadeejaabdullah7083
@khadeejaabdullah7083 5 жыл бұрын
Mmmh Dr mwaka hapo kwenye kipato imeningusa haswaa
@mariamyoyote8172
@mariamyoyote8172 4 жыл бұрын
Yaan kikubwa Kwa mjadala huu ni kujenga urafiki na mumeo au mchumba wako Yan kuwa marafiki wakweli mloshibana mtafanya mazur meng na maisha mazur tu yafuraha mtaishiii nimewaerewa Sana nawapenda ❤️💕💕❤️
@azizakwileka1686
@azizakwileka1686 4 жыл бұрын
Dokta Mwaka anazungumza ukweli kabisaaa.... Lazima tukubali kutokukubaliana ili mambo yaende👏👏
@eileengift7836
@eileengift7836 4 жыл бұрын
Dr Mwaka unaongea a pure truth! Be blessed
@nestorymashaka3194
@nestorymashaka3194 4 жыл бұрын
kabisaa
@carolinemariki4029
@carolinemariki4029 3 жыл бұрын
Dr Mwaka una vigongo sana... wanawake tunaweza tuache kazi
@hadijapazia684
@hadijapazia684 5 жыл бұрын
Aunt Sadaka anamuangalia Dr mpaka haamin kwa madini anayo tema..
@zuberikamote2078
@zuberikamote2078 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂kabisa anatamanii amwambie nope😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣
@fatumasingano3928
@fatumasingano3928 5 жыл бұрын
Dr mwaka umeongea point Sanaa nimejifunza mengi sana
@IsaacJavan
@IsaacJavan 3 жыл бұрын
Dr. Mwaka, you have said it all! Salute!
@aishamusa6806
@aishamusa6806 5 жыл бұрын
Wanaume.wasasa umpe pesa.ataenda.kuongeza mke.kwapesa.yako.utalia
@muhrajovic752
@muhrajovic752 4 жыл бұрын
huyo mwanamme amekusaidia kugawana riski na mke mwenzio, amekusaidia kuhifadhi hela kama hulijui hili ulizia harama ya hawara na mke utalijua hili
@amalali2554
@amalali2554 4 жыл бұрын
Haa wanafurahisha wewe pesa zako ukipata humshauri mwanamke unaenda kuongeza mke mwengine but sisi wanawake tukiwa na kipato kikubwa hauko safe ati ni nature ni uhasidi
@nestorymashaka3194
@nestorymashaka3194 4 жыл бұрын
hapana ww umeathiliwa wamakundi namaneno yawanawake ambao hawaanaakili
@dominicnzai8256
@dominicnzai8256 5 жыл бұрын
Hapo Ni hekma na maarifa tuu ili maisha mengine Yaendelee Bwana Ila wanwume hatutaki kuonyeshwa unyonge hatakama hatuna#Womenmatters#SnS•√
@lindalyly2692
@lindalyly2692 4 жыл бұрын
Allah awabariki mara muna ninjenga saana na nina wapenda saana . From 🇨🇦 🇨🇦
@cakesuke1235
@cakesuke1235 4 жыл бұрын
Dr mwaka shikamoo anti sadaka shikamoo Lilian shikamoo
@rittaaziz4470
@rittaaziz4470 Жыл бұрын
YAANI DR MWAKA .. VEEERY ON POINT HATARIII!!!
@guy-noelntunga4706
@guy-noelntunga4706 3 жыл бұрын
This guy has knowledge !!!!
