Namuomba mwenyezi mungu kuanzia mechi ya tp mazembe na zijazo tupate ushindi.AMINA,.
@paulmasunga1754Күн бұрын
Coach wa Fitness Yuko vizur ukikosea mazoez kidogo tu Push up zinakuhusu kuna watu watavimba miili vibaya mno😂😂😂😂
@hajilanga8181Күн бұрын
Tumtie moyo sana kijana wetu Kibabage,ni mfumo na mapito tu ya wachezaji.Tusiwalaumu wachezaji wetu
@EdsonMartin-e3kКүн бұрын
Kaka moyo upi ,hii ni kazi yake ,lazima ajitambue si anaendesha mafimilia huyu, ndo maana trayo njee zinawashinda, ..ukifika unakabidhiwa kwa kocha kocha anakuuliza?" Umekuja kucheza mpira au kujifunza mpira " sasa wewe sema nimekuja kujifunza arafu mamelod au Al ahily mfano lazima urudii ..namungo yako
@khamissehel-jr1cs18 сағат бұрын
mapito ya nn wakati hata kubadilika habadiliki huyu kwa kifupi hatufai aende ken gold au namungo huko ndy levo zake ebo!
@mathewdickson889115 сағат бұрын
Mapito tena, yani gari ndo inawaka ivo mzee anatakiwa abadilike!
@muddymuzungu4357Күн бұрын
Huyu Mwamba wa physic yupo serious! Full fittness🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@halimasawa611Күн бұрын
Ivi ndio twataka sasa😂😂😂wakikosa wapige push up 😂😂😂team irudii km zamn ❤❤❤kama nawaonaa wapiznii watakvyoo tapika damu😂😂😂😂😂
@LucaiyaKyakaКүн бұрын
Nakuomba M/Mungu wajaalie wachezaji Nusra Afya na Mafanikio Inshaallah
@williamjonas-bf6njКүн бұрын
Mungu wa Nini Tena wakat mlishasema mungu awashushie malaika mcheze nao asa mungu atawakinda vip hao wazee wenu
@frida-oi6kwКүн бұрын
@@williamjonas-bf6nj usiturudishe nyuma hayo yalishapita ..tulimuomba Mungu toba..mbona unatukumbusha tulipo anguka
@AlmachNestoryКүн бұрын
Sina shaka na uwezo wa Mwenda ila nivyema viongozi kwenye suala la usajili wawe na utulivu wa fikra, usajili ufanyike kwa kuzingatia mahitaji ya timu na mapendekezo ya benchi la ufundi, na kwa sasa tunaye mkurugenzi wa ufundi hizi ndizo kazi zake.
@ommykiss7049Күн бұрын
Hili kocha la viungo nalikubali sana yn linafundisha kw vitendo safi sana
@AlikoMichaelКүн бұрын
We're Young Africans 💚💛💪
@GodwiniFweloКүн бұрын
Farid yupo., kibwana yupo, ata boka tunamuona et kibabage ndo anapata nafasi. Mm siamini kam hizi game mbili kocha kam ndo alipanga kikosi ila naamin viongozi ndo mlipanga. Team tunayo ila kibabage hatumtaki ana wenge
@halimasawa611Күн бұрын
Kumbukaa kibabage alitusaidia last seasons kwa iyo n wakti tu atarud km zamn tuwaombe dua wachezj wetu viongozi na macoach wetu
@Yassirjuma-i1cКүн бұрын
Kwel viongoz wnampangia coacher kikos sasa kwanin duke asichez no yake ksha mkude akakamata dimba la kati
@mariammugini599018 сағат бұрын
Pumba tupu mnazochangia mpira hamjui kaeni kmy humtaki mchezaji ww umemsajili nan manina zenu
@chrisbulugu57717 сағат бұрын
Madawa
@mathewdickson889115 сағат бұрын
Boka injury hao wanaobaki kibwana kawazidi work rate ni kweli lakn utulivu Farid anawza kuwa kawazd Kibabage na kibwana
@selemanmcharazoКүн бұрын
Wote watatu awape nafasi kibwana, Yao na Ezra kuepuka injury za mara Kwa mara za Yao
@AllanMohammad-v8nКүн бұрын
kibabage aondoke anawaalibu wachezaji wetu number 3 anataka nafasi na hajui boka majeraha haya ishi lomalisa kila siku majeraha mpaka kahamua aondoke mwenyewe mtoto mwanga sana ajui mpira zingatieni hilo...
