Mwenyezimung akupe umrii mrefu... Nimejivunza kupitia wew🤲
@elizabethkasongo56025 жыл бұрын
Ubarikiwe kwa mafunzo yako nimecheka sana tena sana,umeongea kweli ujakosea twambie tupone watu,
@sharifusalema34485 жыл бұрын
ALLAH akuhifadhi vyema shekhe hakika umenigusa sanaa, nampenda sana mke wangu maana baadhi ya cfa ulizotaja mke wangu yumo yaani hadi raha na namuombea kwa ALLAH acbadilike inshaallah
@aseelaaseela49135 жыл бұрын
MASHAA ALLAH MASHAA ALLAH ALLAH awaongoze
@jabuhajihaji195 жыл бұрын
Sharifu Salema
@bintihamisi69175 жыл бұрын
Ameen insha'Allah muzidi kupendana
@fatmakhalid7555 жыл бұрын
Muwe wachamungu Inshallah
@sharifusalema34485 жыл бұрын
@@fatmakhalid755 ALLAHUMAA AMIN, fatma na ww pia
@zobidaal44235 жыл бұрын
Nikweli sheikh maneno yako sadakta allah akuhifadhi kwakazi nzuri uifanyayo na allah akupe umri mrefu wenye kheiri nawe
@nuuzuli51765 жыл бұрын
Maashallah Allah atuongoze kwenye njia njema Ammin
@saumumohamed40515 жыл бұрын
Mashaa Allah shekh nimejifunza nitazidisha niliyo nayo ln shaa Allah
@alexalexyanot33195 жыл бұрын
MashaaAllah
@mwanatumungenya96722 жыл бұрын
Mashallah ,Tabarak Allah ,na Allah akupe Umri mrefu
@jelaategroup37502 жыл бұрын
Asalamu alaykumu warahmatullah wabarakatu
@jumabundala64544 жыл бұрын
maashaAllah Mwenyezi Mungu akulinde sheikh wetu,umenibadilisha
@rizikitayari28105 жыл бұрын
Mashaallah jazakaallah kheri sheikh Abdulrahman nashukuru kwa maneno yako thamani kumbwa mungu hakufanyie mwepesi Inshaallah
@hawashaan95085 жыл бұрын
Mashaallah mashaallah shukran sheikh kwa mawaidha allah akuhifadhi vyema kazi kwetu ujumbe tumeupata
@jeffmauzo54835 жыл бұрын
Mashallah ustadhi Allah akuweke aameen
@zulachama10675 жыл бұрын
Nakubali sheikh ndoa yataka mtulizo na umakini wautulivu na uvumilivu
@wemakalamu35385 жыл бұрын
Jazakaallah sheikh ubarikiwe 🙏🙏🙏🙏
@fatmajabir38674 жыл бұрын
Shukran tumejifunza mengi allah akubarik
@hawaabubakar26196 жыл бұрын
Swadakta Jazakallah kher Nakupenda kwajili ya Allah
@mohamedibrahim68665 жыл бұрын
Mashaallah Allah akujaze ustadhh
@zabibunduwimana46125 жыл бұрын
Shukrani sana Sheikh nimejifunza mengi
@mohammedih.o18885 жыл бұрын
Thank u shekhee Allah akulipe kila lakhel kwan dalsa nimelipata napia namshuku Allah yan uliyo yanena mkewangu hunitimizia
Nakupenda kwa hajili ya Allah kwa mafunzo yako sheikh mungu hakupe afya njema na umri wenye matendo mema
@idrisskaira23165 жыл бұрын
Nakupenda saana sheikh...Allah Akujariye
@aishasalum29635 жыл бұрын
Mashaallah nimejifuza mengi sana
@khamisshabankhamisshaban40355 жыл бұрын
Nashkur sana shekhe kwa Darsa mungu akuhifadh insha allah
@aishahassan98235 жыл бұрын
Shukrn kwa mawaidha yako shekh inshaallah tutayatimiza
@zahrayusuf72135 жыл бұрын
Allah Bareekfiii Shekh Av learnd alot
@sabrakhamis38763 жыл бұрын
Sheikh zidi kutuelimisha na kutufunza dawa mzr sna Allah akuweke Inshaallah
@faizabaishe51725 жыл бұрын
MaashAllah, Alhamdulilah InshAllah heri
@lauraabass10775 жыл бұрын
Safi Sheikh. Lakini jamani na hao wakuheshimiwa wathamini heshma ile. Maana kuna wanaume wapo kama magogo hawasharifiki hebu washushie darsa nzuri about that sheikh 🙏
@abdullatifsalim86285 жыл бұрын
Ma sha Allah Allah akuhifadhi kheikh akuzidishie elmu uzidi kutuilimisha In sha Allah Allah awajaalie wake zetu wafate na wazingatie yote uliyoyasema Allah awajaalie wake zetu watii Waume zao na awapende watu wa mumewake Ameeeeeeeen ya Rabb
@zuuraadinani11485 жыл бұрын
Abdullatif Salim amin
@goldensparrow15075 жыл бұрын
Mumeo apaliwa apewa pole na dada alafu ww waongea na shoste 🤣🤣🤣🤣🤣👌👌👌👌👌 sheikh kwa kweli umegusa ndipo.. hiii tabia ipoooooo... jomoni wanawake its high time tubadilike.
