Kila la kheri inshaallah daima mbele nyuma mwiko kazi iyendelee 💚💚💛💛
@RevithaRevitha-f5q11 сағат бұрын
Inshallah tutakua imara make uku kitaa wanetu kigumu tuoneeni huruma wanachama na mashabiki wa timu yetu pendwa 💛💚 🇹🇿 😢 hatuna jipya kikubwa tunawaombea afya njema mrudi mkiwa imara na sisi tutanue mbavu zetu kitaani😔😔🙌
@Carolina-sm5zt8 сағат бұрын
Mungu awalinde ninyi nyote awaepushe na majeraha🙏🙏
@BupeAbsalom11 сағат бұрын
💕 kila kher liwe mbele yenu katika mchezo, wa j4 🙏🙏 tunawapenda,
@shidamasuba413110 сағат бұрын
Mungu awafunike kwa ulinzi mkuu na kuwafanya washindi daima
@DeusVenance-rj7yh11 сағат бұрын
Kila la kheri young Africans 💚 Mungu awe nanyi katika mchezo wa club bingwa 🙏🙏
@OliviaMmary10 сағат бұрын
Eeee M/MUNGU ibariki Tmu yetu tushinde Ameeen
@Ba6382811 сағат бұрын
Nyie mnamini mungu yuko na atawavusha. Aende akawasaidie wayahudi na warabu mashariki ya kati kama yuko. Mimi nawaminia uwezo wenu kwa mazoezi ya nguvu na umakini mnayoganya. The victory team ❤❤❤
@beatusmajumbi71258 сағат бұрын
Kama hauamini Mungu yupo usituambukize hiyo Imani komaa hivyohivyo IPO cku utajua yupo
@Ba638287 сағат бұрын
Aibu wewe unadhanj watu wote duniani wana imani na mungu soma tafiti ujue jinsi imani kwa mungu inavyopungua siku hadi siku.
@EliasdeogratiasMagala7 сағат бұрын
Ao wote awana akili na utafiti wao wakijinga
@Ahmadasshii-raazy88886 сағат бұрын
Moja ya alama ya mtu punguwani ni kumuona eti anajidai haamini MUNGU, huo ni ushamba, hebu kama unahoja yoyote juu ya unachosema karibu tujadiliane
@Ahmadasshii-raazy88886 сағат бұрын
@@EliasdeogratiasMagalafact, kaka usiskie hakuna mwenye akili timamu kisha akapinga MUNGU HAKUNA HOJA YA KWELI YA KUMKATAA MUNGU, NI UDANGANYIFU WAO TU NA UDHAIFU WA IMAAN ZAO
@hafia.0568 сағат бұрын
Thank you very much 👏 God bless our biggest team in Africans Africans Africans Ameeen Ameeen this for All of us yes yes yes it's Swaffy sana wananchi
@pacomezouzoua91755 сағат бұрын
Aziz ki we love bro.. Ur talented bro
@enockjlory181411 сағат бұрын
Kwa uwezo wa mungu tutachukua ubingwa
@hafia.0568 сағат бұрын
Together we will be stronger 💪 peekaboo Starehee mbele mwanangu
@muddymuzungu435711 сағат бұрын
Waandishi wa habari taratibu na team yetu Mpo shazi
@stapinuswilliam8609 сағат бұрын
Wengne wachaw
@hk_ballers8 сағат бұрын
Kawaida hiyo
@muddymuzungu43577 сағат бұрын
@@stapinuswilliam860 😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
@HusnaAlly-fg6iy7 сағат бұрын
Mungu awe nanyi wanajeshi wetu ❤❤❤
@GodlistenKamnde11 сағат бұрын
Mungu aisaidie timu yetu ianze vyema kampeni ya kwenda kuchukua ubingwa wa Africa hiyo tarehe 26
@haifamiraji64838 сағат бұрын
Mungu awatangulie mshinde kwa kishindo wachezaji wetu .
