Рет қаралды 6,670
Wote tumshangilieni
Wote tumshangilieni, tuimbeni Hozanna ;
Hozanna Mwana wa Daudil Hozanna asifiwe!
1. Sifa na eshima kubwa, kwa Mfalme Mkombozi,Kwa mapendo twakuimbia wimbo wa Hozanna.
2. We Mfalme wa lsraeli, Mwana wa Daudi, Ndiwe umebarikiwa, kea jina la Bwana
3. Malaika wa Mbinguni, wote wakuimbia, Na sisi wa mu dunia, tunakushangilia.
4. Mayahudi wamefika, matawi mikononi,Nasi tunakuja kwako, kewa nyimbo na sala zetu
Chorale Isidore Bakanja