YESU (ISSA) KUMFANYA NI MTOTO WA MUNGU NI MATUSI YA KUMTUKANA MUNGU | SHK MSELEM

  Рет қаралды 6,682

Adil TV

Adil TV

Күн бұрын

Пікірлер: 53
@nalingarowl7048
@nalingarowl7048 Жыл бұрын
Hongeraa Ukristu ni Dini ambayo haijadili Imani ya wengine,kwani imeshatosha kutambua kuwa Yesu ni Mwana wa Mungu na ni Mungu pia ( Yoh.14:1....Yoh 1:1....) Mtu au watu wakoseaje haiwezi kubadilisha na ndiyo maana Ukristo haujibu lolote na ukiona mtu anajibia Ukristu huyo ni Mkristo jina
@assfzainab912
@assfzainab912 Жыл бұрын
Kwenda uko ndiye aliye kuumba ama aliumba dunia kabla haja zaliwa dunia ikikuwa inacontroliwa nanani
@paschaljuma3312
@paschaljuma3312 Жыл бұрын
Huwezi kujibu kwa sababu hamna dalili yani utajibu kutumia kitabu gani hiyo biblia isiyojulikana ilitoka wapi
@roqayaro9439
@roqayaro9439 Жыл бұрын
SHUKRAN SHEKHE KWA KUTUPA MAWAIDHA UBALIKIWE UZIDI KUTUMA ELIMU
@leonceuwandameno6378
@leonceuwandameno6378 Жыл бұрын
Nadhani ungesema kuwa : Abarikiwe kwa kuzidi kuwapotosha!
@ahmedzahor2975
@ahmedzahor2975 Жыл бұрын
@@leonceuwandameno6378 Hebu tupe aya katika biblia kua ukristo ni dini na tupe andiko ktk Biblia Yessu kasema Mimi Yessu Mungu niabuduni
@nalingarowl7048
@nalingarowl7048 Жыл бұрын
Hakuna amri kumi wakati wa Yesu. Amri 10 zilikuwa wakati wa Nabii Musa,Yesu ni Mkuu kupitia Musa
@venancemwanya4212
@venancemwanya4212 Жыл бұрын
Katika amri kumi za Mungu,amri ya pili inakataza kumjaribu.
@ahmedzahor2975
@ahmedzahor2975 Жыл бұрын
Amri ya Kwanza inasemaje mbona inaipinga
@leonceuwandameno6378
@leonceuwandameno6378 Жыл бұрын
Alianza hivyo hivyo marehemu Ustaadh Shekh Ilunga.... watu ninyi hawajitambui kabisa. Shekh Mselem, elimu yako ni ya chini sana.... huwezi kuelewa mafumbo makuu ya Mungu....
@SalehAli-be7vp
@SalehAli-be7vp Жыл бұрын
Hujielewi
@leonceuwandameno6378
@leonceuwandameno6378 Жыл бұрын
@@SalehAli-be7vp Eti sijielewi? Lete ufafanuzi wewe unayejielewa. nadhani hata wewe elimu yako kuhusu Yesu ni ndogo sana. Nakukumbusha tu kuwa: ... ili kwa jina la Yesu kila goti lipigwe, la vitu vya mbinguni, na vya duniani, na vya chini ya nchi; na kila ulimi ukiri ya kuwa YESU KRISTO NI BWANA. kama hutakiri sasa, utakuja kukiri siku ukifa. Hutakutana na hukumu ya Mohamad, utakutana na uso wa Yesu ... ndipo utakapokiri na kutambua kuwa Yesu ni nani. Ndo maana hakuna pepo yoyote anayeweza kutamka jina hilo la YESU KRISTO. ila jina la Mohamad halina mamlaka yoyote kwa mapepo.
@manechmanech6423
@manechmanech6423 Жыл бұрын
Wewe ambaye una elimu ya juu tuambie mafumbo ya mungu ya koje, na wala hakuna haja ya malumbano kama nyie mnasema yesu mungu Aya endeleeni kusema hivyo acha sisis tuendelee kusema yesu ni mtume wa mungu😂
@paschaljuma3312
@paschaljuma3312 Жыл бұрын
Hahaha nyie walimu wa mafumbo subiri ipo siku ambayo haina shaka inakuja na itajulikana alie katika ukweli, wewe unapobisha wakti Allah ndo kashasema haisaidii endeleeni kusoma hiyo biblia yenu ambayo watu wamekaa chini kwa akili zao wakaandika
@leonceuwandameno6378
@leonceuwandameno6378 Жыл бұрын
@@paschaljuma3312 Nyie walimu wa majini wazuri kusilimu .... mko mbali sana na wokovu.
@assfzainab912
@assfzainab912 Жыл бұрын
CKU YAKUSHUKA YESU KUTAKUWA NA DALILI ZOZOTE?
@venancemwanya4212
@venancemwanya4212 Жыл бұрын
Shekhe tutafanyaje mjadala na mtu uliepokea elimu kwa mtu ambae hakujua baada ya kufa anaenda wapi. Nyie mtume wenu aliwapotosha.
@abdalahsuleman2791
@abdalahsuleman2791 Жыл бұрын
