Am christian But I like sheik Yusuf Abdi Nasheed songs
@chefdc72822 жыл бұрын
Best swahili nasheed Kwa mimi sheikh Yussuf Abdi ni namba 1,im from Zanzibar
@mariamally38074 жыл бұрын
Maashaallah Allah akuhifadhi na akupe jannah .aamiyn
@bellbell92944 жыл бұрын
Mashaallah sheikh wetu Allah akuhifadhi akuzidishie nyingi hekima jazaka Allahu kher
@jamalathman62194 жыл бұрын
Shukran mashallah jazaka Allah kheir, sheikh Yusuf mungu akuzidishie neema zake,na sisi tunaosikia imani zizidi kupanda tuwe na taqwaa Allah.
@mugishamedia26324 жыл бұрын
Shukran sana Sheikh wetu,Allah akubariki zaidi.
@AhmedSaid-xz3kj4 жыл бұрын
Nasheed nzuri barakallah fek sheikh yusuf
@shabanali86144 жыл бұрын
Wallah Yusuf abdu nakupnda kwa ajili ya Allah natamani ningekuw karbu yko nikukumbatie shekh Wang Allah akulinde na kila lenye shary allahumma aammin natamani nikuone shekh Wang ila uwezo umekuw mdogo ila ntaendlea kukupnda kw ajili ya Allah.
@junimustafa29934 жыл бұрын
Mashaa Allah tabaraka Allah. What a way to end a year with a nasheed yakuomba msamaha. Allah atusamehe madhambi yetu ya dhahiri na siri yaa rab amin yaa 🙏. Mungu akuhifadhi sheikh Yusuf amin 🙏.
@mwashambamakame44354 жыл бұрын
Allah akubarik, maashallah ila tunahitaj audio zake twazipataje
@AbdulaziziAliy5 ай бұрын
Mashaallah ❤ shekh yusuph Abdu Allah akuzidishie 🎉
@HassanHassan-iy2sc4 жыл бұрын
Mashallah Allah anakupenda myo waimani shukran
@aminaabdulghanim82562 жыл бұрын
Mashaallah shatar sheikh Yusuf
@abubatv89964 жыл бұрын
Hongera sana wetu
@khadijaahmed64114 жыл бұрын
Mungu akuhifadhi inshallwa,,,.......
@ibrahimrashidi72424 жыл бұрын
shekhe twaipataje hyo albamu yako
@paulinacherement25342 жыл бұрын
Mashallah ALLAH barik
@ashooraashoora11804 жыл бұрын
Mashaa'Allah Jazzakumllah Khery
@munabule42593 жыл бұрын
Manshaallah sheikh wetu nakupenda kwa ajili ya Allah
@mohammedjumakhamis81514 жыл бұрын
Mashaallah twaipataje hii album yako Shk Yussuf
@warfatdaud85204 жыл бұрын
mashallah! Allah azidishiye kila kukicha Nakupenda kwajili ya ALLAH
@SaleheNgatama5 ай бұрын
Nitumie namba
@rukiyamohamed3308 Жыл бұрын
Sheikh yusuf abdi mungu akuhifadi 🥰🥰🥰🥰🥰
@miallyxela53153 жыл бұрын
Nakukubali Akhyy
@abubakarsalim.4 жыл бұрын
Mashallah Album 🔥🔥🔥
@kibabumsellem82134 жыл бұрын
Mashallah shekh Allah azidi kukupa hikma ya kuwaelimisha kwa nasheed nipo, nje lakini nakufatiliya sana visa vyako na nasheed mashallah
@kadabraassaa2134 жыл бұрын
AT ZANZIBAR SALAMA SALAM
@aishasaid67494 жыл бұрын
Leo ndio ilikuwa burudani yangu mpaka nimemaliza kupika napenda sana anasheed
mashaallah jaman nauliza iv nasheed kuna kanda za tv
@fauzfakkhamis52174 жыл бұрын
