Yammi & Mbosso - Nitadumu nae (Lyrics Video)

  Рет қаралды 3,547,965

Yammi

Yammi

Күн бұрын

Пікірлер: 1 100
@halimamichael3879
@halimamichael3879 3 ай бұрын
Mbosso na yammi, diamond na zuchu, bilnass na nandy halafu kuna mm na simu yangu 😂😂😂😂😂wehuogopi 😂😂😂😂
@komboomar8275
@komboomar8275 3 ай бұрын
Kama mm vile
@jokharysangwa
@jokharysangwa 3 ай бұрын
😅😅😅😅lazima tuogope
@JoyGeorge-u4d
@JoyGeorge-u4d 3 ай бұрын
Mimi na wewe ❤😊😂
@azizamkilindi4257
@azizamkilindi4257 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂kuna mimi na komwe langu
@auntiemylee3157
@auntiemylee3157 3 ай бұрын
😂😂😂
@yohanafumbuka1979
@yohanafumbuka1979 2 ай бұрын
Yammi anajua kuiba NCHI YETU 🇹🇿 inavipaji vingi mnoo sema havionekani tu kwasababu ya umaskini🙌
@KavudhaMutua
@KavudhaMutua 3 ай бұрын
Allah Awajaalie penzi jema inshallah wallahi mnapendezana ila ushauri wangu mkitaka kudumu mapenzi yenu mueke ustar Kando na washauri muwe nyinyi tu msiongeze yeyote,Anae wapenda nyinyi zaidi ni nyinyi wenyewe
@MTOTOMKUBWA45
@MTOTOMKUBWA45 2 ай бұрын
Nitadumu nae Yammy ft mbosso aliyerudia wimbo huu zaidi ya mara moja gonga like hapa
@VeronikaMwanawima
@VeronikaMwanawima 4 күн бұрын
Nitadumu nae
@BrantonixAfrica
@BrantonixAfrica 3 ай бұрын
Nikama ule ugonjwa wa Mbosso wa kutetemeka ishapata Tabibu❤❤ . Loving this coming couple❤
@mulangirakimerareaganstarbwoe
@mulangirakimerareaganstarbwoe 2 ай бұрын
How many international fans are here to support Yammi & Mbosso ♥️✅
@MariaKings-it7ik
@MariaKings-it7ik Ай бұрын
I am here from Uk
@alasiri2275
@alasiri2275 3 ай бұрын
Aaaaah Raha tu Asante Yammi n Mboso nice composed .................................KENYA represented
@BarBeach-j5s
@BarBeach-j5s 2 ай бұрын
Watoto wa zanzibar ni moto jamani wapewe maua Yao haraka sanaaa😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@alikusow9131
@alikusow9131 Ай бұрын
Ok❤❤❤❤❤❤
@AGATHAMAIDA
@AGATHAMAIDA 20 күн бұрын
Ndo nataman.nipate mume.wa.zenji tu.
