Zabron Singers - Uko Single ?(Official Audio)

  Рет қаралды 302,632

Zabron Singers

Zabron Singers

Күн бұрын

Пікірлер: 658
@Amazin000
@Amazin000 Жыл бұрын
Ngoma iko ya harusi na ngoja tu my better half
@kingdavid8800
@kingdavid8800 Жыл бұрын
Wakwanza kuview this audio ya ,Uko Single.... Likes Zang Jmn nipeweeeee🤗🤗🙌🙌🙌🙌🙌
@queenwere1
@queenwere1 Жыл бұрын
😅😅Like yangu pokea 😂😂
@allankiprotich7119
@allankiprotich7119 Жыл бұрын
I feel not single though I'm single, 😂
@peterkamau5772
@peterkamau5772 Жыл бұрын
Ulitype haraka ukaangika vituko😂
@KulwaPaul-kj9zo
@KulwaPaul-kj9zo Жыл бұрын
Pokea like zakoo kaka
@KulwaPaul-kj9zo
@KulwaPaul-kj9zo Жыл бұрын
Kama uko single uoe
@MarcoNdimbo
@MarcoNdimbo Жыл бұрын
Hatimae song letu limeachiwaaaaaaa
@McQris006.
@McQris006. Жыл бұрын
Just arrived after seeing the trending video😊🎉
@gracekimotho7023
@gracekimotho7023 Жыл бұрын
Zabron choir has the best wedding songs. Love from Kenya🇰🇪❤
@KulwaPaul-kj9zo
@KulwaPaul-kj9zo Жыл бұрын
Wakuje Kenya jomoni wafanye recording
@bobi_ysmf
@bobi_ysmf Жыл бұрын
​@@KulwaPaul-kj9zotz has the best music producers
@KulwaPaul-kj9zo
@KulwaPaul-kj9zo Жыл бұрын
@@bobi_ysmf really
@harrietmasila266
@harrietmasila266 Жыл бұрын
I agree with you 💯
@sharonjelagat
@sharonjelagat Жыл бұрын
Absolutely
@joellumer6711
@joellumer6711 Жыл бұрын
Dah! Hawa Jmaa hawajawai kosea 🙌🏽🙌🏽
@esthermutua1287
@esthermutua1287 Жыл бұрын
Uko single 🎉🎉🎉to the world 🌍 gonga like tukisonga 🎉🎉
@KulwaPaul-kj9zo
@KulwaPaul-kj9zo Жыл бұрын
Chukua like zakooo
@mchelemarco2893
@mchelemarco2893 Жыл бұрын
Barikiweni xan watumishi
@neldahnyamora5039
@neldahnyamora5039 Жыл бұрын
🎉🎉waiting for visual
@EagleEzra
@EagleEzra Жыл бұрын
Mkisii Wa Kwanza kuangalia hii ngoma,,,ready to misuse the chorus
@Nyalusi_Media
@Nyalusi_Media Жыл бұрын
Kama umeingia KZbin ukasearch UKO SINGLEE ...Gonga likee
@masaladeus3996
@masaladeus3996 Жыл бұрын
Mwabeja sana Zabron Singer's,,,mdenawahi kuhubya nulu hado....funyagi hage lya jisuguma gude e lyembo lya Lushiku
@KulwaPaul-kj9zo
@KulwaPaul-kj9zo Жыл бұрын
Hahahaha!!! Wasukuma tujuanee wazee wa lushiku
@kogandacollins3398
@kogandacollins3398 Жыл бұрын
Mkuje pole pole na nyinyi wanazabron.sijapata mtu
@FadhiliSikawa
@FadhiliSikawa Жыл бұрын
Mmbarikiwe na mzidi kuinuka kimataifa
@eliamwaitenga1
@eliamwaitenga1 Жыл бұрын
Aki nyie wasukuma hapa mmeuwa, Mungu awabariki sana. Hakika Mnaendelea kuudhibitisha ubora wenu. Narudia tena kusema, MWENYEZI MUNGU AWABARIKI
@KulwaPaul-kj9zo
@KulwaPaul-kj9zo Жыл бұрын
Hakuna raha kama kuwa msukuma
@SalomeNkwabi-jy4nu
@SalomeNkwabi-jy4nu Жыл бұрын
Ndo ujue wasukuma so level zao😂😂😂
@scbrothersshadracknacosmas7964
@scbrothersshadracknacosmas7964 Жыл бұрын
Nomaa nomaa
@KulwaPaul-kj9zo
@KulwaPaul-kj9zo Жыл бұрын
#Kwa wazazi ukapita moyo wangu ukapitisha na pastor amekubali tufunge ndoa yetu
@marymathias4301
@marymathias4301 Жыл бұрын
Nzuri sana 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@lazarusfrancismallya9829
@lazarusfrancismallya9829 Жыл бұрын