Umepinda akili Yesu na mama yake wamekulia msikitin mpaka hii leo pale Wana swali waislam siyo wewe kafir unafata akili za mashoga wa Italy
@venancemwanya4212
@venancemwanya4212 Жыл бұрын
Wewe unasemaje? Mimba iliingiaje? Tatizo ndugu zangu mnahangaika kuitafsiri kwa elimu ya chini sana,yaani uwezo wenu juu ya Yesu alipatikanaje ,elimu yenu ni ndogo sana. Mungu mwenyewe ndio anajua mimba iliingiaje?
@SalehAli-be7vp
@SalehAli-be7vp Жыл бұрын
Hujitambui
@SalehAli-be7vp
@SalehAli-be7vp Жыл бұрын
Hujitambui
@venancemwanya4212
@venancemwanya4212 Жыл бұрын
Wazee wa Sharia.
@johnsulle4679
@johnsulle4679 Жыл бұрын
Asante kaka umewajibu hawa jamaa elimu yao ndogo sana wanamfananisha yesu kristo na watu wao wa kawaida kama sisi et
@venancemwanya4212
@venancemwanya4212 Жыл бұрын
@@SalehAli-be7vp unaejitambua ungetoka kwanza uko.
@juvenalymwanalyela123
@juvenalymwanalyela123 Жыл бұрын
Handicap worshipers
@macrinajoseph1422
@macrinajoseph1422 Жыл бұрын
Kama.huamini kilichoandikwa .kwako ni matusi. Kwetu nikweli. Ndivyo ilivyo. Hivi unaaminije muhamadi ni nabii wakati.hakuna. kitabu.chochote kilicho.mtabili.? Naunaaminije .kma uarabuni anaweza.kutokea nabii. .kitabu.chako unaamini.kila.kitu. mbona biblia inawapa shida ? Mtaamini siku ya kiyama
@Sheba4651
@Sheba4651 Жыл бұрын
Kwani biblia ni kitabu cha Mungu? Wazungu tu wametunga hadithi zao tena wajinga ndio wakaamini, wakadanganywa ati Mungu azaliwe na mwanamke ama kupigwa hadi kuuawa. Ujinga na utumwa ni mzigo. Vile wazungu walipokuja kuwatia minyororo shingoni wazee wenu ndio mkawa wakristo. WAEFESO 6:5 Enyi watumwa, watiini wao walio bwana zenu kwa jinsi ya mwili, kwa hofu na kutetemeka, kwa unyofu wa moyo, kana kwamba ni kumtii Kristo. ### HAPO NDIPO MLIPOPATIA IMANI.
@macrinajoseph1422
@macrinajoseph1422 Жыл бұрын
@@Sheba4651 omba mungu akusaidie ukiliitia jina la yesu.mapepo yanapiga kelele. Wagonjwa wanaponywa unapoliitia jina la yesu wachawi wana kimbia yohana14;. 13. 14. Kama hadithi thiko kwako kwetu nimungu anaongea juu ya ulimwengu kwa habari ya haki na hukumu. Biblia ni muunganiko wa vitabu vya manabii waliojiliwa na neno la mungu . Ni sauti ya mungu aliyeumba mbingu na nchi. Ila kuruhani haipo. Kwenye historia ya vitabu vya kinabii waliojiliwa na neno la mungu inabidi mtafute historia ya muhamadi huko uharabuni. Walijiwa. Wangapi huko? Au muhadi tu ndo wa kwanza?.
@ahmedzahor2975
@ahmedzahor2975 Жыл бұрын
@@macrinajoseph1422 Hakuna Nabii Mzungu Mitume yote walikua Mayahudi na Warabu hakuna Mtume alotoka Ulaya
@ahmedzahor2975
@ahmedzahor2975 Жыл бұрын
@@macrinajoseph1422 Wewe hujasoma Hujui Mitume walio kua Warabu Si Muhamadi tu Luti Hudi Saleh wote walikua Warabu tuambie kanisa gn alimokua anaingia Yessu Huko Jerusalem Kuna Msikiti hakuna kanisa
@macrinajoseph1422
@macrinajoseph1422 Жыл бұрын
@@ahmedzahor2975 kama unaamini yesu ni Nabihi soma kitabu chake chote . Kitabu cha injili. Itakuwa. Heri. Kwako. Maana. Hutadanganywa. Hutapeperushwa. Na upepo. Huku na. Huku.
бабл ти гель для душа // Eva mash
01:00
EVA mash
Рет қаралды 8 МЛН
MAMBO NANE UKIYAFANYA MALAIKA HUKUOMBEA DUAA / SHEIKH HASSAN AHMED
32:41
FADHAKKIR CHANNEL
Рет қаралды 386 М.
Matumaini wakati wa Dhiki | Friday 1446H | 2024M
55:15
Sayyid Aidarus Shariff Alwy - Mzee Mwenye
Рет қаралды 1,9 М.
TAFSIR SURAT NUUH 15 - 18 SHEIKH MSELEM BIN ALI
1:12:17
J TV ZNZ
Рет қаралды 1,1 М.
бабл ти гель для душа // Eva mash
01:00
EVA mash
Рет қаралды 8 МЛН