ZA MWIZI AROBAINI “JINI TAPELI” ALIVYOINGIA KWENYE 18 ZA JESHI LA POLISI

  Рет қаралды 59,418

KTV TZ ONLINE

KTV TZ ONLINE

Күн бұрын

Пікірлер: 153
@murattywamuratty9778
@murattywamuratty9778 3 жыл бұрын
Allah atakujalia utapata mtoto ila usiamini imani za kishirikina. Allah tu ndo mwenye uwezo wa kuruzuku mtoto na kwa maneno haya Insha Allah utapata mtoto
@Awatee
@Awatee 3 жыл бұрын
Subhanallah ALLAH atulinde na atuhifadh na shirki tumuombe ALLAH ndie muweza wa kila kitu hakuna mganga mkubwa zaid ya ALLAH mtihan shirki ni dhulma kubwa tubu kwa mola wet ni mwingi wa Rehema na kusamehe 😢😢😢
@suleiphwaupendo1030
@suleiphwaupendo1030 Жыл бұрын
Imani yangu kwaiyo dr Ayubu uiongoze zanzibar Allah afanye weeps juu ya hili
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 3 жыл бұрын
😳Mtoto anatoa mganga subuhanallah nyanyuka usiku Muombe Allah mbembeleze Allah mlilie Allah utapata kwa huruma WA Allah lnshallah
@leightontanner1978
@leightontanner1978 3 жыл бұрын
I guess it is kinda off topic but do anybody know a good place to stream newly released movies online ?
@augustusadriel1032
@augustusadriel1032 3 жыл бұрын
@Leighton Tanner i would suggest flixzone. Just search on google for it =)
@damaridamien3367
@damaridamien3367 3 жыл бұрын
@Leighton Tanner i use FlixZone. You can find it on google =)
@yasminjuma663
@yasminjuma663 3 жыл бұрын
Hayo Mambo yapo kweli utapeli . Nna Kaka angu alitoa pesa zake zote alizopokea kiinua mgongo.. sijuwi walimdanganya vipi alienda nao Hadi bank na akatoa pesa zote akawapa...mtihani Allah atuhifadhi amin
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 3 жыл бұрын
Subuhanallah binaadam wengine Hawa huruma awaogopi zurma
@zaytunhijja6771
@zaytunhijja6771 3 жыл бұрын
Kumbe huu mchezo bado unaendelea duh, m/mungu atawafanyia wepesi mtapata kizazi kilichochema inshallah
@sabihahamadi2287
@sabihahamadi2287 2 жыл бұрын
Mtihani mwenyezi mungu wanusuru na utapeli watoto wetu
@jacksonamos2008
@jacksonamos2008 3 жыл бұрын
Hongera Kwa kumkamata nawachukia mataperi hatari.
