Si lazima mtu aombewe,kama hataki si unaachana nayo??
@rachealnkatha52026 ай бұрын
Wacheni ku judge mtumizi wa mungu...kama sio wa ukweli wacha mungu mwenyewe amukumu.yes kuna waongo sikatai.
@lucykurii80696 ай бұрын
So mnataka Jay alete waganga ndio mfurahie. Si mlete mwenye mnajua aiii
@winnykyeva48836 ай бұрын
Dr Jay,as much we wish this family to be delivered and unity again. Spiritual war ain't a easy thing. Imagine the war is not as easy as this pastor seems to deal with it. Wisdom should be applied here.
@megaumojakitchen15996 ай бұрын
Jay!, huyo pastor I doubt! Hata wewe usikubali kuwekelewa mikono ovyo ovyo!
@julietnelima32536 ай бұрын
PLEASE MAMA DERICK GO TO HEAVEN'S GATE YOU FAST FOR THREE DAYS PLEASE
@charleskiplagat55376 ай бұрын
Hard for me to trust pastors ....very tricky
@annitahnjoki25456 ай бұрын
Me too,am starting to think that he's thinking of the money he can get from governor na joy
@florenceatambo25796 ай бұрын
Alfoga ako na mama pastor mzuri sana,jay pls ongea na Alfoga akusaidie wanaume ni kusaidina bana.
@jazshery10676 ай бұрын
Huyo pastor mama Ako sawa
@Omobasitv26 ай бұрын
Wengine wenu amjielewi
@LeahWaithira-oy7fk6 ай бұрын
Kila saa pastor pastor pastor simulete ule mzuri ama mnyamaze
@maggiekanorio49056 ай бұрын
Alikataa mwenye tulimwambilia
@Rachel-j2b6 ай бұрын
The moment he started taking money from the building,touching Joy, I lost faith in him. You don’t have to touch anybody
@mae-k7s6 ай бұрын
Exactly
@jacklineadhiamboowino9646 ай бұрын
Vita kama hizi zinahitaji prayer and fasting for God to give directions cause the devil came to kill steal and to destroy.
@GeorgeAyieye6 ай бұрын
Jackline i agree ☝️ with prayer and fasting i the solution
@LucyNjeri-vy1hc6 ай бұрын
Ukweli prayer and fasting
@JoyceWambui-jz6bh6 ай бұрын
Huyu pastor aliona Joy ni mrembo akaona amutouch which is very bad,,
@LeahWaithira-oy7fk6 ай бұрын
Nyinyi dio mnanjua wazuru na wabaya simulete wenu mzuri
@gladys56176 ай бұрын
Huyu pastor simuamini kabisa
@jacintamuinde6 ай бұрын
J plz jifunze kuoji roho.huyu pasi ni muongo na hakuna roho wa Mungu anamuongelesha hapo Joy ndio amemjua ni muongo tuu
@DorcusKimani-ii6jg6 ай бұрын
For once nakubaliana na master of master's Huyu pasy ata mimi kuna venye sijamwamini ni ngaindi tu Aliwatch vedios Atwabie Brenda yuko wapi
@jazshery10676 ай бұрын
Aliwatch video hta alisema
@gladyskagendo-ef6qr6 ай бұрын
Bythewei hiyo 50 shillings ilitoka wapi Jay...wah!!
@mumbisandtmann89316 ай бұрын
Ata mimi huyo Pastor nimekataa
@mumbisandtmann89316 ай бұрын
😂😂😂@@LucyNjeri-vy1hc
@LucyNjeri-vy1hc6 ай бұрын
@@mumbisandtmann8931 ako na kakala zake
@agnesmuthiani6 ай бұрын
😂😂😂😂,,governor anapenda ku bishana kweli, ,,
@SheilaLovega6 ай бұрын
Governor is the real master
@WaithiraLeah6 ай бұрын
Lakini pastor hakai muobezi strong sipedi mtu anahoji mtu do akuombee anaka tamaa
@florencenjambimukami74796 ай бұрын
Huyu pastor ni mkora pia mbona mara ya Kwanza kupatana na mama derric alimwambia mambo ya campain of which huyu ni gavana kibunafi sio WA wanaichi
@Stefribe36 ай бұрын
Hata magovernor wa makampuni kuna campaign.
