Рет қаралды 20,656
bwana yesu yeye aliye Mwenye UPENDO MKUU... Ametuchagua sisi Tuwe Marafiki Zake wa karibu sana Ambao Atajifunua Wakati wote.. Hivyo sisi Tuliomuamini tunapata Ujasiri Wa kusema YESU NI MWOKOZI Ni rafiki Mwema na tutakaa upande wake kwa uaminifu na kujenga ufalme wake..AMEN.
#MAISHAMANASSE
#YESUWANGU
for more info +16052312917
instagram Maisha manasse
facebook Maisha manasse