@thresherjordan6829
@thresherjordan6829 2 жыл бұрын
Mwenyew bado mdog masikin mungu atakujalia mapacha mara tatuuu baba mungu waoneee hawa 🤲🤲🤲
@MohdAli-mo9bt
@MohdAli-mo9bt 3 жыл бұрын
Dah Allah atasaidia ishallah
@swalehalfarsy6121
@swalehalfarsy6121 3 жыл бұрын
Ukome na ww... unataka kumshirikisha allah kisa unatka mtoto.. tangulini mtoto akapatikana kwa mganga.. ndio maana tumefaradhishiwa kusoma Ili ujingaaa kama huu tuepukane nao.. tutaenda kuuliza na allah umeish miaka 60 umeetumikiaje miaka 60 yko ulipo kua dunian.. tunaish kwa mazoea hatujui sheria allah alizo tuteremshia kwsabab dunia imetuandama vichwan kwetu... wallah inasikitisha sana.. allah akuongoze na atuongoze kwa sote na atujalie mwisho mwema 🤲
@fatmakhanii1676
@fatmakhanii1676 3 жыл бұрын
Mtihani jamani hawa sjui wanatumia dawa gani hee watu hawaogopi kama kifo subhana Allah
@awenasuleiman4519
@awenasuleiman4519 3 жыл бұрын
Pole kaka Allah atakupa mwenye kheri na ww
@abubakarmuhammadsaid3244
@abubakarmuhammadsaid3244 3 жыл бұрын
Kila munachokitaka muombeni Allah tu, mutapata. "Suratu israai 110"
@kautharjadid4287
@kautharjadid4287 3 жыл бұрын
Masikini nyee kumbe watu wanatafuta mtoto kwa Hali na Mali dah basi mm atakama Sina mtoto naona kitu cha kawaida tuu polesana kaka Allah atakupa mtoto mwema lakini usiamini ushirikina kwanza sikuhizi watoto wenyewe hawasikii usilazimishe kupata mtoto
@nabilsuleimanhaji2437
@nabilsuleimanhaji2437 3 жыл бұрын
mtoto ni muhimu tuombeana duwaaa
@solomonadams6337
@solomonadams6337 3 жыл бұрын
huyu Police sio Mzanzibar kwani hakuna Police Wazanzibar mbona wageni wengi katika visiwa¿hawa baadae sii watakuja kuvichukua visiwa¿baada ya miaka kumi na Wao Wazanzibar...duuuuuh hii hatari sana,hapa UK 🇬🇧 tayari washafukuza wageni...thanks
@abdulmohd6880
@abdulmohd6880 3 жыл бұрын
Vyuma vimekaza sn kila mmoja anajiengeza ili life lisonge😂 baada kuwa muwape wananchi pesa watumie eti muntaka kujenga mi flyover
@nuhhumwakanyamale4771
@nuhhumwakanyamale4771 3 жыл бұрын
Njoo ghetto nikupe
@bizuwena623
@bizuwena623 3 жыл бұрын
DUNIA INA SIRI.ALLAH ATUHIFADHI NA UMATAPELI NA KUTULINA NA SHIRKI.TAFUTA TIBA ZA KISHERIA.
@salmaelhinai833
@salmaelhinai833 3 жыл бұрын
Allah akujaalie upate mtoto mwenyekheri na wewe na uache kuamini ushirikina
@mwanalikhamis9875
@mwanalikhamis9875 3 жыл бұрын
Amin amin mtoto waheri mjaalie ampe mtoto mwwma
@mundhiribrahim6292
@mundhiribrahim6292 3 жыл бұрын
Allwah atakujaliya mtoto.wakheri nawewe bado mdogo wewe
@kulthumabdalla3958
@kulthumabdalla3958 3 жыл бұрын
Pole Ila amini kua mola ndie kila kitu pia elewa ndoa ni sheria kuzaa. Majaaliwa
@maryamabdullah9169
@maryamabdullah9169 3 жыл бұрын
Vijana hawataki kufanya kazi kazi yao wanataka Utapeli tuu
@omaar5693
@omaar5693 3 жыл бұрын
Kwani huko unakofanya kazi majini wanaajiriwa?🙄
@abdallahkhamis9597
@abdallahkhamis9597 3 жыл бұрын
K tv tunataka no zenu
@manja7684
@manja7684 3 жыл бұрын
Usilazimishe kupata mtoto KM ALLAH HAJAKUJAALIA
@massoudhaji6932
@massoudhaji6932 3 жыл бұрын