@PhilesOngono6 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@johnkimani79446 ай бұрын
Fake "prophet"
@preciouschild12466 ай бұрын
Hakutabiri mambo ya campaign kuwa mpole
@Hanuni344-fb9cc6 ай бұрын
Alisema aliona mama Derick akisaidia bwanake kufanya campaign juu ya lorry
@HarrietMmoji6 ай бұрын
Pastor mwenye anakutafuta mambo kwa mdomo ndio apate cha kukwambia mm kwangu tawee mchungaji mzuri hata akiingia kabla salamu anafaa kuomba ndio salamu badaye kama unaniunga mkono pita na like❤
@ElizabethNyamai-me2id6 ай бұрын
Sibora hii jamii iwe pamoja ,na elewa wachungaji awafanani
@JoyceMugambi-s8g6 ай бұрын
Jay, uko na roho nzuri.. ni wewe tu unaweza ongea na huyu governor msikizane. God had a purpose of uniting you with this family. God bless you 🙏
@gracekamau82446 ай бұрын
Jay tell mama derrick 2 go 5 days fasting heavens gate 4 get everything God first don't include any pastor hapa nikujiombea jipeleke mbele ya mungu Don't trust anybody kwa hii vita yako wewe mwenyewe endelea kuomba umalize nguvu za shetani pia sisi kama mimi nakuombea mungu akupatie neema here mama derrick b wise.
@AishaOmaromar-w2t6 ай бұрын
Uyu pasta no jay umetukosea sana nahuyu pasta feki
@trazaalex26076 ай бұрын
Mkuwe makini na huyu pastor simwoni vizur akona kaukora
@ephantusweru68326 ай бұрын
This is a master of masters....
@margaretwambui67776 ай бұрын
Huyu pastor simuamini amewatch ii kipindi yote cjui bona dhamira yangu inamkataa
@graceg.g51996 ай бұрын
Aliwatch yote
@faithi72166 ай бұрын
why you ppls judge let God judge him not you human being we all the sins front from God
@mercywambui63926 ай бұрын
@@faithi7216this is a matter of common sense 😮 no one is judging
@beatricechepngeno70506 ай бұрын
@@faithi7216😅😊
@JuliahNjoki-oq1sk6 ай бұрын
Hapo mzee amesema kuna ma pastor wanakujanga na nyoka na kombe na mavitu mingi wanaweka kwa nyumba then wanasema Mungu anawaonyesha vitu kwa nyumba so ni vizuri pia kua careful sana ,,,unaweza leta mchungaji shida iongezeke zaidi na zaidi ,,,Mungu 2 atasaidia na tuwe na roho ya desernment kuwajua walioa wa Mungu na waliojituma,,,wengine wako na thrid eye watakwabia mqmbo yako yote ufikilie ni Mungu
@انوانجيكو6 ай бұрын
Governor is right but he want good pastor but not this
@floranjeru47046 ай бұрын
Am a follower of true k tv and this is the longest episode av followed dear lord keep this matter to rest jesus
@teresathumbi72836 ай бұрын
Pastor you need backups
@eunicemueni27196 ай бұрын
Jay umetuangusha kituletea pastor kama huyu..
@NoelynKash6 ай бұрын
I hope jay unasoma comment.my spirit imekataa huyu pastor.please...do something
@faithi72166 ай бұрын
Holy Ghost fire fire fire fire fire in Jesus name Amen
@evarlynejeptum39616 ай бұрын
Please jay musisahau mwangi and DCI please
@charitywangeci48466 ай бұрын
Jay next time usikubali kuekelewa mikono ovyo ovyo
@khadijaali11686 ай бұрын
Ila huyu pastor kwa kweli hapana😂😂😂😂😂😂uombaji wake mhhhh
@davidkindandi76316 ай бұрын
This story imekua series' haki inauma pia inabamba governor anajua vizuri wakora wachungaji but governor ulisha changanyikiwa hadi teacher mwenyewe arisema hujielewi governor
@jamesnkamau6 ай бұрын
Huyo siyo pastor Jay
@ebbyambwere94276 ай бұрын
Jay achana na maombi ya uongo utaharibu kazi yako
@mutesibetty-hd7xg6 ай бұрын
Come to Uganda 🇺🇬 jay with mama Derrick and her family even if you leave governor back miracles will happen in no time deliverance will be testified governor has demon 😈 and blood on his hands
@DorcasObonyo6 ай бұрын
Jay ask Alfoga classic to help u number ya pastor please she has alot of powers when praying
@teresiahnjeri54576 ай бұрын
Jay basi iwe hivi pengine wataki kuombewa n pastor mubaba fanyeni hivi iteni ule pastor alikua n Alfoga mama awaombee coz huyo niliona akitoa mapepo ikiwa imewekwa kw simo ,,n pia hatingizwi n mapepo ,,huyu anaweza anguswo n mapepo y governor,,please please please 🙏
@cyrusmuthini95146 ай бұрын
Jay check on your headlines ama Topics of the episodes coz haziendani,
@aln92256 ай бұрын
Jay unaambia mzee apatie nafasi mungu, kwani huyo munaita Passi ni Mungu? I wish you were encouraging Joy and her mom to supplicate directly to Jehovah God and his son Jesus Christ.
