Kiukweli nimependa sana semaji wetu unajua kuzuzungumza vizuri mno na kuelezea big up kwa hilo uko vizuri nimependa
@Hemedy-r8g11 күн бұрын
Inshaallah allah atusimamie kesho tupate ushidi wa goal 3 bila
@YussuMaulid-x5p13 күн бұрын
Nakukubali sana ali from zanzibar 😂 unawakera
@fatmaomar833513 күн бұрын
Kila la heri inshaallah gusa aachia twende kwao 💚💚💛💛
@sadokimtondoabahenya3112 күн бұрын
Inshallah
@akwinojohn951112 күн бұрын
mungu atusaidie tushinde
@Chunja-m2g13 күн бұрын
Gusa achia twende kwao 🔥🔥🔥🔥
@fatmasuleiman388513 күн бұрын
IN SHA ALlAH MWENYEZIMUNGU ATATUHIFADHI KTK ARDHI YETU BILA SHAKA IN SHA LLAH GUSA ACHIA TWENDE ROBO FAINAL💛💛💛💚💚💚🤲
@hamisamajoka328413 күн бұрын
Allah atufanyie wepes siku ya jumamos tupate ushind twende robo🤲🤲🙏🙏
@NuruSeif-uf2ge13 күн бұрын
Amina inshallah
@mwajayhaxxan550713 күн бұрын
Ya Rabbi tujaalie tufuzu, hakuna wa kumuomba isipokua ww ya Allah muumba wa viumbe wote
@najatsalum212213 күн бұрын
Amin yaa Rabb
@josephfissoo958313 күн бұрын
Amen
@JicholakuleMakaji13 күн бұрын
Kweli kabisa kaka
@babacaren180113 күн бұрын
Yanga ni wanafainali mwaka huu gusa achia tukachukue kikombe cha club bigwa🎉
@costantinemgalle191012 күн бұрын
Ndio bana tukajaze kwa Mkapa!
@KapondaZenaida13 күн бұрын
GUSA ACHIA TWENDE KWAO 💚💚💚💚💚
@MuhammadIddi-g2h13 күн бұрын
Gusa achia twende robo fainal inshaallah ❤❤❤
@ndulatv237313 күн бұрын
In Sha Allah
@RevocatusRucas-rm9fi13 күн бұрын
❤❤❤❤
@twizoMoses002-yz1fq13 күн бұрын
Gusa achia twende kwaooo
@mwajumampokileomckapela754113 күн бұрын
Kila la kheri CHAMA LANGU pendwa 💛💚🍏🍏🔰🟢💚💛💛🖤🖤
@simonsadala238613 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Kolo bila shaka hizo code mezipata nyingine ni siri zetu hata mkijibu GUSA ACHIA nakuongezea nyingine hadi tuwanase wazamiaji mtakula bakora nyie wavunja viti
@HuseniAhamadi13 күн бұрын
MUNGU yunasi tutashinda kwa kishindo
@VenanceTossi13 күн бұрын
Mungu yupo nanyi maombi tuyafanye Wchezaji wapya,wapo kongezangvu?
@AdrianSawe13 күн бұрын
Yaaaaaaaan kushida razima kwa garama yeyo mugu yupo hana baya nasi
@nabiimgongolwa872813 күн бұрын
CODE NI GOLI 10-0 WACHEZAJI WAENDE KWA SPIRIT HIYO. KILA BAADA YA DAKIKA 9 GOLI 1.
@wakunyumbatv946213 күн бұрын
mwaka huu makombe yote yanakuja TANZANIA labda MADUNDUKA watufelishe
@elidadi135113 күн бұрын
Ili kuepuka kabisa hujuma za Makolo ni bora kila mwananchi au mtu yeyote atakayennunua Ticketi aje amevaa jezi ya Yanga yeyote ile hata kama ni ya zamani ili kuepuka mamluki wasije kutuharibia mechi yetu naomba tusisitize sana uvaaji wa jezi za Yanga kwa yeyote atakayenunua ticketi