Allah ndie pekee hutoa watoto , wake kwa waume
@MohamedMahmoud-ze7cn
@MohamedMahmoud-ze7cn 3 жыл бұрын
Mm nimeshafanyiwa km huyu jamaa Ila nimemwachia mungu Kwan yy ndio Hakim wa haki naamin aliyeniibia Allah atanilipia Kwan malipo ni dunian
@masturakhamis3504
@masturakhamis3504 3 жыл бұрын
sasa kwann hamutuonesh sura huyo tapel
@hamil7895
@hamil7895 3 жыл бұрын
Ni mzoefu na nimeshackia story km hzi sn kw watu, aaliwahi kumpigia bibi yangu story zke km izo nikamwambia tapeli uyo na alhamdulillah leo amepatikana
@sharrifidris3422
@sharrifidris3422 2 жыл бұрын
Hapa Kenya matapeli wengi wanakuja na style hiyo kutoka tz.waganga wengi ni wezi
@hamadykhamisi4009
@hamadykhamisi4009 3 жыл бұрын
Mhuu mtihani wallah
@abdallasaleh2303
@abdallasaleh2303 3 жыл бұрын
😃😃 dahh mtihani mkubwa
@seifmohamed836
@seifmohamed836 3 жыл бұрын
wapewe kesi ya uhuju uchumi ili wakome washike akili zao👅🦷🦷🦷 kimeumana na Rc Ayub na bwana tapeli jini duhhh anaendesha vespa
@raymahssirymahssir3084
@raymahssirymahssir3084 3 жыл бұрын
Pole san Belve Allah
@jumasaid3228
@jumasaid3228 3 жыл бұрын
Ktv rekebisheni Mc yenu haiko Sawa samahanini lakini
@rashidally2133
@rashidally2133 3 жыл бұрын
Jini mmoja kabambwaaa
@MrKhatibu
@MrKhatibu 3 жыл бұрын
Mkubwa HERI, HAJI OMAR HERI from Tumbatu
@khamisijuma1774
@khamisijuma1774 3 жыл бұрын
Sio mtumbatu huyu anajiita tu
@kiri5807
@kiri5807 3 жыл бұрын
mijitu haitaki kujituma kazi wizi . wanatumia mazingaumbwe hao huzinduki mpaka kushaibiwa
@khamisrubea5083
@khamisrubea5083 3 жыл бұрын
Jini hapigi cm !
@mbarakali4726
@mbarakali4726 3 жыл бұрын
Polee shida izoo jmni
@salimshaib879
@salimshaib879 3 жыл бұрын
Huyo muhalifu munamuogopaaa mbona hatumuoni......ni vzur kujuulikan ili watu wamuelewe
@eenpaard3915
@eenpaard3915 3 жыл бұрын
Munazingua na mic banaa aaah
@hajihassan5433
@hajihassan5433 3 жыл бұрын
Sikoment chochote kwa ujinga huu, Jini na kupiga simu?
@jacksonamos2008
@jacksonamos2008 3 жыл бұрын
Hatari
@2pacshakur912
@2pacshakur912 3 жыл бұрын
Tumuamini Allah tuache imani za kishirikina.
@ayuburajabsilima9565
@ayuburajabsilima9565 3 жыл бұрын
Kaz inaendelea
@manyotaskipper5765
@manyotaskipper5765 3 жыл бұрын
Sasa HAPO UNAWAPONGEZA NINI POLISI WAKATI KAZI YA KUMKAMATA IMEFANYWA NA RAIA WENYEWEEEW MBONA MNATAKA KUWATIA UJINGA POLISI
@abubakarwadi5773
@abubakarwadi5773 3 жыл бұрын
Ah mnazingua zenjibar mbonahuyo mini hamutuonyeshi ah
@jakayamati3510
@jakayamati3510 3 жыл бұрын
Cyo zenjbar hii ni k tv online
@kiri5807
@kiri5807 3 жыл бұрын
watu hawa washawahi kumtoa mtu pba tena kizee akaambiwa asimwambie mtu akaipanda meli pekee na kawaida huwa anasafiri na mtu akafikia kwa mjukuu wske znz .akashituka yule mjukuu mbona ghafla na mbona peke yako? akataa kila skimdadisi akataa , sasa na pale hawezi kutoka pekeake kwanza hajui pakuelekea ikabidi amwambie mjukuu ampeleke mahali ikisha amsubiri yeye ende wakakubsliana hivyo kwa bahati mjukuu akawaarifu police bibi hajui walipokuja wakakamatwa . ila police ya kwetu itakuwa waliwaachia na sijui km sio hawa.
