"MIMI NI YULE YULE" was shot by director RES JUNIOR under (RES PRODUCTON Audio Produced By P THE AFRICAN (TRUEHOPE RECORDS) FOR CONT: Director Res jr: +255659595908 Truehope Rec +255714338081
Пікірлер: 253
@jerubetjoan203 ай бұрын
Wangapi tulikataliwa after kuzalishwa but God has used our story for His glory 🙏🙏
@jjm45833 ай бұрын
Amina sana kama na wewe unaimani hawata amin like apa🙏🏻🙏🏻
@JoelIrankunda-hs4xq3 ай бұрын
yona nafalijika sana nikisikiliza nyimbo zako zote
@kevoogolden69223 ай бұрын
Be blessed my home brother, nice song. Una kitu kaka utafika mbali sana kuwa karibu na Mungu tu uone baraka zake
@alexinahkwamboka53383 ай бұрын
Amen Amen Amen 🙏🙏nyimbo sako sinanibariki sana mungu akubariki sana 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@MESHACKMAKAMBA-cv8ol3 ай бұрын
Mung akuinue nataman tufanye korable naomi mi meimbaj wa injili nimetoa video ina siku1
@SallyChepkosgei3 ай бұрын
Wimbo nzuri sana unatia moyo
@BeatriceGodsoni3 ай бұрын
Mungu azidi kukupa kibali ,ubarikiwe sanaaaa
@leonardernest85283 ай бұрын
Nyimbo nzuri Sana nimeipenda
@user-vm6tm1lo9l3 ай бұрын
Kazi zako ni nzuri cn mungu akubark.
@user-oc1zl2gs2m3 ай бұрын
Nice song Mr Yona,, matui tunabarikiwa sana
@danielkivyu75713 ай бұрын
Mimi ni yule yule, Feeling blessed from Kenya
@Janetka32653 ай бұрын
Glory to Jehovah Yahweh video iko Amazing man of God kibali Yako inga're milele 💖
@yonachiloloofficial3 ай бұрын
Ameen
@DanielErasto-jd9ui3 ай бұрын
Mule mule kwenye maisha yetu ,, song ,, barikiwa sana
@yonachiloloofficial3 ай бұрын
Amen
@mugisaweb8960Ай бұрын
@@yonachiloloofficial amen kwainyi mungu. Akubariki sana
@Mercy-fn7ou3 ай бұрын
Barikiwa na mungu akuogezee kipaji
@kevy2543 ай бұрын
Wow tamu sana mkuu, kazi nzuri
@kenyapulsetv3 ай бұрын
Wimbo mzuri nakuskiza kutoka. +254🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@yonachiloloofficial3 ай бұрын
🎉🎉🎉
@jacklinewanjiru94293 ай бұрын
Wow nice song 🇰🇪🇰🇪
@linehgab96503 ай бұрын
My favourite artist......shabiki all the way from Kenya tunakupenda❤🎉zamu yangu🙏🙏🙏
@yonachiloloofficial3 ай бұрын
Barikiwa sana
@kanjolenicho3 ай бұрын
Nipitie lineh
@florencenekesa82433 ай бұрын
TikTok imenileta hapa,this song is more 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@yonachiloloofficial3 ай бұрын
❤❤❤❤
@m.m.tvmbebamaono3 ай бұрын
Bariki wa sana
@user-qj4zs2ho8z3 ай бұрын
Wimbo mtamu wenye upako sana.
@user-rv7nm5ep4p3 ай бұрын
Mungu akuinue Zaid ya hapo.
@Eliaskaidis3 ай бұрын
Ni kweli kabisa ndugu wangu haina rahisi🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@EDETRAUDHUNGU3 ай бұрын
ubarikiwe Sana mtumishi wa mungu
@charlesjacksontz2673 ай бұрын
Ubarikiwe sana kamanda wangu
@RonahMoraa-kz2mo3 ай бұрын
Mtumishi nyimbo zako hua sinanibariki sana,na kufanya imani yangu kukua zaidi,mungu aendelee kusimama na wewe kila wakati
@yonachiloloofficial3 ай бұрын
Ameen
@raphaeljohn45443 ай бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi
@MerianiJackson3 ай бұрын
Barikiwa❤❤❤
@glorysungura318028 күн бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa MUNGU. Kwa nyimbo zako ninalia kwa furaha. Zinaniimarisha na kunipa nguvu ya kusonga mbele. Nakupenda kaka kwa huduma yako.
