EXTENDED HIGHLIGHTS: YANGA 4-0 DOM JIJI| PACOME,AUCHO,MUDATHIR WALIVYO CHOCHEA MOTO WA DUBE NA MZIZE

  Рет қаралды 87,798

Yanga TV

Yanga TV

Күн бұрын

Пікірлер: 85
@mgobanyapazi7738
@mgobanyapazi7738 18 күн бұрын
Gusa achia twende kwao Highlights 50mins Hongera sana
@MYRAMONEYS2393
@MYRAMONEYS2393 18 күн бұрын
Yanga rahaa
@triceyanga
@triceyanga 18 күн бұрын
Admin asante sana kwa highlights ndefu ambao hatujaangalia game tunaenjoy na sisi
@damianmcba9525
@damianmcba9525 18 күн бұрын
Sama yani
@ZubedaHamisi-d3b
@ZubedaHamisi-d3b 17 күн бұрын
Sanaaa🎉🎉🎉
@hekimalaurent5127
@hekimalaurent5127 18 күн бұрын
Gusa achia, twende kwao Asante admini
@Omaryyahya-v8o
@Omaryyahya-v8o 18 күн бұрын
One love DAIMA MBELE NYUMA MWIKO 3:36
@MYRAMONEYS2393
@MYRAMONEYS2393 18 күн бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏
@naliakafatuma9870
@naliakafatuma9870 18 күн бұрын
Asande MUNGU BABA na MWANA na ROHO MATAKATIFU ameeeen Hongera Sana nyote kazi nzuri kila la kheri kwenu nyote barikiwa Sana Yanga shalom
@Amanikizota
@Amanikizota 17 күн бұрын
Admin Asante sana yanga bingwa 💯💯
@KaungaDory
@KaungaDory 18 күн бұрын
Ila Bacca Mungu akutangulie baba unalinda sana nawenzako hongeren sanaa nawapendaa wachezaji wote 🎉🎉❤❤❤❤
@FemidaYahaya
@FemidaYahaya 18 күн бұрын
Admin Barikiwa sana...Daima mbele Nyuma Mwiko
@AsiYeNaEliMuAliYeteNgwa
@AsiYeNaEliMuAliYeteNgwa 16 күн бұрын
Sasa hizi highlights ndo tamu sana. Wanaotaka magoli tuu wasubiri zile fupi kwa wanaotamani kuona walau asilimia 70 ya mechi ilivyokuwa hizi ndo highlights mujaarab. Asante sana Admin
@annayambayamba8614
@annayambayamba8614 18 күн бұрын
Naipenda yanga kuliko kula ❤❤😂😂🎉🎉🎉
@jacksonbuyungu9510
@jacksonbuyungu9510 18 күн бұрын
I love ❤️ 😍 💖 ❣️ ❤❤❤yangaaaaaaaa
@justinekinyaga6012
@justinekinyaga6012 18 күн бұрын
Gusa achia twende kwaooo ❤❤❤
@liliansiima6914
@liliansiima6914 18 күн бұрын
Asante nimeenjoy km vile nimeangalia mechi live
@KaungaDory
@KaungaDory 18 күн бұрын
Nimependa vile kocha anashangila pamoja na bench la ufundi😂🎉🎉❤
@edwinmchele3002
@edwinmchele3002 18 күн бұрын
jaman hapa nawapongeza sanaaaa mashabiki wa yanga tulihitaji sana hizi highlights ndefu namna hii hongereni sanaaa
@fatmaomar8335
@fatmaomar8335 18 күн бұрын
Kila la kheri inshaallah yanga bingwa daima mbele nyuma mwiko 💚💚💛💛
@MYRAMONEYS2393
@MYRAMONEYS2393 18 күн бұрын
🎉amina
@ismailmasoud6001
@ismailmasoud6001 18 күн бұрын
Baaa kubwa, highlight ya maana , Azam wanazingua na highlights zao, muwe mnatuwekea kama hivi , Big Up YANGA TV
@SamuelDrake-hm5db
@SamuelDrake-hm5db 18 күн бұрын
Yanga bingwa
@MYRAMONEYS2393
@MYRAMONEYS2393 18 күн бұрын
🔰🔰🔰🔰🔰👑🙏
@fatmasuleiman3885
@fatmasuleiman3885 18 күн бұрын
Man sha.Allah kazi iendelee
@MariamSittha
@MariamSittha 18 күн бұрын
Mwaga makopakopa kwayanga yetu💛💛💚💚
@thadeusmarkiminja2282
@thadeusmarkiminja2282 17 күн бұрын
Kwa kweli ni Highlight ndefu watu wame enjoy sana hongera pia kwa mchezo mzuri
@thadeusmarkiminja2282
@thadeusmarkiminja2282 17 күн бұрын
Walio enjoy hii Highlight nipeni like
@AzizaBasawa
@AzizaBasawa 18 күн бұрын
Mungu nimwem 🎉 yang bingwa
@MYRAMONEYS2393
@MYRAMONEYS2393 18 күн бұрын
🔰amina🔰
@KaungaDory
@KaungaDory 18 күн бұрын
Itoshe kusema asanteeee sana mwenyez Mungu kwa zawad ya ushindi nakutufanya tufurahie sherehe ya Christmas
