Yombo upo vizuri kwanzia lugha kila k2 watoto wao madaftari mtandaoni watu wanzima nakubali kazi zako
@haridimanika61939 ай бұрын
P P
@CosimasEdward-o9o8 ай бұрын
🤜🤜
@oscarcharles96247 ай бұрын
kazi nzuri kwa yombo wtt waangalie katuni hskuna matusi hspo❤❤
@KelvinJimmy-x2zАй бұрын
Aisee sio kwa matusi haya😅😅😅
@CharlesMwakibaya6 ай бұрын
Tunakupenda sana yombo ila lugha za matus punguz
@marykomba2112Ай бұрын
Akati hizo ndo zinachekesha
@bulugubujashi637810 ай бұрын
Nilikuwa nimesuscribe lakini sio kwamatangazo yaaina moja Kila Bada ya dakika tano dah
@NirereGloria-f9d2 ай бұрын
yombo napenda sana video zako
@CintaDeco10 ай бұрын
Noma sana nimeikubali kaz bigup sana yombo
@ZawadiMartine10 ай бұрын
Lugha za matusi zimekuwa nyingi sana yaan zinaboa neno moja tusi neno tusi tunachoka inaboa lekebisha kauli yaani ukimpa mtoto atazame siku mbili anaanza kujifunza matusi yombo video zako nzuri sana story nzuri ila ondoa viluga luga vya matusi
@khatibali-g6w10 ай бұрын
wachawi poleni
@nurumasha10 ай бұрын
Umeongea point mana mtu anapoona maudhui ya katuni/ vibonzo kinachomjia akilini ni kucheka lkn kwa Yombo ni kicheko na tusi
@johnsonwambua893710 ай бұрын
❤ Ed😅😅😅😅o❤❤
@IsaacSinzoyiheba10 ай бұрын
@@johnsonwambua8937 wap ni ongo
@mnyamapaslee10 ай бұрын
Watoto hawatumiyi sim
@TumainWiliam-d2z17 күн бұрын
Mister yombo wewe ni baraaaaa
@JescaMateseko8 ай бұрын
Aaaaah punguza ukali WA maneno❤❤
@JenipherSaidi3 ай бұрын
Yombo matusi kdg tunakupenda❤💞
@UwezoNkab8 күн бұрын
Combo We Noma Hayo Maneno Unayatoa Wapi Msukuma Wewe
@kellenomar13742 ай бұрын
hurry kwa yombo lakini punguza matusi eh!
@kellenomar13742 ай бұрын
matusi punguza yombo!
@jaymapepefatma593611 ай бұрын
Wewe unapost iviivi kila siku haaaaa😂 umefulia yombo. From Moçambique 🇲🇿🇲🇿
@TithoGeorge-r2x2 ай бұрын
Saf sana mkali yombo
@Jeremia-uh4ny5 ай бұрын
Jamani yombu mungu akusamehe kwa matusi
@Alhajishabani-u8z9 ай бұрын
Yombo noma sana
@sharifamahamudu18211 ай бұрын
Mfanya kazi mumepata 😂😂😂😂😂😂 yombo
@ruwaydaversi982511 ай бұрын
Tupe season 2 yombo we nomaaaaaa
@movemdawote10 ай бұрын
umetisha yombo
@GodfreyElias-f5rАй бұрын
Yombo😂😂😂😂
@lucymrosso69307 ай бұрын
Matusi mengi
@salsashmomy11 ай бұрын
Hahaha😂😂😂😂mama mchawi hii namba nyengne 😅😅😅ila yombo
@ElishaSilas-d9gАй бұрын
Yombo unatuvunja mbavuwatazamaji wako
@FARIDAOMARYKALUNDA2 ай бұрын
Kweri rekebishisha kauri
@FelistaAllyАй бұрын
Upovizuri❤
@GodfreyElias-f5rАй бұрын
Yombo. Video zako
@TATUIBOMO2 ай бұрын
Yomboo unakosha watu balaa mm piaa msukuma natengeneza kacha ntangaziee biashara angu
@AbdulMakobero9 ай бұрын
😂yombo bhana😂😂😂kiboko
@sumbirigitv622611 ай бұрын
Wakwanza 🔥
@ShadiaSelemani-e4b2 ай бұрын
Ikopw sana
@AlainKufi6 ай бұрын
Ce super moment 😂🎉
@FloridaDemetrus4 ай бұрын
Yombo wenoma haujakosea
@BadoneortanbulsАй бұрын
Weeyemwenyewe musumbufu
@imranulotu876811 ай бұрын
😂😂😂yombo wewe unajua hamna mpinzan ila tunaomba uweke na sauti ya eliud samwel
Et wanasema matusi wakati yanapiga picha vitovu nje .mbna hamusemagi kiufup i ukiona matusi na matangazo mengi usiangalie
@Funnymemesandcartoons10 ай бұрын
Utakula ndo uliwe ama uliwe ndo utakula 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@FelidaEnockiАй бұрын
😂
@MwinyiBabu-ft1bk5 ай бұрын
Mm binafsi sijaona matusi kwasababu kama ni UTI zipo kama ni gono lipo napia kama ni ukimwi upo sasa matusi yako wap ok tuachane na yombo twende bongo freva wana wake wapo uchi kabisa yana huwez kuanga lia mbele ya mama wala dada wala mtoto je yup tumkosoe???
@SalimSalim-u3x3 ай бұрын
Hizi sio za watoto saw
@JohnChitalu-g2h11 ай бұрын
Yombo❤❤❤❤🎉
@AliShabani-p7w10 ай бұрын
Safi yombo
@MakameSilima-o5v8 ай бұрын
Ikobomba kinoma
@leticiamgunda284111 ай бұрын
yombo❤❤🎉🎉🇹🇿🥰😉💗
@ZakariaDeemay-us8wz5 ай бұрын
Ukali wa maneno
@HadijaJohn-lx4ve11 ай бұрын
Matangazo Hadi kero
@StaramahleMathe4 ай бұрын
Hakuna lugha za matusi jamani
@leticiamgunda284111 ай бұрын
yombo😂😂
@oscarcharles96247 ай бұрын
acha tu matangazo bwana yombo
@BJKSus-v8z10 ай бұрын
😂😂😂😂 Yombo
@damariskimeu493010 ай бұрын
❤❤❤❤❤yombo ❤❤❤❤
@charlesmheni289310 ай бұрын
Fanyeni kazi
@farhannahomary550511 ай бұрын
Unakera kila mda tangazo unavoa
@anjibithemarealleandethan55802 ай бұрын
😅😅😅
@namanamalu26569 ай бұрын
AFU HIZI NGUO KAMA UPO JELA 🤣🤣🤣
@husnaaliy159510 ай бұрын
Yombo matangazo puguzsamengi sana
@uguniquegerald463710 ай бұрын
Lakini ijahisha 😂😂
@asifiwerichard88879 ай бұрын
Kama rahisi fanyeni nanyie Achenimajungu watanzania maana izo bongo freva mwaona mwazitazama inamaana uchi za amuoni au nibora kuliko kauli za yombo ? Achen ujinga