Follow kurasa zetu za mitandao ya kijamii: / simulizinasauti / simulizinasauti / simulizinasauti / simulizinasauti
Пікірлер: 189
@yohanadavid672410 ай бұрын
Tumepokea taarifa kutoka Source za Media tofauti. Lakini kama ulikua unasubiri kusikia kutoka kwa Dj SMA, gonga like...... 👍
@Supershopdubai-ck8td10 ай бұрын
Dj sma tunakupenda san bro tulikua tunasubi uchambuziwako mze baba from 🇧🇮👊🖤 umenipa moyosan kamatim rusia
@ngadumbishi140510 ай бұрын
Pole Sana Dj Sma Na Hongera Na Kazi Nzuri Unazotuletea 🙏
@isayamgazaTZ10 ай бұрын
Kwenye taarifa ya kwanza Dj, nilikuambia kua lazima ujue kwanza kua ni chombo gani cha kwanza cha habali kilitamka mpaka kuenea kwa vyombo vyote vya habali, lazima utambue kwanza kua vladimir putin anajivunia kua na huyu mbabe, na huyu jamaa anatia uwoga wale mahasimu wa Russia pindi jina lake linapo tamkwa ,, kwahio nafasi alio nayo prigozin nnje ya Russia ni furaha kwa vladimir putin kua na mpambanaji anayeogopwa ktk nchi nyingi,, na pia ujue kuna sura bandia za kuwachanganya vibwengo,, , kama chombo cha kwanza kutoa taarifa hizi ni kutoka Russia lazima ujue kua inaweza kua vita baridi , ambapo lazima ujue kua ubaridi huo upepo wake unaelekea upande gani na una speed ngapi wa kutambua uzito wa kitu kilicho simikwa au kuchimbiwa chini kikiwa kimetokezea juu ya uso wa dunia,, huenda comment yangu ikawa ina fumbo ndani yake, lazima usome na uelewe tu na utambue kilicho ndani yake,,,
@mikidadikaunje642010 ай бұрын
Qqqqqqqq😊
@mobilespecialschool421610 ай бұрын
Wewe fanya ufafanue mwenyewe sie tuna jukum la kuwatafakari wakatoliki na matamko yao
@athmanimkangara929010 ай бұрын
Kama nimekuelewa vizuri ina maana kuna kitu kinafichwa ni propaganda. 1. Media za Russia ndio zimekuwa za kwanza kuripoti tukio. 2.Russia inajivunia prigozin hivyo haiko tayari kumpoteza kirahisi. 3. Tukio hilo linaweza carmoflage tu kuna mengi yanaendelea. 4.Asssement ya ajali yenyewe ya chombo inaonyesha kuna maswali mengi yakutatafakari
@kanukanute272210 ай бұрын
Uko sahih mkuu
@brunoh_bx10 ай бұрын
@@mobilespecialschool4216😂😂😂
@saidymwajeka861210 ай бұрын
Mpaka tupate uhakika very nice dj smaa
@ceasarj676110 ай бұрын
Bro! Putin is a former KGB. Hawa watu huwa hawakurupuki katika kufanya maamuzi. They are trained to patiently wait for the right time to perfect their mission with all precautions taken.
@Manfilly10 ай бұрын
Fact
@africanmandetraveler284710 ай бұрын
I agree with you on this point.