@frida-oi6kwКүн бұрын
Jaman ety mwanga...una uhakika ??
@EdsonMartin-e3kКүн бұрын
Mpaka leo hii eeet hajui ,ukicheza kama wing fullback kaz yako nn?..unaongezeka mbele arafu unaipa team mzigo tuu ,ubunifu zero kabisa grafu yake, Aende kwa mkopo enough is enough sio team za kulea na kufundisha mpira hizii mbili ,eleweni hilooo
@nicksonmlay542Күн бұрын
Kwangu mimi kwa mtazamo wangu Farid Musa anaanza mbele ya Kibabage that's tha truth
@beatusmajumbi7125Күн бұрын
Farid nimzuri Ila anakosa speed na pasi za mwisho lakini ana ubora wake pia
@nicksonmlay542Күн бұрын
@beatusmajumbi7125 but Farid is productive than Kibabage evn Kibwana Too .....Fanya research uangaliee Games za Kibabage Vs Kibwana vs Farid utapata reference
@anetboaz8783Күн бұрын
Kwa kifupi kila mchezaji acheze wote si wamesajiliwa asiwepo mwenye uhakika wa namba hapo tutajenga timu wengine hadi msimu unaisha wanakula tu mshahara kucheza ah😂😂😂😂
@mitinjemazikuКүн бұрын
Ivi hii yanga inafungwaje au imerogwa jmn
@Mrpasakaonline70Күн бұрын
Karibu sana kwa mabingwa wa africa❤❤❤❤❤
@yudatadeimdoe9215Күн бұрын
Kibabage akajaribu huko MANYEMA FC ya rukwa😮😮
@hajilanga8181Күн бұрын
Kibwana na farid wote wanacheza mbavu ya kushoto,tena farid mpaka wings na kiungo anakiwasha,sijui tunakwama wp!
@zahramsangi3632Күн бұрын
Watakaa sawa tu ni duala la kuwapa nafasi za kucheza wata-pick…Tuwaombee
@fihirishemaadihussein6124Күн бұрын
Gud job guys, may God blec yu
@JafarsimaouchuJumbe19 сағат бұрын
Nlitamani sana tungemchukua yule also wa KMC sab Bado young alafu ni very solid defender,, apa Kwa mwenda tumecheza kamali.
@kolosii435116 сағат бұрын
Mashabiki angalieni maneno yenu, sio wote wanaoweza kuvumilia hayo maneno ya kashfa. Maneno yenu ndio yanayowatoa wachezaji wetu kwenye njia.
@fatmaomar8335Күн бұрын
Kila la kheri inshaallah mazoezi mema Allah awatie nguvu muweze kwenda kupambana daima mbele nyuma mwiko 💛💛💚💚
@MuslihiShafii16 сағат бұрын
Kazi njema kwa yanga mungu atupe ushi mwema na tuingie robo
@SisalSisalcКүн бұрын
Kwa nn Faridi hachezi
@Ramoko5040Күн бұрын
Wewe hujui kuwa alikuwa majeruhi. Lazima awe sawa ka la ya kucheza.
@zachariamishai7258Күн бұрын
Wabaneni ivo ivo Ili wazo la kwenda kufany mapenzi huko na mishangazi lisiwepo 😂😂😂😂
@amosyjohn3120Күн бұрын
Wanabak wanajinyeanyea tu uwanjan
@GodlistenSamwel-r8p17 сағат бұрын
wafanye na wew au
@philichalamila18 сағат бұрын
hili papa liko kazin🙏🙏🙏🙏
@omarymomba254216 сағат бұрын
Huyu fitness coach ni wa mpila anajua sana Kuna vitu anavyo yupo kimpila zaidi
@ElyPiasonКүн бұрын
Mi kwa upande wangu Israel mwenda bado sio chaguo sahihi kuchezea yanga
@lucasmadalala74117 сағат бұрын
Kwa usajili wa dirisha Dogo, nichaguo sahihi kwakua ningumu kumpata mchezaji mzuri aliyehuru dirisha Dogo,
@GodlistenSamwel-r8p17 сағат бұрын
tupe chaguo sahihi kwenye dirisha dogo macho ya wabongo n kuwaza tu wachezaj wakigen dure anakuja yanga watu walisema hawez kucheza ilikuwaje kumbuka kibwana tangu aumie sio yule tena amekuwa muoga
@FrankLuhaha-p4lКүн бұрын
Duuuuuuuuuh mpaka naishiwaa nguvu Kwa timu ilivyooo ngojaaa tuoneeeee
@Naseebjacka15 сағат бұрын
Nje ya mapambano yanayofanyika kwenye mazoezi yetu pia kama Kuna makando hapo jamani tujitahid kuyamaliza timu inatuumiza nyiyo zetu
@JuliusbagashekiКүн бұрын
Wachezaji wetu wa yanga wanacheza kibinafsi sana mchezaji akipata mipira hamgawii mwenzake hata kama amekaa kwenye nafasi, mwishowe hunyanganywa nakuleta hatari langoni mwao.