@yasiniamri5458
@yasiniamri5458 2 жыл бұрын
Doctor Waka MUHA MWENZANGU 🔥🔥🔥
@zainathcuwimigishazchelsea2113
@zainathcuwimigishazchelsea2113 4 жыл бұрын
MashaAllah Dr mwaka......... Yote umeongea yamebebwa nauelewa. Hongera saana
@yasiniamri5458
@yasiniamri5458 2 жыл бұрын
Kumbe docta mwaka Ni muha mwenzangu ndio maana unaakili mingi
@ismailyusuph740
@ismailyusuph740 4 жыл бұрын
Na wanawake wengi hupenda kutumia neno ‘CHANGU’ ni wachache sana wanaotumia Neno ‘CHETU’....Na Kwa mwanaume hata usipompa hizo hela zako Lkn kitendo cha kuweka neno ‘CHETU’ automatically huwa ni faraja...!...Na ni kweli wanaume tulio wengi hatupendi hili neno ‘ CHANGU’ Kwa sababu tupo pamoja kwenye ndoa na kila tunachokifanya Kwa ajili yetu na Cha mwanaume hukiita ‘CHETU’ Na huvuka zaidi mipaka hata Watoto mliozaa anasema watoto ‘WANGU’ ni nadra sana kutumia neno ‘WETU’...Kiukweli hii tabia ni mbaya sana ‘ Na hii inawajenga kwenye ubinafsishaji kiasi mwanamke yupo kwenye ndoa Lkn ana maisha yake anayafanya kimyakimya...’...Na Ndio Maana mwanaume akija kujua kwamba maisha nayafanya Kwa faida ya FAMILIA Lkn mke anafanya maisha Kwa Ajili ya nani mpk anafichaficha...?..!..Hapo ndipo ndoa huanza MIKINGAMO..!
@fashiontrendstv3207
@fashiontrendstv3207 5 жыл бұрын
Hamna mwanaume anaefurahia mkewe kupata more money maana hatakuwa inferior na wewe mwanamke unaeogopa kutafuta hela ili kumuonea huruma unaujinga
@adelmarcymallya772
@adelmarcymallya772 5 жыл бұрын
Mwaka Una nondo Lilian naomba awe kwenye kipindi most times
@rahillhamidu2544
@rahillhamidu2544 5 жыл бұрын
Same me, nataka asikose kila kipindi
@aminamwanyenza9869
@aminamwanyenza9869 5 жыл бұрын
Kweli dada mwasha huyu Dr mwaka anafaa sana kuwa kwenye kipindi chako kwani amatufunza mengi sana ambayo yanatufungua akili zetu. Yaani usimuache
@marymtagwa3065
@marymtagwa3065 5 жыл бұрын
Amina Mwanyenza k
@marymtagwa3065
@marymtagwa3065 5 жыл бұрын
Amina Mwanyenza n
@marymtagwa3065
@marymtagwa3065 5 жыл бұрын
K
@marymtagwa3065
@marymtagwa3065 5 жыл бұрын
Amina Mwanyenza jjk
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 4 жыл бұрын
Siyo wanaume wasikuhizi.
@nguombagalalang3jfashioncl150
@nguombagalalang3jfashioncl150 4 жыл бұрын
Yan nondo kama zote!! daaaa!!! yan sija owa lla nime jifunza mengi sana lazima nita jenga ndowa bola God hope me i trast yuo!!!
@aminajuma1435
@aminajuma1435 4 жыл бұрын
Ahsante kaka… yaani nahisi km nimechelewa kupata somohili
@romanstephen4101
@romanstephen4101 5 жыл бұрын
Dr.Mwaka kumbe Muha mwenzangu ndomana unaakili sana. Jamani with no offense
@mj.tv.forpeople992
@mj.tv.forpeople992 5 жыл бұрын
Nimekwelewa sana dk yani nimekujua mda sana ila Leo ndiyo umenisaidia
@priscillaamossen8249
@priscillaamossen8249 5 жыл бұрын
Huyu daktari , hawa madaktari hawa magufuri awape wizara nchi itaendelea
@lovenessdiva7132
@lovenessdiva7132 5 жыл бұрын
Asante Dr.
@tedyokachu5013
@tedyokachu5013 4 жыл бұрын
Dr Mwaka umeniliza Mungu,kumbe wanangu ni machotara??🙇🏽‍♂️
@fashiontrendstv3207
@fashiontrendstv3207 5 жыл бұрын
Kama a woman is powerful why men don't have respect
@RamazaniMulongeca
@RamazaniMulongeca 4 жыл бұрын
Maria James How so? I mean, wanakuaj disrespectful?
