Wooi! These Two are Married yet they Pretend to be Siblings so as to live in another man's House

  Рет қаралды 27,298

Easterntv

Easterntv

Күн бұрын

Пікірлер
@hannahwanjiku-b4m
@hannahwanjiku-b4m 8 ай бұрын
Madawa zikiisha nguvu lazima ukweli ujulikane.thenkiu fr safing our bro Paul
@happinessirene9394
@happinessirene9394 8 ай бұрын
This woman should be in the world's book of records... married by two men and living in the same house 🤔wonders shall never end
@hakura5864
@hakura5864 8 ай бұрын
Class gani?
@ThymaKlone
@ThymaKlone 8 ай бұрын
ALIYEOA HUYU MWANAMKE ALIOA LAANA - huyu mwanamke amebeba chafu mingi.
@hezrolangat6010
@hezrolangat6010 8 ай бұрын
Hi nayo imevunja record hata huyu jamaa naye hana roho mbaya alikombolesha bibi kwa miaka sita ndio aishi vizuri na kusoma, Nina hakika watoto pia ni wake huyu jamaa mwingine alikuwa tu 🏧
@nixonnickel3076
@nixonnickel3076 8 ай бұрын
This mama has a sura personal, a wife of 2 husbands in one house
@texasviper2042
@texasviper2042 8 ай бұрын
sura professional ama sura mbaya...........usiconfuse.
@justdoit710
@justdoit710 8 ай бұрын
I just have one question. You mean for a whole solid 6 years Paul didn't see anything fishy about these two ?! Like how blind was he ?! I feel sorry for him but again, I thought some things only happen in movies. Because this ?! This is unbelievable. The heart of a human being is wicked
@patiencemwandairo5434
@patiencemwandairo5434 8 ай бұрын
Paul not Alfred, Alfred is the accused.
@Oderorege
@Oderorege 8 ай бұрын
Imagine hadi akalipia co husband fee na Kila kitu yaani kushugulikia ile ya serious and am sure huyo mtoi sio wa huyo jama
@User-c6h9x
@User-c6h9x 8 ай бұрын
But Alfred is the guy pretending to be the brother.
@gerrytushh
@gerrytushh 8 ай бұрын
DNA paternity test immediately 😳😏👀🤭
@roslynroz6510
@roslynroz6510 8 ай бұрын
If being blind was a person
@sweetthirty7671
@sweetthirty7671 8 ай бұрын
Wanaume fungueni macho sasa,kuna stock imerudi kwa soko ambayo ni grade rejection.
@sammywachilonga1845
@sammywachilonga1845 8 ай бұрын
Samaritan has healed more men from blindness than Prophet Owuor.
@deotio2768
@deotio2768 6 ай бұрын
😂😂😂😂 what a great Fact! He truly has
@deotio2768
@deotio2768 6 ай бұрын
He truly has😂
@HanningtonWesonga-zw7pi
@HanningtonWesonga-zw7pi 8 ай бұрын
Energetic luhya whole, servicing two men , same roof, for six years
@edinahimali
@edinahimali 8 ай бұрын
Women are dangerous 😊😊😊
@KevinPlutnumz
@KevinPlutnumz 8 ай бұрын
Huyu Ako na nyota 😅😅😅
@violetwangui5957
@violetwangui5957 8 ай бұрын
Kumbe mnanijua ni mluhya navile mdomo kikuyu ooo kikuyu eeee ukweli ni watu waache ukabila
@MegaJiber
@MegaJiber 8 ай бұрын
​@@KevinPlutnumz😂😂😂 ya service
@thediplomat6165
@thediplomat6165 8 ай бұрын
This man is my villager.... I know his father very well.
@jetitahkarimi
@jetitahkarimi 8 ай бұрын
Waaa
@WELLINGTONEMADEGWA
@WELLINGTONEMADEGWA 7 ай бұрын
Tell as more about him
@mercyg9797
@mercyg9797 7 ай бұрын
Chill😂😂😂😂😂😂​@@WELLINGTONEMADEGWA
@lilianwanjiru1412
@lilianwanjiru1412 2 ай бұрын
Tell his people to rescue him
@MbulwaMunyao
@MbulwaMunyao Ай бұрын
Be serious wooi
@segolenebaraine6536
@segolenebaraine6536 8 ай бұрын
This guy speaks the truth. Joan ni mjinga sana. All Paul needs to do is a DNA TEST on Lucky. Kiburi ya Joan haitampeleka popote.