Mama. Umetisha. Mama. Sautiya kumuimbia. Mungu. Umebarikiwa. Ishi. Sana mama. ZABRON. Yesu. Aliichora kwenye kiganja chake. Na ilikuwa wakati sahii wa Mungu. Kuinua kile kilicho ndani ya. ZABRON. Na katika nyie. Yesu alijua mtaweza. Ndio maana aliinua kaziyake katikati ya maisha yenu mnabarikiwengi. 🎉`🎉❤🎉❤🎉 muinuliwe sana
@d.m453
@d.m453 Жыл бұрын
Masikio yangu hayatosheki kwa kuisikiliza hii song jamani uuuu,raha sanaaa
@praygodtv9219
@praygodtv9219 Жыл бұрын
Naomba harusi iwe Live jaman
@anatorymagayane6976
@anatorymagayane6976 Жыл бұрын
@zabron singers May God bless Ur work
@gidionbgunda3272
@gidionbgunda3272 Жыл бұрын
Hiii imeenda ❤️
@KulwaPaul-kj9zo
@KulwaPaul-kj9zo Жыл бұрын
Sasa nimeshapata kipenzii cha roho yangu ndiye huyu hapa Leo namtambulisha kwenu
@mfaumengangee7856
@mfaumengangee7856 10 ай бұрын
Kali kweli
@richiesegera9075
@richiesegera9075 Жыл бұрын
Uko single? Nishampata wangu
@KellyShiks
@KellyShiks Жыл бұрын
Hata mimi sijapata wangu jameni
@SamwelAziz-pb4zz
@SamwelAziz-pb4zz Жыл бұрын
From TikTok to KZbin wapi makofi ya zabron Singer's ❤
@queenwere1
@queenwere1 Жыл бұрын
👏 👏 👏
@gracemhaya3707
@gracemhaya3707 Жыл бұрын
♥️♥️♥️♥️nimeupenda huu wimbo aiii... Single aliyekwisha mpata wake like😘😘
@mzadomwongozo3671
@mzadomwongozo3671 Жыл бұрын
Nishawapata wangu ❤
@johnrogeo2161
@johnrogeo2161 Жыл бұрын
ata mm naenda kumpata wangu 👍👍
@niymaedwin4297
@niymaedwin4297 Жыл бұрын
Song of the year like zao wapewe🇹🇿 🇰🇪🇷🇼 🤭❤️
@joyceabeli3787
@joyceabeli3787 Жыл бұрын
❤❤❤❤ mko vizur sana
@eddyosindi3466
@eddyosindi3466 Жыл бұрын
the lead singer lady has a powerful voice and catchy
@Monyo04
@Monyo04 Жыл бұрын
Wapewe maua yao🤞🙌
@sliveryvedastus5314
@sliveryvedastus5314 Жыл бұрын
Hawana deni hawa jamaa
@sinderjrtz8569
@sinderjrtz8569 Жыл бұрын
kazi nzuri saana
@rhodarichard4494
@rhodarichard4494 Жыл бұрын
Jaman wimbo wa sweet sweet umepita bado sijapata wa kufunga nae pingu za maisha,,sasa umeingia huu wimbo wa "nishampata wangu " kweli na wenyew unipite hiv hiv jamen...oooh MUNGU MWENYEZI NAKUOMBA UNIONE😢
@elifurahambowe510
@elifurahambowe510 Жыл бұрын
Nimeweka like yangu bila pressure❤
@EuniceMuthengi-p4s
@EuniceMuthengi-p4s Жыл бұрын
Nkimpata mpoa tutacheza hii kwa wedding 😂❤
@charityndungu5133
@charityndungu5133 Жыл бұрын
😂😂😂😂
@nahashongichuru5458
@nahashongichuru5458 Жыл бұрын
We thank God ,at Christian weddings we will now not be playing worldly songs. Thank you Zabron singers
@KelvinKessy-b1q
@KelvinKessy-b1q Жыл бұрын
Zabron drop dat tin
@MagdalenaEzekiel
@MagdalenaEzekiel Жыл бұрын
Nawapend mno jaman
@daudimwito6082
@daudimwito6082 Жыл бұрын
Wimbo nzuri sana Unahamasisha ndoa
@pendombise5792
@pendombise5792 Жыл бұрын
Nimezurura sana kuitafuta huu wimbo🙏🙏♥️💕ukosingle Hapana nishampata Wangu🤸🤸
@emmanuelzabron9630
@emmanuelzabron9630 Жыл бұрын
Ooh pole barikiwa pia
@ozuabrahamu8079
@ozuabrahamu8079 Жыл бұрын
Vp Kwan ulishampata wako au nije
@mwariwachegeh385
@mwariwachegeh385 Жыл бұрын
God locate me maisha ya single haileti shangwe.