@GeoginahMuhenje-v1h
@GeoginahMuhenje-v1h 3 ай бұрын
Mbosso na yammi nawakubali sana mudumu vivyo hivyo 🇰🇪🇰🇪
@afrodomusic5934
@afrodomusic5934 3 ай бұрын
Kama unawakubali Yammi na Mbosso🔥🔥🔥 nipe like 🇰🇪🇰🇪👍
@MariaKings-it7ik
@MariaKings-it7ik Ай бұрын
Hahaha 😂
@MATEOJOSEPH-nc8gf
@MATEOJOSEPH-nc8gf 3 ай бұрын
Katika nyimbo ambazo ameimba yammi na mbosso sijawahi pewa like hata hebu mnipeni hata 10 tu
@CharifaRachidi
@CharifaRachidi 3 ай бұрын
Tukupe weee ndo meneja wao au
@aminaabdalla-uo9zq
@aminaabdalla-uo9zq 3 ай бұрын
🎉Chukua ushibe😂😂
@SALIMININTUMBA
@SALIMININTUMBA 3 ай бұрын
Pumbafu tafuta dem mcheze kama mboso na yammi
@salehomar9971
@salehomar9971 2 ай бұрын
😂
@MaimunaOmar-st6ig
@MaimunaOmar-st6ig 2 ай бұрын
Umepewa Mia mbili ukalishe na kwenu😅
@GodwinLeonce
@GodwinLeonce 3 ай бұрын
Huu ndy mzk wa bongo. "No amapiano bt the song is too hot to hit bongo haters"💖💖
@AzamMgasha-t5s
@AzamMgasha-t5s 3 ай бұрын
Nitadumu nae Yammy ft mbosso kama umewaelewa masharukn hwa like hapa
@Shadoz42
@Shadoz42 3 ай бұрын
NANI ANASEMA HAWA WATU SIO WIMBO TU KUNA MAPENZI HAPA❤ WANAPENDANA 😂🎉❤❤
@RoseWakio-kd2yp
@RoseWakio-kd2yp 3 ай бұрын
Ata mimi nimeona ila mbosso nasikia huwa hakaii na wanawake sana😂
@hamiskashindye1444
@hamiskashindye1444 3 ай бұрын
Alisema kitovu cha taifa kpo sehemu salama atakitunza😊
@tato8979
@tato8979 3 ай бұрын
😂😂😂​@@hamiskashindye1444
@Shadoz42
@Shadoz42 3 ай бұрын
@@hamiskashindye1444 jamani 😂✌️
@Shadoz42
@Shadoz42 3 ай бұрын
@@RoseWakio-kd2yp mbona 😂
@AbdallahYasini-h4o
@AbdallahYasini-h4o 3 ай бұрын
Mbosso Khan mfalme wa mapenzi duuuh video Kali sana 🥰🥰🥰🥰🥰
@Faridganzel
@Faridganzel 2 ай бұрын
ngoma kali jaman ❤au mnaonaje❤
@MinhajiNuru
@MinhajiNuru 2 ай бұрын
Video
@Nickparroty-r7g
@Nickparroty-r7g 3 ай бұрын
Apo mbosso ulicheza sana kiptap ila tangu niache kufuatilia hiz nyimbo sijai pewa like ata moja naombeni like ata kaa ni 5 shabik wako yammi uyu kutoka kenya
@charmantArmani-e1r
@charmantArmani-e1r 3 ай бұрын
Congo tupo 🇨🇩🇨🇩tunapenda hizo sana🎉🎉💋💋
@mariatatakhan9680
@mariatatakhan9680 3 ай бұрын
🇹🇿🇨🇩🤎🤎🌟🌟🙏🏾🙏🏾
@PeterGeorge-fu3ut
@PeterGeorge-fu3ut 3 ай бұрын
Yammi is doing a good project with mbosso..if you believe they are going far give a like tukisonga
@MariaKings-it7ik
@MariaKings-it7ik Ай бұрын
They will reach far yes 🙏
@mmuyonga
@mmuyonga 3 ай бұрын
The only collabo that Mbosso has been outshined.
@thekingdomlegacy231
@thekingdomlegacy231 3 ай бұрын
Mbossssssssssssssso...babu kakutana na ninga Yammi. Hiyo moto kali sana. Pokea upendo kutoka KENYA. Tunawapenda siasa kando.
