Yani unajaribu kujenga ila wa kujengwa Ni akina Nani ssa
@francisthoya8972 Жыл бұрын
Somo zuri ila ingekuwa vizuri be bibilia isomwe ya kiswahili Wake wetu wengine siwasomi
@brazzofilande34527 жыл бұрын
Mafundisho mfano wa darasani. Imaendikwa wapi mwanamke ana represente Mungu kwa nuymba, tena anarepresente Mungu kwa mume wake. Weye mtumishi, fundisha injili wala sio hadisi, vituko vya kufurahisha mwili. This is SOCIAL HORIZONTAL GOSPEL. Waamini, wa kristu, FUNGUENI MACHO, hizi ni siku za mwisho.