@harmonize3059
@harmonize3059 Жыл бұрын
Hongeleni sana mnaimba vizur
@kingdavid8800
@kingdavid8800 Жыл бұрын
I'm de second to none.... Please naomben likes Zang.....🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@KellyShiks
@KellyShiks Жыл бұрын
Much love kutoka Kenya, Nairobi nawapenda Bure....
@cbsmedia33
@cbsmedia33 Жыл бұрын
Timely message wakuu.
@SwahiliAmbasador954
@SwahiliAmbasador954 Жыл бұрын
Kwa sasa hawa ndio kundi bora la muziki wa gospel kwa hapa east Africa. Ushauri msimsahau Mungu kwa kila hatua mnayo ipiga yeye ndiye aliye toa kibali cha nyunyi kufanya tungo nzuri zenye maadili Mungu awabariki.❤️🎉😍🥰.
@KulwaPaul-kj9zo
@KulwaPaul-kj9zo Жыл бұрын
Nakubaliana nawewe sikupingi kabisa
@SwahiliAmbasador954
@SwahiliAmbasador954 Жыл бұрын
@@KulwaPaul-kj9zo nashukuru sana ndugu kuungana na mimi katika wazo langu
@KulwaPaul-kj9zo
@KulwaPaul-kj9zo Жыл бұрын
Nivile tuu watu hawajaiona hiyo comment lakini inaeleweka kabisa zabron ni kundi bora east Africa ukoanza na views walionao
@SwahiliAmbasador954
@SwahiliAmbasador954 Жыл бұрын
@@KulwaPaul-kj9zo acha tuache wakati wa Mungu ufanye kazi hii pia inaenda kuwa nyimbo kubwa sana apa east Africa na Africa nzima acha tuiache iende utakuja kuniambia
@KulwaPaul-kj9zo
@KulwaPaul-kj9zo Жыл бұрын
@@SwahiliAmbasador954 naomba ivyo hivyo pia broo
@shafiiabas7329
@shafiiabas7329 Жыл бұрын
The instrument jus tap like to me🥰🥰
@lilianomwenga8630
@lilianomwenga8630 Жыл бұрын
Siku hizi waliacha kuimbia Mungu wanaimbia singles
@GreenleafStudios-x1p
@GreenleafStudios-x1p Жыл бұрын
I'm proud to be African I'm proud to be Kenyan Lot's of love to Zabron Singers
@sospeterkogei2859
@sospeterkogei2859 Жыл бұрын
Nyce one zabron singers congratulations
@VICTORMUTHENYA
@VICTORMUTHENYA Жыл бұрын
Zabron never disappoint 🔥🔥the way hii song imetrend TikTok acha tu 🔥🔥🔥
@franklinedungani
@franklinedungani Жыл бұрын
Much love ngoma zenyu zinaguza moyo kwanza hii pia ikichezwa kwa harusi mambo itachemka
@Mr_Canicious
@Mr_Canicious Жыл бұрын
The Vocals, the message! A wonderful song. I love it ❤❤ Blessings team
@FedrickSanga-ur1zh
@FedrickSanga-ur1zh Жыл бұрын
Zabron umetoa wimbo mzuri sana mngu awe nawe kiongozi
@Bradleycarlostawai
@Bradleycarlostawai Жыл бұрын
❤❤❤❤, we want an official video
@2012SporahVenance
@2012SporahVenance Жыл бұрын
Safi sana nakukubali mno
@khisacentrine4872
@khisacentrine4872 Жыл бұрын
The best singer ever may God bless you to live many more years to preach the fruit of His love to the world .# But am still single I pray God to hear my prayers in Jesus name Amen.