@shabanjuma84484 жыл бұрын
😂😂😂😂
@beatricemzenga2773 жыл бұрын
Mafunzo mazuri Asante Sheikh
@عليجبار-ن3ي5 жыл бұрын
Shukran jazillah sheikh,Allah atuongoze kwenye kheir
@saidiyassin93224 жыл бұрын
allah tuongozee wake zetu
@rehemakilewa2025 жыл бұрын
Mashaallah,asante kwa mafunzo shekh.
@mkubwaswleh30015 жыл бұрын
Maashaalla Elim makhsuswi Alla atupe tawfiyq Inshaalla
@ahmedramadhan26005 жыл бұрын
hongera shehe wetu maana uyasemayo hayapatikani kwa makungwi
@guwileguwileyasini7585 жыл бұрын
Maashaallah. Allah. Azidi. Kukupa. Elimu. Zaidi. Na ss. Tuzidi. Kuneemeka. In shaallah
@maulidi25775 жыл бұрын
Allah amjaalie kheri Sheikh
@salmajuma40155 жыл бұрын
Mashaallaah Mada nzur
@fedhatherea31785 жыл бұрын
Allah atuongoe na atuongoze tuzid kuyafanyia kazi
@rabiah10664 жыл бұрын
Ewe Allah nijaalie mume mwema niweze kumfanyia haya, asantee sana shekhe nimejinza sana🤲🤲🙏
@abushawalihamisi82254 жыл бұрын
Mm nihitaj mk wa pil UK tayar
@rabiah10664 жыл бұрын
@@abushawalihamisi8225 haaah!! mke wa pili tena jamn
@brhchannel66185 жыл бұрын
Hii iko Pouwah Sana Blessed sheikh.
@ukhtyjohari84035 жыл бұрын
Shekh wewe mwisho ,,yaani umemaliza ,,,Allah atuongoze tunakoteleza
@hkadijashabani40835 жыл бұрын
inshaallah Allah atufanyie wepesi inshaallah tuwatii waume zetu
@hassanijuma60484 жыл бұрын
Alhamdulillah unayosema yawafikie na sisi waume tujifunze
@aminerramadhan15075 жыл бұрын
Alla akuhifadhi ilituendelee kupata dawa kwahalila nimejifunza na nitatenda
@maimunajuma65835 жыл бұрын
shekhe darasa lako ni msaada ktk ndoa zetu Allah akurehem
@ummmudathir89675 жыл бұрын
Mashaallah sheikh mawaidha mazuri
@allyhamad79995 жыл бұрын
Yaa Rabbi Tujaalie Wenza Wema
@hadijasalum63735 жыл бұрын
Aamin
@hathmaabdallah12845 жыл бұрын
Amin
@ramadhaniabdallah63885 жыл бұрын
Mashallah mungu amzidishie
@KijikitileNqwale3 ай бұрын
Mashaallah jamani Allah akubarik
@noorechaor93815 жыл бұрын
Ya Allah umjalie mke wangu jamani
@abdulllimbanga28875 жыл бұрын
Maxhaallahu mawaidh yenye mazingatio makubwa.
@yusraomary31704 жыл бұрын
Mashaallah ostadh
@shakilamasoud89795 жыл бұрын
Shukran shekhe,jazakarahu kheri
@khadijamasoud48256 жыл бұрын
mashallah allah awalipe kheri mashekh wetu
@saidkuluthum75916 жыл бұрын
mashaallah nmefrah sana kwa somol la leo
@rizikihamidu42555 жыл бұрын
thanx for your advice
@sabrakhamis38763 жыл бұрын
Sogea tule mpz kula peke yng siwezi wallah raha kweliiii
A alykum nafarijika sana na mawaidha yako haya na vipi
@nishimwefatmasiradji29455 жыл бұрын
MashaAllah sheikh Allah akulipe kheli
@twahasovai40905 жыл бұрын
Mashaallah
@jamilamanariyojamila14873 жыл бұрын
Manshallah shukran
@allymamu92195 жыл бұрын
Nakukubal shekhe mawaidh yk nayapenda mnoo🍓
@naimamaliki15467 жыл бұрын
thanks sheikh for daawa!!