@mercyseur9462
@mercyseur9462 8 ай бұрын
Huyu mwanamke amefunja record sasa
@paulinemuriithi9216
@paulinemuriithi9216 8 ай бұрын
She should join Pauline wa pasta show
@patiencemwandairo5434
@patiencemwandairo5434 8 ай бұрын
​@@paulinemuriithi9216weeeh ata Pauline hapa hajafika hii rank two husbands in the same roof, Pauline's husbands at least walikuwa in different houses hapo Pauline nimemheshimu cause aliheshimu manyumba za bwana zake.
@mjombawallace4966
@mjombawallace4966 8 ай бұрын
Kabisa kabisa 😅😅😅
@wairimuwaihwa2475
@wairimuwaihwa2475 8 ай бұрын
So disgusting 😮😮😮oh no!
@dorcaskanyi4515
@dorcaskanyi4515 8 ай бұрын
Alfred has spoken the truth for some reason I believe him...may the truth set him free
@uwemattiss880
@uwemattiss880 8 ай бұрын
This woman has very strong witchcraft to convince two husbands to stay in the same house.
@charity4908
@charity4908 8 ай бұрын
Yes...kabisaaa.
@martinkaindi4988
@martinkaindi4988 8 ай бұрын
This man is old enough to be independent,
@mjombawallace4966
@mjombawallace4966 8 ай бұрын
He is a real man cz he knows it hurts
@laotzu4210
@laotzu4210 8 ай бұрын
Mwanamke malaya, anajaribu kuficha siri zake ilhali imetoka tayari😂😂😂
@lucykomu1226
@lucykomu1226 8 ай бұрын
Makupe nyinyi ...... waaaah hii Paul murifee💃💃💃💃💃💃
@Ester-u7h
@Ester-u7h 8 ай бұрын
Huyu mwanamke anakaa nyokanadi mqcho 😂😂
@mariagichuri7273
@mariagichuri7273 8 ай бұрын
Wonders shall never end.Shida ni mbaya.
@winfrednkatha63_GD
@winfrednkatha63_GD 8 ай бұрын
Ati class? Even the guy himself looks so dope than the class itself 🤣😅🤣 manze marriages za siku hizi😢😢
@stephensonkimeu7504
@stephensonkimeu7504 8 ай бұрын
How can that be?!, the heart of man/woman is deceptive, they pretended N Held their feelings for 6yrs N were still ready to go on pretending. Bibi yako akuliwage ukisikia sio kuambiwa na unatulia!!, God have mercy 😢😢😢😢
@winfredgithinji9204
@winfredgithinji9204 8 ай бұрын
Madaam ww uko na class kweri na vile uko sura mbaya.wonders shall never end yawah
@esthermuyoka
@esthermuyoka 8 ай бұрын
Limama Lina sura mbaya
@JudyMwea
@JudyMwea 8 ай бұрын
Hizi sura baya ndiye wanaume hupenda wanatumia juju hii ni juju kweli, maajabu haya😂😂😂wanaume wawili kwani hii mwili yake inalimwa na wanaume wawili kwa kitanda Moja🤭sura baya kama ya nyani.
@edinahimali
@edinahimali 8 ай бұрын
​@@JudyMwea😊😊😊😊😊😊😊😊
@edinahimali
@edinahimali 8 ай бұрын
Limama🤣😂😅😂😅
@mercysherryl6124
@mercysherryl6124 8 ай бұрын
Limama joined😂😂Lakini enyewe linakaa chipanzee💀
@texasviper2042
@texasviper2042 8 ай бұрын
sura worst
@MorganOuko
@MorganOuko 8 ай бұрын
This man is a gold digger and should refund the money
@mjombawallace4966
@mjombawallace4966 8 ай бұрын
It's them two not him alone
@mkenyaspainagape1752
@mkenyaspainagape1752 8 ай бұрын
I like the way Samaritan is listening
@mjombawallace4966
@mjombawallace4966 8 ай бұрын
😂😂😂😂 did you uuuooooi after jamaa alisema me and Joan we are not brothers
@Moha-w9t
@Moha-w9t 8 ай бұрын
​@@mjombawallace4966Apana! Alisema we are sisters😂😊😅
@CharityChao
@CharityChao 8 ай бұрын
Toboa siri zote uwe huru lkn ulipe pesa za wenyewe
@mantusgitonga6129
@mantusgitonga6129 8 ай бұрын
My brother Paul you have been a walking corpse for the last 6yrs. Imagine living with your enemy's for all those years and you are still alive. Free advice... Run for your life
@marymaina5245
@marymaina5245 8 ай бұрын
Mwanamuke shut up shemles
@elizabethkinyuaelizabeth534
@elizabethkinyuaelizabeth534 8 ай бұрын
They wanted to kill Paul in the end
@MbulwaMunyao
@MbulwaMunyao Ай бұрын
Yaani unavumilia mke wako akikuliwa n mtu mwingine juu y shida wooi Jehovah
@mercyjuliekilango7841
@mercyjuliekilango7841 8 ай бұрын
Tobaaaa!!! Dunia jamani!!! Wicked woman! Wicked wicked wicked! So sorry Mr Paul😢😢! Go for DNA and KEEP OFF ALL THIS 2PPLE NA MTOTO WAO LUCKY!😮😢Haki hizi ndio vitu our boychilds will face...riswaaa!
