Hongereni Sana Sana wanakwaya ya uvuke,Kwa uimbaji mzuri Sana wa viwango vya juu,tunzi za nyimbo zilizokomaa,ujumbe wa nyimbo na vyombo vilivyopangiliwa vyema,hakika nimeipenda Sana hii kwaya,naombeni nafasi ya Mimi Kua mwanakwaya hapo,Mungu wa Mbinguni awabariki Sana.
@BarakaMazengo-v9y Жыл бұрын
Uvuke kwaya nawakubali kazi nzuli from chalinze nyama nazareth kwaya dct chalinze nyama❤❤❤
@giriadbirusha70062 жыл бұрын
Kila nikiwaona naendelea kupata furaha ya moyoni. Yesu Amefufuka kweli kweli haleluya !
@victoramwamumusic56092 жыл бұрын
Kazi nzuri
@janejaphet30402 жыл бұрын
Nawapendaa Mungu zaidi kuwasimamia
@upendokasubi2322 жыл бұрын
Yuko hai Sasa mwokozi wetu Yesu alieteswa hata akafa msalabanii Nguvu za Giza zimeshindwa na Sasa tuko huru....
@kedmondjuma99472 жыл бұрын
Mpiga guitar la bass ananikosha 😍
@ChriscoMikindaniMSA2 жыл бұрын
Jamani sina la kusema Ila kulshukuru Mungu . Bernard Kima niwa Mombasa Kenya
@josiahmbamilwa22322 жыл бұрын
Woooh thanks rafiki yetu wa Kenya’s
@vocalizertz68682 жыл бұрын
Dah Ameeeeeen
@josiahmbamilwa22322 жыл бұрын
Amen ahsante mtumishi
@judithmakuto36122 жыл бұрын
Hallelujah
@HavyariObedy11 ай бұрын
❤❤❤❤ Asanteni
@masslubelej26372 жыл бұрын
😍😍😍
@tabearassian Жыл бұрын
Nimewamis sana nyie watu nawapenda sana
@damsonmsalangi3900 Жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿
@beatriceisack531711 ай бұрын
Hakika yuko hai kwaajiri yetu
@walawioutreach40552 жыл бұрын
NAWAPONGEZA,WALIMU TUJITAHIDI SANA KUBADIISHA MELODIA ZA UIMBAJI ,KILA SIKU NI YALEYALE.CHANGANYENI FLAVOR.NILIVYOWAFAHAMU MIAKA YA NYUMA MPAKA LEO NI HIVYOHIVYO.
@Regnard999 Жыл бұрын
Hii ndio sifa ya kwaya bora, michanganyo si sifa ya kwaya bora ndg Walawi.