@user-po4jx2dl9x3 ай бұрын
Nyimbo zako nazipenda sna, zinamaana kubwa sna❤❤
@yonachiloloofficial3 ай бұрын
Asante sana
@samsonKioko-yi5gf3 ай бұрын
Barikiwa sana chilolo na mungu azidi kukuinua
@yonachiloloofficial3 ай бұрын
Ameen
@jovettedenise25913 ай бұрын
Barikiwa sana wimbo wangu kabisa natamani niwuyimbe na wewe🎉🎉🎉🎉
@yonachiloloofficial3 ай бұрын
Karibu sana
@AgnesNyivaTV3 ай бұрын
Kweli ni Mimi yule yule♥️ powerful song
@yonachiloloofficial3 ай бұрын
Ameen
@HenryLazalo3 ай бұрын
kazi nzr sana
@OlipaDaglass3 ай бұрын
Barikiwa sana
@AlexKedmon3 ай бұрын
Hongera Sana Wimbo video umetishaa
@yonachiloloofficial3 ай бұрын
Asante sana
@euniceayuma3 ай бұрын
Nice song ubarikiwe 💥🙏
@user-lq4mq7rz6h3 ай бұрын
Mtumishi wa Mungu Yona Kazi yako ni njema Mungu akutunze tu. Uinuliwe viwango vya juu vya baraka.
@yonachiloloofficial3 ай бұрын
Ameen
@wilickomweri26403 ай бұрын
Barikiwa sana kaka
@user-ez2bm9yi2l2 ай бұрын
Hakuna wa kupishana na mm karibu na nyimbo zako muungwana mtumshi. Chilolo ... Muujiza , zamu yangu😂😂 the real musician kulinganisha maisha tunyoishi na maisha ya wokovu.
@m.m.tvmbebamaono3 ай бұрын
Hongera sana mr ww unajua kutunga nyimbo , Safi sana sasa umebadili miondoko Hii nyimbo inatia moyo sana
@yonachiloloofficial3 ай бұрын
Ameen
@adsonwere49303 ай бұрын
Oooh My God...Kenyans we love you Yonah🎉🎉
@yonachiloloofficial3 ай бұрын
Thanks so much
@PiusMganule-kl6mg3 ай бұрын
uko vzur mwanike wa ukaya
@yonachiloloofficial3 ай бұрын
Sante sana
@user-jk4mi1uk5w3 ай бұрын
Wimbo wa kutia moyo.....ubarikiwe sana mtumishi wa mungu🙏
@yonachiloloofficial3 ай бұрын
Ameen
@mauricecheptogoch96893 ай бұрын
Ubarikiwe Sana kaka
@siscomelodies3 ай бұрын
Yona Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu
@yonachiloloofficial3 ай бұрын
Ameen
@tiana22483 ай бұрын
Eishhhhh waaaaaw amazing man of God.
@yonachiloloofficial3 ай бұрын
Ameen
@LimiSilanga-uk3gd2 ай бұрын
Wimbo mzuri . Sana Mungu azidi kukuinua zaidi
@korneliokangai50683 ай бұрын
Mungu akuinue zaidi na zaidi.God bless you brother 🙏
@yonachiloloofficial3 ай бұрын
Ameen
@YoungsHilary-xd2ml3 ай бұрын
Barikiwa
@junithamwasile57383 ай бұрын
Kwakweli nabarikiwa
@FaithKitonyi-ci2xg3 ай бұрын
Wimbo mzuri sana mtumishi, listening from Kenya ❤❤❤
@WilsonKivuvo3 ай бұрын
My brother am the first one to watch this shout out to me,,,
@yonachiloloofficial3 ай бұрын
God bless you
@rizikisilau95013 ай бұрын
Endelea na Mungu kaka kaz zako ninzur sana
@yonachiloloofficial3 ай бұрын
Asante sana
@finaakula29793 ай бұрын
Mungu akuinue
@jacquie329Ай бұрын
Hallelujah ni mimi mwenyewe hapana hamchakosea❤❤❤❤❤❤❤
@Sarambikiofficial3 ай бұрын
Nyimbo zako ni za baraka ndani ya maisha yangu. Ubarikiwe sana chilolo🙏🙏 Mimi ni yule yule tu🙏🙏
@yonachiloloofficial3 ай бұрын
Ameen
@kanjolenicho3 ай бұрын
Nipitie sarah
@martinngowa90713 ай бұрын
Tunakupenda sana 🥰🥰 chilolo Nice 👍👍👍 songs 🎧🎶🎶🔈🎧
@yonachiloloofficial3 ай бұрын
Asante sana
@suzanwambua39263 ай бұрын
kweli ni mimi yule tu
@OfficiallPackii3 ай бұрын
Najiona ndani😂kaz nzr
@yonachiloloofficial3 ай бұрын
😂😂😂😂 Tisha mdogo wangu
@Shadrackbb3 ай бұрын
Barikiwa kaka mungu akuzidishie baraka na viwango vyako