@GodlistenSamwel-r8p17 сағат бұрын
umesahau hawahawa ndo wametupa furaha sio
@ngotosilasi2099Күн бұрын
Hapo aucho akiona mechi imekarbia anasema ameumia😊😊😊
@GodlistenSamwel-r8p17 сағат бұрын
ko acheze akiwa ijury jamaa
@benedictmsiwi8537Күн бұрын
huyu Mwenda hana kiwango chochote cha kuchezea Yanga, huzuni sana kwa kweli, yaani patrick Mwenda kweli, it is very sad.
@mrishojuma4695Күн бұрын
Huzuni gani bhana sio poa unataka wafanyeje kama pesa hakuna? Msiwe wepesi wa kutoa lawama hata mia huchangii!
@GodlistenSamwel-r8p17 сағат бұрын
kaanagalie mechi ya simba na wydad afu utulize bichwa
@jacobjames8706Күн бұрын
Pia,inasikitisha sana Kila mchezaji aliyetoka Simba sisi tunamsajiri,rais wetu angalia hii inakupunguzia uaminifu
@KhalidMwambe22 сағат бұрын
💯💯💪💪
@aminasogo5780Күн бұрын
Jmn wachezaji wote tunachukua kwa Simba cjapenda
@BenjaminOtuchi23 сағат бұрын
Ila viongozi wa yanga mnazingua sana vipaji vya wachezaji mnaviua kwa bench,mtu kma baleke hapati muda kabisa mnazingua
@salmamlokela1987Күн бұрын
Mmh Aya ngoja tuone maan siku hizi Amani hatuna
@mitinjemazikuКүн бұрын
Aziz k na dube ndo kabisa watolwe tu mahari maaan😂😂😂
@BbasuleBasuleКүн бұрын
Mechi Na Tp Tunamuitaji Sana Mkude Kuliko Maelezo Mechi Ya Mamelody Alicheza Game Nzuri Sana Na Kama Tunajitaji Ubingwa Lazm Tupate Pure No 6 Aucho Kashachoka
@MwajabuMhando-hf8jdКүн бұрын
Naipenda yanga
@shiraissa8626Күн бұрын
Yuko aziz k haonekan mbn
@minazsaid2470Күн бұрын
Jamani tujiandae kisaikolojia mechi ijayo tukifungwa ndio tushaaga mashindano ya club bingwa
@Respect45-s6nКүн бұрын
sikieni nyiny apo kunawa2 wakipunguwaaa timu italud vzr kibabageeee mwamnyetooo ao waondokeee bila kuwaaangalia usoni kwanz uyo magwaya mwamnyetoook aaaaah 😏😏😏
@alexmaungo2851Күн бұрын
Tunafeli wapi kuchukua wachezaji simba au waliopita simba ina maana hatuna scout wa kuona wachezaji timu zingine
@ProsperNyalusi2 сағат бұрын
Sema courch ana zingua
@NdayishimiyeEvelyne-ws6tsКүн бұрын
Kocha wa viungo sasa wazamani kweli maeondoka ao?
@sosomacharles99209 сағат бұрын
Kila nikiona sura ya Dube napata hasira kinyama.
@RehemaPanga-x6zКүн бұрын
Kila nikimuona kibabage nakosa cha kusema 😢😢😢😢
@OmaryMajivunoКүн бұрын
❤❤❤❤❤ good 👍👍👍👍
@producerjm3314Күн бұрын
Hii yangu siku itakuja kummalizia mtu hasira zake iwe ndani au nje kuna team watazikoga gori 10
@mwitajohn4882Күн бұрын
Hyo kocha hafiki kristmass hajatimuliwaa
@samnyambabe2529Күн бұрын
Yaan hii timu tunazidi kujaza matakataka ya Makolo na mbilikimo wasio na tija....!!!