@sashawambura10 ай бұрын
I concur you
@idrisyunis13810 ай бұрын
Oky kaka sawa kabisa shukran
@dorcasndesigns399710 ай бұрын
Nilikuwa nakusubiri sana DJ sma asante kwa kuchambua vizuri issue hii
@khalfanmlala509310 ай бұрын
Asante sana dj smart
@isikesamike10 ай бұрын
Pole kwa uchovu bro na shukrani kwa ufafanuzi. Usichoke kuendelea kutuletea uchambuzi
@ramadhan-id9mz10 ай бұрын
Nakubari sana
@taraagire617610 ай бұрын
I really like the way u exmplain topic to topic pls can speak about what is going in in with war and the meeting they had in south Afrika! Thanks sweden
@abdallahmanirakiza17510 ай бұрын
Endelea kutupa habari za karibu Dj Sma😢😢😢
@jonfredkewe345110 ай бұрын
Upo vizuri mr
@MichaelMghamba10 ай бұрын
Asant Sana broo hakika hiiishu imeniuma San dah Yevgan prigozing nikiongoz ambaye Kwanza ameamuakujitolea kuisuport Africa
@rogerslwitiko391510 ай бұрын
Pole sana Bro
@ngwalibaba748910 ай бұрын
U are righty
@heliudjulias774810 ай бұрын
Nime kupata Dj sma pole kwa mchoko asante kwa kutujari
@appolonation10 ай бұрын
DJ sima! I was waiting for you!! Love from Rwanda 🇷🇼!
@YahayaShabani-ne5gd10 ай бұрын
Kagame must Go.
@ndukulusudikucho_10 ай бұрын
Kama Kuna kiumbe ana Bahati Ni huyu, ameishi siku nyingi Saaana badaa ya kusaliti Nchi, tawala nyiingi ukiziingilia huwa wana michezo Michafu saana , huwezi saliti Nchi alafu ukabaki salama
Dj Sma nilikuwa nangoja sana taharifa hii kutoka kwako ukipata update zozote tuletee
@azamazam327910 ай бұрын
Waleikum salaam warahmathullah wabarakathuh
@joe_was_here.10 ай бұрын
Dj smart❤
@kassimkhalid118510 ай бұрын
No one mess with Putin..Kuna wakati miaka ya nyuma kwenye interview ya Putin..Putin kasame sitamsamehe mtu yoyote akinisaliti.
@melkizedekikalanga334910 ай бұрын
Dj Sma, mimi nakupenda kutoka moyoni, napenda makala zako na ninazifuatilia zote, ombi langu kwako ni kuwa acha kuwakosoa haters, usiwashambulie, wale wenye uelewa mdogo pia try to be professional usiseme kuwa kuna watu wana uelewa mdogo hawanielewi, pia kuwa specific na mada husika, don't include private issues, usiseme kuwa umechoka au vinginevyo Kaka,,, nakuamini, nimejifunza mengi kutoka kwako, kama hutojali naomba tuonane...
@melkizedekikalanga334910 ай бұрын
Kuna taarifa na elimu kuhusu mambo ya bima ulitoa na yalininufaisha sana, naomba tuonane, nipe mawasiloano yako Kaka...
@djsma25510 ай бұрын
🙏
@shalomchaula442010 ай бұрын
Bro crowning is real especially in Russia and all they do is to confuse this world and complete their mission ..they are very serious to insure they pursue into real York of this world defensive principle ...
@bagulakamikazigrace217410 ай бұрын
Asante saana DJSMA,
@abuunusaibayussuf482910 ай бұрын
Mim nakukubal sana wew kuliko media nyinyi sana
@godfreyally-ps3fo10 ай бұрын
👍💪
@IrineJulius10 ай бұрын
Sawa nimeelewa
@tahiyasaidi653210 ай бұрын
Dj sma ...uyu jamaa washampeleka ....vyombo vilivyotoa hyo taarifa na RT ipo Russian today
@King_Of_Everything10 ай бұрын
👍👊✌️。
@davidwalalason763010 ай бұрын
According to CBS News wanaeema it was missile attack.
@kassimmuktarymurji424210 ай бұрын
Prigozin hawezi kuwa amekufa ,fsb ni noma wanatengeneza tatizo na wanasuhisho,
@chesterbrand672310 ай бұрын
Home sweet. Home me nawakika wako na DNA ya pregozin wangelikuwa washafananisha vyake....