@TwahirMohammed-x2h8 сағат бұрын
Uongozi musiruhusu waandishi wa habari wengi kwenye mazoezi wengine wanatumwa sio kila mtu ndo anatutakia mazuri daima mbele nyuma mwiko❤❤
@hk_ballers8 сағат бұрын
Punguza uoga
@NelloveDaPresenter6 сағат бұрын
Leo ilikuwa media day kwa Yanga yaani siku ya waandishi wa habari kwenda kuzungumza na Yanga. Ndio maana unaona hivyo
@JamilaMbaruk-j3m7 сағат бұрын
Jeshi letu Mungu awatangukie In Shaa Allah
@MichaelAmani-sd8lu11 сағат бұрын
Yanga yañgu Daima mbele nyuma mwiko
@hafia.0568 сағат бұрын
Ameeen kaka kakaee thanks you so much 🙏 ❤️ 💖 😅😅yellow and Green vipi apo lakini Aaaa swaffy sweet sugar muwaa and ice cream 🍦 😅Asante mwanangu Eeeee 😅
@MohamediseifNdimu11 сағат бұрын
Daima mbele nyuma mwiko hatimae jeshi limependeza nyeusi na kijan
@ABALHASSANJUMAA-h8o11 сағат бұрын
Love❤❤❤❤ uuu yangaaaa
@Nectory-w8y7 сағат бұрын
My lovely team wananchi 🥰🥰🥰
@ShabaniDagila-d3r7 сағат бұрын
Mungu ibariki yanga❤❤❤
@AhmadiMalimusi-g5d8 сағат бұрын
Allah yupo pamoja nasi 🙏🙏
@AlmachNestory11 сағат бұрын
Ikawe heri kwa Yanga Sc kwa kila hatua Mungu awe pamoja na timu yetu.
@GracePool-g1n11 сағат бұрын
Inapendenza sana chama langu💛💚
@mariamjimya-f1i7 сағат бұрын
Pamoja sana Wana yanga tim kubwa sana yanga Toka zamani
@KennedyJohn-p1i6 сағат бұрын
Big up wanang wa faida tusahau yaliyo pita tugange yajayo na kutelez c kuanguk wanayanga tunajua c nd mabigwa
Heee mboooona sisi wanaYanga tuko imaaara mbona ladies and gentlemen Youngs Africans vipi apo lakini eee hayaa sasa Twendeee kazi Youngs Africans yanga Africans oyeee let's saying all oyeee the continent team Africans Africans Africans oyeee oyeee hayaa
@paulmasunga175411 сағат бұрын
Tarehe 26 mechi ya yanga Caf tarehe 27 hakuna chochote Cha kisoka hivyo tunahimizwa twenden tukapige kura🇹🇿🇹🇿🙏
@Purity-l2v11 сағат бұрын
😂😂😂
@jobagustino907711 сағат бұрын
Kuna page za mambo hayo, sio hukuuu
@paulmasunga175411 сағат бұрын
@jobagustino9077 Jambo la taifa halichagui page 🇹🇿
@NevisterMichael11 сағат бұрын
Uchaguzi WA nini😅😅😅 yaani kama huku Kijijini kwetu tunaishi kama mayatima hata tuliwachagua hawafanyi Lolote la maana Zaidi ya kujaza mtumbo Yao tu ukipaza Sauti UNACHUKULIWA NA WATU WASIOJULIKANA 😅😅😅😅 🫣
@musakiyenze205811 сағат бұрын
😂😂😂😂😂 bro watakupiga hawachelewi
@anesiusromward595911 сағат бұрын
Jaman niota yanga anashinda goli 4-0 nzengeli azizik na mzize
@muddymuzungu435711 сағат бұрын
Huwa ukiota inakua Kweli?
@matrida.lunyilija519611 сағат бұрын
Amina kwa msaada wa Mungu aliye hai
@CafelinLawrence8 сағат бұрын
Jamni mm mwenye nimeota na ikawe hivo🎉🎉❤🙏🙏🤲
@innocentmmandago30297 сағат бұрын
Good luck
@GodfreyKarino10 сағат бұрын
Tim kubwa na mambo makubwa
@Shebe_traLove11 сағат бұрын
Jamani doctor wa boli iko wp aucho wangine ote washa fika wew uko wp baba
@AchileusNshekanabo5 сағат бұрын
👏👏👏
@MariamZanzibari11 сағат бұрын
Maandalizi mema kwenu
@LusekeloMwaikusa11 сағат бұрын
Together we move
@ntakakasendebayi999211 сағат бұрын
Yanga yangu naipenda💛💚🔰
@sheddykayanda436911 сағат бұрын
❤❤❤
@InnocentShirima-nc3ov3 сағат бұрын
Jumanne niwakubwa ila jumatano niyawalioshindwa
@SilvanusMbago11 сағат бұрын
🔥 🔥
@maestrokiss724511 сағат бұрын
Yes, We are Young Africans
@anesiusromward595911 сағат бұрын
Atali sana
@hamisiyangakozwe1476 сағат бұрын
🙏
@leilamohamed984211 сағат бұрын
❤
@pascalemmanuel25579 сағат бұрын
Kila La Eli
@shijacharles53946 сағат бұрын
Kwaiyo Aucho pancha tear
@JosephChrisant10 сағат бұрын
Naona kocha tangu aje anampa shule nzito Aziz Ki.