@joyfulcyber9036 ай бұрын
Brenda ako wapi?
@janetkirui38176 ай бұрын
For once Governor is right about the pastor. Why did he pretend that he had not heard of Kelly yet Jay had sent him videos.
@PamelaNjagi-g4z6 ай бұрын
Say it round
@reggiesmyth6 ай бұрын
Hii familia inaitaji my spiritual appostle sm tembeeni ATG headquarter uchumi house 3rd floor musilli mwenyewe or judge❤
@gabrielkipngetich44896 ай бұрын
Kwa saa hii let allow this pastor to at least aongeleshe mzee guys just because of mama Derick
@LeahNjeri-q1m6 ай бұрын
𝒫𝒾𝒶 𝓂𝓂 𝒽𝓊𝓎𝓊 𝓅𝒶𝓈𝓉𝒪𝓇 𝒶𝓅𝒶𝓃𝒶
@LilianWasike-jo7wr6 ай бұрын
Tunaamini itakuwa sawa
@anastasiamumbi7396 ай бұрын
Jay tafathari ukimaliza alafu kaa chini uone huyu mzee wakati ulisema huyo n pastor vile alipumua so hiyo n sign ya kusema hayuko peke yake
@jacintawachuru19996 ай бұрын
Kumbe uliona Kama mimi
@MillicentAdhiambo-u6u6 ай бұрын
Kando na jay...kuna mtu yeyote hapa anajua huyu pastor atuambie..
@preciouschild12466 ай бұрын
Mzee mpaka uokoke before 30th august
@mumbisandtmann89316 ай бұрын
Jay please use common sense ,we dont like supersition
@2011Fuad6 ай бұрын
Jay maoni jangu umefanya makosa sana govener ako sawa
@CharityWachira-zw9cf6 ай бұрын
Huyu pastor najua ataokota sadaka nono kutoka kwa mamaderick in the name of delivering.
@PhilesOngono6 ай бұрын
From the start I worn this pastor hataundwa😢😢😢
@nancykinya57686 ай бұрын
Jay ,jay kama mama anataka pastor wa ukweli please"tafuteni Revelation, wisdom ministry international Eldoret,huyo hana chachu wala hana mashwali ni nambii na ametumwa kuokowa walio potea .huyu pastor wako jay ???Kumbukuku la Torati 13 :1..10
@lucynjeri41836 ай бұрын
Hawa mapastor ndio Gen-z refused..Now I surppprt Joy and the Dad
@MatanJunior-ds6ny6 ай бұрын
Kama anajjiamini aende kwa hiyo room akaiyombee mashetani zitoke hapo ndio ntamutambua
@fidelisboit10996 ай бұрын
Huyu pastor noooooo mkora huyu sijui penye wametoana na Jay
@eunniekiriga49996 ай бұрын
Haiya, ask God before you mention you may argue with God without knowing
@Omobasitv26 ай бұрын
Ukiwa mkora wa kwanza
@YashkhanDae6 ай бұрын
Waulize pastor wapi christiani imesemekana ni Dini kwa Bibilia?......
@edwinkhans93366 ай бұрын
Governor wants to retain teacher maybe for future sacrifice😂
@monawambui80276 ай бұрын
Master of masters 👹👹👹
@janekeega14856 ай бұрын
John Kimani tuko pamoja sanaa pastor ako na "UKANYARI MWINGI SANa" Mama Derrik.do not entertain that pastor.He will worsen the situation. You are on the 11th our,why not believe that you have the power to intercede for your family. Remember,so many other sincere believers are praying for you.
@gracekamauthequeen68626 ай бұрын
Kwani JAY haedangi kanisa ama kuzoma bibilia.....ATA MAMA JOY NAONA ANAFURAHIA HUYU PASSY IS IT THAT POEPLE LUCK WISDOM...
@RuthKerubo-n3q6 ай бұрын
😢Joy na babake wanapendana Sana???? Nashuku hata joy ni ...mmoja..wa akina masters ATI anamtii na kumsikiza Sana joy kuliko yeyote kwa familia. Mimi nashuku Sana. Pliz tafakari haha!!!!!!
