Usiogope miye siwezi kupunguzia mwendo kaza sasa Safari iko ngumu
@alnesskalinga67692 жыл бұрын
Mungu akubariki sana kaka kwa kaz nzuriunayoifanya
@christinekisika9745 Жыл бұрын
Amen 🙏 🙏
@isaacwafula32572 жыл бұрын
bro hiyo wimbo rundi kwa hiyo studio uwekewe sauti aki hakuna sauti but nikama ni poa sana
@pettybrown26552 жыл бұрын
Kweli Kwa yesu Kuna Raha
@KarenKetura Жыл бұрын
Nikifika hapa kitu ya kwanza kuona ni nyimbo zako nimebarikiwa una talanta nzuri sana Mungu akushikilie hadi utimize ndoto zako barikiwa sana ❤
@pettybrown26552 жыл бұрын
Kai ongera sana Brother Chilolo hakika nyimbo zako Sina mafunzo mahadili 👏
@veronicajohn1689 Жыл бұрын
❤❤❤ Barikiwa sana kazi Yako njema mno kiongozi
@ruth-lb4qf2 жыл бұрын
Powerful bro
@methodiakyelanga2545 Жыл бұрын
Rjea = Rejea nyimbo za madhabahu, km unayo nia ya kumuimbia aliyekuumba, na sio mradi kuimba ili uwafurahishe watu.
@judithokido3043 Жыл бұрын
😍😍😍 usinipunguzie mwendo very powerful
@simonwanyonyi1287 Жыл бұрын
Hii ni kali ndugu yangu. More grace.
@floicemukoma99702 жыл бұрын
Amen Amen
@pamelaadagala69062 жыл бұрын
You are blessed bro
@floicemukoma99702 жыл бұрын
Good song
@GODIGADRODY9 ай бұрын
Gud job broo
@SahiaMsisiri10 ай бұрын
Hongera San mkagulu mwenzangu
@juliethcosmas4295 Жыл бұрын
MUNGU akusmamie nataman ningekuwa mmoja wapo wa wachezaj wako
@BaktaEmanuel8 ай бұрын
Ubarikiwe na bwana
@nafulapam79962 жыл бұрын
I have watched this more than 100 times but I can't get tired,,, yaani 🔥🔥🔥🔥🔥
@lilianagana4200 Жыл бұрын
I love this song.😍🥰
@BarakaOsward-nf4dj Жыл бұрын
Hongera mungu akuinue
@RosemaryNyambura-qd9kf Жыл бұрын
Wah! Kali sana
@methodiakyelanga2545 Жыл бұрын
Unatunga vizuri , ila kuwa makini na huo uchezaji usije kukushusha kiwango. Usibweteke na sifa unazopewa mtandaoni, wengine baadhi ni wachezaji wa nyimbo za duniani tu. Ambapo nyimbo za Injili shart ziimbwe ktk utulivu ili kugusa mioyo ya watu na sio misisimko tu. Huo ndo ushauri wangu kwako. Jiwekee kiasi cha uchezaji ukifahamu unamuimbia YESU KRISTO aliye mtulivu, rjea nyimbo za madhabahu.
@harunimkumbo94002 жыл бұрын
Usinipunguzie mwendo kabisa
@brigitharmacha49912 жыл бұрын
From🇹🇿to👉🏿🇴🇲I'm so blessed when I listen your songs 💟💟💟💟
@medinahsamita39812 жыл бұрын
I placed from Kenya 🇰🇪
@isaacwafula32572 жыл бұрын
ni good song but Haina sauti please rekepisha hapo tunaona picha tu watu waki cheza iko silent
@yonachiloloofficial2 жыл бұрын
Imekaa sasa
@olivermwakanyaga78712 жыл бұрын
Mama ni mama
@SarafinaJMapas4 жыл бұрын
Amina mtumishi
@HabilyTech4 жыл бұрын
Goma la kuruka na Yesuuuuu
@yonachiloloofficial4 жыл бұрын
Hatare + fireee
@joyceabdalah79334 жыл бұрын
Ubarikiwe Sana bro
@yonachiloloofficial4 жыл бұрын
Ameen
@officialreimz32864 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥Safi sanaaaaaaaaaaa
@chonekeboy61244 жыл бұрын
Safi👏👏👏
@yonachiloloofficial4 жыл бұрын
Asante sanaaa
@dinaclement45414 жыл бұрын
Mungu akubariki Yonah na akuinue juu zaidi
@alexpariti60004 жыл бұрын
Aisee kwer hata mimi namkubari sana mungu akuinue juu zaidi kaka angu
@armanyabdallaofficial71104 жыл бұрын
Powerful
@florencendatila91834 жыл бұрын
Go! GO! BROOO 🙌
@yonachiloloofficial4 жыл бұрын
Thanks bigg sis
@givenmbilinyi68394 жыл бұрын
Adorable 😊
@gib38882 жыл бұрын
💃💃amen 🙏
@nurumkonongo87774 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu akupe nguvu zaidi
@judithmutua52314 жыл бұрын
Barikiwa sana
@yonachiloloofficial4 жыл бұрын
Ameen
@bennysanga91804 жыл бұрын
Asante sana Yona kazi yako ni njema sana (Usinipunguzie mwendo nisipokuambia)