Jameni mubarikiwe sana tena sana wimbo unanijenga sana nakunifariji ,mungu wetu awaongoze katika safari yetu ya matumaini namungu wetu awaponye kwakila mangonjwa yakiroho nayakimwili pia ,nasabato njema 🙏🙏🙏
@kahamaadventistchoir3 ай бұрын
Amina mtumishi
@user-ok8tu7sf2x6 ай бұрын
Barikiwen sana kwaya niloimba miaka ya nyuma
@kahamaadventistchoir Жыл бұрын
Amen
@fundishatv341410 ай бұрын
Amina kubwa.
@user-oq1np2xs1l Жыл бұрын
A good song in the book of Revelation dressing code looks good music instrumentsplayed we'll