@frankakuno.9511
@frankakuno.9511 Жыл бұрын
Kivumbi leo
@FredrickLuseno-
@FredrickLuseno- Жыл бұрын
Pia mimi siko single 👌🔥🔥💝💖
@KulwaPaul-kj9zo
@KulwaPaul-kj9zo Жыл бұрын
Yuko wapi tunataka tumjuwe
@KulwaPaul-kj9zo
@KulwaPaul-kj9zo Жыл бұрын
Umtambulishe kwetuu
@johnsangida5158
@johnsangida5158 Жыл бұрын
like whaooo💗💗💗🇱🇷🇱🇷🇱🇷
@conchesteremmanuel89
@conchesteremmanuel89 Жыл бұрын
Woow.... salute kwa hii kwaya
@ahmedmshana5485
@ahmedmshana5485 Жыл бұрын
Ngoma ya taifa ongeraaaaaaaa
@yusuphmduge3672
@yusuphmduge3672 Жыл бұрын
Thus the best gospel song of the year what a jingle 🎶 💥
@dorismchome6112
@dorismchome6112 Жыл бұрын
Mbarikiwe Sana nyie watu mnajua kutuburudisha .
@neemaryan9947
@neemaryan9947 Жыл бұрын
Wangapi waumerudia Mara mbili Kama mimi
@josephmassiahy1324
@josephmassiahy1324 Жыл бұрын
Hongereni sana kwa kuendelea mutuburudisha kwa nyimbo nzuri zenye maono.
@maryupendo8706
@maryupendo8706 Жыл бұрын
Hapa ndio pale utamu ya ndoa inazidi ❤❤❤❤💯
@Reamfreytz
@Reamfreytz Жыл бұрын
Tanzania tuna kila kitu😍
@KulwaPaul-kj9zo
@KulwaPaul-kj9zo Жыл бұрын
Single guys muache ujanjaujanja tunauliza mko single na kama mmeshapata mtushow
@ejakbarkyamba3686
@ejakbarkyamba3686 Жыл бұрын
Mmh!
@elirehemambise6440
@elirehemambise6440 Жыл бұрын
Hongeren zabron....Ila nahc after 3 years mtaanza kuimba bongo fleva
@hidiatatiana6775
@hidiatatiana6775 Жыл бұрын
Hapana nisha mpata wangu❤❤❤❤ni peeni like zangu kama unakubaliana na hii song
@KulwaPaul-kj9zo
@KulwaPaul-kj9zo Жыл бұрын
Yuko wapi tunataka tujuwe
@fridankini9422
@fridankini9422 Жыл бұрын
Mungu awabariki🔥🔥🔥🔥
@MajaliwaLuhuna
@MajaliwaLuhuna Жыл бұрын
Me mshabik wako napenda sana nyimbo zako mpo mtwara mjin, hii nyimbo ya swit swit napenda mno
@ZEDY5iVEZMEDIA
@ZEDY5iVEZMEDIA Жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤nishampa wangu Kenya 🇰🇪 love
@vensagabriel8421
@vensagabriel8421 Жыл бұрын
Zabron singers maua yenu asee
@kellenwangari2512
@kellenwangari2512 Жыл бұрын
Can't wait to play this song during my dowry ceremony thanks zabron 🥳🥳🥳🎉🎉🎉🎉
@dorothygeorvid6557
@dorothygeorvid6557 Жыл бұрын
I said same thing 😍😍
@Lissarams
@Lissarams Жыл бұрын
Definitely
@galatechsdesigns
@galatechsdesigns Жыл бұрын
play list harusi yangu inaongezeka!! 😂love you Zabron Singers
@BisemJunior
@BisemJunior Жыл бұрын
Congragulations Zabron singers for such a nice and glowing song
@waziripambk-kv4bn
@waziripambk-kv4bn Жыл бұрын
Uyu jamaa ni genius sanaa angeimba bongo freval angekua mbali sana
@NeemaKaduma
@NeemaKaduma Жыл бұрын
Wimbo upo vizuri sana tena Sana
@gladyskanini1882
@gladyskanini1882 Жыл бұрын
Hii nayo imeweza trusting God for that person.