@munasuleyman3159
@munasuleyman3159 3 жыл бұрын
Ndugu yangu kama Allah hakukupa mtoto sio zizki yako maskini pole
@murattywamuratty9778
@murattywamuratty9778 2 жыл бұрын
Utapata mtoto Insha Allah ila hakuna mtu mwenye uwezo wa kukupa mtoto ispo kuwa ni kumuomba Mungu na kadar zake kuweza kukupa mtoto kwa wakati alio upanga yeye Mungu.
@muhakizungu1118
@muhakizungu1118 3 жыл бұрын
Tuwoneshen tumuwone uyo tapeli
@kiri5807
@kiri5807 3 жыл бұрын
munamuhifadhi mbona hamutuoneshi sura yake ?
@sabrinasab2910
@sabrinasab2910 3 жыл бұрын
Jaman siku izi matapeli weng muwe makini sana msiende macho juu👀👀
@peteryukunda9239
@peteryukunda9239 3 жыл бұрын
Jamani uweni hilo tapeli,hapo mengine bado cku zao.Mungu shughulikia hao mashetani.
@alriyamy613
@alriyamy613 3 жыл бұрын
Kelele izo mnapiga welding...?
@ibra.mstudingfile8584
@ibra.mstudingfile8584 3 жыл бұрын
Huy kijana hakai msewn huy lkn km namjua mbn
@omaar5693
@omaar5693 3 жыл бұрын
Kilichomrudisha nini? Labda ana VITI viwili eeh🙄
@2pacshakur912
@2pacshakur912 3 жыл бұрын
ukiwa na imani za kishirikina hayo mambo yatakusibu tu kwanza tujuwe hakuna mahusiano ya simu kati ya majini na binaadam
@chekisiela
@chekisiela 3 жыл бұрын
Inaweza kuwa wewe huna tatizo la uzazi ila muda ulioandikiwa kupata mtoto haujafika au inawezekana mmoja Kati yenu ana matatizo ya kiafya hawezi kupata ongeza mke wa pili inshaallah asakheri riziki mafungu saba na wa pili kama hajakupatia mtoto ongeza mke wa tatu
@harithmohd6318
@harithmohd6318 7 ай бұрын
Polen san ila ndg zang wa kinzanzibar ila mwenye uwezo wa kutoa mtoto ni Allah peke ake
@omaar5693
@omaar5693 3 жыл бұрын
Ni mtandao gani wanaosajili majini?🙄
@osmanha6915
@osmanha6915 3 жыл бұрын
Mbona hatumuoni uyo jini?