@lusanalusana-o3h
@lusanalusana-o3h 18 күн бұрын
Yanga bungwa
@JeniAlex-e4v
@JeniAlex-e4v 18 күн бұрын
Kaz nzur wananchiiiiiii 🦾💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪
@Ratifarashidi-x7i
@Ratifarashidi-x7i 18 күн бұрын
Kazi.nzuli.yanga.as ante.mungu💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💛
@georgejoshua8514
@georgejoshua8514 16 күн бұрын
Halafu mlevi mmoja na ,kipenga Cha mwisho anaropoka Gori la mzize sio halali😉😉😉😉😉😉😉
@youngibraaH-l4c
@youngibraaH-l4c 18 күн бұрын
yani kama movie vile kudadaki👊👊👏
@qayzersosa5222
@qayzersosa5222 18 күн бұрын
Mzize ana kaba sana good performance
@mwajumampokileomckapela7541
@mwajumampokileomckapela7541 17 күн бұрын
🎄🎄🔰💛💚tumefurahi mno
@NelbatKasekwa
@NelbatKasekwa 18 күн бұрын
Mungu mwema saana kwetu Asante wananchi tuko pamoja😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉
@Tassyomy
@Tassyomy 18 күн бұрын
Duh..Leo Highlight.. Dk 50 Haki Ya Mungu Wananchi Tunainjoi Na Miudambu Udambu Ya Gusa Achia Twende Kwao..😂
@mohamedkutwambi
@mohamedkutwambi 18 күн бұрын
Gari limewaka ni mwendo wa 4G 🎉🎉🎉🎉
@mussamwampamba
@mussamwampamba 18 күн бұрын
Hakika yanga bingwa
@MYRAMONEYS2393
@MYRAMONEYS2393 18 күн бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏
@MartinmihayoMihayo
@MartinmihayoMihayo 18 күн бұрын
Yangaaa tamu😂😂😂
@Ngowi-c7x
@Ngowi-c7x 18 күн бұрын
Mtuwekee na extended highlight ile ya msimu wa 21/22 ngao ya jamii tuliposhinda 1-0 dhidi ya simba
@FelixKapela
@FelixKapela 18 күн бұрын
❤🎉🎉 Yanga
@Oman-cb3oe
@Oman-cb3oe 16 күн бұрын
Asante kwa kutuwekea ndefu tumeinjoy
@adamlubawa1281
@adamlubawa1281 18 күн бұрын
MI NINAOMBA YANGA TV MUWE MNARECORD NA KUITUPIA HAPA KWENYE CHANEL YETU KWANI MNAONYESHA MPIRA WOOTE
@kisamosch2nel648
@kisamosch2nel648 17 күн бұрын
Hawawez mpira alie dhamin kurusha ni azam tv
@filemonkwaja6181
@filemonkwaja6181 17 күн бұрын
yanga bingwa
@JUU-lw2je
@JUU-lw2je 18 күн бұрын
Mzinga ukiwa tuna bahati na wewe na arajiga
@WilsonClement-z5f
@WilsonClement-z5f 18 күн бұрын
Mbona bingwaa kila mmoja analijua hiloo
@Faustine_Charles
@Faustine_Charles 18 күн бұрын
Hata game tulizopoteza, wekeni highlights zake ndio professionalism.
@raymondkisinga4374
@raymondkisinga4374 17 күн бұрын
🔥🔥
@radhiamussa1629
@radhiamussa1629 18 күн бұрын
Nawapenda sana ila wachezaji mjitahidi msiwe mnaridhika na magoli machache ikiwa huwezekano wakufunga mengi mnayo magoli mengi pia yanaraha yake kwasisi mashabiki naimani mtaongeza umakini golini nafasi nyingi mno zawazi mnazikosa au mawasiliano baina yenu yanakosekana pasi xinapotea ambazo zingekuwa magoli
@JaphetSamwel-p6i
@JaphetSamwel-p6i 18 күн бұрын
Hii ndo yanga tuyoihitaji na hapo bado hawajasema.
@kidawajuma9597
@kidawajuma9597 18 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@GiftHans
@GiftHans 18 күн бұрын
Yanga baba lao
@shafiimohamedi311
@shafiimohamedi311 18 күн бұрын
KAZI imeanza sasa
@JUU-lw2je
@JUU-lw2je 18 күн бұрын
Huyu goli keeper wa dodoma jiji mzembe sana anaacha lango wazi anatembea kati kati ya uwanja
@byabe870
@byabe870 18 күн бұрын
Mbona mapema leo
@petromihayo8632
@petromihayo8632 18 күн бұрын
HIii ni Idea Nzuri
@ErickMichael-d9h
@ErickMichael-d9h 18 күн бұрын
Yani mpaka wasemeee 2mejipata😅