@MABAONITV19 сағат бұрын
Kibabage na dube bola nani dube ana felisana utazan kapewa posho na wapinzan
@erickshayo4883Күн бұрын
Hamu achi tu sajili za kishamba kuleta watu ambao waliko toka walikua hawa anzii
@LeylaSariaКүн бұрын
Nisaidien jamn kwan huyo mwenda wa lin ten uwwi 😂😂
@shaibusaady2420Күн бұрын
Allaah Akbar
@robertzamani5612Күн бұрын
Kwann viongozi wanasajili wachezaji walioachwa na Simba,Ina maana hawana skauti nzuri
@GodlistenSamwel-r8p17 сағат бұрын
hvi kwan aachezaj wangap wanafel kwenye timu nyingi wakihama wanafanikiwa hamfikii uyu kibwana saiv n hankle inamtesa yao nae ametumika mda mrefu ameanza kupata injury afu uyo kaja kwa mkopo jaman kwann msikubali kazi za viongoz wetu aloo
@GodlistenSamwel-r8p17 сағат бұрын
hvi kwan aachezaj wangap wanafel kwenye timu nyingi wakihama wanafanikiwa hamfikii uyu kibwana saiv n hankle inamtesa yao nae ametumika mda mrefu ameanza kupata injury afu uyo kaja kwa mkopo jaman kwann msikubali kazi za viongoz wetu aloo
@teopistakomba2189Күн бұрын
Kibabage ni mchezaji wa ndani asitolewe, ataendelea kuimarika
@privatuskatabalo961716 сағат бұрын
Wana yanga mlipo humu fungueni yu tube kwa apostle mutalemwa wa kanisa la ECG Dar msikilize alichokisema kuhusu timu zenu kimataifa. Kama lipo la kujifunza basi myafikishe kunako husika. Kama hayana maana mnayaacha......
@tawakalimankasim82Күн бұрын
Wachezaji wakifika kweny 18 wapige mashuti golini wasitake kupiga penetration pass na kuchez Mpira Wa Barcelona wa 2010. Wakipiga mashuti watu wakujaliza wapo kina mudathiri tutapat magoli Yang Bingwa
@Kuminamoja1995Күн бұрын
Kibabage kazi kwisha
@herrysonk.edward60919 сағат бұрын
Timu ni kubwa mno ni mambo ya mpito tuu
@MkumboKahongoКүн бұрын
Kibabage apelekwe kwa MKOPO MANYEMA FC akacheze huko hafai kuwa mchezaji wa Yanga SC
@hk_ballersКүн бұрын
Ndio anaanza sasa
@maelezoКүн бұрын
Yanga ni timuyangu lakini kwasasa inanikosesha fulaha najuwa ni nyakati lakini wachezaji wanalilax sana ❤❤❤
@ramadhanisikiweni792318 сағат бұрын
KIBABAGE TUNAMSHUKURU KWA MCHANGO WAKE YANGA. KWASASA N MDA WA KUTUPISHA KIDOGO
@daudkondo4069Күн бұрын
Yaani huyu naye sawa na kina kibabage na Nkane na kibwana sawa na selemani kumwita sele
@HaashimKilaguКүн бұрын
Kwasasa yanga haisajiri kwa uweredi inaokota okota tu
@SuleymanAli-d5mКүн бұрын
Mm ni shabika wa yanga noba eng hirsi afanye kisomo avik twon kabla ya hiyo gemo ingine please
@sosomacharles99209 сағат бұрын
Kocha wa viungo Mbrazir tayari kashatimuliwa au.
@faridmwinyi9462Күн бұрын
Hivi kwani timu imehama Avic au?