@tishomkatoliki
@tishomkatoliki 3 ай бұрын
Wakuu huwa mnanidharau sana ndio maana hampi likes kwa hili bonge la ngoma.Nipe like jamani
@EdwinTanganyika-r4f
@EdwinTanganyika-r4f 2 ай бұрын
Bonge la ngoma umeimba ww
@tishomkatoliki
@tishomkatoliki Ай бұрын
😂😂😂
@HassainAlly-k6g
@HassainAlly-k6g Ай бұрын
Yani Yammi Anamshinda Hata Zuchu❤😂 pongezi Kwa Yammi
@alasiri2275
@alasiri2275 3 ай бұрын
Yammi upcoming Bongo artist...eeh na mbwembwe zake oh usiyache na sauti kali sana
@BabaAliouToure
@BabaAliouToure 2 ай бұрын
Je ne comprends aucun mot mais depuis 2018 avec le son Alele..Mbosso est devenu mon seul rappeur ❤ sa voie et sa melody c du haut niveau de grace Mbosso pense aussi a nous les francophone Sous-titre en français Merci de reagir Cordialement depuis la Mauritanie
@mohamedlopa8410
@mohamedlopa8410 3 ай бұрын
Asalamu walekum bwana yesu asifiwe utakayesoma hii coment uwe na marefu🤲🤝🙏🤲🤝🙏🤲🤝🙏🤲🤝🙏🤲🤝🙏
@GloryIbrahim-l5p
@GloryIbrahim-l5p 2 ай бұрын
Amen
@MariaKings-it7ik
@MariaKings-it7ik Ай бұрын
Ameen 🙏
@TwahiruAliy
@TwahiruAliy Ай бұрын
laana.ikufikiye.umbwa ww
@ashakadzo8554
@ashakadzo8554 11 күн бұрын
Marefu nn😂😂😂
@ObediObedi-do3ef
@ObediObedi-do3ef 3 ай бұрын
@mbosso ndo muda musani ambaye anajuwa mahaba Tanzania yote .
@mayamusic6198
@mayamusic6198 3 ай бұрын
Hawa wapuuzi Hadi sauti😅😅 wanafanana mpaka mwonekano daaah nawakubali mnoooo🔥🔥🙌
@enjolaikilema1989
@enjolaikilema1989 3 күн бұрын
Jamani yammi na mbosso kwenu sijiwezi munajua sana asa mbosso umeniteka mtoto wa mwezio😊 by latifajordan
@Sukuma_Tv
@Sukuma_Tv 3 ай бұрын
Now from Nigeria 🇳🇬🇳🇬 i am here to support Tanzanian artst please let gather here👍
@DjsmokyUrban
@DjsmokyUrban 3 ай бұрын
Nigeria kuna wasukuma pia😂
@analisacecy
@analisacecy 3 ай бұрын
@@DjsmokyUrban😂😂😂😂
@imaraimara4975
@imaraimara4975 2 ай бұрын
😂😅😅​@@DjsmokyUrban
@HadijaAmri-wy1ky
@HadijaAmri-wy1ky 4 күн бұрын
​@@DjsmokyUrban Ila wew😂😂😂😂
@tomcarlos4137
@tomcarlos4137 3 ай бұрын
anatembea na roho yangu anatembea na mwili wangu anatembea na pumzi zangu mimi mimi mimiiiiiiiiii 😍
@tune_along96
@tune_along96 2 ай бұрын
Mbona Yammi anakaa more inlove? Ngoma kali though
@UpendoSewa
@UpendoSewa 3 ай бұрын
Nipeni likes zangu the one from Congo 🇨🇩
@Yahya-we5sc
@Yahya-we5sc 3 ай бұрын
Mr Khan I say kazi nzuri sana 🔥🔥🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪gongeni like hapa kwangu kama ww n bibi na babu
@NasfaRamadhan-i2q
@NasfaRamadhan-i2q 3 ай бұрын
Hii inshu imekaa kishamba😂😂😂 wimbo mzuri bwana😊
@kassimhassan3403
@kassimhassan3403 2 ай бұрын
Mm ni shabiki wa nandy nampenda sana ❤ nandy ananimaliza ni mrembo.sana kwanza na sauti yake hakuna nikipaji alipewa na MUNGU zuchu ni mtoto kwa nandy hatawai.kumfika Nandy...ilove you Nandy....❤🎉
@innocentmathias8668
@innocentmathias8668 3 ай бұрын
Aliyegundua huo wimbo wote ni uandishi wa mbosso agonge like😊
@kingabala1933
@kingabala1933 3 ай бұрын
Poleni Miungu watu, Mahodaari wa kutabiiiri,,,, Hatuachani Kaatu, Roho zimeungana miili,,,,,,❤❤❤
@Kizz1stborn
@Kizz1stborn 2 ай бұрын
Kama mashairi hawa watu wapewe maua yao like za kutosha bac jaman❤❤❤❤
@AuthenticKigos1
@AuthenticKigos1 3 ай бұрын
Naikubali,, Wakenya nimewawakilisha humu🤩
@hesbonosinde-d1j
@hesbonosinde-d1j 12 күн бұрын
So amazing..mbosso.mkali wa mashairi ...kenya pia tunakukubali...