@frankmlinda1181
@frankmlinda1181 17 күн бұрын
Hata yanga tukifungwa bado nitaipenda milele naapa
@MOHAMEDBALOZI-o9d
@MOHAMEDBALOZI-o9d 18 күн бұрын
Yaap,mwendo wa nne nne. Mwizi anafukuzea kimya kimya.
@jacksonbuyungu9510
@jacksonbuyungu9510 18 күн бұрын
I love you yangaàaààa
@jacksonbuyungu9510
@jacksonbuyungu9510 18 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤yanga ni kama Barcelona
@DaudySaimon-b7r
@DaudySaimon-b7r 18 күн бұрын
Naona...tuna...Anaza...kua...botena...kama.. zaman
@--------GEO_SPORT_EARTH_EA
@--------GEO_SPORT_EARTH_EA 18 күн бұрын
Gusa achia twende kwao
@muhammadmuhammad5043
@muhammadmuhammad5043 18 күн бұрын
Kilalakheriy Nawaombea Wananchi Mufike Safari Yenu Ya Kuwa Bingwa...
@simonlukiko2850
@simonlukiko2850 18 күн бұрын
MUWE MNAWAIKUWEKA HIGHLIGHT TUWE TUNA TIZAMA KWENYE HII CHANNEL YETU NA SIO AZAM
@radhiamussa1629
@radhiamussa1629 18 күн бұрын
Pia makisio ya pasi mjitahidi kuyafania kazi mazoezini pasi nyingine zamuhimu zinapotea ambazo zingebadili ubao
@LeylaSaria
@LeylaSaria 18 күн бұрын
Hv jamn chama na max wak wap
@damianmcba9525
@damianmcba9525 18 күн бұрын
Max majeruhi atakuwa njd mwezi mzima,, Chama sina habari zake
@justinekinyaga6012
@justinekinyaga6012 18 күн бұрын
Wanaumwa jmn 2waombeee🙏🙏🙏
@MohamedChillo
@MohamedChillo 18 күн бұрын
Hii Yanga imeshinda lakini naona bado haijafikia kiwango chake kilichofanya iwe tishio Afrika , Skills za wachezaji na Utimamu wao bado kidogo
@PetermollelmollelMollel
@PetermollelmollelMollel 18 күн бұрын
Eda uwafunze
@GodlistenSamwel-r8p
@GodlistenSamwel-r8p 17 күн бұрын
tuachie timu tafuta yenye hvo vtu
@Tassyomy
@Tassyomy 18 күн бұрын
Ila Utulivu Mbele Bado..Papara Zimekua Nyingi..!!
@AugustinKibwindi
@AugustinKibwindi 16 күн бұрын
kzbin.info/www/bejne/mYbVgmyZpNeof7csi=3DEuitko_HmI5NE0
@MohamedChillo
@MohamedChillo 18 күн бұрын
Hii Yanga imeshinda lakini naona bado haijafikia kiwango chake kilichofanya iwe tishio Afrika , Skills za wachezaji na Utimamu wao bado kidogo
@damianmcba9525
@damianmcba9525 18 күн бұрын
Yeah lkn kidogo kidogo unawaona uzembe wa miili yao umepungua km kipindi tunafungwa fungal ovyo,, ss hivi kiaina wanajituma ,, kocha anasema kila siku kuwa wachezaji awapo fiti walijihachia sana , Mfano mechi na Al hilal uhoni dube alivyokuwa akianguka ovyo? Yani amna stamina kabisa , Walipewa sana uhuru basi wakawa wanatomba tu , na kujiachia
@MohamedChillo
@MohamedChillo 18 күн бұрын
@damianmcba9525 ni sawa lakini wale key players bado hawajarudi kwenye kiwango chao ambao ndiyo tegemeo kwenye mechi za kimataifa , hii Kasi wanayocheza wakiiingia wanapoozesha mchezo kabisa
@ChuluWanamaah
@ChuluWanamaah 18 күн бұрын
Yanga bingwa
@AlfredaGeorge-ye4il
@AlfredaGeorge-ye4il 18 күн бұрын
Gusa achia twende kwao
Magoli Yote Yanga vs Al Hilal SC 1-0 Highlights leo 2025 Al Hilal vs Yanga Young Africans
10:03
قناة أم جنات وعبداللهom janat abdlah
Рет қаралды 95 М.
Леон киллер и Оля Полякова 😹
00:42
Канал Смеха
Рет қаралды 4,7 МЛН
99.9% IMPOSSIBLE
00:24
STORROR
Рет қаралды 31 МЛН
Simba SC 1- 5 Yanga | Highlights | NBC Premier League - 05/11/2023
12:02
JUSTINE KESSY AWAPIGIA SALUTE YANGA, GUSA ACHIA TWENDE KWAO NI BALAAA
16:15
UCHEBE AVURUGWA NA USHINDI WA YANGA, HII NDIO GUSA ACHIA TWENDE KWAO
11:19