@NyayoniNyooniКүн бұрын
Kibabage nimchezaji mzuri TU
@MakuoeJafaryКүн бұрын
Shida mnachofanya chaaibu kwenu na kwetu
@GodlistenSamwel-r8p17 сағат бұрын
tufikirie na kukumbuka ili ni dirisha dogo sio dirisha kubwa tuache kuponda hao wachezaji hzi n kazi zao na tuone injury zinavyotutesa sio tu kupiga kelele hafai hafai
@HassanHassan-vh6pcКүн бұрын
Jamani david byson beki wa kushoto arudishwe. Ni bora kuliko kibabaji
Simba B au? Maana Chama,okra,Mkude,Mwenda,wote Simba..dah..tumeishiwa
@seciliamchalo5627Күн бұрын
Ili mrad wacheze vzr tu kutok Simba siyo tatizo
@GodfreyShayo-ix5beКүн бұрын
Yanga B tibanzokinza niyonzima kakolanya Morison gadien michael
@aishabakari8040Күн бұрын
Wacheze vizuri vP wanakuja kukaa njee 😢
@GodlistenSamwel-r8p17 сағат бұрын
wap imeandikiwa mchezaji akipita simba bas hana haki ya kucheza yanga we nae guntia tu watu ambao hamjacheza mpira majanga sana
@GodfreyKarinoКүн бұрын
Kibabage ame kuwa uchochoro watu wana pita upande wake vibaya mno
@emanuelkazungu70584 сағат бұрын
KIBABAGE ANA MAWAZO KUMAMAKE UNATUZINGUA TULIKUAMIN ILA HUAMININJ
@SOPHIASALUMU-u3bКүн бұрын
Jaman acheni hizo aongeze umakuni tu
@annamashauri7421Күн бұрын
Tunataka faridi mussa kibwana na baleke nao wawe wanacheza
@boazygodfrey9371Күн бұрын
Hapa ni Tanzania au DR Congo??
@JuliusMugisha-g3l10 сағат бұрын
Kibabage ameshatuletea shida nyingi sana dogo akienda mbele hakumbuki kurud araka yaan anakera
@wilsongeorge1353Күн бұрын
Kibabage aondoke na ufupi Hana akili ya mpira
@SamsonNkubaКүн бұрын
Jani shanini mpaka2 fugwa
@HasaniShahidi16 сағат бұрын
Jaman kibabage anasubir nini
@boazygodfrey9371Күн бұрын
Mbona Azizi Ki Sijamuona???😢
@chrissantkaunda9958Күн бұрын
We nae unataka kuleta habar sizo, angalia dakika ya 7:29 utamuona
@selemanimkwichu782Күн бұрын
Yan hawa kwa namna wanavyofanya mazoezi unaelewa kabsa kwamba wanaenda kupigwa congo 😂😂😂😂😂
@frida-oi6kwКүн бұрын
Kwahiyo tukusaidiaje kwa mfano
@MalelaMpangala11 сағат бұрын
Yanga atashida tatu dhidi ya tp mechi ijayo
@GodwiniFweloКүн бұрын
Kibabage hatumtaki mbona hatumii akili kucheza mpira ye akipata mpira anawaza apige tuu. Tena anatuferisha san mara mia awe kibwana azuie sio aneyeshambulia bila mipango
@pacomezouzoua9175Күн бұрын
Kibabage atolewe kwa mkopo anaende hata kengold yule sio mchezaji bora hata faridi mussa mariki
@NurdeenHassan-j1wКүн бұрын
Hata msuva alianza kwa kuzomewa Yanga baada ya mda alikaa sawa na maisha yakaenda! Tuwasapoti wachezaji wetu
@BbasuleBasuleКүн бұрын
Sure
@maryfides591Күн бұрын
Mbona hamumsemi mtoto wa buza?
@emmanuelelias5826Күн бұрын
bonge la point_hauna buku 7 nikupe buku 2
@MudiSaid-y7uКүн бұрын
Uchawi upo mkane bado yupo yanga uchawi upo
@amosyjohn3120Күн бұрын
😂😂😂
@SannySan-s2c47 минут бұрын
Mtafuten mbadala wa kibabage anapand san hajui kurud boka kaumia ndio ballaaaa
@edisondiokeresy230610 сағат бұрын
SEMA kati ya vitu vinavyo Fanya mjulikane cheza yenu ni hizi video za mazoezi
@LAMECKSHEDRACKКүн бұрын
Mimi pamoja nayote kibabage nàmkubalì
@mudylipawaga5362Күн бұрын
Kibabage out
@AllanMohammad-v8nКүн бұрын
boka nae majeruhi haya muishi mtoto miyayusho huyo kibabage timua hatatuhalibia timu....
@selemanmcharazoКүн бұрын
Makocha wawape wachezaji nafasi ili wawe bora wametoka team zao wakiperform.waache kukariri kikosi mbona Nabi alifanikiwa misimu miwili na wachezaji hao?
@selemanmcharazoКүн бұрын
You can't be a good coach without improving the quality of players not cramping the is not true the team without Aucho can't perform against Mamelodi and Club African de Tunis Aucho didn't play but the team played Nabi had done his job effectively compared to Gamondi who crammed the players.