Kama una ichukia Yanga ni sawa una kijipu matakoni ukikaa tabu ukisimama unachoka
@damasmayanja29302 жыл бұрын
GSM # ENG. HERSE BRAIN usajili Kichwaaaa
@fzlcomrajabu95142 жыл бұрын
Full muuziki 💥💥💯
@sikujuaosia89862 жыл бұрын
Hakuna kusema hii ndogo hata kama lig ya kuku peleka full wachezaji hamna kuaanza kuacha wachezaji. Xx hatutaki masihara
@thb95612 жыл бұрын
Yanga ni chuo cha mpira hao makoro wakitaka wachezaj waseme wacone haya kusema😅😅😅
@mohamedhamza30662 жыл бұрын
Mtanunua sana michezo ila ligi amchukui dodoma jiji achezagi hivo kabisa 🤣🤣🤣🤣🤣utopolo aisee daaah
@nasskidy81962 жыл бұрын
kakutana na mafundiiii ndomana hajacheza anavochezaga we kama ulimshindwa ni ww sasa kibu denisi ufananishe na kina moloko
@salimharrasy70472 жыл бұрын
Mwaka wenu huu. Mwamedi msitie shaka.
@guccij62362 жыл бұрын
Makolo mtaongea peke enu msim huu
@Emmamusiccmb2 жыл бұрын
*NDUGU ZANGU KWA HESHIMA NA TAADHIMA NAOMBA MUANGALIE VIDEO YA WIMBO UITWAO UNIPENDAGE KWA KUBOFYA PICHA YANGU APO PEMBENI NAAMINI MTAUPENDA 🐻💝💝💝💝💝💝💝💝💝💞*
@shilahkind3822 жыл бұрын
Hongera sana
@ntanilanjema042 жыл бұрын
Kila la kheri wananchi
@robertphilip3852 жыл бұрын
Bumbuli utawakosesha wenzako usingizi watachanganyikiwa mkuu
@jelasnkoma42402 жыл бұрын
Tunakwenda Full Mziki hata kombe la Paka
@elizabethelias31302 жыл бұрын
💚💛💚💚💛😂😂😂😂😂😂😂😂
@hoseajeremia91812 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏
@thomasnyarusanda26082 жыл бұрын
Tupangieni "Kipenseli Mapinduzi" Mapinduzi Cup.
@tausimungo62362 жыл бұрын
Asant bumbuli unajua kukelaaaa
@ibrahimbenedict15132 жыл бұрын
Mbona yule albino haojiwi?
@mohamedsalehe90532 жыл бұрын
Full mzik
@mwanahawabakari7182 жыл бұрын
Kila siku time yoyote utasikia tutawakosa sijui Nani sijui Nani hii ikoje
@msafirisalum84362 жыл бұрын
Sasa wengine c wanakuwa majeruhi
@evancekazimoto95582 жыл бұрын
Bumbuli unamajbu yaan mpaka waandish wanakugwaya
@gandy26312 жыл бұрын
WaKwanza mm
@Rugemalilatv19942 жыл бұрын
Yupo wapi manara
@mohamedibrahimu91392 жыл бұрын
Pesa za watu mnasema pesa za GSM anahela GSM za wapi