@vivosereni
@vivosereni 8 ай бұрын
This is the most bizarre sanitization on earth , Paul thank God for being walking copse for 6 years. imagine taking your enemy to further his studies, eating on the same plate without shame .This guy should be taken to court and refund paul his expenses.
@nzilaniruth2646
@nzilaniruth2646 8 ай бұрын
Wa this one iko on another level
@shirlincandy550
@shirlincandy550 8 ай бұрын
Wueeh Joan anaundwa na bwana wawili
@robertkimwetich5570
@robertkimwetich5570 8 ай бұрын
Lady sounds like mashirima kapombe🤣🤣🤣🤣🤣🤣 wonders shall never end
@emmydiana1857
@emmydiana1857 8 ай бұрын
Sura pia not very far😂
@hellenNzilani-dk1sn
@hellenNzilani-dk1sn 8 ай бұрын
😂😂😂😂 kwani matapishi ikona class
@fridahnkatha9589
@fridahnkatha9589 8 ай бұрын
You see what i said has come to pass! I said Lucky is not Paul's kid and it is true!! What a pity 😭
@catherinethou
@catherinethou 8 ай бұрын
Samaritan you saved this blind man sa afanye DNA to be sure kama watoi ni wake, na akitaka ku"forgive well and good it's none of our business
@juliuskenga1821
@juliuskenga1821 8 ай бұрын
Without DNA .... even the action itself said it everything. Mimi na sahau...
@deotio2768
@deotio2768 6 ай бұрын
Alfred is so naive that he actually hopes and believed that if he says the truth, Paul will continue to pay his school fees😅
@paskolinenjuguna1924
@paskolinenjuguna1924 8 ай бұрын
Woman which class are you talking about?😂
@marywinnie7562
@marywinnie7562 8 ай бұрын
Ya being smashed by to men under one roof
@AngelaPrecious-vj9iq
@AngelaPrecious-vj9iq 8 ай бұрын
Asking the same 😅😅😅😂😂
@goretmwova1179
@goretmwova1179 8 ай бұрын
😂😂... Ndio nashangaa
@norahkayronnegard3282
@norahkayronnegard3282 8 ай бұрын
Is she half drunk? Which class 😂
@nancymoraa6491
@nancymoraa6491 8 ай бұрын
Same😂😂
@gladysnice2828
@gladysnice2828 8 ай бұрын
Alfred you have done good
@nunniznurcky9724
@nunniznurcky9724 7 ай бұрын
Akii huyu mungu ataremshie sisi wanawake msamaha waaa hinayo mbona kali😮
@marionmuturi5283
@marionmuturi5283 8 ай бұрын
Paul was very blinded indeed😢
@nxjjfj4923
@nxjjfj4923 8 ай бұрын
Tobe sinsely speaking kuishi na mtu for 6 good yrs na hajawai suspect any thing 😢😢😢😢😢 am so sorry
@dicksonmagutu9953
@dicksonmagutu9953 8 ай бұрын
Dunia imepasukia wapi😊😊there are many happenings only we are not aware 😢😢😢
@mjombawallace4966
@mjombawallace4966 8 ай бұрын
So many evil hearts out there thanks Samaritan 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
@LillyRichards
@LillyRichards 8 ай бұрын
Kweli nyani haoni kolunde!! This chokora woman is talking about class??? This man can do better.