@omaar5693
@omaar5693 3 жыл бұрын
Tangu lini jini akaonekana 🙄
@khamisawadh7333
@khamisawadh7333 3 жыл бұрын
Ncjui Selikali Ikowapi mpaka ilimsajili Huyu Bibi akawa Mganga Tapeli?Anaewatapeli Watanzania wengi?mpaka Leo bdo anaendrlea Kutapeli Watanzania
@binothman9284
@binothman9284 3 жыл бұрын
Kwanza muheshimiwa icho kituo ni cha Polisi au nakama ndicho aibu tupu
@smairara5802
@smairara5802 3 жыл бұрын
Miwaya yenu inashoti inaweka mikelele tu kerebisheni waya izo
@hajiabdalla5772
@hajiabdalla5772 3 жыл бұрын
Kiasi mutapeliwe kwa uvivu- wenu wakutokujituma munakaa maskani kwa kupenda vya bure . Fanyeni kaz nyie. Na mujielewe vinginevyo mtatapeliwa mpaka
@asfarsham9037
@asfarsham9037 3 жыл бұрын
Yarabbi salama. Siku izi mbona utapeli huo wa kama kiini macho imezidi?watu wanajifanya mpaka mawakala,ukiamka ushaibiwa pesa zako zooote
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 3 жыл бұрын
Hujambo weww kaka huna mtoto mtafute shekhe othaman maiko anaweza kusaidiya usiende kwa washirikina hata mm ukinitafuta kwa namba yangu ya wasap nitakupatiya mtu akufanyie dawa sahivi niko oman ndiyo tatizo hata dada yangu anawafanyia watu dawa wengi wanapata watoto akifanikiwa anamba kanga peya mbili na elf kumi bass hataki pesa ya mtu mpaka ufanikiwe kupata mtoto yupo unguja ndiyo hivyo
@othmanali7408
@othmanali7408 3 жыл бұрын
musimlaumu huyu mtu hawa jamaa hua wanatumia vitu km hujielewi unakoa muda mwengin .. Mimi nawajua watu walokua washatapeliwa tena ni watu imara ktk dini . Allah atuhifadhi
@khamismohd8616
@khamismohd8616 3 жыл бұрын
Ndo ukome kumshirikisha mungu
@suleyhb10hb74
@suleyhb10hb74 3 жыл бұрын
Unakasoro yako pia ipo siku utateleze je tuje tukuzomee tuwe na busar
@fatmasaid1911
@fatmasaid1911 3 жыл бұрын
Jaman asilaumiwe Mtu ukiwa Na hamu ya kitu huwa unatapatapa tu.
@nabilsuleimanhaji2437
@nabilsuleimanhaji2437 3 жыл бұрын
kila mtu anamapungufu yake muhimu kuombeana duwa na kurudi kwa Allah
@kotadapotar5094
@kotadapotar5094 Жыл бұрын
Mnapongeza jeshi la polisi limefanya kitugani walioibiwa ndio walimkamata mwizi polisi wamepelekewa wanakula vipopo na ulojo Vituoni 🤣🤣
@yunusabdulrahma6700
@yunusabdulrahma6700 3 жыл бұрын
Iyo ni mitihan na inatumik sanaa na inakua km mtu anafugwa apo mpk kutoa izo pesaa hatoi kwa hiari yake
@tanzaniamagufuli1857
@tanzaniamagufuli1857 3 жыл бұрын
Matatzo yapo kweli kweli lakini pia na matapeli wapo mjini
@hummymgaza6915
@hummymgaza6915 5 ай бұрын
Jini linatumia sim 🤣🤣🤣🤣
@hafidhmussa7887
@hafidhmussa7887 3 жыл бұрын
Acheni mchezo wakuigiza kwanini musimuoneshe huyo tapeli au nimdogo wenu mwaogopa tahyuri waima mwapenda hip kaziiendelee zaidi.Jueni kua Kama mutamuonesha mtandaoni watakao bakia ktk washirika wezake watakua na heshma naadabu nataacha hi Hali namusipo muonesha hiokazi kwahakika itazidi hamuamini Hilo musimuoneshe kwenemtandao.