@marthanyabuto8634
@marthanyabuto8634 Жыл бұрын
Gaidi ijitolee tufanye harusi😔😔😔 much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪😊
@KulwaPaul-kj9zo
@KulwaPaul-kj9zo Жыл бұрын
Hahahahaha!!!!!
@KulwaPaul-kj9zo
@KulwaPaul-kj9zo Жыл бұрын
Watu wa Kenya mko poa sana
@marthanyabuto8634
@marthanyabuto8634 Жыл бұрын
@@KulwaPaul-kj9zo jamani,mbona wacheka
@DALALIMTOTOMPANDAKATAVI9169
@DALALIMTOTOMPANDAKATAVI9169 Жыл бұрын
Wimbo mzuri sana jamani duuuh
@rosetuds6380
@rosetuds6380 Жыл бұрын
Naomba kupata mchumba mwaminifu..Niko single
@KulwaPaul-kj9zo
@KulwaPaul-kj9zo Жыл бұрын
Hayo ni maombi yako kwa mungu rafiki kitu chenye tumeulizwa uko single tuna answer hapana nishampata wangu
@emanuelgavile3503
@emanuelgavile3503 Жыл бұрын
Sjui jipo single hata sielewei niombeeni watu wa mungu, let us enjoy good music..
@rhodarichard4494
@rhodarichard4494 Жыл бұрын
Tuombeane sote Emmanuel
@dericko10
@dericko10 Жыл бұрын
much love from qatar zabrob singers niko single 😂😂😂😂
@collinsgutwa283
@collinsgutwa283 Жыл бұрын
niko single, namtafata Jamila dotto, fikisha salamu
@costanciamsonge
@costanciamsonge Жыл бұрын
Wimbo mzuri umenibariki
@Mary-cr4sq
@Mary-cr4sq Жыл бұрын
Ilike it aki barikiwa sana natamani pia mimi nimpate wangu wandani
@amedeezvisual8137
@amedeezvisual8137 Жыл бұрын
Oooh my God. Such a nice song. Zabron singers 👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾
@faith_wangare
@faith_wangare Жыл бұрын
Uweeeh😂😂mambo iko boiling point❤❤
@samogero5505
@samogero5505 Жыл бұрын
Zabron never disappoint ,,,naeza rudia Ii song mara kwa mara
@jessicamasepo8320
@jessicamasepo8320 Жыл бұрын
Wimbo mzuri sana, hongereni.
@Lissarams
@Lissarams Жыл бұрын
Sijui nasmile nn bt hii song yanihusu Kwa traditional wedding yangu 💃💃
@MtazameKristoTv
@MtazameKristoTv Жыл бұрын
Congratulations 🎉, Naombeni likes nyingi hakika ❤❤
@daisyjerop3361
@daisyjerop3361 Жыл бұрын
Your songs win my heart 💓 completely 💜 I can't get enough of any of them..,Baraka zablon singers - getting it from kenya🇰🇪
ZABRON SINGERS - UKO SINGLE ? (Official Video)
3:45
Zabron Singers
Рет қаралды 10 МЛН
MY HEIGHT vs MrBEAST CREW 🙈📏
00:22
Celine Dept
Рет қаралды 89 МЛН
Yay, My Dad Is a Vending Machine! 🛍️😆 #funny #prank #comedy
00:17
小丑揭穿坏人的阴谋 #小丑 #天使 #shorts
00:35
好人小丑
Рет қаралды 18 МЛН
MY HEIGHT vs MrBEAST CREW 🙈📏
00:22
Celine Dept
Рет қаралды 89 МЛН