Jamani wananchiiiiiii wezangu n waomba musubscribe yanga tv sisi niwakushindwa n makolo kweli 🙏🏻💚💛
@jinomwasapipijinomwasapipi3245 Жыл бұрын
Mmb
@jinomwasapipijinomwasapipi3245 Жыл бұрын
Mmb
@HabibaMohd-f9o Жыл бұрын
Mungu aibariki kaz yakoo broo❤
@scopy0428 Жыл бұрын
Aziz KI alitufungua Minyororo katika Mashindano ya Kimataifa
@kedyjohn1848 Жыл бұрын
Yes he had his lowest lows but hey this player is insane, a true footballing talent and we should be very very happy to have him around. He's the KEY to many attacking solutions and he scored some important goals too. Msimu ujao nina uhakika atakuwa maridadi zaidi.
@kelvinmodest Жыл бұрын
Akiwa kwenye form anajua
@FTUBEMEDIA_TV Жыл бұрын
Wanatamani waseme vibayaa lakini wanakosa nguvuuu kabisa
@mikanolmwano Жыл бұрын
💥💥💥😁😁😁😁😊
@Karlos2Kizzyboy Жыл бұрын
Sema jamani manura kateseka sana na free kick za aziz k mh! mpeni pole sana manura.
@Karlos2Kizzyboy Жыл бұрын
😂😂😂😂
@yassinkhalifa564011 ай бұрын
atajua mwenywe..alitumwa na nani kukaa golini😂😂😂
@ericksaid53276 ай бұрын
Naipenda yanga sana from kenya soon nitakuwa huko
@bahatinyamandege2779 Жыл бұрын
Mtu wa magoli kwa nyakati muhimu namkubali sana master Ki
@T_online Жыл бұрын
Master ki ❤
@sullehtz9327 Жыл бұрын
KI AZIZ🙌
@vicentchalle6221 Жыл бұрын
Watatu leo💚💛
@elijsilwamba Жыл бұрын
Wakwanza hapa like tafadhar
@mwanangusana Жыл бұрын
Huyu Mwamba ana kipaji haswa Cha fotbol ila anapaswa atulie maana ana hamu kubwa ya kutuonyesha ubora wake ila ndo kinachomfanya awe down ila msimu mpya atakuja vizuri Sana.
@iddybakar1946 Жыл бұрын
sisi tuko hapa na tuko kule yaan everywhere in africa nani ataki 😆
@innocentkaduma5821 Жыл бұрын
What a player
@ibrahmseif-rx8yq Жыл бұрын
Ukija unaja kabisa mguni mwake
@MudathiriMahr-df2wg Жыл бұрын
It's so excited
@ISMAILYUMATIHUSSEINIBACH-ld5xy Жыл бұрын
Sana tunamkubari mwamba
@senseiamani4684 Жыл бұрын
Mwamba kutoka wagadugu k Stephan
@yusufumwakyambiki8062 Жыл бұрын
Ki master
@athumaninyituki7011 Жыл бұрын
Yanga tamuuuu
@RAPHAELJOLAMU11 ай бұрын
😭😭😭Alilia simba, 😂😂😂yanga😱😱😱😭😭Azam,
@AmosSonga5 ай бұрын
ss ni wana nchi🎉
@shaibusaady2420 Жыл бұрын
Allaah Akbar
@emiryfaida2437 Жыл бұрын
Jamaaa anajua
@MaglassmaglassTz5 ай бұрын
Peleka moto Guede 🔥🔥🔥🔰
@sinanindola93 Жыл бұрын
Magoli ya ki kideo sana 😂 next season atarudi kwenye quality yake
@IsackElibariki10 ай бұрын
Kali sanaa
@charitymkombozi5900 Жыл бұрын
🤣🤣ilo hilo goli lililotupeleka makundi huwa sichoki kulitazama
@AbdallahNamsweka Жыл бұрын
Asante k,
@quraishkalumuna821 Жыл бұрын
Mbona goli lake dhidi ya marumo gallants hamjaliweka?
@MagdalenaMathias-lw5bh Жыл бұрын
Master key him self
@FrumenceBoniphaceMasero5 ай бұрын
Imetulia hy key
@senseiamani4684 Жыл бұрын
Ila nilikua naombeni mumchukue msuva atusaidie kwenye mashindano makubwa ya klabu bingwa
@mackysuphian Жыл бұрын
Back sounds aknghaaaa🤦
@mwanangusana Жыл бұрын
Watafanyia kazi kwa lengo la kuwa Bora zaid na zaid cc ndo yanga timu ya taifa ya club tz
@NasmaMohamed-w8c11 ай бұрын
Ila farid ni nowmaaa!!
@RashidiSaidi-yt7jg Жыл бұрын
Mbongo
@ZaidBaarut9 ай бұрын
azizki🖐️✋🖐️✋
@ismailyussuf1400 Жыл бұрын
Mueke video refu bnaa
@hasanimkamba8377 Жыл бұрын
Mwamba huyu hapa
@rozaliastanslausraphael7884 Жыл бұрын
Huyu ipo siku ataua watu na kuchana nyavu
@kanchitarshi Жыл бұрын
💪🙌🙌🤸🤸💛🧡💚💛🧡🧡
@roudhamahmoud7635 ай бұрын
Haki mayele na fesal ukiwaonq hapa huwezi amini kama wameiacha yanga
@ahmedhamad2410 Жыл бұрын
Aziz k ni mtu hatar aisee
@omaryamiri3175 Жыл бұрын
Anajuwa
@Immamk__44 Жыл бұрын
Wangapi tulisubiri hii video
@paulkidula1663 Жыл бұрын
Baada hii match tulikandwa😢😢
@StevenKayugwa7 ай бұрын
P1 na mabingwa
@Motalenttz-z4r Жыл бұрын
Stephanie aziz ki
@PH10735 Жыл бұрын
Yeeeeees
@KelvinMtavangu-ow8yo6 ай бұрын
Aziz ki Mamelod vs Yanga. Haha VAR haikuona goli
@GeorgeMkhonta3 ай бұрын
Kaiser chiefs need you man😂😂❤❤😅
@lwandongcangca33223 ай бұрын
Nah we need Feisal salum , have you watched that boy