Kiukweli hua mnajitaidi sana acha tuone na hii itaishia wapi ila maua yenu❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@ZiduTunutu8 ай бұрын
Nakubali kaz nzuriii Gonga like kma unamkubal R.K
@delvinejeruto8 ай бұрын
Nampenda rk
@user-maxymax8 ай бұрын
Kenya hapa🇰🇪🇰🇪.....naomba likes zangu hata kama nimechelewa
@MwajumaChambo8 ай бұрын
Oooooh my God, katika siku nimeumia ni leo benlee kumbe ile roho ya mzimu imempata kweli kumchoma kisu R.k nimehisi maumivu ya tumbo kama nimechomwa mimi
@defencengele8 ай бұрын
Mbna hi apa bado siielewi part 7 imechanganywa waeza nisaidia
@humphreykimaro80828 ай бұрын
Tanzania kweny Sanaa ni habar nyingne pongezi sana❤
@AnithaNdibalema8 ай бұрын
Yaan muda ote nimekaa nasubiri hii kitu🤸🤸🤸🙈🙈
@JohnLaban-wz2kj8 ай бұрын
Kwa nn muvi haitoki kwa muda.nasistiza msinipe ❤❤❤
@RockianBatega8 ай бұрын
Jaman wakwanza leo mm naomben like zangu ila hii movie ni hatari sana
@isihacca28_8 ай бұрын
Safi sana movie nzuri mungu awabariki
@valentineonyoni90658 ай бұрын
Thanks guys for your update 🎉. Representing Mombasa Kenya 🥰 you.
@PolineWafula-h3q2 ай бұрын
Rk you are the best
@LavendahKweyu8 ай бұрын
Mungu msaidie rk asife jamani ben mbna umekua hivo jaribu kutulia 😢😢😢😢😢😢
@SalmaMohammedy-sh5fn8 ай бұрын
Dah movie nzuri sema unachelewa
@karakeelyse86558 ай бұрын
I’m here from Rwanda
@Florahfrance8 ай бұрын
Mko vzri sana mungu awatie nguvu katika safari enu🙏🙏🙏
@shadyarif6538 ай бұрын
Kenya hapa.haki ya wakenya yakwamba wanafwatilia tamthlia yetu confirm kwa likes.
@Farry-dx5wd8 ай бұрын
Tupooo 🎉
@Jayphilipraymwema8 ай бұрын
Kenya
@mercychemaiyo8 ай бұрын
Here lam ❤
@KwetuMediadirectedbyseve73298 ай бұрын
Mimi wa kwanza kutoka Mozambique Cabo Delgado Mueda nimekubali sana hi movie na mimi pia directed wa movie uku Mozambique sasa basi naomba like zangu ❤❤❤
@Mimaahlove8 ай бұрын
Jamaniii ep8 msicheleweshe daah
@ShanelIkachoi8 ай бұрын
Movie mazuri sana Wana gulf mko wapi mnipee like❤❤
@sunaskitchen29408 ай бұрын
Tupo hapa
@marychemutai8838 ай бұрын
Tuko Kwa wingi
@dorcasnafula53148 ай бұрын
Tupo hapa❤
@DorcusMukhwana-ug1nw8 ай бұрын
Tuko hapa
@yahyaibrahim65468 ай бұрын
hhh
@salumuwembo-fo5rr3658 ай бұрын
Naipenda Saaana Tangu kongo 🇨🇩 🇨🇩 hiyi sehemu nzuri Saaana mufanyeni haraka part 8
@Akawecomedy91448 ай бұрын
We love this movie from AKAWE COMEDY 🇧🇮
@allynhosde23588 ай бұрын
Kila mtu anasema yeye wa kwanza mimi wa mwisho likes zangu hap😊😊
@Stogwa8 ай бұрын
Wa kwanza Léo nipeni ata tano from 🇲🇿🇲🇿 mueda
@JoaoFelixjoaoFelix-kf3jg8 ай бұрын
9:01
@JoaoFelixjoaoFelix-kf3jg8 ай бұрын
Kmk
@bakarisalimu77988 ай бұрын
Aaaaaah weeee et unichague alafu wew ukae nyuma kwenye eneo kama hili utaenda wew 😂😂😂
@shabartsuleiman22548 ай бұрын
Wrong house kama Wrong house 🏠
@sophianyamvula70808 ай бұрын
Yashakua kuana jamen 😢😢😢msituulie RK we2 ❤❤❤
@FaudhiaSwalehe-tp9ox8 ай бұрын
Wamwisho naombeni Lak mbili au 10
@mickdadysimba73968 ай бұрын
Nakubal sana chinga
@selemanigodfrey46488 ай бұрын
Number one today
@dj-sergeclassic97618 ай бұрын
Arakeli Na mu kubali ❤❤❤
@judithpendo99858 ай бұрын
Team strong hoyeeeeeeeeee if u believe Rk stashinda in Jesus name like please love from Riyadh 🇰🇪🇸🇦🥰🥰
I'm from South Africa 🇿🇦🇿🇦 I don't understand the language but I enjoy 😂😂😂
@JohnLepen8 ай бұрын
Daaaa good sana ila tunaomba basi msicheleweshe sana
@sabatoager8 ай бұрын
next huu kitu ni 🔥
@charitemanirakiza12008 ай бұрын
Movie nzuli tatizo mdaa jamani ongezeni mdaa tunapenda sana basi tunaokubalian kwahilo basi tujuane kwenye like❤❤🎉
@SylviaLucky-kv6vn8 ай бұрын
I have been waiting for these episode... Any kenyan here gonga like ❤❤❤
@RithaDavidson-nz9uf8 ай бұрын
Am not a Kenyan but nmeku like coz av been waiting for those episodes too just as you😊😊😊 karibu Tanzania
@ERICKKimtai-d7t8 ай бұрын
Me to i have been waiting and still waiting for next episode plz
@SylviaLucky-kv6vn8 ай бұрын
Thnks
@zayatuzai65008 ай бұрын
Nometok snake boy nimeingia uku aah acha tuinjoi❤
@Faithmelanlukhale8 ай бұрын
Upload haraka next episode 😂😂😂😂Mimi natamani ningekuwa mwenye hii movie jamani inazidi kuwa tamu zaidiiiiiii,mnaokubaliana nani ebu nipee likes hapa😅😅😅