@wambuikagiri9860
@wambuikagiri9860 8 ай бұрын
Weuh na huyu mwanamke ako na mdomo yawa😅😅😅
@sammynyamache2357
@sammynyamache2357 8 ай бұрын
High degree of wickedness from these two "siblings"!weh
@marywinnie7562
@marywinnie7562 8 ай бұрын
Siblings???? They are not even related
@wanjirupaul959
@wanjirupaul959 8 ай бұрын
Wewe ulikula schoolfees!huoni imeekwa in quotes meaning not true ama meaning according to their lies???endea fees yako mary​@@marywinnie7562
@miriamluvutse942
@miriamluvutse942 8 ай бұрын
Indeed...end time wickedness 😭
@tabithamwihaki248
@tabithamwihaki248 8 ай бұрын
They are not siblings
@estherwangari4377
@estherwangari4377 8 ай бұрын
Sama good job.❤but Mimi naraumu bwana ni mnjiga kiasi kubwa 😮 mwanaume anakaa na mwanaume mwezake mkubwa hivo sure .😮ati brother huyu bwana kwa hajui family ya huyu anamuita wife nonsense 😳 madness.yaaani mwanamke mumoja ameolewa na bwana wawili surely 😔 bwana ni chizi sana 😮😮
@hannahwanjiku-b4m
@hannahwanjiku-b4m 8 ай бұрын
Jesuu.fauru waugire gikuyu gitiri itiyo.kishaa kulamba
@gladysnice2828
@gladysnice2828 8 ай бұрын
Hutawachwa vizuri sana Joan, and you will be ashamed
@InnocentAnacondaSnake-tt3qz
@InnocentAnacondaSnake-tt3qz 8 ай бұрын
Ok Alfred, Joan ad Lucky, chukuaneni muondoke kw Paul a heal nkt
@lachisaya2
@lachisaya2 8 ай бұрын
That woman is a cheat kimemramba se wanted a double dealer the truth imejulikana. Class yako ni ya cheater .DNA is the best
@mjombawallace4966
@mjombawallace4966 8 ай бұрын
Ndio after DNA
@ruthwanjiru-gy2ro
@ruthwanjiru-gy2ro 8 ай бұрын
Muna semanga wakikuyu kuna mtu ametujoin
@beatricekasudi4743
@beatricekasudi4743 8 ай бұрын
Kabisa sister
@gathonimargaret838
@gathonimargaret838 8 ай бұрын
Eeee wamenyamaza uku
@wilystancech
@wilystancech 8 ай бұрын
They should be arrested and refund the money they new what they were doing
@annewambui1087
@annewambui1087 7 ай бұрын
Wonders wonders this is history of histories. How now Two men Under the sane roof. Hio hesabu noma sana
@wairimuwaihwa2475
@wairimuwaihwa2475 8 ай бұрын
Adui ya mwanamme ni mwanamme tu😮😮😮😮
@annciakarimi8715
@annciakarimi8715 8 ай бұрын
Huyu anaimba hapa class, class yke ni gan na sioni ka alienda chuo
@joycejeptoo1035
@joycejeptoo1035 8 ай бұрын
Huyu mama ameweza😂😂😂
@hakura5864
@hakura5864 8 ай бұрын
No wonder haezi nona. Being married by 2 men. Usiku na mchana una mourn
@fatumaadam4271
@fatumaadam4271 8 ай бұрын
Paul enda ukaoe mkikuyu mwenzako .
@danielaheri5785
@danielaheri5785 8 ай бұрын
Ukweli
8 ай бұрын
Fear women, hii ni Kali wanaume. Huyu mwanamke ameweka record the whole world 🌎 weh!!!!