@enesiasam964
@enesiasam964 5 жыл бұрын
Asante mko vizuri!
@zenasseifu8223
@zenasseifu8223 4 жыл бұрын
Daaa nimekuwaelewa Sana. I wish wazazi wote tungeliona Hilo.
@seifmohamedseif9467
@seifmohamedseif9467 4 жыл бұрын
Hi ndio ile mke wangu sipendi unasema gari yako tv yako nyumba yako kwanini usemi vyetu 🤣🤣🤣 mara una sikia sawa na hz sidiria zetu 🤣🤣🤣🤣
@tanzaniaoman6423
@tanzaniaoman6423 5 жыл бұрын
Nawapenda sana❤
@matildamushi1741
@matildamushi1741 4 жыл бұрын
Ukweli mtupu dokta Asante mwanamke mwenye kuskia na asikie.
@mulandakasongo2903
@mulandakasongo2903 4 жыл бұрын
Kweli Ninacho kisema Mwanamke mwenye Hekima hujenga Nyumba yake Mwenyewe Methali 14:1-18
@jeremiahmwasapilicharlie2926
@jeremiahmwasapilicharlie2926 5 жыл бұрын
thank you
@priscillaamossen8249
@priscillaamossen8249 5 жыл бұрын
Hatujashindwa doctor,,, wanaume wamelala
@beatricebenson9099
@beatricebenson9099 4 жыл бұрын
Mungu awabariki sana
@saudambinga3832
@saudambinga3832 4 жыл бұрын
SoMo zuri Sana ,shikamoo Dr Mwaka😄
@priscillaamossen8249
@priscillaamossen8249 5 жыл бұрын
Mimi nacheka sana hapa, huku Scandinavia hakuna kazi ya kike wala ya kiume, kazi zote wanaume na wanawake tunazifanya ...
@hajihassan5433
@hajihassan5433 4 жыл бұрын
Ina maana hata wanaume wanabeba ujauzito. Acha kutuongopea wewe.
@cleverluwole6692
@cleverluwole6692 4 жыл бұрын
Acha uongo wew ushawah ona wanwake wanenda kupigana vitani.?
@dinahodhiambo4179
@dinahodhiambo4179 3 жыл бұрын
Ni ukweli priscilla anasema,huku ni ujipambe na hali yako,bills mnagawa katikati,wachache wanaelewa.
@fatumamwinyi516
@fatumamwinyi516 4 жыл бұрын
Aende tuuuuuuuu ,Mungu ampe salama ya kwenda na kurudi
@ashurafrank2079
@ashurafrank2079 5 жыл бұрын
Doctor yuko vizuri
@solangekubota9487
@solangekubota9487 4 жыл бұрын
Uyu kaka ana akili sijapata kuona, uyu anaweza ku gerer ata wanamke 10 🙌🙌👌👌
@denniskimaro4595
@denniskimaro4595 4 жыл бұрын
Mwaka umeongea master waambie waelewe
@mamichoumalkia4228
@mamichoumalkia4228 4 жыл бұрын
Dr mwaka mungu akubariki sana MashaAllah u speak so well
@mwanarusimusa3620
@mwanarusimusa3620 9 ай бұрын
Sisi wanawake huwa tunafanya makosa kwa kufanya mambo mengi ndani ya nyumbani kwa sababu tuna pesa.tuwaachie wanaume majukumu yao.
@azizasaleh6624
@azizasaleh6624 4 жыл бұрын
Kipindi kizuli Sana nanimejufunza nashukulu Sana mungu awaongoze ila iyo yakumuachia mume mmmh misiseme yalonikuta
@cleverluwole6692
@cleverluwole6692 4 жыл бұрын
Safi sana👏
@thomasboniphace7254
@thomasboniphace7254 4 жыл бұрын
Somo zuri sana.
@kapendalubowa534
@kapendalubowa534 4 жыл бұрын
Unasema Ukweli kabisa Dr.Mwaka,wizara ya afya Ummy Yuko vizuri Kigwangala aliingia hasira zake zilianza na wewe.Kudeal na jamii umenena.