@JumaClaudio
@JumaClaudio 3 ай бұрын
Sio wew unamkumbali mbosso achas like hapo🎉🎉
@enjolaikilema1989
@enjolaikilema1989 3 күн бұрын
Jamani mbosso unajua ❤❤ umeniteka mwana wa mwezio kwako nipo hoi by latifajordan unajua sana kuimba sijaona msanii kama wewe❤❤❤
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 3 ай бұрын
Wow nimekuwa wa kwanza nawapenda sana❤❤❤🎉🎉🎉
@jumasebe_0018
@jumasebe_0018 3 ай бұрын
Kenya na Tanzania siku zote mandugu tu hamna uadi kabisa. Ni Mungu ndio ashaamua
@HadijaAmri-wy1ky
@HadijaAmri-wy1ky 4 күн бұрын
Hakika😂😂😂
@EphraimTuyisenge-i2r
@EphraimTuyisenge-i2r 2 ай бұрын
Yani wewe mbosso nakupenda sana kbx nataka kuonana nawewe live is gonna be better
@PaschalNkuba-cv9bd
@PaschalNkuba-cv9bd 3 ай бұрын
Mbosso na yammi , diamond na zuchu, jux na Priscilla, bilinas na nand, afu kuna mimi na bando la jero jero😢😢😅
@RealmeC30-l7l
@RealmeC30-l7l 3 ай бұрын
Weeee nawapenda jaman mboso kiba saut zenu zanikosha nateseka zangu nikiwa Dubai ngoma kali sana inanichanganya ❤❤ mmetisha
@thedepozzela
@thedepozzela 3 ай бұрын
Mbosso wewe nimkali nakuskiza saanà, am your top fan uku 254
@Diamon-g9j
@Diamon-g9j 3 ай бұрын
Sema nini diamond tajiri Dunia nzima
@Emily-k98
@Emily-k98 3 ай бұрын
❤❤❤❤hii couple utatuua kwa kweli mimi kama shabiki nakaa kwenye kiti na utulivu nihangalie michezo ya penzoo jinsi inaendelea😂😂😂😂😂so thank youuuuuuuuuuu so much🎉🎉❤❤❤
@Themignosaith
@Themignosaith 3 ай бұрын
Kama unaishi Rwanda 🇷🇼 nipeni like
@MbarakaAli-qb9hb
@MbarakaAli-qb9hb 3 ай бұрын
Mmb vp
@MbarakaAli-qb9hb
@MbarakaAli-qb9hb 3 ай бұрын
Samahan Dada nimetokea kukupenda sana
@GalazxyShshhs
@GalazxyShshhs 3 ай бұрын
😂😂😂😂iyi imeenda​@@MbarakaAli-qb9hb
@obatelomar2040
@obatelomar2040 2 ай бұрын
Kiyovu
@mmilly8952
@mmilly8952 3 ай бұрын
❤❤❤Team gulf hoooooiyeee.. 254 ndani ndaniiii raha mtu 😘😘😘🤝.. With @Mbosso in the house. U can't complain. Utamu utamu 💃🥰🥰
@CeciliaNduku-nw9it
@CeciliaNduku-nw9it 2 ай бұрын
Huu wimbo on repeat 😢ila Sina mpoa 😂... Inalyrics lit my fav 100%❤
@bakarimakomola
@bakarimakomola 3 ай бұрын
Magharibi natafuta sababu Bibi anamtafuta babu 🎶🎶🎵 mboso genius 😮
@charitykyalo7518
@charitykyalo7518 2 ай бұрын
Yammi ni kasupuuuu much love from kenya
@EdwinTanganyika-r4f
@EdwinTanganyika-r4f 2 ай бұрын
Na ww n ka supu
@ShedypiVibekila
@ShedypiVibekila 8 күн бұрын
I love yammy
@OmanOman-ll1pf
@OmanOman-ll1pf 7 күн бұрын
Dada yamy punguza kuonesha kitu mda mwengine alau kifuche kidogo
@oguta_254
@oguta_254 3 ай бұрын
Combination imeenda shulee jamani🎉
@erardmporoto2660
@erardmporoto2660 2 ай бұрын
Tutaendelea kulipa wema kwa ubaya. In memory of our living legend, Prof. Jay. Peace.