@kassimomar7589
@kassimomar7589 3 жыл бұрын
Dha matapeli bhana
@MrKhatibu
@MrKhatibu 3 жыл бұрын
Tatizo kazi hamna vijana walitumika sana kufanywa wajinga na wanasiasa mpaka wamekuwa matspeli
@khamisimuazini1246
@khamisimuazini1246 3 жыл бұрын
Kwaya Tanzania Mwapaja
@RioIpo
@RioIpo 3 жыл бұрын
Watu wezi looo kumanina zao
@aminaomaryaliy3226
@aminaomaryaliy3226 2 жыл бұрын
Mm simlaumu huyu kijana anapiti mengi sana ili apate mtoto asikwambie mtu sikiatuu
@khamisawadh7333
@khamisawadh7333 3 жыл бұрын
Hawa Matapeli Wa Pesa kutumiwa Au kutengenezewa Pesa wako weng Sana?Na wanajiita Waganga Wa kienyeji;Na wana masifa makubwa sana ya uganga?mpaka wengne wanajiita MIUNGU watu?Weng wao wanatokea Sumbawanga
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 3 жыл бұрын
Yote hii tamaa ya pesa
@sameramwajdu9029
@sameramwajdu9029 3 жыл бұрын
Na uvivu
@omaar5693
@omaar5693 3 жыл бұрын
Msimlaumu huwnda kiti wake anamsumbua🙄
@kassimseif108
@kassimseif108 3 жыл бұрын
Huyu jamaa mkubwa namjuwa yani nilisha pigana nae ngumi tulikuwa tunatoka kwendwa roock kucheza mziki
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 Жыл бұрын
😢😢
@chayogasperi9783
@chayogasperi9783 3 жыл бұрын
Mbona jini Mkubwa Heri hamjatuonyesha ??
@omaar5693
@omaar5693 3 жыл бұрын
Ukimuona jini si utazimia?
@omaar5693
@omaar5693 3 жыл бұрын
Usiombe Ukimuona jini utazimia au kufa kabisa
@chayogasperi9783
@chayogasperi9783 3 жыл бұрын
@@omaar5693 Ha ha ha .
@salimsaid7200
@salimsaid7200 3 жыл бұрын
Kaunguza Camera 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@ruuh5149
@ruuh5149 3 жыл бұрын
@@omaar5693 ww ushawahi kumuona
@kiri5807
@kiri5807 3 жыл бұрын
uza vespa rejesha pesa yako
@MrKhatibu
@MrKhatibu 3 жыл бұрын
Ila hiki kidume kutakuwa kimezindikwa kwao chezea na watu wa Kaskazini ni suala la muda tuuu
@zarisalim3153
@zarisalim3153 3 жыл бұрын
Na mm yamenikuta jamn 1200000
@alimohamed4712
@alimohamed4712 3 жыл бұрын
Ilikuaje
@abdulkareemseif1892
@abdulkareemseif1892 3 жыл бұрын
Ushirikina uache
@salimsaid7200
@salimsaid7200 3 жыл бұрын
POLE MWANGU
@salimsaid7200
@salimsaid7200 3 жыл бұрын
POLE MWANANGU
@salimabdalla140
@salimabdalla140 3 жыл бұрын
Funga tapeli huyo mwizi mkubwa duuh huna huruma
@khamisawadh7333
@khamisawadh7333 3 жыл бұрын
Kuna Mmoja Mwanamke Anatumia Jina LA BIBI Wa JIWA MOJA?Anapatikana Mjini Sumbawanga Kwenye Kitongoji cha MPUI?Huyu no Tapeli mkongwe?Keshatapeli Said Ya Milioni20,0000,000 Na bdo anajifanya Mganaga Wa kienyeji pamoja na Utapeli wake mkubwa
@emilyibraimo5032
@emilyibraimo5032 3 жыл бұрын
Kituo cha police kama banda la ngombe
@fatmasaid1911
@fatmasaid1911 3 жыл бұрын
Hahahahaha umenifanya nicheke kwa sauti!!!
@salimsaid7200
@salimsaid7200 3 жыл бұрын
WEWE TUOMBE RADHI WAFUGAJU BANDA LA NG'OMBE NI BORA 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@ruuh5149
@ruuh5149 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 nimechk hd bx jmn kha wt muna maneno jmn
@fatmaabeid8338
@fatmaabeid8338 3 жыл бұрын
Acheni kuficha maovu wahalifu tunataka tuwaone ili kesho akija kwetu tumjue mnamficha nini acheni mambo kuficha ficha
@MrKhatibu
@MrKhatibu 3 жыл бұрын
Mkuu wa Mkowa Ayoub anasema wazanzibar asilimia kubwa ni waumini wa Islam dini ilal asisahau majizi wote wa SMZ na vikosi vyake wote waislam. Kiufupi nchi imepoteza muelekeo kimaadili haijalishi raia wala vyombo vya usalama dhuluma tumeweza mbele.