@christinen8291
@christinen8291 5 жыл бұрын
Tunawapenda sana kutoka DK
@haarithashaban4568
@haarithashaban4568 4 жыл бұрын
Asante nimepata kitu
@joharijj2164
@joharijj2164 4 жыл бұрын
Doc yaani ilmu tosha unatupa,,, huko🔥
@gonsalvamswaga6471
@gonsalvamswaga6471 4 жыл бұрын
Duuu kweli huyu Dr ni genius
@zuriatybakaryzuriatybakary9806
@zuriatybakaryzuriatybakary9806 4 жыл бұрын
Mm nitaweza vyote ila sio kweli kwenye mshahara wangu 😀😀😀😀 yani ataona tu naingiza tiivi mpya
@carolinemariki4029
@carolinemariki4029 3 жыл бұрын
hahaaaaaaa
@sanianan6586
@sanianan6586 4 жыл бұрын
Namu kweli Aunty sadaka
@norbertnombo6918
@norbertnombo6918 5 жыл бұрын
🔥🔥🔥
@denniskimaro4595
@denniskimaro4595 4 жыл бұрын
Sisi ndio macontroller
@muhamedwardah5144
@muhamedwardah5144 4 жыл бұрын
Nime jifunza🙏🙏🙏😍😍😍😘😘😘
@leylahley3542
@leylahley3542 5 жыл бұрын
💥💥💥
@joharijj2164
@joharijj2164 4 жыл бұрын
Wallahi liliwai nikuta ilo, jamani ni kweli, ilibidi niache tu, yaani Ata ufanye vipi aoni asema unadharau eti una pesa, yalinishinda
@selemaniseif8820
@selemaniseif8820 4 жыл бұрын
Dr.Wafunde haooooooo
@fatumamwinyi516
@fatumamwinyi516 4 жыл бұрын
Dr big up
@musicheals1545
@musicheals1545 3 жыл бұрын
Mwaka
@khdijaahmed8458
@khdijaahmed8458 3 жыл бұрын
Sasa inshallah mie bado kidog anaolewa ila nitakwa mama wa yumbani tu 🤷‍♂️
@amidabukuru
@amidabukuru 4 жыл бұрын
Taratibu DR shikamo
@zainabukassim9924
@zainabukassim9924 5 жыл бұрын
Yaani mama wekuwa mbuudhiii...had keerooo..truly saad😫😫😫
@fashiontrendstv3207
@fashiontrendstv3207 5 жыл бұрын
Law ya nature sio reality na mwanamke azae alee afanye housework awe mke aende kazini alipe bili na amtie moyo Mme ajifeel kama mwanamme bila kusahau unachitiwa because yupo inferior unamore money duhh
@sharonndowo6922
@sharonndowo6922 4 жыл бұрын
Imagine
@lazaroletion2420
@lazaroletion2420 4 жыл бұрын
Wanawake baadhi kwa sasa wanamuelewa Dr wakati anazungumza ila baada ya siku tatu vyote vinapotea ☹☹
@rahillhamidu2544
@rahillhamidu2544 5 жыл бұрын
Doctor mwaka Leo nakupa salute congratulations #women's matters
@nguombagalalang3jfashioncl150
@nguombagalalang3jfashioncl150 4 жыл бұрын
Katika duniya hiyi hakuna mwanadamu mujinga kama mwanaume kwa mwana mke, wakina MAMA, muwe kama EVA lazima ndowa ita kuwa vzl
@zuberikamote2078
@zuberikamote2078 4 жыл бұрын
Mmmmh mungu aniepushe na mabalaa km hya ☹️☹️😢😢
@lyimorobert1761
@lyimorobert1761 4 жыл бұрын
Inakuwaje mmejenga wote kila mmoja anasema ya kwake badala yetu?