@Gdggfhtz
@Gdggfhtz 3 ай бұрын
Naitazama nikiwa Africa kusini South Africa 🇿🇦🇹🇿🥳🥳💪🥳💪🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥Yammy Washaaaaaa fire 🔥🔥🔥🔥HATA MIMI NAKUPENDA 😊😊😊🥳💞🤷‍♂️💕
@salimuabdirahman1337
@salimuabdirahman1337 3 ай бұрын
Atariiii sana yamii yko vzr kuliko zuchu
@kinyokasaidi
@kinyokasaidi 3 ай бұрын
Nyimbo mbayaa 😂 sijaipenda 😢
@JamesShapilo
@JamesShapilo 2 ай бұрын
much love from Zambia yammi na mbosso🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲
@MariamSalum-d3c
@MariamSalum-d3c Ай бұрын
Inshallah mtadumu kwa nguvu za Manani❤❤❤❤🎉😊
@JimyFesto
@JimyFesto 3 ай бұрын
Kuna kipande yammi kampiga mbosso mabusu kama 7 hivi mfululizoo daaah 🙌🙌😂😂
@EdwinTanganyika-r4f
@EdwinTanganyika-r4f 2 ай бұрын
Ww hutak apgwe au ulitak uwe ww
@NaomiMwankusye
@NaomiMwankusye 29 күн бұрын
Umbeya😂😂😂
@LucasMilton-f1g
@LucasMilton-f1g 19 күн бұрын
Hizo melody no hatar sana km hujasoma madrasa huwez elewa❤❤❤
@denismakio1500
@denismakio1500 3 ай бұрын
Wueh hii n Kali hata kama cjaickiza yote🔥🔥🔥
@fatmaallyabdul1732
@fatmaallyabdul1732 2 ай бұрын
Bonge la ngoma,moja ya my favorite collaboration 🎉🎉🎉❤ the King and the princess🎉🎉❤❤❤
@Emilyojijo-ro8ps
@Emilyojijo-ro8ps 3 ай бұрын
Raha zimenipumbaza jamn bibi namtafuta babu inshalaa mboso na yammy
@husseindjumida6568
@husseindjumida6568 3 ай бұрын
love songs yammi amesha ni prove wrong....nataka nimuone kweny zingine style
@Frankjr-y4k
@Frankjr-y4k 3 ай бұрын
Wimbo mkali sana naombeni like
@MaximillahWafula-u4w
@MaximillahWafula-u4w 22 күн бұрын
Walai mbosso na mrembo Yammy I salute u.