Shekh Yusuf ujumbe wako unatufikia na tunajifunza mengi kupitia nasheed zako masha"allah
@hija604 Жыл бұрын
Maashaallah baarakallahu allah akubaarik na akujaalie kila la kher allahumma aamiin
@hemedykassim13824 жыл бұрын
Mashaiiah kazi nzuri nahitaji unifundishe jinsi ya kuimba nasheed zako zina mafunzo mazuri ALLAH akupe nguvu zaidi ya kutoa nyingine
@mohammadabdulrehman44 жыл бұрын
Mashaallah ustadh Yusuf we love you so much. Watching you from Qatar🇶🇦
@DonMooSTUDIO_Express4 жыл бұрын
Tizama filamu fupi ya kiislamu Tanzania👇🏻💕 kzbin.info/www/bejne/d4PWg3uwmMRjeq8
@rayyakhalfan49834 жыл бұрын
Maa shaa Allah
@mahmoodalghefeili53703 жыл бұрын
jazakallah kher katika wote waloandika maa shaa allah wewe ndo. uko sahihi wengne wote wanaikosea
@hassanmakungu19693 жыл бұрын
Mashaalla naswali mengi tutaipataje hii album tafadhali tujibu basi
@ntakirutimanaabdulazizi77784 жыл бұрын
Allah akupe umri mrefu naakujaalieni afya bora nyie nafamilia yenu , Aamin
@jasminrashid68664 жыл бұрын
Nimependa
@paulinacherement25342 жыл бұрын
Alhamdulillah ALLAH AKBAR
@ayusiayushi21884 жыл бұрын
Mashaallah mashaallah amin amin safi
@aishasaid67494 жыл бұрын
Maa shaa Allah Alhamdulillah
@mugishanasra19193 жыл бұрын
Manshallah kaswida nzuri
@زينببنتسعيد-د9ح4 жыл бұрын
Maasha Allah tabaraka Allah
@othmanhaji18324 жыл бұрын
Alhamdulillah
@bintalimwakuririkana2 жыл бұрын
This is our time to spread ISLAM may Allah guide us
@munirriyamiy41944 жыл бұрын
ليس كل بكاء😭 مظلوم فإخوة يوسف يبكون وهم ظالمون. "Sio kila anaelia 😭 amedhulumiwa.Kaka zake yusuf wamelia hali yakuwa ni madhaalim (wamemdhulumu ndugu yao)." #hekima #dhulma #zingatia #islam @munir_elriamy
@DonMooSTUDIO_Express4 жыл бұрын
Tizama filamu fupi ya kiislamu Tanzania👇🏻💕 kzbin.info/www/bejne/d4PWg3uwmMRjeq8
@mwinyicande59194 жыл бұрын
Mansha allah
@ftimaramadan47484 жыл бұрын
Mashallah tabaraka llahu ❤️
@salkhamohammed81244 жыл бұрын
MaashaAllah MaashaAllah... Amiin yaa rabby
@nallyadam6323 жыл бұрын
A.alykum sheikh kwa majina naitwa hussein Ally nipo zanzibar mm ni mpenzi sana wanasheed walah sheikh ila kuna nasheed yako moja naiseach sana hapa KZbin lakini siikuti sheikh naomba unisaidie sheikh kuipata jina la nasheed ni ( ni nuru yake rasuli ndo inayotuangazia muangaza wake kamili uliyoenea dunia)
@DjumaAsha Жыл бұрын
inaitwa طلع البدر
@sahlomar63974 жыл бұрын
Twaingojea hio
@makamwasina2090 Жыл бұрын
Ma Sha Allah napenda sana tena sana wallahi Tulizo la Moyo kweli wish kuna option ya download i can listen all day ❤
@DjumaAsha Жыл бұрын
ipo inaitwa Vid mate
@hadidjayssoufou79392 жыл бұрын
Machallah
@herenow22463 жыл бұрын
Beautiful to see this sheikh also express himself through qasidas .....