@nestorymashaka3194
@nestorymashaka3194 4 жыл бұрын
mate umeongea ukweli kabisa yanii umeongea kitu chenyewe kabisaa
@lilianjeremia1024
@lilianjeremia1024 5 жыл бұрын
Apo kwenye haki sawa ndo tatizo wanawake apo tutaisom no 😂😂
@etwekitilya5855
@etwekitilya5855 4 жыл бұрын
Nawapenda jaman nilichelewa wapi kukifaham hiki kipindi chenu jaman . Mbarikiwe
@happymeshackmas6923
@happymeshackmas6923 4 жыл бұрын
Kumbe umechelewa Kama Mimi jmn wanafundsha vzr Sana Dr mwaka big up
@nestorymashaka3194
@nestorymashaka3194 4 жыл бұрын
kunamengine kinyume
@evelynkuabi5758
@evelynkuabi5758 4 жыл бұрын
Kuzingua ndio nini
@fatumamwinyi516
@fatumamwinyi516 4 жыл бұрын
Wanaume bongo!ume pesaaaaaaaaaaaaaa
@kanyangeclaudette8146
@kanyangeclaudette8146 4 жыл бұрын
😂😂😂mwaka Ase ziwe zake Acha rh mbaya nikupe alafu ukazihonge wanawake wengine?!
@sweetmama6885
@sweetmama6885 5 жыл бұрын
Mshahara wetu. Uuuuuwi jamani. Mungu utusaidie. 😁
@janethkilonzi4260
@janethkilonzi4260 4 жыл бұрын
Mm naweza kwel haya mmh hapana
@mwanatz5980
@mwanatz5980 5 жыл бұрын
😂😂😅 Mshahara wetu tunashindwa kweli wa hilo.
@malaikawaupendo5945
@malaikawaupendo5945 4 жыл бұрын
Yani napata elimu kubwa sana
@mariamuharuna5271
@mariamuharuna5271 4 жыл бұрын
Dah anty yani ayo maneno umenigusa
@restypeter1141
@restypeter1141 4 жыл бұрын
Hahhahahahahha mshahara wetu umetoka jmn
@carolinemariki4029
@carolinemariki4029 3 жыл бұрын
hahahahahahahahahahaha
@joviangeofrey7212
@joviangeofrey7212 5 жыл бұрын
sio lazima mwanaume alipie. binafsi napenda mwanamke ndo alipe. but still inabid niwe na mamlaka juu ya mwanamke. asiwe na maamuz yake mwenyewe tu kisa et ananizid kipato. kweli lazima nijisikie vibaya ka mwanamke anaonekana kujifanyia kila kitu
@atomphoton5000
@atomphoton5000 5 жыл бұрын
wewe utakuwa ki.ben 10 kwanini uamue kuwa na mwanamke wakati uchumi wako bado hauko vizuri?
@joviangeofrey7212
@joviangeofrey7212 5 жыл бұрын
Atom Photon elewa kitu kimoja. nimesema kulipia kitu haimanish wewe huna pesa. no, just kumpa mwanamke nguvu hata ka pesa ni yangu mwanaume. pila kama unahisi ni aibu basi hukupata elimu ya ndoa. ktk ndoa kuna kumfanya mwenzio aonekane akifanya jambo frani ambalo hata ww ukilifanya unajisikia poa. thats love
@atomphoton5000
@atomphoton5000 5 жыл бұрын
@@joviangeofrey7212 sio aibu majukumu ya mke ni kiwanda cha kuzalisha na kulea watoto. Ukiingia kwenye ndoa una mlengo eti siku moja umugeuze mkeo abebe majukumu ya kiuchumi umeshafeli tayari.