@jumabuckary769810 ай бұрын
Inawezekana ikawa mpango wao wameupanga maana urusi ni watu wenye akili za mbinu nyingi sana
@daprince754510 ай бұрын
Daaah kama ni kweli amekufa basi kifo chake kimegusa hisia za watu wengi duniani. Nakifananisha na kifo cha mwamba mzee John pombe magufuli, mungu akueke mahali pema John pombe magufuli😢😢😢
@mobilespecialschool421610 ай бұрын
We umeguswa
@KassimAlly-xp4dz10 ай бұрын
Ushashiba ww
@daprince754510 ай бұрын
@@mobilespecialschool4216 huu ndio ukosefu wa kutojitambua na swali unalo uliza
@petrompunga22110 ай бұрын
Kama kweli amekufa, MIMI KWANGU NI SAFIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII
@ericksaid532710 ай бұрын
Duh ndio yapi haya tena jameni
@Issa-ud6sy10 ай бұрын
Duh! Nimeumia sana kufa huyu mwamba
@tarickmpemba600710 ай бұрын
usichoke boss
@majaahmad779710 ай бұрын
Wameongea weng ila nilkua nasubl kwako
@SparrowArsenalsparrowarsenol10 ай бұрын
Naomba kujiunga group
@jumadaima183310 ай бұрын
Kweli Dj, Mzee wetu prigozhin kafa, midia zote za Russia zinaongea.
@kheriadams571710 ай бұрын
but ur smart sana
@hassanpashua10 ай бұрын
Kama mm nakuaminia najua bado utachambua ukweli tutaupata tu hapa hapa fuse from kenya
@bisharsaid864010 ай бұрын
how to get in the group
@mchinatz933510 ай бұрын
Dah 😢😢😢😢
@aminatanzanya747510 ай бұрын
Pamoj sana dj sma 💛💚
@MussaMumbi-ti9zx10 ай бұрын
Niaj Dj s😊ma? Nataka niwepo kweny group lako la what's app
@djsma25510 ай бұрын
Scan hio qr code inakupeleka direct
@mustaphamatelefone-lc9pr10 ай бұрын
Endelea kufwatilia dj tujue ukweli
@braystuskibassa384210 ай бұрын
Tetesi hizi nadhani inaweza kuwa ni mbinu za kumvuruga mpinzani ili ajichanganye
@KitakalaAmada-pf3xf10 ай бұрын
DJ smat uhakika2? ndio tunahitj
@thelonewolf442910 ай бұрын
Isiwe kafa kweli maana daah
@karabhageganyanza10 ай бұрын
Alikua na bifu na waziri. wa ulinzi lazma atawekewa njama ya kuuwawa hatakama hajafa
@IrineJulius10 ай бұрын
Pole na uchovu unaeza nieka kwenye group pleas
@kevinbrown190010 ай бұрын
It’s alleged that BBC has already confirmed that.
@194summer10 ай бұрын
Unafikiri damu za watu alizomwaga kwa wingi uovu huo Mungu atanyamaza
@jumadaud818110 ай бұрын
Fanya mpango bro uniubge kwenye gruop
@hassangaddafi234710 ай бұрын
Viva Putin viva African ❤❤ 🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@MuhidinMangu10 ай бұрын
Km 8000 ,sikubaliani nawewe Dj
@omarykyutta668110 ай бұрын
Link ya group mbon haipo
@irmgardsamia182710 ай бұрын
From this nimegundua dj Bado kabisa hujaelewa how Putin works
@ericknyalusi257910 ай бұрын
Km 8000 au m8000?
@angelinamwakilufi888110 ай бұрын
Umetudanganya ni km 8 sio elfu nane😂
@kanikiommy516710 ай бұрын
Kwa iyo wewe ndio unajuwa sana kuliko vyombo vya habari ulaya
@amenyemwansile691910 ай бұрын
Malipo ni hapa hapa duniani
@user-bi3ky7vy2q10 ай бұрын
Kilometre 8000 ? Seriously!
@josephwilliam581310 ай бұрын
SIO AJALI NDEGE IMETUNGULIWA
@victorgerryson269510 ай бұрын
N mhun, sio mara ya kwanza kufany hvyo.
