Mungu wangu jamani uko wapi naomba jibu maombi yangu 🤲🤲🤲😭😭😭😭😭🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@cycalacycala5115 Жыл бұрын
Barikiweni sana nyimbo zenu zinatutia moyo sana. Kama team strong hapa nimebarikiwa sana nikiwa hapa Saudi Arabia 🇸🇦🇰🇪
@Esther-qq4hk Жыл бұрын
Wimbo mzuri ,,,,barikiwa kaka much love from kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@Agnes-gm7nd5 ай бұрын
Mtumishi yohana Antony wimbo huo inanitia moyo niendelee kutafuta nikimuomba mungu mungu ataonekana ubarikiwe sana mungu akuinua kwa Kibali cha wimbaji.
@faithzolar8695 Жыл бұрын
Mtumishi Joseph asante sana kwa wimbo nzuri kweli mtafutaji hachoki ,wengi tuliskia sauti kama ya Bon mwaitege bro barikiwa sasa,na mtumishi Yohana barikiwa sana ila wewe tulikozoea the Legend super hero wa nyimbo za injili mkuu ❤❤❤
@winventoti3710 Жыл бұрын
Huu wimbo umenivafanya kuwa mvumilivu , na najuwa ipo siku nitakuwa mshindi🙏🙏🙏🙏💪
Balikiweni sana kwa wimbo mzuri na kazi njema 🙏🏽🙏🏽
@ibrahimupamba8022 Жыл бұрын
Mtafutaji hachoki naendlea barikiwa San
@calebnyamburi4212 Жыл бұрын
Mmmm! Yohana na Babake pongezi sana na Mungu awalinde, Watching from Kenya.
@mikejmusic254 Жыл бұрын
Hakika mtafutaji hachoki ukweli kabisa hata mie ninajitahidi hili nmpate huyu Mungu mbarikiwe na neema ya bwana iwaongoze
@ruthmaina4973 Жыл бұрын
Much love from 🇰🇪lakini hukutimiza ahadi yako yakufanya tamasha
@salumsalumrobert Жыл бұрын
Kweli bro mtafutaji achok najisikia faraja sana kwa nyimbo zako na kijana wako mungu awatie nguvu endeleen kutubarik
@mrnickmusician7139 Жыл бұрын
hiyo kali sana mtumishi 🙏🙏🇰🇪🇰🇪
@supersymore Жыл бұрын
Napenda kazi Yako sana kaka Mungu akurehemu na atembee nawe Kila wakati unapopeperusha pendela ya YESU .. from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@Kennymwesh718 Жыл бұрын
Nice one you nailed it again... Wapi likes
@NeyrarichMbeleselo-ow9zz Жыл бұрын
Kweli bhana mtafutaji hachoki mbarikiwe na mungu🙏🙏🙏💃💃💝
@jdsanty4304 Жыл бұрын
Nice song may God continue to use you to spread the gospel kweli mtafutaji hachoki na ukichoka inamaana Usha pata thanks you bro for the good message
@alexmusyoka6689 Жыл бұрын
A good song bro barikiweni sana keep it up mm ni shabiki wa nyimbi za mtoto yohana naipenda nyimbo zake sana
@faithlogos9272 Жыл бұрын
Amina🙏,, like father like son,, barikiwa sana watumishi🙏👌👌
@jamesmusembi9987 Жыл бұрын
Wimbo mzuri,barikiwa sana ndugu,, Mungu akuinue zaidi
@Miriamasosi-yk3ie Жыл бұрын
Never give up I know one everything will be fine . much love you ❤❤❤ from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@rebeccamaunde4085 Жыл бұрын
Kweli kabisa mtafutaji ajoki kutafuta powerful song thanks alot
@eunicejelagat-uq5ld Жыл бұрын
God is God of every body,I honour Him for choosing you bro to bring changes in my Life na nakufatilia pamba to pamba, day and night, much love to your entire family,be blessed
@nicole5766 Жыл бұрын
Kazi nzuri hogera 🙏 ,Kenya tunakubali kazi yako sana
@raybellzbraxy1711 Жыл бұрын
I like it my brother Yohana.God bless you🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@ruthmurunga8113 Жыл бұрын
Kweli kabisa,,,, BARIKIWA 🙏❤️🇰🇪
@meshackamani2936 Жыл бұрын
Wimbo mzuri kaka antony...🇰🇪 kenya love your ministry yohana
@nickyboiboitumo3345 Жыл бұрын
Barikiwa sana kwely mtafutaji hachoki💕💕💕
@Sebastian20007 Жыл бұрын
❤🙏🙏❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 keep it up guys mungu awabariki and we'll come kenya
@cynthiamk-vp6nd Жыл бұрын
Amina 🙏yohana na babake ogera🙌🙌
@antoninaawuor6120 Жыл бұрын
Wimbo tamu sana mungu akubariki sana yohana Amen 🙏 Amen God bless you
Kweli kabisa, barikiweni sana kwa maneno ya kutia moyo
@Deyy7372 Жыл бұрын
Well done Yohana you always do it God bless you and your family in the name of Jesus
@kabwechongo5174 Жыл бұрын
On a serious note Anthony you may be young but what is in you is very big,I started following you from your Genesis and all that i see is greatnes and God in you.. you have seen nothing and you have not moved yet,,nations are very eager to see you,much love from kabwe chongo all the way from lusaka.
@lornahindieki5573 Жыл бұрын
Much love From 🇰🇪 u'r song gives me hope in my life God bless you
@machimbohenry9006 Жыл бұрын
Ehh,,, like dad like son,,, be blessed antony👏👏👏
@brendah-qc8gw Жыл бұрын
Nice song,, barikiwa ndugu yangu from kenya
@REAGANkelvins Жыл бұрын
🇰🇪🇰🇪🇰🇪 🥰 🥰 wabarikiwa twawapenda kenya
@raphaelsimiyu987 Жыл бұрын
Ameeeeeeeeen keep it up, I have learn alot from this son .
@IreneMwamlima11 ай бұрын
Hakika mda mwingne tunadharauliwa sana bwana akiamua kujbu anajibu kwa wakati