@minefacechaula11 сағат бұрын
Here we go
@barackmoses70035 сағат бұрын
Mbona mmeruhusiwa kuingia Kwa mkapa mapema
@witnessgeorge197611 сағат бұрын
Nawapenda mpaka nikapitiliza
@medimajogoo6 сағат бұрын
kibwana shomary
@mussaramadhani15398 сағат бұрын
Naona jumanne ushindi upo maana kila mchezaji anafuraha
@freefromhunger11 сағат бұрын
🔥🔥🔥🚀🚀🚀🇹🇿
@GloriaMillinga8 сағат бұрын
Dube huyo afundishwe jinsi ya kupiga mpira kwenye lango
@roudhamahmoud7638 сағат бұрын
Aziz key tunataka magoli.
@mosesjacksonkarashani264210 сағат бұрын
Aucho yuko wapi?!😢
@pelegrinmwamba159410 сағат бұрын
Aucho Khalid bado yupo kwao
@KarokiaNdirango-lj3wf6 сағат бұрын
Kila kizazi kitalipwa hapa duniani
@NyangilaMwessanyangila11 сағат бұрын
Wandishi wanafiki wameandamana kufuta timu yetu nawachukia mbaya kabisa.
@roudhamahmoud7638 сағат бұрын
Chama tunataka magoli
@Josephtibu-l9e10 сағат бұрын
Mnasherekea dube kutokua na goli mechi kumi 10????😢😢😢 NAULIZA KUTOKA MAREKANI 😂😂😂😂🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@InnocentShirima-nc3ov3 сағат бұрын
Naamini ala yup nasi kwapamoja tuiombee tem ye2 pendwa ifikapa 26 tr
@bugaforever203711 сағат бұрын
Boka mbona hayupo😮😮
@iptisamismaill-f6h5 сағат бұрын
Sindano fc mnatia huruma sn 😅😅😂😂
@christianwilfred8198 сағат бұрын
Aucho vp
@JacksonMbites9 сағат бұрын
Hawendi mahali wamechoka sana watatoka sare wakijitahidi sana
@greysonkisinda73909 сағат бұрын
We ulitaka waende wapi
@salmamlokela19878 сағат бұрын
Kama maisha yako yapo yapo
@DaudiMbatia-k3e10 сағат бұрын
Ali hilal ameyatimba lazima alowe 2
@AllyMasangaluka-bm5ib9 сағат бұрын
Mkude muonyeshe kocha ulichonacho napemda kkuona unaanza kikosi cha kwanza
@mathiasmushi4 сағат бұрын
Nyie 😅
@pacomezouzoua91755 сағат бұрын
Triple C🎉
@amosalfred4186 сағат бұрын
Nkane anakula maisha yeye ni shabiki au mchezaji??😂😂😂😂
@NurdinKea8 сағат бұрын
Kila la heri yanga tarehe 26 tushinde goli 3 bila
@NoelaJ4-i3b8 сағат бұрын
Wapi boka 😭😭
@maxwellmarko70078 сағат бұрын
Aucho hayupo apo vip
@MawazoWilliam-g9l11 сағат бұрын
Natokea mkoa wa songwe,pigeni tizi la kukata na shoka hao alhilaly wakasimulie kwao kuwa tumekutana rungu la moto.
@HamdaniMohamed-o3y11 сағат бұрын
Hatuoni The Tank Aucho?
@MathiasMichael-i2k6 сағат бұрын
Aucho mbona smuon?
@IbraTz-n7x4 сағат бұрын
Usenge tu
@NdayishimiyeEvelyne-ws6ts11 сағат бұрын
Mimi sijamuona boka jamani
@deogratiasmkenda719111 сағат бұрын
Shika achia twendwe kwao
@deogratiasmkenda719111 сағат бұрын
Shika achia twende kwao
@mussasaidhamad189110 сағат бұрын
wewe amini kuwa Mungu yupo popote na uwezo wake ni mkubwa hauna mfano usiseme kama yupo amini yupo