@halimahalima19845 жыл бұрын
Swadakta shekh
@firdausiruqmani93635 жыл бұрын
😂😂😂👌👌👌👌imepenya iyo
@micksonramadhani4394 жыл бұрын
Haya
@alisaleh14037 жыл бұрын
shekh unatoa daawa za ukweli kabisa na ni mafundisho mazuri sana kwa wanawake maaana hua wakisaholewa wanapenda sana kuchezea ndoa kwa kujifanya wao ndio wamefika hakuna mwengine zaid yao
@nusurakajubu87856 жыл бұрын
wengine tunaitafuta ndoa wengine wanachezea mtihan kwel
@ngoniboy10396 жыл бұрын
+Nusura Kajubu natafuta mwenzio
@nusurakajubu87856 жыл бұрын
+POOL BAYYO unatafuta nn
@iddysalimwewejiwe74826 жыл бұрын
Salam aleyk
@tundahatibu67384 жыл бұрын
ba kiruwasha karibu kizingani. Masha Allah
@binswalehramadhan96794 жыл бұрын
Aje anywe maji ya kiziwanongo ateremshe pumzi
@tausijuma5145 жыл бұрын
Hahahahahahahahahahaha mm sina lakisema shekhe Allah akuhifadhi babi shehelee
@imamutvonline23255 жыл бұрын
baba kiluwasha jazaakumu llahu khayra
@shamimuharubu15435 жыл бұрын
mashaallaah
@yusufmohamed93046 жыл бұрын
Assante shekh kwa darsa zuri
@missmannydxb2 жыл бұрын
Mafunzo pambe mashallah
@fatmahusain37736 жыл бұрын
Asante Sana nimejifunza mingi kupitia kwako
@jumaadosho53445 жыл бұрын
Allah awaongoze wake zetu waweze kutuhudumia
@jamilaabeid21775 жыл бұрын
Mashaalah
@sabrakhamis38763 жыл бұрын
Ameen yaarab Alamin yaarab
@yasodishonest97925 жыл бұрын
Tupe shekhe 😂😍kiche mada bira vyombo😂😂😂😂👌👌
@sabrakhamis38763 жыл бұрын
Wallah raha kama nn
@ganettsofa70156 жыл бұрын
Ma shaa ALLAAH
@rahelgika38705 жыл бұрын
😂😂😂😂 mbona mihotpot😂😂😂
@shabanjuma84484 жыл бұрын
😁😁😁😁
@nusurakajubu87856 жыл бұрын
mashaaAllah
@ayrahanifamuslim16295 жыл бұрын
Asnt san 👏✌👍
@simonnjowoka93375 жыл бұрын
Asante sana sheikh
@brownkelly88445 жыл бұрын
jazakallahul khayr
@saidimtondolo1275 жыл бұрын
Maashaallah
@zalkhesulesh79743 жыл бұрын
Mashallah
@ramadhanhelman6585 жыл бұрын
Kwer shekh
@AishaAli-lk7gh5 жыл бұрын
mashallah sheikh
@marymusi82355 жыл бұрын
Nakukubali baba ruwasha
@radmanally42996 жыл бұрын
Mashaallah.............
@lucymayelias31145 жыл бұрын
Santeee sheikh😁😁😁😁🙏🏻🙌
@aminagure4915 жыл бұрын
Ufanyeje kama mke Wa pili
@feisalmuya14245 жыл бұрын
Toka nilivyo oa mpk leo hii sijapewa busu wala kuitwa honey mpk leo
@zalhaally97175 жыл бұрын
Feisal Muya ha habha ha daa pole jaman
@stellayohana12113 жыл бұрын
Uskate tamaa nimkeo mfuze usimuache
@nindihamza83625 жыл бұрын
Jazakallahu kheir
@rukiabaybe85945 жыл бұрын
Allah tajaalia
@mohammedalshahwani15423 жыл бұрын
Amina♥️♥️♥️♥️♥️🙏🙏
@OmanOman-gc1zu6 жыл бұрын
MashaAllah
@samwaoo78535 жыл бұрын
A/alaikum me ninashida na .namba yko naipataje. Ahsante