@yonachiloloofficial3 ай бұрын
Ameen
@neemasilayo3 ай бұрын
🎉🎉🎉❤ barikiwa
@tonnynewton2543 ай бұрын
all the way from kenya i listen to chilolo daily
@yonachiloloofficial3 ай бұрын
Ameen
@mhenitv3 ай бұрын
Naam ,,,ubarikiwe sana kwa wimbo wenye baraka
@JaneAtieno-sh6vd22 күн бұрын
Kwa kweli napenda gospel ya wa tanzania,huniridhisha kiroho🙏
@DIVINAH5533 ай бұрын
My favorite artist 🎉🎉🎉🎉 keep going you're blessed soul
@yonachiloloofficial3 ай бұрын
Ameen
@kanjolenicho3 ай бұрын
Pitia
@AyubuFumbi3 ай бұрын
safi kaka mbele wew nyuma sisi tunafata nyayo zako
@yonachiloloofficial3 ай бұрын
Mbarikiwe sana
@user-zw9yz6wz8d3 ай бұрын
Hongera Sana Kaka pigana naamin upo vzuri sana kwenye hii game
@paulinjohn18192 ай бұрын
Amina wimbo mzr sanaa Mtumishi wa Barikiwa sana
@israelkisaila84013 ай бұрын
Utafika mbali sana endelea kunyenyekea kwa Mungu
@yonachiloloofficial3 ай бұрын
Ameen
@JulianaMeliyo3 ай бұрын
Ubarikiwe
@user-nn1wf3jh7q3 ай бұрын
Wimbo mstaarabu na ujumbe mzito❤❤
@Eliaskaidis3 ай бұрын
Amen mutumichi wa mungu akubariki San brother
@yonachiloloofficial3 ай бұрын
Ameen
@user-ez2bm9yi2l2 ай бұрын
This man shilolo.,, personal message from me , uko lit ❤❤❤ the real man . Keep pushing kwani Kuna nini. Powerful voice,... You can imagine personally I will listen to your songs as many times as I can .. ❤❤❤❤
@BizimanaDavid-up4gh3 ай бұрын
Ongela Sana bwana Yona mungu akubari sana iyi nyimbo imenifukagisha 🇿🇲🇿🇲🇿🇲 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@yonachiloloofficial3 ай бұрын
Asante sana
@GODIGADRODY3 ай бұрын
Barikiwa sn kk
@user-vq7tp6ku8y3 ай бұрын
Nyimbo zko hunitia nguvu wakati nko chini,be blessed
@yonachiloloofficial3 ай бұрын
Ameen
@anitalumumba54433 ай бұрын
Mungu azidi kukuinua mtumishi
@yonachiloloofficial3 ай бұрын
Ameen
@samwelieliya3 ай бұрын
Mtumishi wewe umeitwa kweli nabarikiwa sana❤❤❤
@yonachiloloofficial3 ай бұрын
Ameen
@nancyshikuku-vs9le3 ай бұрын
Hallelujah hallelujah ameeen my God bless you bro 💃💃💃💃💃💃💃
@yonachiloloofficial3 ай бұрын
Ameen
@MauryneAshiali2 ай бұрын
Our boy has done it again 💃💃 much love from. 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@StanleyMbawala3 ай бұрын
Kweri ndo wewe name boda boda
@evelinemgego3 ай бұрын
🔥🔥🔥nimekua wa kwanza leo
@yonachiloloofficial3 ай бұрын
🥰
@kanjolenicho3 ай бұрын
Nipitie bro
@Fabianfideltz3 ай бұрын
Kaz nzr sana 🎉🎉
@drmathsstepbystep70803 ай бұрын
This is not a talent it is a relationship with God that brings such kind of intellectual wisdom to pen a song
@yonachiloloofficial3 ай бұрын
Ameen 🙏🙏🙏🙏
@kambagal2 ай бұрын
Nany mwingine ameskiza zaidi ya mara moja❤❤
@josphatchomba46882 ай бұрын
Amen wimbo wako uko sawa mungu akuonejanie
@CatherineYegon27 күн бұрын
Amen 🙏 🙏 mungu azidi kukuinua
@johnsonChaeka-kv4tjАй бұрын
Jmn guys watu wa Mungu,Bible inasema wamtafutao kwa bidii hao ndio watakao muona,hvyo bs siku ukiend mbingun ukiona Yona chilolo humuon change direction kimbiaa umekosea njia umeenda jehanamu ... alama y kwanza ya kujua upo mahal sahihi lazima utamuona brother yona zingatien maelekezooo
@boniface43243 ай бұрын
Neema isiwapungukie walio kwa process.dhahabu lazima