@hamilsalum91203 жыл бұрын
Mashallah. Naomba umetu link ili tupate audio
@siriyangu47244 жыл бұрын
Mashaallah nasheed zury
@shariffjr69784 жыл бұрын
All the best my brother. My Ustadh. My friend keep reminding us to return to Allah. More blessings 😥🙏🏽❤
@DonMooSTUDIO_Express4 жыл бұрын
Tizama filamu fupi ya kiislamu Tanzania👇🏻💕 kzbin.info/www/bejne/d4PWg3uwmMRjeq8
@maryamalhajri58862 жыл бұрын
Mkono.k
@rubeyaally83564 жыл бұрын
mashaallah
@aishasaid67494 жыл бұрын
Aamiin yaa rabiy
@halima25493 жыл бұрын
Nampenda Sana hii nasheed.. MashaAllah nice voice ❤️🙏
@aminasaid6555 Жыл бұрын
Mbona unazifungia jamani😢
@fathmakazungu79112 жыл бұрын
MashaAllah thabaraka Allah
@zuusuley91124 жыл бұрын
Masha Allah
@zuusuley91124 жыл бұрын
Naztaka zoteee izo nazpatajeee
@abdallahmohammed32604 жыл бұрын
Ma shall ah , its awesome voice👍🏻👍🏻
@mariammuscat43004 жыл бұрын
Mashalllah
@HassanHassan-ix7cj9 ай бұрын
Album ya eid In Shaa'Allah
@juwairiajuma12052 жыл бұрын
MashaAllah MashaAllah
@rizikiishak9623 жыл бұрын
Mashallah we love u so much mashallah mawaidha and your song
@rajabhamza46284 жыл бұрын
Mashallah
@saadiyab70283 жыл бұрын
0:01 Salama Salama 05:34 Habibaty 11:10 Mesema Twasema Tena Ft. Yakub Abdullah 16:37 Twakulingania 25:00 Janga La Corona 32:00 Mama Yangu 37:25 Visiwani 42:53 Muhammad Ft. Salim Ally 47:37 Ajabu Ya Ikhwani Ft. Jaafar Mponda 51:24 Qur’ani Kitabu Changu 54:40 Mitandao Ft. Abkhelef 59:14 Umetukuka Mtume 1:04:22 Nisamehe Sana 1:10:34 Ikhiwani Isilamu Ft. Abkhelef 1:14:58 Qur’an 1:20:18 Tunamtetea
Assalm alykum? Sheikh mm natka audio za izo nasheed zako atkm zote kwa garama yyt ctk vdeo inakuaje shekh
@zubedah1119 Жыл бұрын
Assalam' Alaikum Warahmatullah Wabarakattuh naomba link ya kudownload tafadhali 🙏
@AsmaratAhmed Жыл бұрын
❤❤❤
@abusumayyah23384 жыл бұрын
Sheikh Yusufu Abdi acha uzushi wako kuwazuilia Waislamu na qur aan, hakuna kitu anasheed za kiislam katika dini hayo sio mashair mnavodai ni njia ya kumpelekea mtu ktk mziki na ma qaswiida
@fatmahussein60854 жыл бұрын
🙄🙄🙄nyie salaf mnajikutaka kila kitu kwenu ni haramm,, hiz n nasheed tuu wala hakuna ala za miziki zilizotumikaa hapo.. waimba nasheed wako wengi sanaa kina shekh mishary rasheed alafy, ahmed bukhatir, Mohamed al muqut na wengineo kibao,, hao n wanjee ya nchii na ni mahujaj wote hao, lakin n waimba nasheed wazur sanaa kama alivo shekh yusuf abdi,, acheni mambo yenuu yakusema nasheed haramm wakat hazina ala za muziki, na Allah ndo mjuzii
@abusumayyah23384 жыл бұрын