@shirlincandy550
@shirlincandy550 8 ай бұрын
Alfred alikodesha Joan kwa Paul juu ya masomo😅😅😅Dunia ni duara
@hannahkarimi6289
@hannahkarimi6289 8 ай бұрын
Sama nipatie number ya paul 😢😢😢niko gulf planning to come soon we can start life pamoja
@danielmangaro2182
@danielmangaro2182 8 ай бұрын
Am like Paul
@hannahkarimi6289
@hannahkarimi6289 8 ай бұрын
@@danielmangaro2182 😂😂😂wee acha nichukue paul nijioshe
@danielmangaro2182
@danielmangaro2182 8 ай бұрын
@@hannahkarimi6289 jioshe tu na mimi😂
@GladysJemutai-f8j
@GladysJemutai-f8j 8 ай бұрын
Polygamy is dieing we are officially moving to polyandry na ni hawa wamefunja rekodi Kwa kuishi nyumba moja bedroom Ni ya mwingine usiku na mwingine mchana, Weeh huyo mama ni Moto wa kuotea mbali the say a woman can do better has been achieved by this woman
@shirlincandy550
@shirlincandy550 8 ай бұрын
DNA matters please
@emmydiana1857
@emmydiana1857 8 ай бұрын
Hii class she has said a million times sioni 😊
@saidakamboya1285
@saidakamboya1285 8 ай бұрын
Aaai dunia simama nishuke. Aki wanaume mwatuonyesha mambo mwaka huu, yani mkeo aliwa ukisikia na huna shida😂😂😂
@Coach_Nancy
@Coach_Nancy 8 ай бұрын
Banangeeeee😢 Hii mama iko na roho mbaya aki
@chemutaijaneth568
@chemutaijaneth568 8 ай бұрын
Wee yani ako na wanaume wawili na mimi hapa sina hata mtu aki
@Fredrickondieki-sm4tu
@Fredrickondieki-sm4tu 8 ай бұрын
Wakuu... hahahaha Nani anaona Sura ya huyu sokomoko yaani sokwe.
@judymumo2966
@judymumo2966 8 ай бұрын
Wah yaani hiki kimzee kilikua kimewekwa kwa mwanamke mwengine!!! Na vijana wengine wandogo wanajikaza huku njema?
@Salashsalama
@Salashsalama 8 ай бұрын
Waaa aki wanawake sisi ikifikia hapa ndio hua tunasema mens don't trust your woman because hii ndio tunasema hamujui nin tuli agree na nyoka pale Eden mkumbuke tuliongea na nyoka ona kwa ona 😂😂😂sasa ndio hii kila kitu iko wazi but hataki kukubali mwan mke
@ildephonsentahomvukiye5410
@ildephonsentahomvukiye5410 8 ай бұрын
Huyo mwanamke anajidayi sura wakati ana sura kama nyani ya ki China..Paul nakusii sana achana nahuyo mwanamke na Kenya inajaa wanawake wengi wa nidhamu Na wazuri Tafuta mwingine mke please.!!!!
@robbieglo7155
@robbieglo7155 8 ай бұрын
Akha khamama khanakaa tu mama kalewa ka malaya fulani uko vilabu za chang'aa na busaa, ...ka mama pima😂😂😂😂sura mbaya akha
@mwaurakamau8548
@mwaurakamau8548 8 ай бұрын
DNA ifanywe, watoto si wa Paul. Finally the guy is speaking for the sake of his education........ Not forgetting wamekuwa wakikulania kwa Paul.
@carolinejepkirui2250
@carolinejepkirui2250 8 ай бұрын
😂😂😂😂
@gkigoda
@gkigoda 8 ай бұрын
Sam. Assist Paul to get DNA test just for the law they need to be arrested and charged
@sarah94757
@sarah94757 8 ай бұрын
Umekombolesha bibi 6yrs...alafu bibi anadeny mamake!!..eeehh!!
@stevenemwakasimba-pt8er
@stevenemwakasimba-pt8er 8 ай бұрын
Paulo kaa mbali na hawa watu kwanza peleka police wakulipe
@omanoman2044
@omanoman2044 8 ай бұрын
Walenya wallah hapa mlipo fikia duuh mungu wangu
@geegee2145
@geegee2145 8 ай бұрын
Huyu mwanaume ako na guts..still expecting to be helped with Paul😢
@sarahnyawira858
@sarahnyawira858 8 ай бұрын
😅😅 mama sura personal.....a lier like the father the devil 😢
@raychelleinjete4024
@raychelleinjete4024 8 ай бұрын
Paul should forgive Alfred. He's spoken the truth.