@BABJITANNER
@BABJITANNER 3 ай бұрын
wawili wameshikana watalabu kweli kweli
@tysonkigomba4888
@tysonkigomba4888 Ай бұрын
Msaniii wangu bora kabisa ukitoa kiba mbosso no 1
@bonifaceoseko1960
@bonifaceoseko1960 3 ай бұрын
Anatembea na roho yangu Anatembea na moyo wangu yammy my all-time crush 😍 💖 😘
@jeanasumanitz
@jeanasumanitz 2 ай бұрын
Mshedede kwa utungajiii mzeee ninomaa🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@GuylainLeRex
@GuylainLeRex 3 ай бұрын
Nzuri sana ❤❤❤❤
@AzzleBoy
@AzzleBoy 3 ай бұрын
Safi me napenda sana hii sound.. Bro Tone am on my way to face you🎉
@monicasalum9363
@monicasalum9363 2 ай бұрын
Twawachoma mahasindi na vineno vya taarabu❤❤
@Ruu974
@Ruu974 3 ай бұрын
Mario na mboso mpo juu sio lazma Kiki ngoma iende nyimbo inajipeleka namdy na yammy wamekuja kali nao 🎉🎉🎉 kiba nae sihaba
@EddyZongo
@EddyZongo 2 ай бұрын
Sawa mungu awajaalie mdumu kwel
@swabrinamwaka
@swabrinamwaka 12 күн бұрын
Waaaziiiih imeweza hii Lunga toz
@KessyKeke
@KessyKeke 5 күн бұрын
Mbosso nakubali
@JuliusAlfredy
@JuliusAlfredy Ай бұрын
Saut yamwisho naikubali kinyama roho zimeungana mwii❤❤
@nelaxtv9781
@nelaxtv9781 3 ай бұрын
Great song mbosso well nitadumu NAE ❤❤❤❤❤❤❤
@JohnSawasawa
@JohnSawasawa 2 ай бұрын
❤❤
@MakambaSalum
@MakambaSalum 2 ай бұрын
Mumgu Baba tusamehe walevii. Yamoto sanaaa🔥🔥🔥
@IsackVedasta
@IsackVedasta 3 ай бұрын
Bonge la ngoma 🔥🔥
@IrenyMartin
@IrenyMartin 2 ай бұрын
❤mashallah ❤Allah awabariki katika penzi lenu
@EdwinTanganyika-r4f
@EdwinTanganyika-r4f 2 ай бұрын
Na ww pia ubarikiw ktk penz lako
@kichecheBurund
@kichecheBurund 3 ай бұрын
Hatarii🎉🎉🎉🎉🎉🎉atuachane mwaka huuu🎉🎉🎉
@HUSNANyosso
@HUSNANyosso 2 ай бұрын
Moyo wangu umesuhuzwa na huu mziki nawapenda sana
@BaronBattles
@BaronBattles 2 ай бұрын
ii voice inatoa python pangoni🥰❤️
@enosotieno9022
@enosotieno9022 3 ай бұрын
Nawapenda Sana hawa... Keep going
@Abubakarkhamis-k2v
@Abubakarkhamis-k2v 3 ай бұрын
Nitadumu Nae Ananipa Mpk Nasaza❤❤❤❤
@SamiaNizar-d5r
@SamiaNizar-d5r 19 күн бұрын
Wachaweeeee❤❤❤❤ animals mpaka na saza
@hamisisifachembe6427
@hamisisifachembe6427 3 ай бұрын
Imewezaa ❤❤
@Psalmmpaira
@Psalmmpaira 2 ай бұрын
Kazi safi lenx studios ....❤ This boy is talented ...teleku olowuaru olutu osinoni🔥🔥🔥was here before 1 million views
@tausially4339
@tausially4339 3 ай бұрын
Kuna wewe unaangalia huku ukicheka na unachochekq hukijui😂😂😂😂 hatr sanaa😅
@hatibuhamadi797
@hatibuhamadi797 3 ай бұрын
Hawa ni zaidi ya song kabisa❤❤❤
@Stargirl-f6u
@Stargirl-f6u 3 ай бұрын
Nyimbo tamu ❤
@FrankMasunga-d3h
@FrankMasunga-d3h 11 күн бұрын
Bigapu sana wazeee munajuwa kuimba
@lovarbicard4378
@lovarbicard4378 3 ай бұрын
❤❤Unasikiya dje mahaba ayaa❤❤
@jonathanodhiambo7383
@jonathanodhiambo7383 Ай бұрын
Mbosso amenarikiwa kweli.Utunzi !!!!
D Voice & Mbosso - Tunapendana(Official Music Video)
3:24
Vevo Afrika 🎵
Рет қаралды 757 М.
“Don’t stop the chances.”
00:44
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 62 МЛН
小丑女COCO的审判。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:53
超人不会飞
Рет қаралды 16 МЛН
99.9% IMPOSSIBLE
00:24
STORROR
Рет қаралды 31 МЛН
When you have a very capricious child 😂😘👍
00:16
Like Asiya
Рет қаралды 18 МЛН
“Don’t stop the chances.”
00:44
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 62 МЛН