@fatmaali4921
@fatmaali4921 3 жыл бұрын
Kijana hapo ulipo mdogo waswas wa nn?hujapata mtòto mda bado mbona allah akifungua risk ya mtoto utapata kwa mda wake amiin ushirikina so mzur mdogo wangu acha huu ujinga huo tena tena kuna vijana km nyie tele sku hzi mnadanganywa manavishwa mpk pete mikono tena vidole vyote kwa kuamin utapata ujiri achen kutumika nyie vijana mnapoteza mda wenu
@yusuphkassimu227
@yusuphkassimu227 2 жыл бұрын
Mganga akupi mtoto anakupa tatizo ambalo utajuta kwanini ulifanya hivo.
@shidabundala8984
@shidabundala8984 3 жыл бұрын
Huyo jini mbona haonekani
@shimafuad6868
@shimafuad6868 3 жыл бұрын
Nini toka lini akao ekana hahahahaa
@sultannassor4868
@sultannassor4868 3 жыл бұрын
mbona haonekani
@mrfix6596
@mrfix6596 3 жыл бұрын
Ndiyo jini ety😂
@omaar5693
@omaar5693 3 жыл бұрын
Tangu lini jini akaonekana nawe🙄
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 3 жыл бұрын
@@omaar5693 🤣🤣🤣🤣
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 3 жыл бұрын
@@mrfix6596 🤣🤣
@salimsaid7200
@salimsaid7200 3 жыл бұрын
@@hanifatanzania7258 Kaunguza Camera 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@khamisrubea5083
@khamisrubea5083 3 жыл бұрын
Mbona hamtuoneshi sura
@omaar5693
@omaar5693 3 жыл бұрын
Sura ya jini inaonekanaje, umeona vespa si ushukuru🙄
@salimsaid7200
@salimsaid7200 3 жыл бұрын
@@omaar5693 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@salimsaid7200
@salimsaid7200 3 жыл бұрын
CAMERA ZITAUNGUWA 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@coolbwoy7183
@coolbwoy7183 3 жыл бұрын
Dunia haish mitihan
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 3 жыл бұрын
Pengine wewe kaka uko na matizo lakini muhim nenda kwa shekhe othaman maiko au shekhe salum damba sawa usitowe pesa mm nishatapeliwa pesa nyingi tu pesa iko benk naitowa lakini huyo alienitapeli amekufa mm sisamekhe dunia mpaka yaum kiyama bass sijuwi milion ngapi
@kiri5807
@kiri5807 3 жыл бұрын
wewe kijana bado unatapatapa kutafuta mtoto? aamka usiku usali umliliye Allah
@doricamussa5138
@doricamussa5138 Жыл бұрын
Akomeshwe awefundisho kwawengine
Smart Sigma Kid #funny #sigma
00:14
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 75 МЛН
Não sabe esconder Comida
00:20
DUDU e CAROL
Рет қаралды 47 МЛН
This mother's baby is too unreliable.
00:13
FUNNY XIAOTING 666
Рет қаралды 43 МЛН
DUNIA (Ep 12)
22:49
ASMA FILMS
Рет қаралды 19 М.
KIJANA ALIYELAWITIWA NA WATU 60 ZANZIBAR ATOA USHUHUDA (Episode 06)
13:11
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 5 М.
PLAN B _ Episode 22
1:02:01
kp wa Aquino
Рет қаралды 24 М.
RAIS MWINYI AZINDUA BANDARI MPYA ZANZIBAR l HII APA BANDARI KAVU
3:10
HII NDIO PASUA KICHWA ILIYOIKUMBA ZANZIBAR.
14:13
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 10 М.
Smart Sigma Kid #funny #sigma
00:14
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 75 МЛН