@abdallahnassoro246010 ай бұрын
Mm naamin mwenyenzi muungu haondoi kitu bila kueka kitu naamin tu Kama kweli amekufa yupo zaidi ya yeye emesha wekwa puti wanyooshe mashago mpaka wakisome kiruss
@kheriadams571710 ай бұрын
ni kilometer 7.8 mkuu sio elfu 8
@lallyfourty7.97610 ай бұрын
Enda shule kwanza kasome hesabu mbwa
@ibrahimaziz715810 ай бұрын
Dah dj sma pole sana kwa msiba huu mkubwa kuondokewa na ndugu yako huyu tupe namba ya kutoa michango plz
@user-nr3uw7bq1r10 ай бұрын
Namba mpigie putn, wacha kumkejeli dj wetu Makini kabisa
@nextstudiostz10 ай бұрын
😂😂😂😂 Mpe pole kabisa. Maana siku akisikia Puttin kadedi? Sjui itakuaje.
@allyhasani375010 ай бұрын
Kilomiter elf nane unazijua wwe
@jayaron599110 ай бұрын
URUSI NI INCHI KUBWA ,UKIZINGUWA LAZIMA UFE
@isacksimonmahungilo10 ай бұрын
Kesho atazuka
@mussachichajr10 ай бұрын
Sasa wewe hizo taarifa za uhakika unataka nani athibitishe au mpaka ww uje kututhibitishia ndio tuamini khaaaa😂😂😂. Kama RT na Russian aviation wote wame confirm kama amekufa Kwa ajali ya ndege ww ni nani, sasa ww subiri confirmation ss ambao tunakesha kufuatilia habari hizi tumeshajua zamani. Wa fuse subirini Dj aje atoe taarifa rasmi
@ZeraGeofrey10 ай бұрын
Tunamsubir hatuna shida tumechagua wenyewe kufatilia kupitia channel hii wewe tulia tu maana bando ni letu bhana
@nextstudiostz10 ай бұрын
😂😂😂😂 anamsiba mwenzenu. Sa sjui Puttin akifa atakua analeta nini apa tena maskini😆 Maana uyo tu kamtia unyonge, anatamani kumtetea Puttin kwamba hausiki😂
@almasisebarua10 ай бұрын
nataka kujiunga group hili vp
@kamugishacerestine680510 ай бұрын
Jamaa unasema ukwel aisee make vagner hajafa kwel
@shau7810 ай бұрын
mashabiki wa Putler wanaendelea. mara oo habari hazijathibitishwa, mara o ni propagana za west. alafu sasa hv mtasema alieuliwa ni Prigozhin fake. mara Putin noma. endeleeni....
@omariathumanchigwe577610 ай бұрын
Hakunachaajabu Ila Kama nikweli Basi nipigo kwa warus wote
@fistonmakasi380310 ай бұрын
Dio poa isse
@MONEY_CHANNEL.10 ай бұрын
8000m au 8000km.
@djsma25510 ай бұрын
Ulimi hauna mfupa...
@HalfanMaulid10 ай бұрын
😂Daa kama ni kweli basi ni kifo tu cha kawaida kwani huyu ni kipenzi cha Putin au kuna hila inatengenezwa kujua kitu fulani
@saidmpoma27810 ай бұрын
Ukitaka kuamini kwamba hajakufa mngoee atarudi
@hussenmdomdo398210 ай бұрын
Tuliokuwa tunasubiri hii gonga like
@modestwenceslaus910 ай бұрын
Putin hajawahi kusamehe mtu ambaye anatofautiana naye kimsimamo.
@mwanzaswitch176410 ай бұрын
Km 8000? Upo serious wewe?
@PashaPatience-kn9ek10 ай бұрын
Aca wewe mutu arikufa zamani aca weye njo una news za fek wengine wako sahihi
@Mina.1510 ай бұрын
Clikbait
@OscarAsukenie10 ай бұрын
Wazee wa hesabu 26,000fts is km ngapi?
@evaristjohn243910 ай бұрын
Around 8 km!
@nextstudiostz9 ай бұрын
Hajafa, yupo zake Africa. kzbin.info/www/bejne/e5-4cnWll51gmacsi=_jxDVitKSuh4Qws8