@beaticeMwani6 ай бұрын
Don't her pliz
@vigilancewambughamwaisaka52576 ай бұрын
😂😂😂atapigwà risasi
@syombuamaingi47846 ай бұрын
Jay...🙄 pastor wa kupapasa papasa ladies hapo 😮 the word of God says No, no 😅😅 First test the Spirits, says the Lord Jesus Christ. Please Jay, say No to magicians 🙏
@omanoman20446 ай бұрын
Huyu mzee n8 iluminat wao ndo hawajui
@MariyaOnzico6 ай бұрын
Na uwakukuna mapuwa just ukiwa awa away camera
@JemimahAkoth-m1y6 ай бұрын
Hawa watu wanasema negative kwa pastor,c mlete pastor wenu basi,mlikuwa wapi,acha ang'ang'ane ju hata nyinyi mnajua gavanor c mtu mzuri so anaitaji utaratibu mpeni mda bana
@Victor-dh9xm6 ай бұрын
Next mlete kachungwa kake kawake moto
@NiphaNipha-b3b6 ай бұрын
Jey ambia pastor aweke namba yake ata mm nina mhitaji aniombee
@joycerono47416 ай бұрын
Pastor Ezekiel
@Esther-xk7ms6 ай бұрын
This pastor please he was knowing the story of the family because j was telling him about what was happening when he arrived to j office just opinion
@mae-k7s6 ай бұрын
Yes
@hopekosgei74086 ай бұрын
That was expected of him,
@patientlazaro69306 ай бұрын
Governor accept Jesus
@fransiscaMuoti6 ай бұрын
Yeah spiritually risasi nayo atapigwa Kuna pastor nasikia anaitwa sijui prince !!?
@lucynjeri41836 ай бұрын
Maneno ya huyu pastor hapana Jay hapo hapana .
@mawondonelly52836 ай бұрын
If he is real pastor hawezi sema hizo vitu zote Jay.... he is to reconcile sio kufanya people to hate each other....
@faithonuoshonuonga9866 ай бұрын
Apo mzee anajuwa vile wanapeanga mapastor wanaendaga kuchukuwa nguvu za ngiza so sikuhizi atuamini pastor wote
@kabulaimmaculate30106 ай бұрын
Hawataki kukumaliza Mzee labda kumaliza kila nguvu na mapepo ya shetani yenye yanatawala katika mazingira yako na wewe mwenyewe.
@neemahassan5796 ай бұрын
Mzee ataki kujulikana mambo yake
@graceg.g51996 ай бұрын
Jay gavana anataka ajue kanisa ya pasi atume goons
@MargaretWangui-v2i6 ай бұрын
Kama ni pastor prince no arguing there angekua asamaliza hizo mambo sote
@fathima76176 ай бұрын
HUYU mchunganji NI ule feck jay mwenye anatomy UCHAWI KWA office NI MUONGO baba
@maggy26006 ай бұрын
Jay huyu hawezi kubali kuombewa sababu anajua tabia zake yeye nimuuaje so hamngemuita pastor angeomba kiviake
@graceg.g51996 ай бұрын
Tuliexpect that
@PamelaNjagi-g4z6 ай бұрын
No spriti is spoking to huyu paster jay changamka bwana b4 it too late huyo pasi anataka hela remember the video you've been sending to him na pia hiyo 50bob nashuku yeye ndie aliiweka hapo weka cctv
@brianoluma5416 ай бұрын
Guy, work on your sound man
@kabulaimmaculate30106 ай бұрын
Na makanisa nayo hati huyu mzee ni church elder,au nilisikia vibaya!
@nashryans77276 ай бұрын
Ni elder na nini ni chairlady wa kanisa
@kabulaimmaculate30106 ай бұрын
Mwenye haamini maombi,i mean do they really pray in their church? Nashangaa tu,a Christian who doesn't believe in prayer!🤔@@nashryans7727
@FredMhango-zj7gz6 ай бұрын
Hivi hii ni igizo?
@gracekamauthequeen68626 ай бұрын
Naunga mkono baba Joy ata kaa tunamkemea,kusema pastor alipata 50 bob sikumanisha ni pastar wa ukweli Jay...either wee Jay pia hujui Mambo ya Mungu....hakuna vile pastor atakwabia ati umewkewa kitu sijui anaona....JAY,JAY...Please be brave...Stop hii story ya pastor tymewazoea.....
@damarisnjerunjeru3996 ай бұрын
Huyu pastor rada yake si poa
@eunicemwongeli90666 ай бұрын
Jay uliekea pastor clips zote anajua Kila step so m kwangu kutoka mwanzo roho ilimkataa huyu pastor jay b careful hyu mzee anaexa Fanya chochote hayuko Kwa senses zake gashugwa nto remote yake anamcontroll