@joviangeofrey7212
@joviangeofrey7212 5 жыл бұрын
Atom Photon true. ila kumpa pesa alipie eidha chakula mlichokula anajisikia poa sana
@abdulmilingita2114
@abdulmilingita2114 4 жыл бұрын
Yaani hakika haya ni mafunzo bora zaidi
@kapendalubowa534
@kapendalubowa534 4 жыл бұрын
Machotara 😭😭😭😭😭
@kiazikitamu3985
@kiazikitamu3985 5 жыл бұрын
Lazima tukubaliane wakati umebadilika zamani wanawake walikuwa hawana haki kijamii no shule no kazi akae nyumbani tu kutunza familia, maisha yamebadilika watoto wa kike wanasoma na kuwa na kazi na pia wanafanya biashara na kupata kipato ninakubadiliana kabisa mwanamke afanye kazi kupata kipato, maisha yana leo na kesho mume akifa mama awe stable kutunza watoto na yeye mwenyewe, kabla hamjaoana kubalianeni kama mama akizaa akae nyumbani kulea mpaka amalize kuzaa kama ni watoto watatu au wanne awalee ndio arudi kazini lakink ni hasara kwa mama elimu yake itakuwa bure umri unaenda kupata kazi tena sio rahisi elimu yote aliyosom ni bure. Kwa maisha ya Tanzania ni ngumu huku ulaya kuna part time job naweza nikawa na watoto na bado nikatafuta kazi ya masaa manne kwa siku kila siku au nikafanya night shift wakati baba yupo nyumbani usiku maisha yanaendelea kila mtu anafanya kazi. Mahitaji ni mengi sana ya familia haya mambo ya kuangalia mtu mmoja eti kwa vile ni provider yanalemaza wanawake wanawake wana uwezo mkubwa tu wa kutafuta pesa kama binadamu wengine mwanamme anayekupa pesa kila siku anaua uwezo wako wa kufikiri na kuona mbali na kuwa mtu fulani katika jamii wewe kama wewe maana unakaa mkao wa kuletewa kila siku na akili yako haitafuti mbinu za kujiongeza maana unajua vipo tu kuwa mwanamke sio ulemavu wanawake changamkeni kutafuta kazi na pesa raha sana mama kununukia nguo watoto wako kwa pesa uliyotolea jasho mwenyewe lakini hakikisheni watoto wenu wako kwenye mikono salama msiwasahau watoto maana wao ni namba moja.
@kakulematumomoise1148
@kakulematumomoise1148 3 жыл бұрын
Nakufata sana docta Moss from Congo rdc beni
@lilianjeremia1024
@lilianjeremia1024 5 жыл бұрын
Apo kwenye mshahar ndo kimbembe😁😁
@halimatanzania645
@halimatanzania645 5 жыл бұрын
Hahahaa
@alamnyopo9739
@alamnyopo9739 4 жыл бұрын
Mtihani kweli kweli na ukute mume bingwa wa kuchepuka....
@lilianjeremia1024
@lilianjeremia1024 4 жыл бұрын
@@alamnyopo9739 apo sasa
@janethkilonzi4260
@janethkilonzi4260 4 жыл бұрын
Hapo mtihan upo,tena kwangu ndio kabisa!!ata mshahara wake sijui ni sh ngap,..Ila wangu anajua
@halimamohd5132
@halimamohd5132 4 жыл бұрын
docter mwaka dah una akili sana mungu akuongeze
Mama vs Son vs Daddy 😭🤣
00:13
DADDYSON SHOW
Рет қаралды 40 МЛН
Looks realistic #tiktok
00:22
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 106 МЛН
Женская драка в Кызылорде
00:53
AIRAN
Рет қаралды 478 М.
كيف نبني علاقات صحية؟ | بدون ورق 91 | أسامة الجامع
1:28:34
بودكاست بدون ورق
Рет қаралды 439 М.
Women Matters: Ni kweli Mwanaume hawezi kuwa na Mwanamke Mmoja?
28:07
Simulizi Na Sauti
Рет қаралды 88 М.
Суперкар DS на 1400 л.с.
0:46
Vladione
Рет қаралды 1,5 МЛН
ЗАКЛИНИЛО ГАЗ 🤯
0:16
Top YouTubs
Рет қаралды 291 М.
КАК САМОМУ ПОКРАСИТЬ РАДИАТОР? | Делюсь опытом
0:58
Знакомые сантехники | EviTec
Рет қаралды 1,3 МЛН
МотоТаня самая популярная байкерша
0:36
Кораблев с улиц
Рет қаралды 2,5 МЛН