@kennethmuigai2551
@kennethmuigai2551 8 ай бұрын
He just talking truth so that is being caught
@tabithamwihaki248
@tabithamwihaki248 8 ай бұрын
Only when caught I will forgive him but cut ties with this 2 thieves
@mademsykada3866
@mademsykada3866 8 ай бұрын
Sama hawawanajifanya wajanja kuliko eastern tv families washenzi hawa...expose them until the last drop...DNA pap needed😢
@marywahogo
@marywahogo 8 ай бұрын
Kama hii ndio class weuh🤣
@eunice1611
@eunice1611 8 ай бұрын
Paul weka hawa watu ndani wakurudishie pesa umewaste kwao nkt!😢
@marthamwangi6847
@marthamwangi6847 8 ай бұрын
Malingo ya huyu mwanamke iko kwa another level na vile sura ni kama mwanamume
@alexsaidi3940
@alexsaidi3940 8 ай бұрын
UYu CUCU AKO na sura personal na kinaringa
@serahmuiga8388
@serahmuiga8388 8 ай бұрын
Ni poa mungu amefichua mambo before its too late,huyu mama ataregret,coz hata huyo anasema ni bro wake hatamuoa
@alexsaidi3940
@alexsaidi3940 8 ай бұрын
Na UYu mwanamke sura personal na vile alikuwa na BWANA mzuri amemwosha sasa before pesa na mafuta alikuwa anafanana aje surely
@peterrulagora7403
@peterrulagora7403 8 ай бұрын
Wanawake wa Kenya majasiri sana😮🇹🇿
@paulinearumi3373
@paulinearumi3373 8 ай бұрын
Mama joan umefunja records kunyemelia waume wawili hata udharau lakini ulilala na yeye malaya
@elshadaiuniforms1196
@elshadaiuniforms1196 8 ай бұрын
Hii mama ni SURA MBAYA ZAIDI....Paul aliona nini🤔🤔🤔🤔🤔🤣
@wilystancech
@wilystancech 8 ай бұрын
Ako na hopes after this paul ataendelea kumlipia shule😂😂😂😂
@essy2023
@essy2023 8 ай бұрын
Imagine a grown up man ati juu ameongea ukweli, 😂😂😂😂akili yake inafuction kweli, na mwanamke pia anaamini Paul atamkumbali tena 😂😂😂 ,hawa n vichwa empty
@wilystancech
@wilystancech 8 ай бұрын
@@essy2023 😀😀😀wapelekwe cortini hao no cone men and women.majambazi
@Swalha577
@Swalha577 8 ай бұрын
Inshort huyu mu mama alikuwa ameolewa na mabwana wa wili.
@judithaura3431
@judithaura3431 8 ай бұрын
Weweeeeee.....hii ni 🔥
@fridahndungenzaumi6591
@fridahndungenzaumi6591 8 ай бұрын
Hata watoto si wake😮
@mademsykada3866
@mademsykada3866 8 ай бұрын
Weuwe kitumbua kisha ingia mchangani ..the cheaters lastly admit the evil act 😢😢😮
@gingergarlic6356
@gingergarlic6356 8 ай бұрын
Woman you are wrong, you've destroyed your marriage by yourself.
@CeciliaKitonga
@CeciliaKitonga 8 ай бұрын
Mwanamke amechapa vilivyo 😢
@Bobhov
@Bobhov 8 ай бұрын
Ana wanaume wawili in one roof lazima achape,
@jacklineadhiamboowino964
@jacklineadhiamboowino964 8 ай бұрын
Wickedness
@annkariuki3281
@annkariuki3281 8 ай бұрын
Ngai Mundu wa Nyumba !! So kukorogewa is Real ??stupid couple inform of ghosts.
@SharonJira
@SharonJira 8 ай бұрын
Hawa watu ni hatari 😢😢woiiiiii 6yers wamekua wakificha hii siri woiiiiii I feel pain for paul
@Tarubini1
@Tarubini1 8 ай бұрын
Ala! What’s really is happening in Jomo’s land?😳😳😳 This is sooo weird! Well guys, if you have never seen the shape and colour of corruption, this is it!
coco在求救? #小丑 #天使 #shorts
00:29
好人小丑
Рет қаралды 120 МЛН
Quilt Challenge, No Skills, Just Luck#Funnyfamily #Partygames #Funny
00:32
Family Games Media
Рет қаралды 55 МЛН
We Attempted The Impossible 😱
00:54
Topper Guild
Рет қаралды 56 МЛН
Tuna 🍣 ​⁠@patrickzeinali ​⁠@ChefRush
00:48
albert_cancook
Рет қаралды 148 МЛН
GOD DID IT. FINALLY WE ARE MOVING💗💗💗NASHUKURU MUNGU
10:17
Private Detective SM
Рет қаралды 1,3 М.
I did not plan the k!ll!ng of our child pneumonia  k!ll3d him
19:13
coco在求救? #小丑 #天使 #shorts
00:29
好人小丑
Рет қаралды 120 МЛН