@@fatmahussein6085 kwa iyo hao wa nje ya nchi akina mishary rashid alafasy ndo tuwafuate? au kuna wahyi unashuka kwao Sisi tunawatizama ulamaa wa ahli sunnah waljamaah kama albaniy, al madkhaliy, al Uthaymiyn, al ruhaidaaniy, fauzaan, ibn baaz n. K nanyi tuleteeni vigogo kama hawa tuone watatuelekeza wap Achaneni na walinganiz katika milango ya jahannam
@HassanHassan-iy2sc4 жыл бұрын
Abu sumeuya. Allah akufahamishe. Lakini. Shiekh Yusuf Ni mashallah na Allah anampenda
@fatmahussein60854 жыл бұрын
@@abusumayyah2338 i’m not much good in arguing with people especially in religion matters,, lakin usiwe mwenye kuhukum watu hio kazi si yako ni ya Allah aliye juu,, kumuitaa mwenzio eti mzushi anazulia watu ni kosa hilo,,, unakuaa kama vile unamhukumu,, wala uislamu hauko hivo. unawaona wenzio ndo watu wa motoni afu wewe unajiona umefuzu na ni mtu wa peponi, sikia nikwambiee we baba, Allah pekee ndo anae juaa kila kichopo ndani ya kila nafsi yaan ndan ya kila binadaam, kwahio usimuuite mtu eti mzushi,, hujui yaliyoko nafsini mwake baina yake na Allah..
@fatmahussein60854 жыл бұрын
@@abusumayyah2338 me sijasemaa tuwafatee nilikua nakupaa mifano tuu
@abdulrahamanabdullahi15492 жыл бұрын
🥺🥺🥺
@9119-r4t4 жыл бұрын
Watu wafanya bidi kutowa full quran wewe wafanya bidi kutowa album ya nyimbo.muogope mungu wewe kijana
@GatekaFatma Жыл бұрын
Usijifanye wewe tumeshamaliza kilakitu kinanafasiyake we vp kila mtu na kipaji chake Akiisoma ndani kwake inatosha so lazma atangazie
@Khayratmsafiri35110 ай бұрын
Acha husda bado mdogo
@khadijaabdallah34696 ай бұрын
Kuna tofauti ya nyimbo na nasheed . Hii ni nasheed hakuna any musical instruments imetumika zaidi ya sauti yake my brother stop hate.
@central-boy74416 ай бұрын
Usipende kuropoka ropoka vitu usivyo na êlimu navyo ..
@9119-r4t6 ай бұрын
@@central-boy7441 أنت لا تعرف صحيحك يا جاهيل
@DonMooSTUDIO_Express4 жыл бұрын
Tizama filamu fupi ya kiislamu Tanzania👇🏻💕 kzbin.info/www/bejne/d4PWg3uwmMRjeq8
@akramwalong80613 жыл бұрын
Sheh naomba grp l Nshed km lp kuptia 0655033745
@AsmaratAhmed Жыл бұрын
😂
@shabanali86144 жыл бұрын
Wallah Yusuf abdu nakupnda kwa ajili ya Allah natamani ningekuw karbu yko nikukumbatie shekh Wang Allah akulinde na kila lenye shary allahumma aammin natamani nikuone shekh Wang ila uwezo umekuw mdogo ila ntaendlea kukupnda kw ajili ya Allah.
@DonMooSTUDIO_Express4 жыл бұрын
Tizama filamu fupi ya kiislamu Tanzania👇🏻💕 kzbin.info/www/bejne/d4PWg3uwmMRjeq8
@sa3dasa3da874 жыл бұрын
Ma sha allah
@mwanaindisaid49104 жыл бұрын
Mashallah
@awadhabdullah87263 жыл бұрын
mashaallah
@bindauud10374 жыл бұрын
Mashallah
@hafswaomar39294 жыл бұрын
Mashaallah
@hafswaomar39294 жыл бұрын
Allah Akujaze kheir inshaallah
@azizakussaga96322 жыл бұрын
Maashallah nasheed zako zanikosha Allah akulipe Kila la kheri ,nakupenda kwa ajili ya Allah